MASANJA MKANDAMIZAJI - SHORT AND CLEAR - (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • MASANJA MKANDAMIZAJI - SHORT AND CLEAR - (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
    SHORT AND CLEAR NI NYIMBO AMBAYO INAELEZEA MAISHA YA BWANA WETU YESU KRISTO HASA LAKINI ZAIDI IMEJIKITA KATIKA JINSI AMBAVYO ALIKUA ANAULIZA NA KUJIBU MASWALI .
    USISAHAU KU SUBSCRIBE ILI UWE WA KWANZA KUPOKEA NOTIFICATION YA VIDEO MPYA KUTOKA KWANGU MUNGU AKUBARIKI

ความคิดเห็น • 1K

  • @michael_deogratius7654
    @michael_deogratius7654 5 ปีที่แล้ว +17

    Jamani TH-cam wafanye tuwe tuna like Mara kumi

  • @Feelfreechurch
    @Feelfreechurch  5 ปีที่แล้ว +550

    NDUGU ZANGU NAWASHUKURUNI SANA SANA, ASANTENI KWA PONGEZI, NAMI NAFANYIA KAZI KILA USHAURI MLIONIANDIKIA!!
    MUNGU AWABARIKI KWA KUNIHESHIMISHA, NAWATAKIA MEMA!!

    • @janesamwel8307
      @janesamwel8307 5 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Mgaya masanja hongera sana na Mungu azidi kukuinua

    • @christophermtabi2809
      @christophermtabi2809 5 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mtumishi..hakika nyimbo zako zinanibariki hapa dodoma.

    • @ambanndola9109
      @ambanndola9109 5 ปีที่แล้ว

      Emmanuel Mgaya masanja hongera sana mgaya kwa kazi nzuri

    • @willey_brandtrue9966
      @willey_brandtrue9966 5 ปีที่แล้ว

      Short and klia

    • @habaribongo3611
      @habaribongo3611 5 ปีที่แล้ว

      BE BLESSED MJUKUU WA MUNGU

  • @NuruVitusi-mq3kn
    @NuruVitusi-mq3kn 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah safi sana mtumishi wa Mungu nimependa wimbo

  • @davidmafyice5572
    @davidmafyice5572 3 ปีที่แล้ว +1

    daah aise nibonge la ngoma nimebalikiwa kabsa

  • @francismiho226
    @francismiho226 5 ปีที่แล้ว +98

    Kama umeipenda hii nyimbo kama mm plz gonga like...short & clear

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 5 ปีที่แล้ว +3

    Masanja ur fabulous na mm naomba like yangu

  • @ibrahimdeogratious4487
    @ibrahimdeogratious4487 5 ปีที่แล้ว

    Naona mpaka mjomba yesu anagonga sebene safi sana

  • @jonhsoncrispo2462
    @jonhsoncrispo2462 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana masanja ila kuinga mambo ya yesu umekosea sana ila nitazidi kuwa wako daima

  • @fridaahid2700
    @fridaahid2700 5 ปีที่แล้ว +5

    kama umerudia mara mingimingi kama mimi gonga like tujuane

  • @lusajolamsonmgala6184
    @lusajolamsonmgala6184 5 ปีที่แล้ว +116

    Kupitia wimbo huu ,,unapelekea kukumbuka maneno ya Yesu gonga kukubali(though this song influence to remember the words of Jesus click like)

    • @paschaldume1015
      @paschaldume1015 5 ปีที่แล้ว +2

      Duh! Haposawa endelea mbele

    • @bitricemunice1520
      @bitricemunice1520 5 ปีที่แล้ว

      Dah kweli we jamaa Ni shida nimeurudia Hadi nimeishiwa bando short Anadclear barikiwa sana

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 5 ปีที่แล้ว

      Nimefurahi umesema "Wimbo huu na siyo Nyimbo hii" kama wasiojua kiswahili wanavyosema. Najisikia kichefuchefu kusikia "Nyimbo hii"

  • @estermkaze5589
    @estermkaze5589 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi imebarikiwa namahubiri yako

  • @amashamtama8422
    @amashamtama8422 5 ปีที่แล้ว +1

    Cheza kiyunani kama mimi au siyo pamoja sana masanja

  • @irumvadonciella6960
    @irumvadonciella6960 5 ปีที่แล้ว +177

    Wanao penda hii nyimbo kama mimi wagonge like hapa tujuane!

  • @paulkichele8165
    @paulkichele8165 5 ปีที่แล้ว +27

    Kama utaiangalia 2020 gonga like APA chin⬇️⬇️

  • @selemanjames4697
    @selemanjames4697 3 ปีที่แล้ว +2

    honger mtumishi wa mungu!

  • @idrisafadhili2984
    @idrisafadhili2984 5 ปีที่แล้ว

    Wooooow uyoo ni ye ye yesuuuuu ni ji ji ji Jesus nimeupenda brother bllesed

  • @mikasatv1597
    @mikasatv1597 5 ปีที่แล้ว +144

    uyo ndio masanja mbunifu anatoa kile usicho kifikilia

  • @ismailmaulid1616
    @ismailmaulid1616 5 ปีที่แล้ว +131

    daaa kwel umezaliwa na ubunifuuuu gonga like hapa

    • @protasndunguru7205
      @protasndunguru7205 5 ปีที่แล้ว

      short and clear😂😂😂😂😂😂😂🙏🏽

  • @richardjoseph8213
    @richardjoseph8213 5 ปีที่แล้ว

    Masanja wewe ni baraa katika nyimbo zako zote hii ni komesha nikiisikiliza najisikia vizur na haka kabeet kazuri Sana utafikili watu wa Kenya Mungu akubaliki Sana Kama umebalikiwa sema amina

  • @teodosiakihwili4742
    @teodosiakihwili4742 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama umetabasamu au kucheeeka kama Mimi gonga dole LA like plz

  • @kelvinaron5596
    @kelvinaron5596 4 ปีที่แล้ว +1

    Sikutazama kabla huu wimbo nimetazama Leo ni zaidi ya wimbo pia nizaidi ya filamu so ubunifu mzuri sana MUNGU akubaliki kwa aina ya ubunifu wako injili lazima isonge mbele.

  • @apdavie9370
    @apdavie9370 5 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaaoh Masanja ubarikiweeew

  • @amanmichael1698
    @amanmichael1698 5 ปีที่แล้ว +44

    Kama unamkubari masanja gonga like

  • @estherjoachim9845
    @estherjoachim9845 5 ปีที่แล้ว +4

    Good job ....My God bless you !!! brother Masanja mkandamizaji toka nikujue hujawahi niangusha.

  • @rweenysamuel8146
    @rweenysamuel8146 5 ปีที่แล้ว

    Wanaume wakiwa katika mavazi halis ya kiume.... nimebarikiwa sana na wimbo huu

  • @sundaymziwanda3162
    @sundaymziwanda3162 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa.sanaaaaaaaa

  • @prophetraphasonkelvin9181
    @prophetraphasonkelvin9181 5 ปีที่แล้ว +14

    Hiv kwa nn tusiwe na sinema ya Yesu ya Kitanzania, ni wazo tu, after all Yesu hakuwa mzungu alikuwa ni brown

  • @bupivevo
    @bupivevo 5 ปีที่แล้ว +134

    Kama unairudia-rudia hii kui wochi mwanawane gonga like Nikuone (Short and Clear) uwiii hahaha tomaso nimependa naonaaaa....

  • @lokendolokendo3804
    @lokendolokendo3804 4 ปีที่แล้ว +2

    Kupitia wimbo huu nimejifuza mengi sana ubarikiwe sana

  • @angelherman5464
    @angelherman5464 5 ปีที่แล้ว

    Mungu aliejuu azid kukuinua zaid maana nimeamin Mungu anakutumia sawasawa barkiwa sana short And clear

  • @dianajoseph8187
    @dianajoseph8187 5 ปีที่แล้ว +4

    Ulieangalia kwa kurudia gonga like

  • @ismailmaulid1616
    @ismailmaulid1616 5 ปีที่แล้ว +14

    je ni halali kuangalia huu wimbo mara kumi SHORT AND CLEAR

    • @liliansimon8736
      @liliansimon8736 5 ปีที่แล้ว

      de mau TV Hahahahhahahha

    • @salmamaulid6961
      @salmamaulid6961 5 ปีที่แล้ว

      de mau TV mi mwenyewe kila nikipata MB nauangalia

  • @albinishirima6981
    @albinishirima6981 5 ปีที่แล้ว

    Aise huu wimbo mzuri sana yan unafuraisha na ina ujumbe mzuri ndani yake nice song

  • @joeljeremiah4899
    @joeljeremiah4899 5 ปีที่แล้ว

    Gonga likeeeeee jmn nmeipenda sana hii video

  • @mwombekikatabalo9046
    @mwombekikatabalo9046 5 ปีที่แล้ว +52

    All of you who are watching this video be blessed and inspired
    Thanks masanja be blessed bro

    • @leoniabeda2711
      @leoniabeda2711 5 ปีที่แล้ว +1

      Aamen mtumishi maneno ulioyoyatumia nimeyaelewa saaaana

  • @mwanadamtz1298
    @mwanadamtz1298 5 ปีที่แล้ว +116

    Haaaaaa haaaaaa oyaaa wee Anae mkubali huyu jamaa agonge like hapa

  • @peternjelutv1273
    @peternjelutv1273 5 ปีที่แล้ว

    Naam,,,, chezakigalatia, au kiyaudi short and clear, basi kiyunani, nauzidi mtumwa wa Bwana.🇹🇿

  • @prodwemanho3622
    @prodwemanho3622 3 ปีที่แล้ว

    SHORT & CLEAR NICE ONE LIKE TULIA TULIA KWA BWANA..........GONGA LIKE KAMA UMEGUSWA KAMA MIM

  • @nelsonshukran2917
    @nelsonshukran2917 5 ปีที่แล้ว +42

    Lakini masanja akili zako Mungu ndio anazijia mwenyeweeee aiseee stay blessed broo

  • @jenny20254
    @jenny20254 5 ปีที่แล้ว +44

    Short and clear kweli . Likes basi ili twende sawa

  • @isackmwasongwe
    @isackmwasongwe 5 ปีที่แล้ว

    Huwa nakuelewa sana street pastor Masanja hongera kwa guwimbo guzuri mwanawane ubunifu wako umejitofautisha sana

  • @zuberinyenzi1982
    @zuberinyenzi1982 3 ปีที่แล้ว

    Nikajua mapigo ya Mr ong'eng'o 👏👏👏👏👏👏 safi sana

  • @lwitikophilipopelela1891
    @lwitikophilipopelela1891 5 ปีที่แล้ว +14

    Eeeh Mwenyezi Mungu tujalie vinywa visivyo na maneno mengi Kama Bwana wetu Yesu kristo.... yaani Short and clear... Asante mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya

  • @patricklary8239
    @patricklary8239 5 ปีที่แล้ว +65

    Nategemea kuona viewers 5M na zaidi

    • @pendosammy5984
      @pendosammy5984 5 ปีที่แล้ว +1

      nyimbo iko tamu atafikisha

  • @jamalnaeem9569
    @jamalnaeem9569 5 ปีที่แล้ว

    Dini ya kikiristo ni nzuri sana kwa kufanyia biashara.

  • @professorshab3142
    @professorshab3142 5 ปีที่แล้ว

    Hakika masanja umefanya ubunifu mkubwa. Hongera Sana Mungu azidi kukuinua

  • @eliudniyongabo8396
    @eliudniyongabo8396 5 ปีที่แล้ว +10

    Uliimba yimbo nyingi tena nzuri ila huu nikiboko yao ....... barikiwa sana Mtumishi wa Mungu. Ujumbe huu umefika 🙏

  • @almabenson4136
    @almabenson4136 5 ปีที่แล้ว +9

    Nyimbo hii unaweza ikakushikia dhamana polisi,n mahakaman
    Yote kwa yote nyimbo nzuri Sana m bunifu sana wee mtu

  • @monicamuando5007
    @monicamuando5007 4 ปีที่แล้ว

    Jamani Mungu akubariki Emanuel nimeuona Leo tu nakujihisi kama nakumbuka kitu flani cha zamani

  • @geofreysolomon8532
    @geofreysolomon8532 5 ปีที่แล้ว

    Hii ndo nyimbo ya masanja bora kabisa kuwahi kutengeneza. Hongera sana

  • @sammarcus2075
    @sammarcus2075 5 ปีที่แล้ว +43

    Tunahitaji vitu kama hivi katika tasnia ya Mziki wa Injili🙏Saafi kabisa Masanja God Bless You🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  5 ปีที่แล้ว

      Sam Marcus Asante Sana

    • @modesterandrew6865
      @modesterandrew6865 5 ปีที่แล้ว

      Mbarikiwe kazi yenu ni njema

    • @nuhumkeya8256
      @nuhumkeya8256 5 ปีที่แล้ว

      masanja umetisha hii niite tz one kwa jina la yesu

  • @joelekiru7970
    @joelekiru7970 5 ปีที่แล้ว +6

    I am in Kenya I have appreciate it. Be blessed brother.

  • @ithurttolovesomeone
    @ithurttolovesomeone 5 ปีที่แล้ว

    Hii kweli #masanja ni injili mpya kwa kizazi kipya nime barikiwa na nime Cheka nilikuwa na stress nyingi

  • @peterphilips270
    @peterphilips270 5 ปีที่แล้ว

    we masanja japo wimbo umenibariki ila nimekuwa nikicheka kuanzia mwanzo wa wimbo mpaka mwisho nimekuelewa nivile tu nawe unielewe short and clear.we bonge la mbunifuu barikiwaaaaaaaa shoti endee kiliaaa.

  • @emanuelmarko8433
    @emanuelmarko8433 5 ปีที่แล้ว +76

    Daaaaah bonge la song. Miaka kama yote nakuelewa sana.hapa nacheza kigalatia,. Kiyaudi, na kiyunani

  • @kelvinmpinga5703
    @kelvinmpinga5703 5 ปีที่แล้ว +10

    Dah Ila Nakuelewa sana, unaisambaza Injili kwa aina yake kabisa. Mungu na akuinue.

  • @doublelifetv4699
    @doublelifetv4699 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee huu wimbo mie niliuona tu,,, nikajua nomaa. ...umeua sana masanja, ,, gonga like twende zetu

  • @dianagat9694
    @dianagat9694 5 ปีที่แล้ว +1

    😚😃😃Mungu akubariki sanaaa.

  • @fidesbenard2701
    @fidesbenard2701 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamani masanja.. iyo biti ya kijaluo😁😁

    • @jaelnalindi7488
      @jaelnalindi7488 5 ปีที่แล้ว

      Jama,jama! katitu za kiluo kabisaaa
      Short and clear.

  • @m.biangwamalenso3291
    @m.biangwamalenso3291 5 ปีที่แล้ว +8

    I love this song i will be waiting for the full movie
    who else thinks this should be a movie 🙌🙋 😍😍😍😍😍😍

  • @byokokika710
    @byokokika710 5 ปีที่แล้ว +1

    Unaticha sana wangu ubarikiwe

  • @edwimtibenda2725
    @edwimtibenda2725 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mtumishi wa Mungu zidi kunyenyekea chini ya mkono wa Bwana atakupeleka viwango vingine vya juu na kukupa mafunuo mapya ya kujenga ufarume wa mbingun ubarikiwe

  • @barakamathayo3430
    @barakamathayo3430 5 ปีที่แล้ว +6

    Hiyo cheza kigalatia imeniacha hoi sana BE BLESSED MASANJA

  • @mnomahboybright4743
    @mnomahboybright4743 5 ปีที่แล้ว +4

    mh Allah wondoe waja wako katka ukafiri

    • @anthonymuhando826
      @anthonymuhando826 5 ปีที่แล้ว

      Umeonaaa

    • @florakabado3543
      @florakabado3543 4 ปีที่แล้ว

      Wewe achana na sisi,beba mzingo yako mwenyewe

    • @roseibrahim6653
      @roseibrahim6653 4 ปีที่แล้ว

      Tulia wewe Mungu hafundishwi kazi na mwanadamu,kafiri unamuona wewe ila Kwa Mungu ni mtumishi wake na anamuheshimu.

    • @teresiaraurent3803
      @teresiaraurent3803 3 ปีที่แล้ว

      Amina

  • @ombeniambrosykalenga811
    @ombeniambrosykalenga811 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo unazozitoa mgaya hua sichoki kuzisikiliza, ubarikiwe zaidi ndugu

  • @jumamakori9936
    @jumamakori9936 5 ปีที่แล้ว +9

    Mzeee umetish bonge la bit nimelipenda

  • @kalundemedia242
    @kalundemedia242 5 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweli Ngosha, unatumia akili pana sana kutengeneza kazi zako. Karibu sana Magu-Mwanza

  • @consolatamedard1432
    @consolatamedard1432 5 ปีที่แล้ว

    Waoooh nyimbo nzur izonguo tu mmeniacha hoi Mm

  • @harrywarren61
    @harrywarren61 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana masanja nyimbo ya ubunifu na kuitangaza injili video nzuri sana kabisa ya uwalisia kweri kipaji chako kizuri sana

  • @kinyamagohaamelye9466
    @kinyamagohaamelye9466 5 ปีที่แล้ว +5

    Huu wimbo ni zaidi ya ubunifu!
    Endelea kubarikiwa pastor

  • @msambyajohnlwango7491
    @msambyajohnlwango7491 5 ปีที่แล้ว +3

    Powa sana mchungaji

  • @paschalmasanja1483
    @paschalmasanja1483 5 ปีที่แล้ว

    Haya bana uwepo wa Mungu ndani yako unaanza kuonekana

  • @saidsaid4548
    @saidsaid4548 5 ปีที่แล้ว

    Jamaa anajitahidi kutafuta pesa za wasio jijua zinaingia mfukoni mwake ..hongera kwa ubunifu wa kurafuata pesa

  • @Mhepe
    @Mhepe 5 ปีที่แล้ว +8

    Umeitendea haki kaka.....hongera pia kwa director onessimo

  • @emmanuelmasoko1013
    @emmanuelmasoko1013 5 ปีที่แล้ว +3

    Haya wajina, mungu akubariki bro, kwa kazi nzuri hakika ujumbe umefika

  • @jaysureson_og3708
    @jaysureson_og3708 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mtumishi nimefurahishwa kile Mungu ameweka ndani yako,safi sana

  • @sylvesteraspenas847
    @sylvesteraspenas847 5 ปีที่แล้ว

    Nakupongeza San Kaka mungu akujarie zaid umebuni kitu kizur San hongera san

  • @Pastorlenhardkyamba
    @Pastorlenhardkyamba 5 ปีที่แล้ว +7

    Daaaaah jaman Bro. Masanja aiseee kazi njema sana😂😂😂😂.
    **KUBALI TU**

  • @johnfikiri2171
    @johnfikiri2171 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimependa yaan umechukua uhakisia kabisa, barikiwa sana kaka Masanja, INJILI LAZIMA IHUBIRIWE, na wataelewa tu

  • @leahglory3183
    @leahglory3183 5 ปีที่แล้ว

    Its so nice Song Nmeuelewa huu wimbo

  • @amosemmanuel9947
    @amosemmanuel9947 5 ปีที่แล้ว +46

    😘😘😘 i love this song short and clear

  • @alfredzunda4655
    @alfredzunda4655 5 ปีที่แล้ว +10

    Hahahaaaa! Step ya kiyunani sijaona mtumishi. Ubarikiwe sana mtu wa Mungu kwa ujumbe huu wa injili.

    • @JoseJose-ww3mn
      @JoseJose-ww3mn 5 ปีที่แล้ว

      Masanja noma

    • @hasinamohammed6469
      @hasinamohammed6469 5 ปีที่แล้ว

      Yani nguo za kiislam. Na vilemba kumbe muonekano uislam toka enzi na enzi.mabadiliko yamekuja nyuma tu

  • @issackkizeze4208
    @issackkizeze4208 2 ปีที่แล้ว

    Sante kwa ujumbe mzuri short the clear

  • @lameckgeophley3379
    @lameckgeophley3379 5 ปีที่แล้ว

    hahahaaa kaka Emmanuel mungu akubariki sana short and.......

  • @rosekihanga3905
    @rosekihanga3905 5 ปีที่แล้ว +23

    Wangapi wamekuja kuona nyimbo baada ya kuona mavazi tu...??

  • @crislubris1727
    @crislubris1727 5 ปีที่แล้ว +10

    god bless you brother i can't stop listening this song short and clear from united states

  • @seifsharrif4461
    @seifsharrif4461 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kaka Masanja njoo Zanzibar jamani nimekupenda bureeeee utanifanya niokoke jamani

  • @angelcute4584
    @angelcute4584 3 ปีที่แล้ว

    Haya ndo maneno masanja achana na hbr za mkoa Kwa mkoa

  • @tamaryissalah3326
    @tamaryissalah3326 5 ปีที่แล้ว +3

    Stay on Bless Pastor Masanja.
    Nakukubali

  • @daviepaul4480
    @daviepaul4480 5 ปีที่แล้ว +14

    Short and clear

  • @josephmpiluka6381
    @josephmpiluka6381 5 ปีที่แล้ว

    Nasikiliza zaidi yamara moja asante

  • @thobiasjust7620
    @thobiasjust7620 5 ปีที่แล้ว

    Napenda sana hii nyimbo, barikiwa mtumishi.

  • @abdulimlula
    @abdulimlula 5 ปีที่แล้ว +4

    Big up sana brother #mgayaemanueli you are so creative and you will always remain on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @denisnyalus1419
    @denisnyalus1419 5 ปีที่แล้ว +6

    Nyimbo ya 1878 naiskiliza today 2019 mwanawane

  • @janetsaidi8272
    @janetsaidi8272 5 ปีที่แล้ว

    short and clear wow nice song masanja mungu akubariki

  • @barakambwilo4602
    @barakambwilo4602 5 ปีที่แล้ว

    duuuu mungu akubariki sana wala sikutegemea (umetufundisha sana)

  • @levinamuhonge6573
    @levinamuhonge6573 5 ปีที่แล้ว +9

    Wow wow wow! Short an Clear
    Glory an Honour to u Jesus

  • @abunerimjasiriamaliwamwang6171
    @abunerimjasiriamaliwamwang6171 5 ปีที่แล้ว +11

    ka wimbo kazuri
    kana vionjo vya old is gold
    kamejaa ubunifu
    BIG UP STREET PASTORS

    • @joycekidulile5546
      @joycekidulile5546 5 ปีที่แล้ว

      Kuimba ni Ibada hongera sana Mungu azidi kukufanya uwe kioo cha jamii Masanja!

    • @nicegabriel1541
      @nicegabriel1541 5 ปีที่แล้ว

      Yn kweli kila mtu ana karama yake mungu akupe atua nyingine

  • @loseriansammy1911
    @loseriansammy1911 5 ปีที่แล้ว

    Masnja sio kwa kipaji hiko barikiwa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Andy_tz
    @Andy_tz 5 ปีที่แล้ว

    aisee Masanya yaani unazidi kumuaibisha shetani . safi sana MUNGU ndio anakuongoka maana kazi unazofanya sio kwa uwezo wako . na mwanadamu yeyote pasipo mungu haiwezi hio kazi .