Josphine. Tumempoteza mtanzania mwenye uzalendo wa hali ja juu. Tumhenzi kwa kuyatekeleza yale aliyoyasimamia. Poleni wote. Mungu amlaza mahali pema peponi.
Hakika nimeguswa sana na maisha ya Ruge Mutahaba so nimejifunza kitu vingi sana ndani yako ama kwa hakika nimeamini kesho yako itengeneze leo punzika kwa Amani brother Ruge Mutahaba tumekulilia😭😭😭 hata sie tusio kufaham nimejifunza mengi naamini nafasi niliopo nayo kwa sasa ina nafasi kubwa nzuri ya kuongoza njia katika maisha yangu, vijana wenzangu ukigundua umepata hatua yakupiga hatua mbele ishikilie kwa kuing'ang'ani inueni familia zenu, hudumieni wazazi wenu inauma sana mimi naona kuanza sasa najiita ukhty hlm kuongoza njia napigana angalau nionekane angalau kinyota kidogo kinacho ng'aa tueni na moyo kama wa kaka Ruge Mutahaba washikeni wenzenu mikono msiache wanahangaika mitaani R.I.P brother punzika kwa Amani nasi umetuachia jina Ruge Mutahaba muongoza njia nasi tutaongoza njia Insha Allah
Ndugu zangu tusiukubali umaskini hatujazaliwa tuwe maskini hivyo tupige sana vita🏹🏹🏹🏹 na ukiona watu wanakusema sana/kukukatisha tamaa ujue mti wenye matunda cku zote ndio unaopigwa mawe
R.I.p Ruge🙏.#tajiri wa roho.#jasiri muongoza njia.Tulikupenda ila Mungu alikupenda zaidi.Asante kwa busara zako.Tutakumiss ila tutaonana baadae inshaAllah.
safi sana kaka napenda sana kujifunza somo kubwa kwako ezden unajua kutumia frusa kaka natamani kuwa kama ww na histor ya ruge imenijenga sana na kivo chake ndio sababu ya mm kumjua cjawi mjua awali mungu amlaze mahali pema peponi
Mungu ana makusudi yake juu ya kila jambo lkn kama itafanyika kukusanya interview za Ruge zote zinaweza kuendelea kuwaelimisha wanaoziona kwa wakati huu kama mm ndio naanza kujifunza kutoka kwake wakati ameshaondoka Mungu amuweke anapostahili
Ni kweli kbx kk unaendelea kubadil maisha yang kwa kunifany kuwa na mtazamo wa mafanikio barikiwa xn na kam kuna namna ya kuwez kynpa support xn km una group la wasap nataman kujifunz zaid
Hakika huyu Ni JASIRI MUONGOZA NJIA Nachukua fursa hii kukuombea mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya kabuli bab pumzika kwa Amani #Baba yetu Ruge mtahaba. Hakika pengo lako halitazibika kirahisi
Mawazo yako yataishi kwa mda mrefu katika nchi hii!!najua ulipo una amani kwani umefanya makubwa!REST IN PARADISE BROTHER!! YOUR LEGACY WILL SURVIVE FOREVER
Tangu nianze kuckiliza clip zako Ruge ukiwa unaumwa nikagundua kitu kwamba ulikuwa unaumwa mda mref ila uliamua kuficha saut yako ndan yake km inaoneaha figo zilianza kukutesa kitambo Daah chaupole kisaut najua mengi titafaidika uloyaacha yataendelea
Brother unazidi ku ni inspire kila siku ujumbe mzuri sana na nmeanza kusoma kitabu kiitwacho #THE SECTET CODE OF SUCCESS naendelea kujifunza kila siku na najiona mpya
Maishaa llah tabaraka rahman ruge alikuwa smart saana ki faham Maishaa llah vizuri havidum lakini hudum matendo yake mema mwenyezi mungu wape mema hata kwenye amal zao ruge magufur ni pengo kubwa saana mwenyezi mungu wape mema ahera yao,, ni mfano mzuri wa kuigwa
Nzuri sana kaka ezden clip bora zaid ya mwaka 2019 bila shaka itakua hii kama unakubal gonga like
Alikuwa mzalendo asiye na mfano ,alipanda mbegu njema na kutufundisha wengi . Apumzike kwa amani
Mungu amlaze pema Ruge Ameen. Hakika atakumbukwa. That was very nice speech 🙌🏽👏🏼👌🏽👍🏽
Ushukuriwe Mungu kwa ajili ya huyu Baba! Mtendee sawasawa na mapenzi yako.Hakika umetutoa matongotongo watanzania wengi
Josphine. Tumempoteza mtanzania mwenye uzalendo wa hali ja juu. Tumhenzi kwa kuyatekeleza yale aliyoyasimamia. Poleni wote.
Mungu amlaza mahali pema peponi.
Tumempoteza Mtu muhimu sana kwenye Jamii..Allah Ampunguzie adhabu za kaburi
R.I.P Genius Jasiri Muongoza njia, Umeacha ujumbe mzuri sana kwa sisi vijana. MUNGU akupumzishe mahari pema peponi.
Waooh, kufundisha wengine kumbe ni vizuli weng wetu ni wachoyo wa elimu, now ntabadirika R. I. P Ruge Mtahaba jasili muongoza njia
Mashaallah! yaani huyu Baba Allah Ailaze roho yake mahali pema peponi 🙏
Hakika nimeguswa sana na maisha ya Ruge Mutahaba so nimejifunza kitu vingi sana ndani yako ama kwa hakika nimeamini kesho yako itengeneze leo punzika kwa Amani brother Ruge Mutahaba tumekulilia😭😭😭 hata sie tusio kufaham nimejifunza mengi naamini nafasi niliopo nayo kwa sasa ina nafasi kubwa nzuri ya kuongoza njia katika maisha yangu, vijana wenzangu ukigundua umepata hatua yakupiga hatua mbele ishikilie kwa kuing'ang'ani inueni familia zenu, hudumieni wazazi wenu inauma sana mimi naona kuanza sasa najiita ukhty hlm kuongoza njia napigana angalau nionekane angalau kinyota kidogo kinacho ng'aa tueni na moyo kama wa kaka Ruge Mutahaba washikeni wenzenu mikono msiache wanahangaika mitaani
R.I.P brother punzika kwa Amani nasi umetuachia jina Ruge Mutahaba muongoza njia nasi tutaongoza njia Insha Allah
Brother Ruge Mutahaba alikua na akili nyingi sana na mbunifu na alikua mjanja sana alikua anavuta vijana na kuwafanya wawe na maisha yao yawe imara
Ndugu zangu tusiukubali umaskini hatujazaliwa tuwe maskini hivyo tupige sana vita🏹🏹🏹🏹 na ukiona watu wanakusema sana/kukukatisha tamaa ujue mti wenye matunda cku zote ndio unaopigwa mawe
Daaah bado inauma kwa mtu kama huyu alikuwa ana nondo za ukwel za kutuondoa vijana ujinga....Asante kaka kwa kutukumbusha hilo
R.I.p Ruge🙏.#tajiri wa roho.#jasiri muongoza njia.Tulikupenda ila Mungu alikupenda zaidi.Asante kwa busara zako.Tutakumiss ila tutaonana baadae inshaAllah.
Tunakumis sana Ruge Mutahaba,Mwenyez mungu akupumzishe kwa amani
Mungu ampumzishe salama huyu baba
safi sana kaka napenda sana kujifunza somo kubwa kwako ezden unajua kutumia frusa kaka natamani kuwa kama ww na histor ya ruge imenijenga sana na kivo chake ndio sababu ya mm kumjua cjawi mjua awali mungu amlaze mahali pema peponi
Daah mungu amlaze mahali pema peponi
Mungu ana makusudi yake juu ya kila jambo lkn kama itafanyika kukusanya interview za Ruge zote zinaweza kuendelea kuwaelimisha wanaoziona kwa wakati huu kama mm ndio naanza kujifunza kutoka kwake wakati ameshaondoka Mungu amuweke anapostahili
Mungu ailaze mahali pema peponi
Don't be driven away by ideas that don't add anything to your passion. Maneno yako yamekuwa mwanga kwa wengi brother. R.I.P
Kazi nzuri Ezden. Unatuelimisha kupitia Mtanzania huyu mahili aliyeisaidia jamii yake. Kupitia maisha yake wengi maisha yao yataboreka
Everyone should be a social entrepreneur by solving our problems internally. Dr Ruge.
Mbegu bora imeharibika . Pakacha limetoboka . Pumzika kwa amani. Repose en paix ➕
Ruge you were Genius(IQ).
RIP.Dear.Thanks to God who brought you in this world.
Mungu namuomba amsamsamehe madhambi yske
jamani, mjasiri sana kijana wetu.Mungu ilaze salama roho yake pema peponi. Amen
Ni kweli kbx kk unaendelea kubadil maisha yang kwa kunifany kuwa na mtazamo wa mafanikio barikiwa xn na kam kuna namna ya kuwez kynpa support xn km una group la wasap nataman kujifunz zaid
Santee sanaa kaka kwa kutufungulia dunia...... God bless you
Aendelee kupmzika kwa amani Genius 💎🙏🙌💞💥
Daah asante Sana umenipa njia ruge pumzika kwa amani kaka
Hakika huyu Ni JASIRI MUONGOZA NJIA
Nachukua fursa hii kukuombea mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya kabuli bab pumzika kwa Amani #Baba yetu Ruge mtahaba. Hakika pengo lako halitazibika kirahisi
Mutahaba alikua mtu wa pekee!!
Nilikuwa naomba ushari kuhusu maisha yangu nilikuwa nahitaji nikueleze historia fupi
nimekutana nae kwenye azimio LA kagela luge sitamsaau kaniachia USIA mkubwa sana
@@musaemanueri7338 usia upi tujuze na sisi
Amen Amen, Mungu akulaze Mahal Pema pepon Rip bro
Thanks so much RIP Ruge ..kwa nini sikumfaham mapema nimemjua baada ya kufa ..
Vijana tusisahau kujifunz kutoka kwa Ruge Mtahaba Jumuia ya wazazi tuwakumbushe vijana wetu kuyaenzi ya RUGE.❤
asante kwa ujumbe mzuri, Nakupogea huna matangazo ambayo hayana mantiki, upo tofauti.
Thanks Upendo
Ndiyo maana Mzee Mengi alisema kwenye mazishi ya Ruge, kwamba Ruge ataendelea kuishi.
Aisee imebadili Sana mfumo wa maisha yangu from now...
Brain boss
Extra intelligent Man
Ruge Mutahaba
RIP
asalam alyqum hongera sana kaka kwa kutuonyesha samani iliyo jificha ambayo kila siku tunayo ila haitambuiiii big up.
Nakutamani ...nipate kua na hiyo spirit...pumzika pazuri Jasiri.
Daaah
Good speech
Elimu nzuri sana,ni vitu vya kujifunza.Hilo la Azam limenigusa Sana maana ni mfano uliohai.
Mawazo yako yataishi kwa mda mrefu katika nchi hii!!najua ulipo una amani kwani umefanya makubwa!REST IN PARADISE BROTHER!! YOUR LEGACY WILL SURVIVE FOREVER
nilikupenda nitakupenda sana kaka ulale salama tunajifunza mengi kwako
Brother sikuzote mungu anakujalia kutokana na juhudi na mipango na kutokuwa mbinafsi Hakika tunajifunza kupitia wewe mungu akubaliki
Mwenyez mungu anakusudi rip
Nimeipenda sana
Tangu nianze kuckiliza clip zako Ruge ukiwa unaumwa nikagundua kitu kwamba ulikuwa unaumwa mda mref ila uliamua kuficha saut yako ndan yake km inaoneaha figo zilianza kukutesa kitambo Daah chaupole kisaut najua mengi titafaidika uloyaacha yataendelea
RIP my bro.
Please clouds can you compile all fursa semina and archive them into your library so that they can be available for generation to come
I appreciate your thinking
EachOne TeachOne
This Guy he was very deeply curiosity. Thanks Ezden For MoDetails
Brother unazidi ku ni inspire kila siku ujumbe mzuri sana na nmeanza kusoma kitabu kiitwacho #THE SECTET CODE OF SUCCESS naendelea kujifunza kila siku na najiona mpya
umeongea point sn! haiwezekan kikund kizima kufanikiwa
Ipo vzur kaka ujumbe mzur kwa vjan
kazi nzuri kaka
dah asante umekuwa mchango katka jamii kuonyesha njia za mafanikio
Kk asante sanaa
hakika ruge alibarikiwa hekima na maono
Voice of revolution in Tanzania
Rest in.peace boss ruge hadi leo 2/10/2021
napenda kumwita master mind
RIP ruge umetuachia maneno mazuri kaka
let us live with words of ruge mutahaba
Bro ezden hii video ikifanikiwa kumfikia kila MTU itafungua kila tatz kwa kila MTU atakae angalia ...kiukwel nivitu muhim tu vimeongeleka
He was a genius Rest in peace
Barikiwa kaka......kazi nzuri.
Ruge alikua vizuri Sana, R. I. P
ruge was ahead of time
Mr, uko vzr
nimejifunza
asanteee
Very powerful
Kwel kabisa
Allah akurehemu ruge MUTAHABA
Maishaa llah tabaraka rahman ruge alikuwa smart saana ki faham Maishaa llah vizuri havidum lakini hudum matendo yake mema mwenyezi mungu wape mema hata kwenye amal zao ruge magufur ni pengo kubwa saana mwenyezi mungu wape mema ahera yao,, ni mfano mzuri wa kuigwa
Kweli walikua viongozi wazuri
Kizuri akidumu pumzika kwa amani 8:35
Wanao kupenda hawasemi ila wanao kichukia hawakujui..@ ruge
R.i.p Ruge kweli ulikua jasiri muongoza njia
Kweli Rugee asilimia kubwa ya watanzania wachoyo wa material
Jamani. Poleni
🙏🙏🙏🙏🙏🙏gift from God 💕💕💕💕💕💕❣❣
True
God bless you Luge
Dah life is too short.... Jamaa tunaishi na maneno yake mpaka sasa. R.I.P jasiri muongoza njia
Naam
Truth printing, tunaprint Vitabu, kuanzia copy 50
Please contact me on WhatsApp 0759191076
Duu nimechelewa lkn cjakata tamaa mungu akuweke mahali pema
Hakika Tanzania na dunia imepoteza mtu! Basi na tutumie hekima zake kutenda, shime vijana wa Tanzania tuifanyie kazi hii!
Amazing ivi kwa
nini Wema hawadumu?
Dah umenigusa natamani ungekuwepo na umenifundisha mengi Rip bro
Mwanakida Ally
Yote yamenigusa Respect my brother n R-l-P
We have lost the sun 💕😢😢😢😢😪😪😪
Duuuu rest in peace mutahaba
Rip Ruge tuzienzini busara na maneno yake na tutembee kwenye maneno yake tutafanikiwa sana tu.
Nimejifunza mengi kupitia Ruge.Pumzika salama kaka.
Amin
jah bless ruge
Ruge alikuwa anakarama flani. Serikali ijaribu kuyaona mambo msingi kwa jamii. Nakubali jamaa alikuwa "Hero".
Ase dah! kweli watu wenye mioyo Kama hii kwann wanakufa??
Nikweli kaka unanitowa kila atuwa
Critical thinkers .may his soul rest in peace.....we need mutahabas sahii like never before kukomboa bara letu la africa
Ezden nakupenda bure my bro.
Thanks
Pumzika kwa amani rugerilla
Asee kaongeza kitu kikubwa sana kweny akili yangu
Kazi nzuri sana 👏
Pamoja sana akhii
ezzden umetisha bro