MA RASTA WALIVYOANDAMANA WAKISINDIKIZWA NA POLISI DAR ES SALAAM: MCL EXTRA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @jacksommndellah7794
    @jacksommndellah7794 5 ปีที่แล้ว

    Raster respect for ever

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 5 ปีที่แล้ว +7

    Dunia hii kila MTU ana balaa lake hebu turudi kwa Allah lengo tumeletwa kumuabudu Allah pekee tu

    • @rasdaudi4199
      @rasdaudi4199 5 ปีที่แล้ว +5

      Ashrita Abdallah Mimi Na Mimi Huwa Hutukoment Jambo Lolote Kwenye Mambo Ya Dini Japo Mimi Na Mimi Sio Watu Wa Dini Na Amini Kila Mtu AnaUhuru Wa Kuuamini Ukweli Wake Huu Ni Ukweli Wetu Tunaomba Tuheshimiwe Kama Tunavyowaheshimu Tanzania Si Nchi Ya Watu Wa Dini Fulani Take Care

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 5 ปีที่แล้ว +1

      Bado hujajielewa na hujaielewa historia yako hao mashekh wako walikuja karne ya 14 Afrika,kipindi hio Rasta yupo Afrika.

    • @kizafashionselepa141
      @kizafashionselepa141 5 ปีที่แล้ว

      Ras Daudi ila ukipotea njia mbona unauliza eet jaman nipite wap au njia gan kwahio unaweza ukauliza eeti jaman dini ni nyingi dini niipi ya kwl naimani utaambiwa kwl tz free kuambudu

    • @shammahlupon7945
      @shammahlupon7945 5 ปีที่แล้ว

      @@kizafashionselepa141 tubuni na kuacha dhambi Marcus Garvey is the lie Yesu ndio mfalme

    • @James-i6z5s
      @James-i6z5s 5 หลายเดือนก่อน

      Ras Daud

  • @bintisalma1263
    @bintisalma1263 5 ปีที่แล้ว

    mtihani sana

  • @thomasysanga2420
    @thomasysanga2420 5 ปีที่แล้ว +2

    Rasta rasta

  • @stephenmadembwe4784
    @stephenmadembwe4784 5 ปีที่แล้ว +3

    Interview chafu makelele mengi hata kinachoongelewa hakisikiki!
    Aiseee

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 5 ปีที่แล้ว +3

    Rasta

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii TV cio ya kusubscribe kbsa... Sasa milio ya simu ya Nokia inamaana gn na urasta hapo , ? Kila Ras akiongea misauti ya simu inaanza kelele

    • @mwafrikabarz4507
      @mwafrikabarz4507 7 หลายเดือนก่อน

      Endelea kuwafuatilia na kuwasikiliza Mashoga wenzako acha KUINGIA Imani zisizo kuhusu

  • @ellyjohn3341
    @ellyjohn3341 5 ปีที่แล้ว

    Ingekuwa chadema hapo pangechafuka kwaa mabomu

  • @vinydany1759
    @vinydany1759 5 ปีที่แล้ว +2

    Tuache mawazo finyu nani kakuambia rasta lazima uvute bangi? Urasta ni ustaarabu wa maisha.

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 ปีที่แล้ว

    Mitihani hii zana hizi twaona mengi mungu atunusuru duu

    • @rasdaudi4199
      @rasdaudi4199 5 ปีที่แล้ว +1

      Sharifa Abdullah RASTAFARI MBONA UPENDO HARAFU SI WACHACHE WIVU WANINI DUNIA TUNAPITA VIZURI KUWA MWEMA SIO KUJIFICHA KWENYE DINI ILA BILA MATENDO MEMA

    • @cmantz8837
      @cmantz8837 5 ปีที่แล้ว

      MWAMBI MARASITA HAWANA KES NDIYO MAANA HAWAJANYOLEWA

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 5 ปีที่แล้ว

    Maandamano ya watanzania ni kama kicheko kwetu sisi wakenya sababu ni ya watu wasiozidi 30

    • @calvinmaimu7032
      @calvinmaimu7032 5 ปีที่แล้ว

      Mlichokifanya cyo kibaya hongereni ila interview mbovu kelele nyingi

  • @shammahlupon7945
    @shammahlupon7945 5 ปีที่แล้ว

    Simba wa kabila la Yuda ni Yesu kristo

    • @rasdaudi4199
      @rasdaudi4199 5 ปีที่แล้ว

      Shammah Lupon Soma Ufunuo 5:5 Utataona Anapoongelewa Mwanasimba Anaonekana Na Mwanakondoo Yupo Jambo Nililojifunza Mimi Bila Kufundishwa Ni Upendo Wa Mungu Ukisoma Isaya 9:6 Hivyo Hivyo Mifano Ile Ile Jaribu Kutofautisha Na Kuelewa Mwanakondoo Mwana Wa Mungu Mwana Simba Mwana Wa Mtu Habari Za Mwa Wa Mtu Yesu Mwenyewe Alisema Jiweke Tayari Ndugu Ukweli Upo Wengi Wanafatamkumbo Nje Ya Hivyo Tuishi Kila Mtu Atalipwa Ujira Wake Amani Na Upendo Ndio Misingi Yetu

    • @shammahlupon7945
      @shammahlupon7945 5 ปีที่แล้ว

      @@rasdaudi4199 upendo haupo bila Jesus huyo Haile Serasie alikataa kuitwa simba wa kabila la Yuda wewe unamlazimishaje? Hiyo isaya 9:6 inamuongelea nani? Sio mfalme wa kidunia achana na politics come back to Mount Zion rasta

  • @rasdaudi4199
    @rasdaudi4199 5 ปีที่แล้ว +2

    DA WATU WASIO RASTA WANATUCHUKULIA VIPI NDIO MAANA SOMETIMES NDUGU TUNATABIKA SANA WATU WANATUWEKEA UGUMU SANA WEMA WAO UKO WAPI HII DUNIA HURU KILA MTU ATALIPWA UJIRA WAKE WEMA WETU HAUFANANISHWI TATIZO KUWA TU RAS

  • @hassanmirambo564
    @hassanmirambo564 5 ปีที่แล้ว

    Rasta apewe umwalimu mkuu jamani wanafunzi wote watavuta bangi mpaka wa chekechea,eti Rasta hovyoooo angekuwa Bob Marley hizi comment zetu asingejibu hata moja sasa nyinyi mnatujibisha nahisi hata nyama mnakula nyie sio bure

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 5 ปีที่แล้ว

    Jitahidini kuludia Mungu mnapotea

  • @seifmohamedseif9467
    @seifmohamedseif9467 5 ปีที่แล้ว +1

    Si wangesema siku ya wavuta bange tu

  • @hammylove1268
    @hammylove1268 5 ปีที่แล้ว

    Mbna amuandaman kumuabudu mungu jinga kabisa

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 ปีที่แล้ว

    Wasiojielewa hao wanafata mkumbo to . Asili ya rasta hayo ni majoka ya mwanamke leo patra alikuwa anamajoka muundo kama rasta na huyo haile salas ni masonic mkubwa . Pumbavu nyie hizo ni mila za kishetani muafrika kama unataka kuweka nywele basi ni Afro to . Sio rasta

    • @cosmamarandu4063
      @cosmamarandu4063 5 ปีที่แล้ว +2

      Braza kasome vizuri historia ya haile sellas ndo utajuaa sio kila rasta ni mvuta bangi

    • @cmantz8837
      @cmantz8837 5 ปีที่แล้ว

      Huyo hana hakili anajua rasta niwahuna rait watu wote tungelikuwa na imani ya rasta aman ingetawara. rasta nijamii pekee isiyopenda fujo.acha nimpe mfano rahisi ukienda lumande kidogo lazima unyolewe hebu tafakali kwa nini rasta ananywele kichwa miaka 20 hata 30 jua nikwamba rasita hana tabia za ajabu. KWAHIYO NDUNGU BADILIKA

    • @magrethpaul2212
      @magrethpaul2212 4 ปีที่แล้ว

      tunacho angali Matendo Maan kama nilivyo hata maknisa misi kitin pia viongozi wapo massonci
      napia nikuto kujua Selassie alikuwa ni mfalme Kisha nabii tatizo wengine hawajui husema yeye ni Mungu sio jaman yeye alikuwa ni nabii pia mfalme narastar sio mpaka afute bagi au kuweka dredy hapana

    • @lindaemily981
      @lindaemily981 3 ปีที่แล้ว

      The world is full of information .. go and read more abt rastafarian and livity

  • @mkurangacnajemasabatochane4626
    @mkurangacnajemasabatochane4626 5 ปีที่แล้ว

    Niujinga ulioganda kupitia bangi

    • @thomasysanga2420
      @thomasysanga2420 5 ปีที่แล้ว

      Acha izo ww

    • @iddyamri2629
      @iddyamri2629 5 ปีที่แล้ว +1

      Mkuranga c najema sabato chanel Ni uelewa finyu ndugu yangu juu ya asili yako!Unadhihaki kilicho chako unathamini cha kuletewa na wageni " mkataa kwao ni mtumwa"

    • @rasdaudi4199
      @rasdaudi4199 5 ปีที่แล้ว +2

      haijalishi Tupo Pazuri Tumetoka mbali Pole Yao Waliowageni Na Upendo Wa RASTAFARI na Tunashukuru Wanao Tupenda MaJirani Zao Sisi Watu Wa Amani

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 5 ปีที่แล้ว

      Hio unaiita bangi ni uponyaji wa mataifa,mbona mchicha mnakula wakati huo unaiponda kaya wakati aliekuumba wewe ndie alieumba na huo mche wa konde.acha utumwa wa kiakili kufuata tamaduni za wakoloni

    • @ototek8037
      @ototek8037 5 ปีที่แล้ว +3

      Mungu akusamehe..kabla warabu hawajaja tulikuwa hatuna uislam na kabla ya wazungu tuliluwa hatuna ukristo, tulikuwa tunaabusu mibuyu mawe makubwa na majoka makubwa na Mungu alitusikia. Mzunzgu alikuwa anasabab zke za kuondoa ushahidi wa historia yetu na kuupeleka german ili watu kama nyie mbaki na makanisa na miskiti kwa manufaa kwa kutunza history yao milele