No.1 lulu gauni make-up😍 wolper make-up kidogo ndio iko simple sana ila veli zuri mume mzuri wameendana😍😍kipenzi changu nandy nampenda sanaaa ila hilo gauni mamaa liko wazi sana make-up on point alipendeza ila gauni tu😘
Kwer wolper alipendeza ila kama nand isingekua mimba angewafunikaaa ifahamike mtu mjamzito huwa anandilika urembo huwa unapotea kiasi frani kwasasa kula kazipata wolper ila nandi bwan
NANDI. NO 1. Kwa kiila kituuuuuuuu. NANDIIIII👍👍👍👍👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻
Nandi alipendeza kuanzia send of had ndoa ukwel ndo huo👌🥰
Jamani mm wolper kaua kila kitu kwanza bwana mzuri hatari yy mzuri hatari gaoni ooh my heart 💯💯💯💯
wolper katisha san
Wolpar bwana kapendeza nguoyaheshima nikanahiyo 👌🏿💕💕💕💕💕🥰
Nandy alipendeza kulko wote na aliuwa eunique sn na haijawah tokea
G llulu
Jmni tunampenda nandy na lulu lkni wolper kaua for sure
Ya lulu mngeiacha kwanz maana ilikuwa nzr na simple❤️❤️tuchukue Hawa wawil wenye shuhuli yao wolper kapendeZ ❤️❤️🙏
Wolper number 1🥰
Wale waliosema Wolper hatopendeza,,,Nandy ndio alipendeza, mpo?
Akika dada ye2 tunakuombea katka ndoa Yako akika tunamkumbuka kwa move yake nzuri akiwa na marehem Kanumba enziizo Asante mama good blethyou.🌹🌹🌹⛱️🌺
Miono wangu ni kwamba Nandy ndo Latisha Sana. Gauni la kanisa ni Nandy ni 1, hata kwa makeup no 1
Mashallah Wolper No :One💯@fire
Gauni ya Nandi ya kanisani ilimpendeza sana ila iyo ya ukumbini wala haikumpendeza hata kidogo
Wolper juu from Kenya much love 💕
Kapendeza sana Wolper
Yes of course if you cry cry your self❤️❤️wengine Wana enjoy wengine Wana liya😭ooh my God bless everybody we want to be smile
Nandi number one🔥🔥🔥
Nandy my number one
Wolpar kapendeza mno 🥰🥰🥰🥰mashallah 🙏🙏🙏
Nandy kapendeza sana kuzidi wote ni pia ni mrembo
Wolper maashaallah 1
Wolper no 1 mzuri hatari 🥰🥰
Dada hapo unadanganya Nandi Kauai jamani kuanzia kanisani Hadi kwaukubiii Nandi atapaki kua Nandi jamani mungu awabariki Nandi na familia yake 💕💕💕💕💕
NAND Nandel for everything❤️❤️❤️❤️❤️🌺🌺🌺🌹🌹🌷
Kusema kweli gauni LA Jack kauwa wote
Ni Jack jamani alikuwa kama harusi ya kifalme
Wolper 🔥🔥🔥🔥🔥
Nandy ni 🔥🔥
Nadia 👍✌️💪😍❤️💐💋🤜🤛💯
Wote ila Nandy ni zaidi
Kwa hapo hapana kpnz tuwe waz ....... tuongee ukwel
Namba moja worper
❤❤❤❤❤tatizo umebadilush mam we ulikuw mzuri nady
Wolper No 1 Amevunja Record 🔥🔥🔥
wolper namba moja 1
Wote walipndeza ila nandy kaua vibe
Nand alipendez but hajamfikia w0per no 1
Nandy alipedeza saaanaaaa
Me huyu dada worper Kani barki kwama vazi yeke
Nandy will remain number 1
Nandy namba one
Wolper 🥰🥰🥰
Wolpar Ameshika namba 1
Wolper 🔥🔥❤️❤️
Number 1 nandy bhna then wolper
Elizabeth alipenza zana kwanza au wanabebwa na mekapuuu
Nandi namba 1
Wolper kamaliza
Wamependeza sana
Nandy number 1
Wolper , Namba 01❤❤❤
Salute nandy
Jack No 1
Wamependeza wote kiujumla but for me nandy she is the best I love you nandy she is my no 1
Nandy alipendez sana
Wolper kanoga nyieeeeee Yani kauwaaaaaaa
Nandiy kapendeza sana
Nandy no 1 hapo tu alikuwa mjamzito lakini bado kapendeza mnoooo
Duu wolpe umetisha
Lulu..nandy then wolper
Dorice george. Jaman nandy kapendeza sana kwanza mrembo sana jamn bilnass kapata jiko❤❤❤❤❤
Kweli kapendeza sana hafu muzur sana
Namba 1 wolper
Mnaonekana mnapenda uchi sijaona hawaja jistiri
Kapendeza lakin kwa wakwe hauwenzi kuvaa nguo kam iyo dada umetia haibu
No.1 lulu gauni make-up😍 wolper make-up kidogo ndio iko simple sana ila veli zuri mume mzuri wameendana😍😍kipenzi changu nandy nampenda sanaaa ila hilo gauni mamaa liko wazi sana make-up on point alipendeza ila gauni tu😘
Nandy namba 1
Mimi lulu karipendeza
Nandy ndio alipendeza❤❤❤
Kiukweli wolper no 1
Nandy❤🔥🔥🔥🔥
Kiukweli alioendeza
Nandy ndo no moja kabisa
Nandy kawafinika wte ×500
Lete ya diamond
Yani RICHARD NA WOL WAMEWEZA MUME KANYOLEWA VIZURI HAKI
Mashaallah mwenye lake aseme asimeze
Wolper nguo zake zote za heshima
Apewe namba 1
Nandi zaidi
Nanderaa she is killing
Kwer wolper alipendeza ila kama nand isingekua mimba angewafunikaaa ifahamike mtu mjamzito huwa anandilika urembo huwa unapotea kiasi frani kwasasa kula kazipata wolper ila nandi bwan
Nandy ni1
Wooow gauni liko mahali yake kwakweli
Mmejua kutufurahisha dada zetukutoka Kilimanjaro
Wedding dress Nandi is thest
Nandi is the best
Nanderaaa
achen kuleta ubaguz wote walipendez bwana
Lulu no 1
Tena narudi Kusema Wolper Ndo Namba 1
Nandy alipendeza zaidi
Nand ❤❤❤❤
Nandiiiiiii
Nandy bhana
Wopa 1
Wolper ROKOM wahedee 🤣🤣🤣🤣
Sio heshima tumbooo kuwa waziiii
Mrs nenga
Wotheee😂😂
Nandy kapendeza acha wivu
Kilimanjaro tupo juu
👌
Pesa jameni tafteni hela🗣🗣🗣🗣🗣🗣
NA UZULI PIA UNACHANGIA WOLPER NAMPENDA
Nandy❤❤❤❤
Unafiki mbaya no 1 ni nandy jamani