Public disbelief..kuna wakati mama yangu alipata wakati mgum sana katika kazi..ilikua apoteze kazi kabisa aliendesha kesi kwa muda mrefu tena aliendesha na mtu aliyekua na mamlaka makubwa juu yake..hakuna aliyeamin mama atashinda ile kesi mbaya zaidi hata sisi watoto hatukua upande wake yaan tuliamin mama hawez kushinda kutokana na mamlaka aliyonayo aliyekua akiendesha nae kesi ilaaa sitasahau mama alishinda ile kesi pasipo aina yoyote ya udanganyifu na aliweza kurudi kazin..umenikumbusha mbal sana kaka Joel..Public disbelief..proving others wrong should be our no 1 life rule...💪
Kaka zote nishapitia........ Na naendelea kupitia ila nilichojifunza katika maisha kuna Test nyingi sana kama ilivyo shuleni ukifaulu vizuri unavuka darasa.
Nashukuru Sana Kaka yangu nimekuwa mtu wakukata tamaa kwakuwa nakutana na changamoto za kusemwa vibaya kukatishwa tamaa but nimefuatilia ushauri wako naamini utanisaidia Sana Sana ubarikiwe
Ulijuaje kuzungumzia haya mambo Ndugu Joel....ni kweli kabisa Wakatiniliopo ni kila kitu unacho eleza, hadi nimewai jiuliza mbona hakuna mabadiliko wala chochote tofauti kwa yote ninayo ya tenda? Hadi mawazo yangu ya maswala haya niliyaandika chini katika diary yangu lakini leo nimepata jawabu, mazingira yangu ya njee inieleza tofauti sana na juhudi zangu na hata malengo yangu Naamini kuna sababu kupata ujumbe huu siku ya leo, Mungu na akubariki na akuzidishe maarifa maradufu manake ndoto na pia malengo yangu nitatimiza Naamini👏👏🙏
Wewe ni.mt wa Bwana. ubarikiwe mi napitiaa kwanza. kukatishwa tamaa sana hiyo namshukuru amenisaidia siangaliii mtu pia. kuna maamuzi natakiwa kuchukua lakini nimeshindwa kabisa jinsi ya kuaga mt inaitaji ushauri wako
@@wilsonmushi8307 ok Wilson, ukiwa na kitu au jambo ndani yako naam, wataka kuifanyia maamuzi ila ni ngumu sana. Kwa hakika kila wakati nafsi yetu inatuzungumzia tofauti na moyo wetu, kwa hivyo wakati moyo wako inahitaji kutenda jambo ambalo ni ya thamani tena kubadilisha sehemu ya maisha yako chukua hatua na uitende pundetu unapofikiria ama andika chini katika mpango yako ya kila siku. Utaona baada ya hapo hauna budi kuilenga tena wala kuulizia mtu bali kuitekeleza na kuitenda. Tenda kile unacho hisi ni ngumu kufanya kilasiku. *jiamini*
Mimi naona nmesha pitia karibu vyote na npo napitia my brother ila sichoki kupambana sababu nachokiamini na ww ulisha wahi niamisha kwenye content yako moja kuwa hakuna bnadam anae zaliwa ili aje kuwa mdg so every body have his/her different story in life story yang cwez ku force ifanane naya mtu mwingine ivo yang ni yang na mwingine niya mwingine asante sana ma brother Kwa mawazo yako yenyew kutia nguvu ya kuendelea big salute mungu akulinde sana yaaan.
Nyakati ninayopitia kwa sasa ni Public misbelief, wazazi,ndugu na jamaa hawaniamini ktk kile ninacho kiamini mm,Nina malengo takuja kuwa mfanyabiashara mkubwa sn baadae,wazazi wangu walinipa kianzio cha biashara, nasasa nimepiga nacho hatua kdg,lkn shida yng nataka kuonheza hatuwa nyingine mbele kwani kuna vitu vingi nataka kuvifanya lkn pesa niliyonayo nindogo sn. Nimewaomba waniongezee lkn naona km hawaniamini wanasitasita,wanahisi huenda labda nitakuja kupata hasara.
Pole sana Paschal kwa changamoto ambayo unaipitia.Kumbuka hakuna kitu ambacho huwa kinakuja kwa urahisi kwenye maisha ya mtu yoyote yale.Unachotakiwa kufanya ni kutafuta namna ya kuanza na kidogo ambacho tayari unacho kwa sasa.Nakutakia mafanikio makubwa zaidi.
Asante joel umenipa nguvu tena ya kuanza upya maana nyakati ninayo pitia kwa sasa ni moment of proof lakin kupitia video hii nimepata nguvu zaidi ya kusimamia ndoto yangu
Mimi kwa sasa napitia wakat mgum sana katka biashara yangu kwasababu kunawatu niliwahamini nakuwakopesha ila katka malipo wananichenga kwel na nikiangalia biashara yangu inayumba na sina msaada wa karibu kuiendeleza biashara yangu nimekata tamaa kabisa naomba msaada wako nishauri nifanyeje
Shuklani kaka kwa somo zuli Yani yote uliyo yasema ndio nayapitia sasa Yani Kama unanisema mimi Asante sana umeitia nguvu kwa mala nyengine iPo siku nitashinda tu kwa uwezo wa allwa 🙏🙏Asante kaka mungu akubaliki
Sijawahi comment katika post zako, sikwamba sikuelewagi hapana nakuelewa.lakini Leo nimekuelewa sana sana bro, wewe ni msaada wetu tunao kufuatilia brother. Asante mungu kwa kumuwezesha huyu jamaa.
Huu ujumbe leo umekuja kwa wakati sahihi kuna situation nilikuwa napitia nikahisi kuacha kufanya ila leo Mungu amekutumia kiwatia vijana wengi ngumu ya kuendelea .Ubarikiwe kaka kwa ujumbe wa kutia moyo
Usichoke,bado mapena.Kila unaposhindwa kufanikiwa kama ulivyotaka ni somo kubwa kwako unatakiwa kutafuta njia mbadala.Kukata tamaa ni mwiko kabisa katika maisha ya mtu yoyote yule.
Nashukuru sana.Ni kweli nilipata shambulio kidogo la afya na mafua yakasumbua.Kweli unaijua sauti yangu vizuro.Hongera sana pia kwa kuwa mfuatiliaji mzuri wa masomo yangu
Kaka umenza kunibadili maisha yang tangu nilipoanza kufatilia video zako ila mwanzo nilikuwaga napuuza ila kwa sasa sipendw kupitwa nasomo lako hata moja
Madini fresh Kiongozi thanks Dr. Glory to JESUS
Public disbelief..kuna wakati mama yangu alipata wakati mgum sana katika kazi..ilikua apoteze kazi kabisa aliendesha kesi kwa muda mrefu tena aliendesha na mtu aliyekua na mamlaka makubwa juu yake..hakuna aliyeamin mama atashinda ile kesi mbaya zaidi hata sisi watoto hatukua upande wake yaan tuliamin mama hawez kushinda kutokana na mamlaka aliyonayo aliyekua akiendesha nae kesi ilaaa sitasahau mama alishinda ile kesi pasipo aina yoyote ya udanganyifu na aliweza kurudi kazin..umenikumbusha mbal sana kaka Joel..Public disbelief..proving others wrong should be our no 1 life rule...💪
Hiki kisa kimenigusa sanaa aisee.Kina funzo kubwa sana ndani yake.Mwambie mama Joel Nanauka anamsalimia na kumpongeza sanaa
Kaka zote nishapitia........ Na naendelea kupitia ila nilichojifunza katika maisha kuna Test nyingi sana kama ilivyo shuleni ukifaulu vizuri unavuka darasa.
ester nzumbi #SeeYouAtTheTop
Hakika hizi nyakati zipo ila nilikuwa sijui kuzitambua kwa majina. Asante Joel umenipa somo zuri. Stay blessed
Najisikia fahari sana, kuwa mfatiliaji nguli wa mafunzo yako. Kila siku nakuwa mpya kifkra na kiakili. Mungu akubariki sana.
Adson Fungo #SeeYouAtTheTop
Brother Joel bona unanitowa machozi hakika wewe ni kitu n km unaiyona njia yangu wallah
Asante sana my role model dk Joel nanauka
Kiukweli moment hizo nimepitia kwa machungu sana bila imani unakata tamaa nashukuru kaka unazidi kuniimarisha zaidi kupitia crip zako
Thanks for great important zones..Dr Nanauka u make me strong ...God bless you
Ahsante kwa ushauri wako mzuri
Asante sana Bwana Joel , naendelea kuelimika sana kutoka mafundisho yako
Nashukuru Sana Kaka yangu nimekuwa mtu wakukata tamaa kwakuwa nakutana na changamoto za kusemwa vibaya kukatishwa tamaa but nimefuatilia ushauri wako naamini utanisaidia Sana Sana ubarikiwe
Ulijuaje kuzungumzia haya mambo Ndugu Joel....ni kweli kabisa
Wakatiniliopo ni kila kitu unacho eleza, hadi nimewai jiuliza mbona hakuna mabadiliko wala chochote tofauti kwa yote ninayo ya tenda? Hadi mawazo yangu ya maswala haya niliyaandika chini katika diary yangu lakini leo nimepata jawabu, mazingira yangu ya njee inieleza tofauti sana na juhudi zangu na hata malengo yangu
Naamini kuna sababu kupata ujumbe huu siku ya leo, Mungu na akubariki na akuzidishe maarifa maradufu manake ndoto na pia malengo yangu nitatimiza Naamini👏👏🙏
Hellen Ogego #SeeYouAtTheTop
@@joelnanauka you will, thanks for upload it really renew my bones and restart my motives👍
Wewe ni.mt wa Bwana. ubarikiwe mi napitiaa kwanza. kukatishwa tamaa sana hiyo namshukuru amenisaidia siangaliii mtu pia. kuna maamuzi natakiwa kuchukua lakini nimeshindwa kabisa jinsi ya kuaga mt inaitaji ushauri wako
@@wilsonmushi8307 ok Wilson, ukiwa na kitu au jambo ndani yako naam, wataka kuifanyia maamuzi ila ni ngumu sana. Kwa hakika kila wakati nafsi yetu inatuzungumzia tofauti na moyo wetu, kwa hivyo wakati moyo wako inahitaji kutenda jambo ambalo ni ya thamani tena kubadilisha sehemu ya maisha yako chukua hatua na uitende pundetu unapofikiria ama andika chini katika mpango yako ya kila siku. Utaona baada ya hapo hauna budi kuilenga tena wala kuulizia mtu bali kuitekeleza na kuitenda. Tenda kile unacho hisi ni ngumu kufanya kilasiku.
*jiamini*
Chuo kikuu kinachotembea asante sana
nmepata kitabu chako cha timiza malengo yako ..kimenisaidia sana
Nashukuru sana kusikia hivyo nakutakia mafanikio maubwa zaidi
Asante kwa kunitia moyo nipo kwenye wakati mgumu sana wa biashara yangu ila sikati tamaa.
Pole sana Josephina,naamini utavuka kwa ushindi na utafanikiwa kutimiza malengo uliyonayo kwenye maisha yako.Kila la kheri,usikuabli kukata tamaa
Hapo kwenye moment of proof! Ndio hatua ngumu na kama ukifanikiwa kuivuka basi hata matokeo yatakuja kwa ukubwa
Charlz ze son Consciousness #SeeYouAtTheTop
Asants mwalimu kwa elim nzur
Daaah Ahsante umenisaidia sana
no one like u bro nakukubari from my moyo nimekuwa watofauti kupitia we
Asant sana mwalimu nanauka naendelea kujifunza
chris massawe #SeeYouAtTheTop
Mimi naona nmesha pitia karibu vyote na npo napitia my brother ila sichoki kupambana sababu nachokiamini na ww ulisha wahi niamisha kwenye content yako moja kuwa hakuna bnadam anae zaliwa ili aje kuwa mdg so every body have his/her different story in life story yang cwez ku force ifanane naya mtu mwingine ivo yang ni yang na mwingine niya mwingine asante sana ma brother Kwa mawazo yako yenyew kutia nguvu ya kuendelea big salute mungu akulinde sana yaaan.
Yaani umeelwa sana somo wewe,na naamini kwa msimamo wa namna hii lazima utafika mbali sana.
Thus true kaka Shukran sana Kwa kutufunza mambo mazur na kututia sana moyo na nguvu MUNGU Hakubarik sana teacher Joel.
Ameen nashukuru sana sana
Nyakati ninayopitia kwa sasa ni Public misbelief, wazazi,ndugu na jamaa hawaniamini ktk kile ninacho kiamini mm,Nina malengo takuja kuwa mfanyabiashara mkubwa sn baadae,wazazi wangu walinipa kianzio cha biashara, nasasa nimepiga nacho hatua kdg,lkn shida yng nataka kuonheza hatuwa nyingine mbele kwani kuna vitu vingi nataka kuvifanya lkn pesa niliyonayo nindogo sn.
Nimewaomba waniongezee lkn naona km hawaniamini wanasitasita,wanahisi huenda labda nitakuja kupata hasara.
Pole sana Paschal kwa changamoto ambayo unaipitia.Kumbuka hakuna kitu ambacho huwa kinakuja kwa urahisi kwenye maisha ya mtu yoyote yale.Unachotakiwa kufanya ni kutafuta namna ya kuanza na kidogo ambacho tayari unacho kwa sasa.Nakutakia mafanikio makubwa zaidi.
Kaka kiujumla unanpa nguvu za ziada sana mungu awe nawe zaidi na zaidi
Asante joel umenipa nguvu tena ya kuanza upya maana nyakati ninayo pitia kwa sasa ni moment of proof lakin kupitia video hii nimepata nguvu zaidi ya kusimamia ndoto yangu
Ujumbe umesomeka sana Kaka ndiomana vijana wengi kwasasa hatufanikiwi tunawaza kwenda kubet sababu tunataka mafanikio ya haraka
Maneno Lugendo #SeeYouAtTheTop
Stay blessed my mentor u have changed me a lot!!
Fidius Kalekezi #SeeYouAtTheTop
Mungu akuweke miaka 1000
Unanitiya moyo kaka Mungu akubariki
Unanibariki, Joel napitia wakt Wa moment of proof ntmn xan kuw mwmbji mkubwa il chngmot
Asante sana kwa ujumbe mzuri
asante sana upo sahihi sana J
Asante kunitia moyo. Moment of proof.
Kaka napokuelewa sana ni pale unapohusisha mtu aliyefanikiwa kwa jambo unalozungumzia.....ahsante sana na huwa unanipa hamasa sana
Kwel kabisa kaka asante sana
Hongera sana, very very inspiring
Asante kwa kunipa nguvu
Daaah mi cjui ata nseme nn una npa nguvu sana broo nakuelewa sana
Salma Oman #SeeYouAtTheTop
Mimi kwa sasa napitia wakat mgum sana katka biashara yangu kwasababu kunawatu niliwahamini nakuwakopesha ila katka malipo wananichenga kwel na nikiangalia biashara yangu inayumba na sina msaada wa karibu kuiendeleza biashara yangu nimekata tamaa kabisa naomba msaada wako nishauri nifanyeje
Barikiwa kaka joel.
Shuklani kaka kwa somo zuli Yani yote uliyo yasema ndio nayapitia sasa Yani Kama unanisema mimi Asante sana umeitia nguvu kwa mala nyengine iPo siku nitashinda tu kwa uwezo wa allwa 🙏🙏Asante kaka mungu akubaliki
Kabisa Mwajuma,nakutakia mafanikio makubwa zaidi
Sijawahi comment katika post zako, sikwamba sikuelewagi hapana nakuelewa.lakini Leo nimekuelewa sana sana bro, wewe ni msaada wetu tunao kufuatilia brother. Asante mungu kwa kumuwezesha huyu jamaa.
Ahsante sana nashukuru sana kusikia hivyo.Mungu azidi kukufanikisha katika unachofanya.
kweli sioni kinachoendelea ila ninanguvu ndani yangu yakusonga mbele zaidi ili kukaa nafasi aliyoiacha mzee wetu REGINALD MENGI
Safi sana ,maono makubwa haya na Mungu atakujalia utayafanikisha bila shaka.
Asantee sanaaaaaa
Ahsante Kwa ujumbe mzuri
Brother Asante sana. Ukweli umeongea mambo ambayo Mimi nayaona kabisa kwenye maisha yangu
Huu ujumbe leo umekuja kwa wakati sahihi kuna situation nilikuwa napitia nikahisi kuacha kufanya ila leo Mungu amekutumia kiwatia vijana wengi ngumu ya kuendelea .Ubarikiwe kaka kwa ujumbe wa kutia moyo
Agatha Michael #SeeYouAtTheTop
Amina Agatha nashukuru sana kusikia hivyo,kumbuka ukipita hapa kwa ushindi unakuwa umesogea karibu zaidi na kutimiza ndoto yako.
Ubarikiwe San kakang
Safi nimejifunza sana
Shukrani kwa somo nzuri
God bless you my brother
Thanks kwa maneno ya busara yenye kumpa mtu nguvu alie kata tamaa
Karibu sana kwenye channel yetu. mengi mazuri yanakuja
@@joelnanauka 👍
thanx brother nothing impossible inshaallah
Mungu Azidi Kukutia n
moment of silence, yaani kaka nimefanya vingi lakini bado hadi nachoka sasa moyoni, naomba ushauri wako nifanyeje
Usichoke,bado mapena.Kila unaposhindwa kufanikiwa kama ulivyotaka ni somo kubwa kwako unatakiwa kutafuta njia mbadala.Kukata tamaa ni mwiko kabisa katika maisha ya mtu yoyote yule.
Kaka asanti iyo Pali ilitaka kunitokeya
asante mwalimu
Nyakati namba 4
Hizi nyaka namba nne ndo napitia this time na kuna muda ulishafika me niltamani kukata tamaa ila asante sana kwa ushauri wako bro
Man The Hero Hero #SeeYouAtTheTop
Thanks my brother stage nos 4 imenisumbua Sana.
Asante kwa vidio hji, kwa upande wangu naona hayo yote uliyosema nayapitia kwa sasa na ninahitaji msaada wako wa ushauri. Asante
Singo Singo Jr #SeeYouAtTheTop
Thnks....Moment of silance it like it more
🤗Mcheza kwao hutunzwa✍️
Kaka angu upo vzr
asante sana brooo mng akubariki sana broooo 🖒 tunakukubali sana.
FREDRICK STEVEN #SeeYouAtTheTop
Nimejifunza kit
dah nimejifunza kitu hapa
J hakika unamaono yakweli mengi umenifunza nanimebadir maisha yang kupitia we kwa %55
Dah , ndiyo maana sifanikiwi : umegusa maisha yangu mwalimu . .. Halafu Leo unaongea kama una mafua , sijui kuna ukweli ndani fikra zangu
Nashukuru sana.Ni kweli nilipata shambulio kidogo la afya na mafua yakasumbua.Kweli unaijua sauti yangu vizuro.Hongera sana pia kwa kuwa mfuatiliaji mzuri wa masomo yangu
@@joelnanauka Pole sana Mwalimu .. Diary yangu imejaa masomo yako .
Kwa bahati mbaya au nzuri sijawahi kukuona live .. Natamani sana
eeeeeeeeeeeeeeeh umeniona kama uko namimi vile
wakati wa kuchoka kuishiwa nguvu
asante sana
Arthur Mwakanyamale #SeeYouAtTheTop
Kiukweli kaka mungu akubalik sana
nimekuelewaa broo
Watu wanaokuzunguka😢😢😢😢😢
Watu wengi hufeli katika moment of silence.
Nipo kwenye 4
Asante brother
Maneno yako yananipaga nguvu sana
Mmmh zinawagusa wengi maana jammii inayotuzunguka karibia robo tatu ya watu wapo ivo
Be blessed bro... I have learn alot
Asante sana
Nilipitia nyakati za kilimo cha migomba Hadi familia ikiniona chizi
Asnte kakaa joel
John Luhwa #SeeYouAtTheTop
asante sana kk
Sinabudi kufanya bidii zaidi,,,, SILENCE MOMENT ndio wakati mgumu kwangu
Pole sana ila naamini utashinda na utavuka upande wa pili
Uko gud
Huu kama umeniona mimi nipo kikaangoni
Thank you
Mr wajina joel nakukubari sana
Joel Kayeye #SeeYouAtTheTop
Wakati wa kusimama peke yngu nipo ktk wakat huo bro Joel 😀😀😀
Nyakati zote zinanihusu kwa sasa
Hila sijui kama nitashinda
Kaka umenza kunibadili maisha yang tangu nilipoanza kufatilia video zako ila mwanzo nilikuwaga napuuza ila kwa sasa sipendw kupitwa nasomo lako hata moja
Ahsante sana Elias,nafurahi kusikia hivyo.Tuendelee kuwashirikisha na wengine pia
Asante kaka mkubwa kwa kuendelea kunikumbusha wapi nakwama.#i gonna see you at the top
Benedict Masigo #SeeYouAtTheTop
@@joelnanauka thank you bro nimeendelea kupata mabadiliko makubwa kimaisha baada ya kuanza kukufatilia kwa makini
Tuzngumzie kdg wanachuo . Tunafanikiw vipi cc
Asante
Kaka nyakati zote nipo nazipitia kwasasa najiona sina mana kabisa nimekata tamaa
Usikate tamaaa mama
God bless you
Powerful
Kipindi kinacho nipa shida sana ni kipengele cha 2,3na 4 ila Mola atanisaidia na kunipigania tuuu
Amen