USICHOKIJUA JUU YA IKULU YA DAR ES SALAAM ILIKUA NDIO KITUO CHA KUASAMBAZA DINI AFRIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2024
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

ความคิดเห็น • 72

  • @zuhoor-mc7hq

    😢😢leo ndio nimejua hii history subhaanallah 😭..aise makafiri wanafnyg juu chini kuhakikish usilam uzim .. Yaa rabbi tujaalie tuwe waislam Tabiti na tufishe tukiwa waislam 🤲

  • @alhandumtalemwa8468

    Shukran shekh kwa elim nzur

  • @ayoubbilatuka7012

    Ndo maana somo la historia hapa Tz nilikuwa silipendi kwa uongo wa wazungu wakoloni.

  • @fatmaahmed8637

    ALLAH AKBAR ! KIWANYA CHAKE.MALI YAKE..WAKAHAMISHE KWA KUTAKA DUNIA! MASHA ALLAH

  • @abasingaruka1872

    Ni vizuri utuomyeshe kitabu Cha historian, kilichoelezea hayo,

  • @user-rh7lj1lo5x

    Hao ndo makarifi Wazungu Wajeruman

  • @sss3s867

    yupo mwanaharakatinmmoja wa dini isi9julikana. akiijiita shekh ELIYAS.

  • @user-rh7lj1lo5x

    Leo watu wanawatukana Warabu na kuwasema wameleta Utumwa Uingo Mtupu Historia Sahihi haizungumguzwi

  • @mohammedmfamau43

    Nyerere katuharibu kisaikolojia maana hata mashuleni hatukufundishwa ukweli huu tulipewa historia ya uwongo na hadi leo hatujui ukweli kuhusu tanganyika ni aibu tupu nchi gani wanadharau true history yaani ni kweli kabisa ukweli maisha utanyooka tu.

  • @fadhilisecha4268

    Hii ni historia tu, tunaipokea kama gumzo tu. Haina maana sana, tujikite na Maendeleo na kuimarisha imani zetu. Walipita Waarabu wakafanya yao, waremo wakafanya yao, wazungu hali kadhalika. Na sasa tupo Sisi tunafanya yetu, watakuja na wengine. Ni kawaida sana

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk

    WALLAHU inaumasana hiz historia. halafu serekalizetu bado zinawakumbatia kwa mahabakabisa bila hata angalau kwa unafiQ😢

  • @user-kn5bv3qj8p

    Wakoloni adui tangia zamani.

  • @user-ff4sh6lq7t

    Ni vizuri kujua Historia lakini leo hii tufikirie kuendeleza Tanzania yetu isiyokuwa na dini

  • @HabibuUrasa

    Tusikae kimya makafiri watupe majengo yetu

  • @user-qi3sn6bg7d

    ALLAH AQBAR ifikie mahala sasa WAISLAM KTK HISTORIA KATIKA MADRASA ZETU TUPATE HII ELIMU WA maana kunakizazi kikiondoka hatutayajua haya

  • @praygodmawalla7884

    Ikulu ya Dar es Salaam iliyojengwa na wajerumani imekuwa kituo cha dini.

  • @omarimahela7690

    Pale unapomaliza daraja la Tanzanite upande wa Oysterbay baharini kuna inland ndogo inasemekana ni kaburi la mtu maarufu. Mwenye kujua atujuze

  • @charlesshitobelo6870

    Kama Kibra ni Kaskazini ukiwa hapa Tanzania, yapo makanisa mengi tu yamejengwa kuelekea Kibra.

  • @vincentcharles4385

    Sheikh bora uendelee kunywa kahawa,K-vant hazikupendezi

  • @lukumanisharifu

    Eee apo shekh umeenda ndivyo sivyo ktk kabari la sharifu mh