Kanuni Muhimu Ya Ushindi (The Offensive Principle)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @winniemlay8883
    @winniemlay8883 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaaani kupitia wewe nimefungua duka la nguo kwa mtaji kidogo nlokuwa nao na umenipa moyo wa udhubutu,,,,, na nikishawekeza vizur dukani,,,,nataka kufungua taasisi yangu bro thank you my mentor yaaan nkiamka asubuh kila cku lazma nikuskilize thank you

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 5 ปีที่แล้ว +11

    Umenifanya niwe mtu mwingine kabisa through ur knowledge much respect

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Wow what a comment.Nafurhai sana kusikia hivyo,tuendelee kushare na nwajifunze pia

    • @ckosmah21
      @ckosmah21 5 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka sawasawa kka🙏

  • @emmanuelgeorge6938
    @emmanuelgeorge6938 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante Bro Joeli.daah.umenitoa mahali kaka ni kweli mm ni muasilika wa kuogpa kupoteza.na kutojiamini.asante sn

  • @ezekielbukha786
    @ezekielbukha786 5 ปีที่แล้ว +11

    Ahsante bro mi Leo nimeamua kufanya biashar, zaman nilikuw naogop kupata hasar

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Hongera sana Ezekiel,naamini utaendelea kutuhabarisha matokeo unayoendelea kuyapata

  • @alihassanhaiba6937
    @alihassanhaiba6937 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana , mm nipo kwenye point ya tatu live to win, nategemea kwenda India kusoma mwezi wa Tisa mwaka huu ada karibia million 10 per year ,lakin najua nikimaliza kusoma pesa itarudi na nitakua the great like Alexander

  • @emanuelmushi6878
    @emanuelmushi6878 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa nimesoma historia ya alexnda ;nikajifunza kitu; asante kwa somo zuri:

  • @adrianondondeye3001
    @adrianondondeye3001 5 ปีที่แล้ว +2

    Kipawa chako ni NURU katika mafanikio ya walio wengi wanao kusikiliza.
    Asante sana nakuombea maisha kama yooote kaka Joel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana Adriano nashukuru kusikia hivyo

  • @AlexJefwa
    @AlexJefwa 20 วันที่ผ่านมา

    Shukurani Sana coach Joel nimejifunza kitu mungu akulinde 🎉🎉🎉

  • @richardvalson9868
    @richardvalson9868 5 ปีที่แล้ว +9

    Thankfully brother NANAUKA nilisema ulipo nipo siku zote 🤝🤝🤝

  • @Aggie8feb
    @Aggie8feb 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana
    Kuanza bila woga wa kutopata, bila kujali najuana na nani, kuendeleza nilichokifanya jana

  • @makoyensolo4730
    @makoyensolo4730 5 ปีที่แล้ว +7

    *sitosubiri vitu viwe vingi especially mimi ni students" AM MOTIVATED. asante sana #Joel_Nanauka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Kabisa.Hongera kwa kufanya hayo maamuzi

  • @christinen8291
    @christinen8291 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana baba.
    Tunakupenda sana Denmark

  • @fastonngatulile6628
    @fastonngatulile6628 3 ปีที่แล้ว

    Asante ndugu joeri MUNGU akuzidishie

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +3

    Shukraan brother barikiwa sana 👏👏

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 ปีที่แล้ว +2

    taking a step this is challenge for me and many people because of fear. thank you for sharing i can take a steps now🙏🙏

  • @biubwaahmadi40
    @biubwaahmadi40 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka Joel kwa leo. Nnachotakiwa kufanya ni kujenga siku katika mafanikio yangu ya jana. Ubarikiwe.

  • @footballdetailsonly4674
    @footballdetailsonly4674 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali mzee baba, point kubwa

  • @glorykoka6437
    @glorykoka6437 4 ปีที่แล้ว

    Mimi namshukuru Mungu hakika naamini sitabaki kama nilivyo kua kupitia masomo yako naenda kuwa viwango vingine .....Mungu wambinguni akubariki sana kaka

  • @charlzzesonconsciousness6685
    @charlzzesonconsciousness6685 5 ปีที่แล้ว +3

    🙏 🙏 Thanks brother somo kubwa sana ili.....#The journey of thousands miles begins with a collection of single steps.

  • @godfreymatata1831
    @godfreymatata1831 5 ปีที่แล้ว +2

    Much great brother,!!! .thanks much be you inspire me sooooooo much

  • @tabithaerastoshukrani.90
    @tabithaerastoshukrani.90 5 ปีที่แล้ว

    Ushindi upo, Nakushindwa niushindi ulioahirishwa. Asante sana, bro

  • @aineadavddy7530
    @aineadavddy7530 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubark sana
    Mr Joel kwa mafundisho
    Yako Mara nying wa2 2mekua Ni wa2
    Wakutaka faida2 nakuogopa rose
    Maisha yanataka ujasir ubarikwe sana

  • @ellicefferabsalom3068
    @ellicefferabsalom3068 5 ปีที่แล้ว

    asante sana kwa speech nzuri ,,,,,usisubiri kuwa na Vingi by elisipha

  • @leonardnkwera4908
    @leonardnkwera4908 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante Joel. Nitahitaji kukupa experience yangu mwishoni mwa mwaka huu, ili ukawafikishie na wengine. Najua una means kubwa ya kuwafikia vijana wengi sana.
    See you at the Top.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Dah,naisubiri kwa hamu sanaaaaa

    • @yusufushillah4192
      @yusufushillah4192 3 ปีที่แล้ว

      Naam nnaanza kuchukuwa hatuwa na hiki kidogo shukuran brother

  • @johansenjackson960
    @johansenjackson960 4 ปีที่แล้ว

    Asante bro somo nzur ubalkiwe🙏🙏

  • @lucyjuma8478
    @lucyjuma8478 2 ปีที่แล้ว

    Nakuerewa Sanaaaa Kakaangu 🙏🙏Na Mwenyezi Mungu Akuinue Zaidi Umenifanya Niwe Mtu Wakujiamini Sanaaaa 🙏❤️🤲

  • @patmosatmove7873
    @patmosatmove7873 5 ปีที่แล้ว +2

    Wauuh good teach!immediate act on a thought,that is a challenge for me

  • @lauchungulau9255
    @lauchungulau9255 5 ปีที่แล้ว +3

    Teacher Joel aki maneno yako ananipa guvu na matumaini Mkubwa mungu akubariki Sana teacher

  • @deezg5310
    @deezg5310 5 ปีที่แล้ว +4

    Daaah broo siku hiz nimekuwa tofauti Sana nafanya mambo mengi makubwa, nikiwaza kufanya Jambo nafanya bila kusita najikuja mtu mwingne na mwenye furaha Sana ... thanks San broo

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Dah,hii ni habari njema sana.Naamini utaenedlea kuwa mtu bora zaidi bila kurudi nyuma kabisa.

  • @medsonstarlon0805
    @medsonstarlon0805 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kaka Joel nanauka,,,

  • @wiseentertainment7210
    @wiseentertainment7210 5 ปีที่แล้ว +1

    point ambayo naanza kuifanyia kazi leo na ambayo imenisaidia sana "usisubiri kuwa na vingi" asante Joel

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Kabisa.Anza na ulichonacho mara moja

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu 👐

  • @msleny6767
    @msleny6767 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa video hii leo kaka Joel
    Kanuni ninachotekeleza ni kujenga hatua zangu za kwanza kila siku na kuamini katika yale ninacho, yatosha kujenga malengo yangu👌
    Mungu na akubariki🙏

  • @meshackngadango6855
    @meshackngadango6855 5 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kwa nasaha nzuri
    Im proud of u

  • @Lelojr
    @Lelojr 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mr Joel kusema ukweli hatua ya kuwa na hofu na hatua ya mwisho ya consistent hiyo vinanisumbua sana kuvikabili

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 5 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri Sana coach Joel nimejifunza 🙏🙏

  • @uwimananadia6066
    @uwimananadia6066 4 ปีที่แล้ว

    🙏🇧🇮misi yose mbanza gushima ntarunva reka nunve!

  • @fidiuskalekezi2049
    @fidiuskalekezi2049 5 ปีที่แล้ว

    I think Sir.Nanauka u was born to make me change and became successful person in my life.nimebadilika sn kwa muda mfupi nimekaa kwny ajira for 7 yrs bila kufanya mambo makubwa lkn nina almost 7months now following u nimebadilika sasa na kuanza kufanya mambo nakuishi kwa furaha zaidi ya miaka yote saba kazini

  • @alexmichael8735
    @alexmichael8735 5 ปีที่แล้ว +1

    nataman sana vijana wa nchi hii wote wangependa kusikiliza na kusoma vitabu vya hamasa wangenufaika sana

  • @patrickemmanuelemmanuel9354
    @patrickemmanuelemmanuel9354 5 ปีที่แล้ว

    uishi daima uzidi kupanda mbegu bora ktk mioyo yetu iliyokata tamaa ya maisha nitaanza na kidogo nilicho nacho

  • @richardvalson9868
    @richardvalson9868 5 ปีที่แล้ว +2

    Especially number tatu imenigusa sana na nitaanza kuifanyia kazi thanks brother NANAUKA 🤝🤝ulipo nipo

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Safi sana.Usichelewe anza mapema kabisaa

  • @jamalshamte4764
    @jamalshamte4764 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana, ni topic nzuri sana.

  • @queenmwashilindi6388
    @queenmwashilindi6388 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzur sana kaka

  • @irenembilinyi4628
    @irenembilinyi4628 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana Joel, nimekueleea sanaaaaa

  • @hussenilupepo3939
    @hussenilupepo3939 5 ปีที่แล้ว +2

    duh kaka iyo namba 1 inanitafuna saana mimi iyo ya take the steps duh hiyo inanisumbua ile mbaya

  • @shadrackmchele8312
    @shadrackmchele8312 5 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu ndani yako mkuu safi sana hakika nakuelewa sana

  • @تةامممن
    @تةامممن 2 ปีที่แล้ว

    Kabisa 💯💯💯💯💣🙏🤲🤝

  • @mwajumamwishehe3423
    @mwajumamwishehe3423 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka mungu awe pamoja nawe

  • @joelingoroka38
    @joelingoroka38 5 ปีที่แล้ว

    Napenda xan mafundishoyako kaka ..mungu akubark san

  • @ngaboraymond260
    @ngaboraymond260 5 ปีที่แล้ว

    Asante Kaka Mungu akubariki we Mtu wa akili sana

  • @restitutamrosso6982
    @restitutamrosso6982 5 ปีที่แล้ว

    ilo la nne lilikua linanitesa sana ila mwisho now. thax much mentor

  • @rchrismbarikiwa
    @rchrismbarikiwa 5 ปีที่แล้ว +1

    May God keep u and give u wisdom that what I can say for today umeinua Imani yangu sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Ameen,so glad kusikia hivyo.

  • @Usawa_phonetech
    @Usawa_phonetech 5 ปีที่แล้ว +1

    Utabaki juu

  • @rachelmwaki7454
    @rachelmwaki7454 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks be blessed

  • @astonelieza8375
    @astonelieza8375 5 ปีที่แล้ว +1

    I real appreciate you Nanauka

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 ปีที่แล้ว

    Ujumbe umeshiba sana Ahsante

  • @lucydaniel3456
    @lucydaniel3456 5 ปีที่แล้ว

    Asante Joel mungu akutunze

  • @sarapaul8382
    @sarapaul8382 2 ปีที่แล้ว

    Thank you joel I really needed this 🙏🏽..be blessed hope next year will be here to testify.

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 5 ปีที่แล้ว +4

    Umenisaidia sana brother nothing to pay you but praying for you...nilikuwa mwoga sana hasa kwa kuona watu watanionaje,what if nikifail

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว +1

      Daha,hili ni jambo kubwa sana na nafurahi sana kusikia hivyo.Ahsante kwa prayers zako,nathamini mnooo

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana KAKA Joel.

  • @meshackmwakajwanga8349
    @meshackmwakajwanga8349 3 ปีที่แล้ว

    Head coach to my life ✨ my way to work

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran my brother

  • @husnahassan3344
    @husnahassan3344 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante bro somo zuri sn

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru sana

  • @lilygereta9669
    @lilygereta9669 5 ปีที่แล้ว +1

    kuondok hofu Na ntaonekanaje,n akukubali sana bro nikiwa Na bando cha kwanza ni wewe kisha mambo mengine hufuata

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 ปีที่แล้ว +1

    nice brooo.😂😂😂😂😁

  • @abdirizakrashid726
    @abdirizakrashid726 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana.

  • @wilsonmaduhu5610
    @wilsonmaduhu5610 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana brother Joel

  • @peterjeremiah8287
    @peterjeremiah8287 5 ปีที่แล้ว

    Good bro!,Niko pamoja na wewe saaana tu!

  • @jeremiamussa7910
    @jeremiamussa7910 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana

  • @marianacharles2194
    @marianacharles2194 5 ปีที่แล้ว

    Kila cku huwa unanipa moyo wa kusonga mbele Mungu akubaliki sana

  • @helmanmamai3709
    @helmanmamai3709 5 ปีที่แล้ว

    mungu akubarik kaka Joel

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka

  • @361NEWS
    @361NEWS 5 ปีที่แล้ว

    nilikua naogopa kufanya mambo but kwakua na hofu but mafundsho yako yamenifanya niwe tofaut na kujiamn hakika mpk mwaka ukiisha ntakua nimetekeleza lengo langu kubwa naamn na nnaweza

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks More My Brother Kwa Somo Lako ..

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana tuko pamoja

  • @josephcarlo7591
    @josephcarlo7591 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa mkuu

  • @zainabomar5512
    @zainabomar5512 5 ปีที่แล้ว

    Mung akubariki

  • @ommynails4116
    @ommynails4116 5 ปีที่แล้ว

    asante kaka naendelea kuku fatilia na mm naendelea kusonga mbele

  • @jethomediaproductioncreati1681
    @jethomediaproductioncreati1681 4 ปีที่แล้ว

    big up sana bro
    Namba NNE ndo inanihusu bro

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 5 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana bro

  • @sefaniangoya7862
    @sefaniangoya7862 5 ปีที่แล้ว +1

    Stay blessed bro

  • @douglasradley6698
    @douglasradley6698 5 ปีที่แล้ว +2

    kaka Joel Nanauka kupitia video hii inanipa tena motivation ya kufanya mambo nimejiwekea napaswa kufanikiwa nataka talehe 10 AUGUST 2019 nikuwe na pesa one million kwa ajiri yakucheza michezo ya ulaya kwenye betting ndio ndoto yenye niko nayo na kwa saa nitakuwa nawekeza 2000 na nimepiga hesabu nitatumika 490 hours manake itakuwa 980 000 NAAMINI KAMA ITAWEZEKANA... na nitakushuhudia kama nimefanikiwa

  • @l.fnaturalfoods7232
    @l.fnaturalfoods7232 5 ปีที่แล้ว +2

    Well said brother

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU kaweka kitu ndani yako.( teaching) nakuelewa mno/

  • @jafarichuma7283
    @jafarichuma7283 4 ปีที่แล้ว

    Namba 3

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    Ni mfano Bora

  • @chagucharles5855
    @chagucharles5855 5 ปีที่แล้ว

    Joel napenda speech zako

  • @nivadmatanila7458
    @nivadmatanila7458 5 ปีที่แล้ว

    thanks a lot.

  • @majortv5154
    @majortv5154 5 ปีที่แล้ว

    Mimi hiyo ya kwanza, Naona inanisumbua. Ika nakushukuru pia kwa somo zuri. Barikiwa sana brother Joel

  • @mairarajabu84
    @mairarajabu84 5 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @emmanuelmsengi6920
    @emmanuelmsengi6920 5 ปีที่แล้ว

    Thank you

  • @aronijuma1913
    @aronijuma1913 5 ปีที่แล้ว

    Big up bro
    I see myself at the top

  • @keflentito8052
    @keflentito8052 5 ปีที่แล้ว

    Well noted my broo

  • @fadhilijulius8080
    @fadhilijulius8080 5 ปีที่แล้ว

    Goog

  • @dianamalingumu4516
    @dianamalingumu4516 5 ปีที่แล้ว +2

    Mie siongopi kuanza Huwa nasubutu sijari kama hasara itatokea nasubutu kiukweli

  • @felixeugene7910
    @felixeugene7910 5 ปีที่แล้ว

    Naomba number kaka

  • @hemedimuna1400
    @hemedimuna1400 5 ปีที่แล้ว

    I'm Hemed nipo tandale kázi yangu nï dereva wa boda boda pia ni dereva wa magari makubwa badò nina changamoto nyingi ktk maisha yangu najituma sana lakini sijapata kile ninacho kiitaji sijui nakwama wapi naìtaji msaada wako

  • @sandaliadiwa7738
    @sandaliadiwa7738 2 ปีที่แล้ว

    Yeah

  • @ebenernnko3339
    @ebenernnko3339 5 ปีที่แล้ว

    Asante umenitoa kwenye mln15 mpaka sasa nina mtaji wa mln187 nashukuru sana umenitoa mbali sana

    • @zainabomar5512
      @zainabomar5512 5 ปีที่แล้ว

      Ebener Nnko . Ishu gani hiyo kaka tujuzan

  • @tabithaerastoshukrani.90
    @tabithaerastoshukrani.90 4 ปีที่แล้ว

    Nikujiamin, katka kila unachokifanya.