Namshukuru kwa mengi sana kwenye maisha yangu 1: zawadi ya uhai 2:elimu 3:kazi 4:Kunipa upeo wa kujua mm ni nani na kusudi langu duniani 5:na mengine mengi Kitu ambacho kilikuwa kinanisumbua ni juu ya biashara nilikuwa nakikatisha tamaa mwenyewe kwa kujisemea kwani ni wangapi wanafanya biashara kama hii but today atleast
Mambo mema namdhukuru mungu kwa uhai na afya njema namshukuru mungu kwa kunipa watoto wema na mengi tu Ila ninachangamoto anbazo hakili yangu imelemewa pastor
Asante Kaka Joel..nimefarijika sana ninawaza Sana yako meengi yananiumiza akili,,nayawaza kila Mara na NI hasi Mara nyingi.ntajitahidi kuwaza vema.naamini ntafikia malengo yangu2 haijalishi changamoto zilizopo..asante
Nilitaka kufungua hardware, ukimuomba mtu ushauri anakwambia Bila 10 million uwez kuanza hii biashara, but nashkuru mungu nilikuwa very positive nikaanza business now naenda mwaka wa pili and everything is going well though changamoto lazima ziwepo, even God says it won't be easy but I will be with you, kamwe usimuombe ushauri mtu mvivu wa kufikiri na asiye na mafanikio it's better ukajiamini
Niliumia sana mpenzi wangu niliezaa nae alienda kuoa kimya kimya nikagundua akaniambia mm sio mke wake nilimuamini roho inauma mpaka leo nifanyeje nipone nikionana nae najisikia vibaya sana japo aliniomba msamaha
Ahsante sana Br Joel Nanauka, Leo nimeamua nitawatumia msg kuwashkuru watu waliowahi kunisaidia kwa namna moja au nyengine' ikiwa ni sehemu ya kujifunza kua na Heart of Gratitude . Thanks a lot kwa masomo yako mazuri (see you at the Top)
Wazo la tatu ndo shida yangu kubwa mtumishi wa Mungu,mm nikitaka kufanya Jambo Fulani la maendeleo nikifikiria kukutana na watu Fulani Basi haya mawazo ya kushindwa hunijia na ninaishiwa nguvu kabisa na hata nikijilazimisha nikikutana nao Mara nyingi hutetemeka na kushindwa kufanya Jambo Hilo kwa utulivu,naomba unisaidie nifanye nn zaidi ili niweze kuondokana na Hali hii kwani inaniumiza sana na imenikwamisha sana kwenye maendeleo yangu.
I WONT FORGET 2009, SIKUPATA MATOKEO MAZURI KIDATO CHA NNE, NILIJILAUMU SAANAAA NA KUJIONA MKOSEFU..... LAKINI NILIPOANGALIA WENZANGU WALIOKUWA NA MATOKEO MABAYA ZAIDI YANGU.... NILIJIONA MWENYE BAHATI NA NILIMOVE ON..... NA MAISHA YANASONGAAA
Kaka Joel shida inayonikabili ni kusahau sahau na kutokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri inapelekea kushindwa kufanya kazi kiufanisi inakuja hali ya mawazo hasi na kushindwa kufanya mambo muhimu mbele za watu maana unauhakika utakosea tu
Yan mm sijui na nn mana kila wakati nawaza kifo yan ilo limekuwa wazo langu sugu yan mpaka najikuta naumwa moyo usiku silal yan vulugu mechi mungu nisaidie jamn nimechoka na ii hali ya was was na hofu iliopitiliza
Kwa kweri Elimu unayo tupatia inatujenga sana mm toka nianze kukufatlia Yani Kila nikiona Post yako ama Video yako imejaa Madini ya maisha pia hata Vitabu vyako nimefatilia na kusomo Vipo Vizuri mmno Mungu azidi Kukujenga zaidi ili nasi uzidi kutujenga Zaidi
Nashukuru mungu nina uhai,nina afya njema,lkn pia ninakaz inayonipafraha .kila siku .mm ninafanya Kaz za ndan lkn naifrahia na ninashukuru mungu.
Namshukuru Mungu kwaYesu kunipenda
Nimekuwa na mawazo hasi kwenye mahusiano yangu ila nimejifunza kitu kikubwa ambacho kitabadiri maisha yangu asnte bro Joel
Namshukuru Mungu nina ndoa yenye Amani
Namshukuru Mungu wazazi wangu wako hai na wa afya njema
Namshukuru Mungu nina afya njema na Amani
Asante sana bro Allah akupe kila hitaji la moyo wako, kwa msada wa Mungu kupitia ww nimepata faida kubwa ya kuondokewa na maisha ya stress
Asiah Mariam Ameen nashukuru sana
Namshukuru kwa mengi sana kwenye maisha yangu
1: zawadi ya uhai
2:elimu
3:kazi
4:Kunipa upeo wa kujua mm ni nani na kusudi langu duniani
5:na mengine mengi
Kitu ambacho kilikuwa kinanisumbua ni juu ya biashara nilikuwa nakikatisha tamaa mwenyewe kwa kujisemea kwani ni wangapi wanafanya biashara kama hii but today atleast
Tunga Raza hongera sana tungaraza kwa hatua hiyo
Dah, yaan kweny mada hii umenizungumzie mimi mwanzo mpka mwish
Namuomba mungu aniongoze
Mambo mema namdhukuru mungu kwa uhai na afya njema namshukuru mungu kwa kunipa watoto wema na mengi tu Ila ninachangamoto anbazo hakili yangu imelemewa pastor
Namshukuru mungu kwakunijaria kufungua office yangu ila pia na ww mungu akubariki umenipa kanuni ya 50 30 20 imenisongesha mpaka nimefungua ofisi
Namshukuru sanaaaa Mwenyezi Mungu kwani kanipatia uhai wa bure napumua,Nina viungo vyote,Nina wazazi,na marafiki,nakula nalala pazuri,utukufu na heshima namrudishia Shujaaa wa msalaba
Namshukuru Mungu kwa mafundisho Haya yananijenga Sana (Zaburi 32:8, Isaya 48:15-17)
Asante Kaka Joel..nimefarijika sana ninawaza Sana yako meengi yananiumiza akili,,nayawaza kila Mara na NI hasi Mara nyingi.ntajitahidi kuwaza vema.naamini ntafikia malengo yangu2 haijalishi changamoto zilizopo..asante
Na shukuru mungu na watoto wazuri na na afya zuri uwai kweli nashukuru na kazi na amani ya moyo nimetoka bali lakini nilipo nashukuru mungu
Nilitaka kufungua hardware, ukimuomba mtu ushauri anakwambia Bila 10 million uwez kuanza hii biashara, but nashkuru mungu nilikuwa very positive nikaanza business now naenda mwaka wa pili and everything is going well though changamoto lazima ziwepo, even God says it won't be easy but I will be with you, kamwe usimuombe ushauri mtu mvivu wa kufikiri na asiye na mafanikio it's better ukajiamini
Good,nimeipenda hiyo sentence kamwe usiombe mvivu kufkiri ushauri wako
God bless u coz unanipamoyo katika maisha yangu hasa ktk kwenye elimu yangu
Judith Kimaro Ameen
Thanx brother Joel Mungu akuzidishe katika hayo
Asante sana Joel nafurahi sana kukufahamu,nazidi kuimarika kupitia mafundisho yako"BARIKIWA"
Mwalimu umenipata ..
Nahisi kama una mafua.. If yes Pole sana mwalimu ..
Laizer Koipapi Peter Thanks sana,kweli una ufahamu ila nashukuru nimeshapona
@@joelnanauka Naomba siku moja nikuone ofisini kwako ..
Nipo Arusha wilaya ya longido ..
I wish ungefika na huku kwetu ..
Na shukuru mungu kwa zawadi ya afya njema na ujuzi alionijalia mm maishani mwangu mungu ni mwema sana
Nashkru mungu nina kazi, Namshkru mungu nina wazazi wangu wote
Erique Pol wow safi sana kushukuru ni jambo JEMA sana
Shukran Sana Mungu Kwa Kutujaalia Afya Njema Na Kila Jambo Langu Nalifanya Mwenyewe Naamini Kila Kitu Ipo Siku Kitakuwa Sawa
Niliumia sana mpenzi wangu niliezaa nae alienda kuoa kimya kimya nikagundua akaniambia mm sio mke wake nilimuamini roho inauma mpaka leo nifanyeje nipone nikionana nae najisikia vibaya sana japo aliniomba msamaha
Ntashukuru kwa uhai na Vile Mungu anavyonifanikisha kwenye masomo yangu
Ameeeen,,,Ahsante sanaa kaka Joel
Mungu akupe maisha mlefu,,Maanaa
Umekuwaa msadaa sanaa kwangu 🙏🙏
Nina mshukuru mungu mm ni single mama wa bint mmoja hii baraka kwangu
Me namshukru Mungu kunipa uwezo wa kukusikiliza najifunza mengi sana ambayo nilikuwa sijui na nimeyajua kupitia wewe barikiwa
nashukuru mungu kwa uzima ,nashukuru mungu kwa kunipa mke mwema pia nashukuru mungu kwa biashara zangu znaenda vzur...
Nashukuru mungu mie mzm
1.nina kazi nzuri ninaipenda
2.familia yang inafuraha kabs
Ahsante sana Br Joel Nanauka, Leo nimeamua nitawatumia msg kuwashkuru watu waliowahi kunisaidia kwa namna moja au nyengine' ikiwa ni sehemu ya kujifunza kua na Heart of Gratitude . Thanks a lot kwa masomo yako mazuri (see you at the Top)
Mawazo ya hapana hapana yaanarudisha Sana nyuma! Kuwaza kushindwa shindwa kila wakati
Ahsante my brother m mungu akubariki sana sana🙏🙏
Ukhty Najrat Girl Ameen nashukuru saanaa
Asante Kaka kwa mafundisho, nipo kwenye huu wakati, Asante Yesu kumtumia huyu mtumishi wako aseme namimi kwa mambo haya🙏
Mimi nashukuru kwa kupata mafundisho yako mazuri yanayo ni toa mahali na kunipeleka mahali pengine ahsante sana
Wazo la tatu ndo shida yangu kubwa mtumishi wa Mungu,mm nikitaka kufanya Jambo Fulani la maendeleo nikifikiria kukutana na watu Fulani Basi haya mawazo ya kushindwa hunijia na ninaishiwa nguvu kabisa na hata nikijilazimisha nikikutana nao Mara nyingi hutetemeka na kushindwa kufanya Jambo Hilo kwa utulivu,naomba unisaidie nifanye nn zaidi ili niweze kuondokana na Hali hii kwani inaniumiza sana na imenikwamisha sana kwenye maendeleo yangu.
Namshukur Mungu maan nipo mzima wa afya
Meng mungu kanitendea mazur nashindwa niandike kipi basi inatosha 2 kusema ALHAMDULILLAH
Nashukuru kusikia ushauri wako Mungu akujaalie mangi mema mheshimiwa
Asante kaka kwakunifaliji namanenoyako nakushukulu Sana mungu akubaliki
Shukran ka Joel, kila cku najifnz Mengi kupita ww. God bless you.
Wema Mussa Ameen nashukuru sana
Namshukuru mungu kwa kuniponya magonjwa yangu
Nashukuru mungu Nina gar na nyumba japo ndoto yangu sijatimiza
Ninamshkru mungu kwa siku ya Leo,pia nimeweza kukusikiliza joel
Nashukuru kwa jinsi nilivyo Leo asanteh mungu Ni hatua nyingi nimepiga mpk hapa nilipo 🙏🙏🙏🙏🙏
Tayo the baddest hongera sanaa
Asante Sana brother Joel
Kiukweli nakuelewa na unanijenga sana najitambua sana tangu nilipo kufahamu
Namshukuru mungu nina uhai ,uzima na amenikomboa
Nakubali sana kaka yangu mambo yakuogopa kukataliwa sio poa kabisa
mimi nashukuru sana kwa mafundisho yako Mazuri
Mathew Massawe karibu sana tuendelee kuwashirikisha na wengine pia
Ahsante sana kwa mafundisho mwalimu
Namshukur mungu kwa kunijalia afya njema
namshukuru MUNGU kwa kunipa afya njema
It's true negativity do not define our destiny but only positivity, thank you brother for good revelation.
Aron Joseph nashukuru pamoja sana Aron
This is wht i wanted for so long thnkx so much my brother🙏
Ckos mah karibu sana naamini imekusaidia sana
@@joelnanauka sana brother thank u so much
Thanks for your motivation, Naomba nibaki naya kulia kushoto nitasubiri.
Mungu azidi kukubariki na kukuinua ili uzidi kutusaidia na wengine na wengine.
Mungu akujaalie kheri✌️
Mafunzo mazuri saana mugu akubariki
Moja tabia yngu nikuraum kila jambo!
Hakikà bro ww ni mwalimu mzur nafrahi sana kupata elimu kutoka kwako
Naanza kujizowesha furaha na kuona vitu vizuri zaidi..
Nashukuru kuona niko mzima wa afya
Kuwa nina ilimu na watoto
I WONT FORGET 2009, SIKUPATA MATOKEO MAZURI KIDATO CHA NNE, NILIJILAUMU SAANAAA NA KUJIONA MKOSEFU..... LAKINI NILIPOANGALIA WENZANGU WALIOKUWA NA MATOKEO MABAYA ZAIDI YANGU.... NILIJIONA MWENYE BAHATI NA NILIMOVE ON..... NA MAISHA YANASONGAAA
Kaka Joel shida inayonikabili ni kusahau sahau na kutokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri inapelekea kushindwa kufanya kazi kiufanisi inakuja hali ya mawazo hasi na kushindwa kufanya mambo muhimu mbele za watu maana unauhakika utakosea tu
Namshukuru mungu nimzima waafya.
Nashukur mung nna nmaendelo makubwa chuoni
Nimekupata sana Ndiomana ukisoma Biblia imeandika sana usiogope usiogope
Mimi siwezi kuweka pesa kila nikijaribu nashindwa mpaka nimeacha naanza upya Sasa ahsante kaka
N kuhc ndoa yang,nlihc mum wang anansalit kil mar,nashind nikilia na n mjamzito,ila nakushkr San bro kwa kunielewsh
Kaka your the best on what your doing. Km wapo wasiokuelewa ipo siku watakutafuta
Emmanuel Mosha nashukuru sana,nitaendelea kusonga mbele
Thanks brother GOD bless you
Nashukulu kwa elimu yako
Shuklani sana kaka mungu awe pamoja nawe
Nashukulu kwakuwanaakili yakujifunza.
namshukuru mungu kwa uzima
Leo tumeipata vizuri Topic hii na sauti nzuri....Tuko pamoja Kwa kutujari kuludia Video hii Mr Joel Nanauka.
Nashukuru mungu kwa mengi
Nashukuru Mungu nina uhai
Keep it up bro never look back continue kutuelimish
Bura Simon Thanks Bura,nitaendelea
Mambo yaliyotokea zaman yananiumiza sana na kunisababishia kuwaza vtu vbaya mfno no 2 ndo imenikaa sana
namshkuru Mungu kukufamu#J.N🙏
Nasikia huyu jamaa aliwahi kuwa Tanzania One. Lecture zake so za kispoti spoty.
iddi adam Ahsante sana,Naamini Mungu alinipa uwezo wa akili ili niwasaidie wengi Zaidi,endelea kuniombea ili nifanye zaidi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@@joelnanauka Nakubali nakubali kaka.
Yan mm sijui na nn mana kila wakati nawaza kifo yan ilo limekuwa wazo langu sugu yan mpaka najikuta naumwa moyo usiku silal yan vulugu mechi mungu nisaidie jamn nimechoka na ii hali ya was was na hofu iliopitiliza
We ni Mimi my
Kwa kweri Elimu unayo tupatia inatujenga sana mm toka nianze kukufatlia Yani Kila nikiona Post yako ama Video yako imejaa Madini ya maisha pia hata Vitabu vyako nimefatilia na kusomo Vipo Vizuri mmno Mungu azidi Kukujenga zaidi ili nasi uzidi kutujenga Zaidi
Barikiwa kaka joel.
Ni liumiswa katika mausino mpaka Nikita tamaa lakini amini nitapata mume kwema kutoka kwa mungu
Nina nguvu na nimeweza kuwa na simu nzuri
thanks a lot
Asante Sana!!!
Nashuku mungu kunpa uai
Nashukuru MUNGU kwa kila k2
Nashkuru kwasababu ufaham wangu umepanuka kwa kias kikubwa sana na nimekua mtu wa kuchukua hatua
You are inspiring my life ,God bless u broo
George Atanas Glory to God thanks a lot
let us make a change thank you brz
Me huwa kuna sauti hasi huwa zinanisemesha mambo hasi kwa wingi zaidi ya sauti za kunijenga nifanye nini?
Thank Mr Joel
Shukran broh..
Tatu yussuf karibu sanaa
Great work
Nashukulu kwakuwa nipo hadi leo
Mungu akubariki
Kabisa