Rastafari wa Mwanza wamfanyia ibada maalum hayati rais John Pombe Magufuli

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • ''Kwetu yeye ni kama nabii Yohana''
    Jamii ya Rastafari wa Mwanza wamefanya ibada maalumu ya kumuombea hayati Rais John Pombe Magufuli wakisisitiza alikuwa ni shujaa na mtetezi wa wanyonge.
    Vilevile wamemuombea Rais mpya Samia Hassan Suluhu hekima ya kutimiza kwa ukamilifu na uadilifu majukumu yake na kuendeleza mema yote yaliyoachwa na mtangulizi wake.
    #burianiraismagufuli
    #ripmagufuli
    #burianijpm
    #magufuli

ความคิดเห็น • 32