“MKE WANGU KASOMBWA NA JIRANI YANGU, AMENIACHA NA MTOTO MDOGO” MUME ASIMULIA MAFURIKO DAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 273

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 8 หลายเดือนก่อน +40

    Huyu kaka mnamhujo tu lakini yupo confused saana jamani.Mungu amtie nguvu

    • @ahz6907
      @ahz6907 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli hata anavyoongea inaonekana hayupo sawa kiakili.

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 8 หลายเดือนก่อน +5

    Pole ndg yetu, Mwenyezi Mungu akutie nguvu ktk🎉 kipindi hiki kigumu.

  • @mandojohn8683
    @mandojohn8683 8 หลายเดือนก่อน +17

    Nmeshikwa na huruma sana. Mungu msaidie huyu ndugu yetu. Mambo yaliyomkuta yanaumiza sana

  • @zuanshimchina2278
    @zuanshimchina2278 8 หลายเดือนก่อน +25

    Dunia nzima Kun maasi ila nazungumzia Tanzania jmn wazazi walezi wasimamizi viongozi rais serikali kwa ujumla turudi katika mila za hekima na ustaarabu na heshima na kumuabudu Allah ila tunapokwenda ni kiama kubali kataa

    • @miriamnyakunga624
      @miriamnyakunga624 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabsa tumehama kabsa tunasema tunaenda na kasi ya dunia tunapotea sana

    • @zuanshimchina2278
      @zuanshimchina2278 8 หลายเดือนก่อน

      @@miriamnyakunga624 kweli hususan kwa wanawake unajua nn kuhusu wanawake

    • @sihabaaly287
      @sihabaaly287 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi nakubali Allah atusameh

    • @zuanshimchina2278
      @zuanshimchina2278 8 หลายเดือนก่อน

      @@sihabaaly287 utaniambia wanawake mnafele wapi mpk tabia zinabadilika

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 8 หลายเดือนก่อน

      Tupopamoja kwahilo

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alikufuru juzi kati. Sasa hayo mafuriko yamefika!!! Mungu hadhihakiwi! Poleni sana waathirika na wahanga wa mafuriko.

  • @norahmajaliwa3841
    @norahmajaliwa3841 8 หลายเดือนก่อน +2

    Poleni sana, Mungu awafariji. Roho zao marehemu wastarehe kwa amani. Amina

  • @robertnkaragano298
    @robertnkaragano298 8 หลายเดือนก่อน +3

    Dah!! Pole sana jamaa angu Mungu atie nguvu!!

  • @pendobaharia5598
    @pendobaharia5598 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole baba

  • @rosenaheka5137
    @rosenaheka5137 8 หลายเดือนก่อน +6

    Pole sana kaka Yani Mungu akufariji sana.

  • @AshaVitalis-w8w
    @AshaVitalis-w8w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ila nyinyi waandishi huyo kaka maskini hayupo sawa mnaenda kumuhoji ipo siku mtakuja kuchinjwa nyie 😢😢

  • @IbrahimMohamed-c3c
    @IbrahimMohamed-c3c 8 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana kaka Milard weka namba tumchangie😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 หลายเดือนก่อน

    Subuhanallah. Pole kaka Allah akupesubra. Ghafuatu jamani pole

  • @hostkayava6768
    @hostkayava6768 8 หลายเดือนก่อน +1

    what a sad, very touching ukimxklza bro anazungumza too emotional to the extent km analoose
    hii inaonesha ni jinc gan yupo sad
    pole sana kk mungu akupe nguvu

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wenzetu walipatwa na hali hii sio Wahanga bali ni Waathilika kwa Mafuriko. Muhanga au Wahanga ni waliojitolea wenyewe kupatwa na lolote litakao kuwa tayali aidha kwa maslahi nk. Poleni sana ndugu zetu

  • @PaschaliKigona
    @PaschaliKigona 8 หลายเดือนก่อน +1

    jamani poleni wahanga kutoka mwanza mungu awasaidie

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 8 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo jamaa aliokolewa na mtoto aliyembeba, vinginevyo angejaribu kwenda kumuokoa mkewe, wangepotea wote. Pole sana kwake na wahanga wote waliopoteza wenza, ndugu jamaa na mali zao.

  • @LucyChristine-z4l
    @LucyChristine-z4l 8 หลายเดือนก่อน +2

    Pole shemeji yangu mungu akutie nguvu umepambana sana ila mungu ndie muamuzi wa yote

  • @faridamhunga7548
    @faridamhunga7548 8 หลายเดือนก่อน +1

    Innallilah wainna ilah rajion...pole kaka dah!

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 8 หลายเดือนก่อน +24

    Maskin huyu kaka kachanganyikiwa😢😢

  • @BrightonMbukile
    @BrightonMbukile 8 หลายเดือนก่อน +11

    Jaman maswal ya siwe meng muachen unauliza vitu wakat wamepotea watu

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 8 หลายเดือนก่อน +1

    Innalilah wainnalilah rajiuun! Pole sana Kaka!

  • @OliverGodwinzakaria
    @OliverGodwinzakaria 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman 😢inaumiza inaumiza Sana eeh Mungu wambinguni turehem ,,mtie nguvu huyu kaka

  • @raymondkaria1451
    @raymondkaria1451 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ndg Mungu akutie nguvu wewe pamoja na mwanao

  • @juliusngowi952
    @juliusngowi952 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana masta 😢

  • @janekimani4341
    @janekimani4341 8 หลายเดือนก่อน

    Pole ndugu.tuko nyakati samwisho kifo Kila mahali kimetukondolea macho

  • @hidnakirungi6546
    @hidnakirungi6546 8 หลายเดือนก่อน +2

    Chochote kkkufka mtangulze MUNGU iwe kher au shal, polen sana kwa mtihan!

  • @esterbaraka1164
    @esterbaraka1164 8 หลายเดือนก่อน +9

    😢😢😢 duuuuh huyu kaka anaongea kwa uchungu

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts 8 หลายเดือนก่อน

      Poleni Sana jamani

    • @janedenisi7056
      @janedenisi7056 8 หลายเดือนก่อน

      Sana jamani😢😢😢😢

  • @hassankilengah4786
    @hassankilengah4786 7 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana jamani, hayo maeneo kando ya mto hayafai kwa makazi ya watu ni hatari.

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 8 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akutie nguvu kaka na famili kiujumla

  • @fatumahapesamohamedfatumah4633
    @fatumahapesamohamedfatumah4633 8 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee! Inahuzunisha.Mungu mtie nguvu huyu kaka Yarabb

  • @aproniamasatu5810
    @aproniamasatu5810 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaan pesa walizochangiwa taifa stars wapewe hawa

  • @vickylupemba6055
    @vickylupemba6055 8 หลายเดือนก่อน

    Aibu uandishi wa aina Hii:::Badala ya ‘Mke wangu na jirani yangu wamesombwa na maji’…..sasa wewe unasema….kwa uandishi wako Ina maana…jirani ndio kama ombi mkewe

  • @kibibisafi3331
    @kibibisafi3331 8 หลายเดือนก่อน +3

    Innalillah wainnaillah rajiun Mwenyezi Mungu awawekee mahala pema

  • @RahmaYassinmlaponi
    @RahmaYassinmlaponi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dah bro mungu akupe subra amiina yaraby alamina

  • @RamaRajab-s7s
    @RamaRajab-s7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani kama nyimbo ya diamond yatapitaa😢😢😂😂 kama masihara

  • @AngelAlexandria-j7v
    @AngelAlexandria-j7v 7 หลายเดือนก่อน

    polen sana ndugu zangu mungu awatie nguvu

  • @tusajigwe7491
    @tusajigwe7491 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi kwenye hili

  • @davidoscooper237
    @davidoscooper237 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢dah ukweli dar sio kwetu maskin tuende zetu pwan kweny tambalale

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 8 หลายเดือนก่อน +13

    Mvua hii ya 2024 imeacha majanga sehemu nyingi. Jipe moyo ndugu,pole kumpoteza mpendwa wako

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @beatricemrosso2943
    @beatricemrosso2943 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman pole sana kaka

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni sana😢😢😢😢😢

  • @joshuandallu
    @joshuandallu 8 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana mwanangu mungu akufariji

  • @FaridaOngala
    @FaridaOngala 8 หลายเดือนก่อน

    Pole dear

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 8 หลายเดือนก่อน

    Pole ila kindendemesi ni nini?

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 8 หลายเดือนก่อน +4

    Pole Sana 😢😢😢Ee Mungu tunaomba mvua za Aman

    • @tawsi-yc3nk
      @tawsi-yc3nk 8 หลายเดือนก่อน

      Amiina jaman

  • @peterdamiano6740
    @peterdamiano6740 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi mungu awafanyie wepesi

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka, ina maana mbaka sasa hawajapatikana?

  • @PhilbertSamson
    @PhilbertSamson 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana brother

  • @SaudaAngelo
    @SaudaAngelo 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU MKUBWA POLENI SANA NDUGU ZANGU KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA.

  • @NeemaSaidi-l6v
    @NeemaSaidi-l6v 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @immabahatiimmabahati2373
    @immabahatiimmabahati2373 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ndugu yangu ase mwenyezi mungu akutie nguvu broo

  • @issaibrahim8796
    @issaibrahim8796 8 หลายเดือนก่อน +2

    InnaLilah wainna Illey Raji'un

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daah pole sana kaka Allah akutie nguvu

  • @hamisishabani8864
    @hamisishabani8864 8 หลายเดือนก่อน +3

    Poleni sana ndugu zetu😢😢😢

  • @FatmaHalfan-w3l
    @FatmaHalfan-w3l 8 หลายเดือนก่อน

    Lakini mbona bado yupo hapo tu hafanyi juhudi yoyote yakumtsmafuta mkewe

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ndo wakat wao umefika Mungu akupe nguvu we kaka

  • @YavuziiKarassu
    @YavuziiKarassu 8 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana wapenda

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 8 หลายเดือนก่อน +2

    innalillahi wainnaillahi rajioun

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 8 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah poleniiii ndugu zetu😢😢

  • @user-ne7gd9pe8n
    @user-ne7gd9pe8n 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana Allah anamakusudio yake

  • @walterkweka787
    @walterkweka787 8 หลายเดือนก่อน +1

    GOD HAVE MERCY

  • @MachakuMachaku
    @MachakuMachaku 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana mzee

  • @MHDFURNITURE-jn2rx
    @MHDFURNITURE-jn2rx 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 8 หลายเดือนก่อน +3

    Allah nimkubwa akupe moyo wa subra

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 8 หลายเดือนก่อน

    Du too pain unaona mwenzako anaondoka kabisa inauma sana.

  • @NghwaniNkwabi
    @NghwaniNkwabi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana sana jamani😢

  • @edsongamuga7375
    @edsongamuga7375 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana ndugu 😢

  • @mwansasujonny3536
    @mwansasujonny3536 8 หลายเดือนก่อน

    Daah... Sikia tu kwa mwenzako...

  • @luhindakanige2987
    @luhindakanige2987 8 หลายเดือนก่อน

    Pole kaka

  • @YousraSalimMohamad
    @YousraSalimMohamad 4 หลายเดือนก่อน

    Subuaanallah

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kaka doh hatari wallahi 😢😢😢

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 8 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh ni huzuni sana 😢 pole sana

  • @ErckMsandai
    @ErckMsandai 8 หลายเดือนก่อน

    Pole kaka angu jamab😢

  • @Jabu415
    @Jabu415 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inasikitisha sana

  • @frankd1156
    @frankd1156 7 หลายเดือนก่อน

    Saaa basi muwe mnatoa hata number za kuwafikia hawa wahanga ili watu walio guswa wasaidie...kumpa mtu pole hasaidii chochote....

  • @RehemaHashimu-b8z
    @RehemaHashimu-b8z 8 หลายเดือนก่อน

    Nimejikuta nalia 😢

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wamechoka mikono pia walishtuka mikono ikaachia😢😢😢😢

  • @johhdesigner8
    @johhdesigner8 8 หลายเดือนก่อน

    Poleee

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu ambipu mungu ni mwongo mtazame vizuli Mii nacheka tu mwongo jaaa

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 8 หลายเดือนก่อน

    Dah polen xna ndg zetu 😭😭😭.

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wangu lini iyo mafuriko

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 8 หลายเดือนก่อน +1

    We mtangazaji matako sana, mtu amepoteza mke wake afu unamuuliza tena kapoteza mali zipi

  • @hendrymsuya7648
    @hendrymsuya7648 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa rehema awape Faraja

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli Japo Kifo Ni Amli Lakini Kinapotokea Kwa Mtu Unaempenda Kinauma Sana Sana Sasa Kama Uyu Waliokwenda Ni Familia Ya Kiuno Chake Waza Kiasi Gani Jamaa Amejawa Mawazo Moyoni Tena Sio Kusikia Wanaenda Akiwa Anawaona Inatakiwa Wapatiwe Watu Wa Saikolojia

  • @isacknyaga104
    @isacknyaga104 8 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @husna34562
    @husna34562 8 หลายเดือนก่อน +2

    Subhanallah 😢

  • @SmilingBirdwingButterfly-yq3he
    @SmilingBirdwingButterfly-yq3he 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu amsaidie jamani ah

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole saana komaa ndio maisha shukuru mungu

  • @IrenMushi
    @IrenMushi 8 หลายเดือนก่อน

    mungu ukupe maisha marefu pole xna kaka

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 8 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana Mungu hawaremu

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 8 หลายเดือนก่อน +3

    Serikali inabidi ifanye maamuzi magumu ya kuwaondoa watu wote mabondeni. Sheria za Nchi zipo wazi kuwa HATURUHUSIWI kujenga sehemu hatarishi ikiwemo mabondeni. Tuache siasa tuokoe maisha.

    • @mwanaishajumamnauye7776
      @mwanaishajumamnauye7776 8 หลายเดือนก่อน

      Unauhakika haya mafuriko ni ya watu wa mabondeni

    • @ahz6907
      @ahz6907 8 หลายเดือนก่อน

      Hao sio wabondeni.
      Wapo karibu na pembezoni mwa mto.
      Maji ni mengi sana.
      Hata town maji hujaa sana mvua zikiwa kubwa.

  • @allyabdi4345
    @allyabdi4345 8 หลายเดือนก่อน +2

    Inna lillah wainnailaih raajiuun.

  • @EmmanuelSulusi-xw6lv
    @EmmanuelSulusi-xw6lv 8 หลายเดือนก่อน

    Pole broo

  • @hajially4527
    @hajially4527 5 หลายเดือนก่อน

    Kiama kimefika sasa dunia nzima kila sehemu miji imejaa maji dubai, zaidi ya miji mitatu , kenya miji mitatu Tanzania daresalama, mwanza ,mbeya milima imeporomoka tope limesomba majumba

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 8 หลายเดือนก่อน +3

    Pole ndugu mungu yupo nawe vumilia ndio mitihani ya mungu

  • @tukuswigaikasu5227
    @tukuswigaikasu5227 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwee poleni sana😢

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv 8 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana kaka😢😢😢😢

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 8 หลายเดือนก่อน

    Subhannallah subhannallah jamani naogopa .mimi sehemu kama hiyo sikai bora niende nje ya mji

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kijana mwenzangu

  • @kiletepokela4301
    @kiletepokela4301 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa broh unaulizia vitu tena wakati kuna watu wamepotea hapo