SISI JESHI LA POLISI TUNATEGEMEA MSIKITI NI KIWANDA KINACHOTENENEZA WATU WEMA SP KAMANDA MTASHA DAR.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

ความคิดเห็น • 61

  • @ImanSaid-q4i
    @ImanSaid-q4i 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Maashaallah kwakweli Muislamu hafai kukamatwa na polisi hata kidogo labda iwe mtihani tu.
    kwakwel {Hoja zake nimezielewa vizuri sana}

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    MashaAllah kumbe kuna afande wako na imani tupate wengi wa hivyo InshaAllah

    • @maymunahomar5016
      @maymunahomar5016 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Allahumma Aamin 🤲

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kamanda ameongea mazito
    Mashallah elimu ha dini yke ipo
    Allah Akbar

  • @IsmailiMasule
    @IsmailiMasule 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Vuta picha ndo mtume awe apo safi sana dini imekua

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @Ukhtyzuu
    @Ukhtyzuu 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kiukweli haya matamshi Ni matam Sana ya poliso huyu lkn vipi matendo?

  • @abdillahramadhani2983
    @abdillahramadhani2983 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Masha allah

  • @MuthlaMuthla
    @MuthlaMuthla 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashallah ❤🎉

  • @jumabeja956
    @jumabeja956 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashalaah

  • @FeisalOmar-r3o
    @FeisalOmar-r3o 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo kuwa police huona tu mtutu ndo unaotengeneza amani katika jamii hawajui kua amani ikitoeka haiwez rudi kwa kutumia mtutu bali inarud kwa ulimi ulio na maneno mazur inshallah serekali tujitambue tuishi na usawa kwa upendo kabsa

  • @abuuibrahimhizzah2957
    @abuuibrahimhizzah2957 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtume alifaulu kwa dola yenye madili na sheria za mola mlezi zilifanyiwa kazi ipasavyo ndio dunia ikawa salama kwakarne kadha ila sasa wanadamu wamempokonya allah mamlake yake wanatunga wao sheria wanapanga wao taratibu za maisha kinyume na alivyo panga allah ndio tumeiharibu amani na usalama wa ulimwengu mzima

  • @MohamedMatata-iu9mm
    @MohamedMatata-iu9mm 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alhamdulilah mashallah.allah atujalie asikari mia kama huo huwenda mambo yadhulma kwenye polis yange pungua ,Allah akuhifadhi

  • @saidmnogamoyo6591
    @saidmnogamoyo6591 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mashaallah

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct 57 นาทีที่ผ่านมา

    Msikiti sio kiwanda
    bal jeshi latakiwa lifuate maadili

  • @MohamedMatata-iu9mm
    @MohamedMatata-iu9mm 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwemtenda haki kwenye jamii
    Kwasababu unaijua nafasi yako .na nguobulio ivaa ndio inahitaji

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct 56 นาทีที่ผ่านมา

    Haiwezekani
    imani na jeshi la polisi kua samba mba

  • @FeisalOmar-r3o
    @FeisalOmar-r3o 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lakin kamanda vip zile pombe mbona Kuna halali na haramu na Quran inasema pombe zote haramu kueni makini usiufananishe uislamu na kazi Yako ya haramu ata sku moja apo sjapenda

    • @eidallyeidally5093
      @eidallyeidally5093 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      afande hasimamiii kanuni za uhalalishaji au uharamishaji bunge ndo linahusika na huu mswada haina maana akiwa afande anaweza kufanya kila kitu ambacho kipo nje ya mamlaka yake

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 24 นาทีที่ผ่านมา

      Ndugu yangu hapa tatizo sio dini nisheria zanchitu maana mfano hii nchi ingekua ni Dora ya kiisilamu basi pombe zote zingekua nikosa la kiimani sasa wao police kukubali baadhi ya pombe nakuzikataa baadhi wao hawanakosa bali wanatejekezatu majukumu na Sheria tukizojuwekea kama taifa nazani umeelewa

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kusoma dini kasoma ila dunia imemchukuwa

  • @SheikhYussuf-iv6lo
    @SheikhYussuf-iv6lo 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah Tabarakallaah kamanda yupo vizur

  • @jumaahagu4764
    @jumaahagu4764 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Msituchoche muislam safi awezi kuwa polisi au kiongozi wa kisiasa maana ww katiba yako ni quran na hadithi za mtume huo ni uswahili ambayo unafuata ktk iliyotungwa na wanadamu kupitia bunge

    • @SeifSeif-gw3zc
      @SeifSeif-gw3zc 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Basi waislam ata serikalin wasifanye kazi...mkishashiba kazi yenu kuponda watu elim hamuna

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni kosa kumuambia wenzako sio muislam

    • @muhammedtetere484
      @muhammedtetere484 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kiakili haupo sw itakua umechanganyikiwa

    • @KhalfanShaban-x4x
      @KhalfanShaban-x4x 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We msenge kweli mbona maka ka'aba inalindwa na ma askari.....au huko we unaonaga ni lindo la disco? Mnakuwaga na akili Gani za kifala hivyo? Mtume mwenyewe alikuwa na askari zake (maswahaba)

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwa mtume alikuwa na dola yake unasemaje hatakiwi kuwa ktk hyo kazi?? Labda useme wawe waadilifu kuhusu serikali nchi yetu haiendeshwi na dola ya kiislam kwa hyo hatuna budi kufuata sababu ndo uongozi tulonao msisitizo ni uadilifu

  • @AbrahmanAli-q4v
    @AbrahmanAli-q4v 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah Akbar Mashallah❤❤

  • @OmarAbdalla-vg1qr
    @OmarAbdalla-vg1qr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Camanda welcome to Zanzibar

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Allah ajaalie misikiti yetu ituunganishe waislamu kama zama za mtume na karne mbili bora baada yke
    Amiin
    Amiin

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa police wangu

  • @RamZomboko
    @RamZomboko 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah akufazi mashallah

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maashaallah tabarakallah

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mashaallah huyu kamanda nmempenda sana sie ndo tunataka watu km hawa

  • @sadatbarakat6041
    @sadatbarakat6041 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masha allah

  • @OmarAbdalla-vg1qr
    @OmarAbdalla-vg1qr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂Azhar sio Chuo cha Kiislam.
    Angelisoma Asingechagua hii Kazi ya Upolisi.
    Halafu hawa Maibadhwi ndio Watu wa mwanzo Kuanzsha fujo kwani wao ni makhawaariji.
    Msikie Askar amesema Assultaan Al umaaniyy.😂😂😂😂
    Hasa hapa ameongea nn.Huku kuaminishwa kubaya sana.
    Dini ina Taaluma yake.
    إن الصلاة تنهى عن الفحشاء والمنكر.

    • @SeifSeif-gw3zc
      @SeifSeif-gw3zc 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      قبحك الله

    • @alisaid3074
      @alisaid3074 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wacha uhasid ww hayo anayoyajuwa yy ww hulijuwi hata 1 muislam gani anakuwa mdhaifu hivyo

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani Makka hakuna maaskari.
      Ama hao wa huko pia nao hawakusoma dini.

  • @SalumMohammed-r8n
    @SalumMohammed-r8n 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka ukovizuri

  • @hamidumuhamedjuma2217
    @hamidumuhamedjuma2217 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashalah

  • @abuuibrahimhizzah2957
    @abuuibrahimhizzah2957 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikweli miskiti hufundisha maadili mema ila baada kutoka nje ya miskiti dola imedhamini maadili mabovu ndiokazi inanzia

    • @abuuibrahimhizzah2957
      @abuuibrahimhizzah2957 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Basi tuitunze amani kwakua sote tunaihitajia usivunje amani ya mwenzako huku una unatangaza amani amani

  • @tobimwinyi8856
    @tobimwinyi8856 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MashaAllah..Allah azid kumjaalia kheri na Barka InshaAllah

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo anaitwa Athumani Mtasha amesoma chuo cha Azhar misr amesoma uandishi wa habari hakusoma dini

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Dini kasomea wap

    • @alwiyiynmission2820
      @alwiyiynmission2820 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwan kusoma Dini ni Vipi.
      JE Haitoshi kusikiliza mambo ya Dini nawe ukaijua DINI?
      Ama ulazima wa Kuitwa Msomi UWE na CHETI CHA CHUO

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@adamhashim3352huyo kasoma usifikiri afande mbugirambugira tu, asiyesoma hawezi kuzungumza km hivyo sawa

    • @IvetaSteven-b9z
      @IvetaSteven-b9z 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kwani dini lazima dini aisome misri

  • @bakarhassan2364
    @bakarhassan2364 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watukanaji karibuni,

    • @AsminHakimo
      @AsminHakimo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanatafuta bando kwanza

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Laanatu Allah nyie waje watukane kwa lipi?

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ujinga

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hujaitwa

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pole ilaumefata nini kama ww upende wa kushoto