Acheni umbea na kucho ganisha watu bure. Hebu fuatieni yenu umesogeza umbea hakuna wa kushughulikia ujinga huu. Huwezi kufananisha maisha ya anaehangaika na anaehangaikiwa. Acha huu upumbavu.
Chumba cha mtoto wa nandy ni kizuri sana kuliko cha huyo anayefichwa, mbona mtoto wa nandy hajafichwa na anapata shavu mpaka bata wanaona aibu. Au huyo amaranth ana chongo😅😅
Nandy kwanza ni mama wa nyumba ambaye ame funga ndoa na ana nyumba yake, sasa Paula anaye ishi kwa nyumba ya ku panga ata anza je ku jipimanisha na Nandy?!?! Nandy ana pesa yake jamani na couple yao ipewe mauwa yao maana naona ndo couple ilio sérieuse Tanzania nzima Paula mtoto jamani ndo kana iga ku kuwa kuwa kajipimanishe na wengine lakini kwa Nandy kame kosea
Mashaallah chumba cha Princess AMARA kizuri na pia kipo smart na pambe zaidi 😘😘😘
Acheni umbea na kucho ganisha watu bure. Hebu fuatieni yenu umesogeza umbea hakuna wa kushughulikia ujinga huu. Huwezi kufananisha maisha ya anaehangaika na anaehangaikiwa. Acha huu upumbavu.
Well said
Nandy alimuonesha mwanae alivyofikisha umri wa mwaka 1. So na paula atafanya ivo maybe😊
Amara chumba kizuri zaidi 🎉🎉
Na sisi ambao tunachumba kimoja tunalala na mtoto tukoment wapi 🤣🤣
😂
Hahaha usinichekeshe
C hata mm natafta 😂😂😂
Kizuli Cha mtoto wa Nandi bhn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amala chumban chake kizuri❤❤❤❤❤❤
Naya jaman❤❤❤❤❤
Ushindani so mzuri mungu niepushe na vituko
Chumba cha naya n kizuri xanaa
kizuri Cha Naya bhn so sweet my daughter ❤❤❤
Cha amara n kizur bhn ❤❤❤❤
Mhhh shindanen upuuzi lkn mwisho wetu chini mchangani walazeni mnapotaka
Chumba Cha mtoto wa paula❤❤❤❤❤❤
Daah hapana jaman nandy apewe ongela na sio kumsema vibaya kwanza kapata Binti mzuli wow. mama Naya ❤❤❤❤
Ver6smag
Versmat
Versmat
Kizuri nikibu2❤❤
Kizur ni Cha mtoto wa nandy is the best
Naya❤❤❤
Naya the best ❤❤❤
Kizuri c mtoto w nandy
kizur cha mtoto wa nandy ❤
Naya❤❤❤❤💥💥
Kama ndo hivo picha ya zari mmeiretaje😅😅😅
Jamani mbona vyote vizuri
Jmniiiiii natamani waa he mambo ya kushindana watafuta maisha wajenge mije ho yao.
Amara❤
Kizuri Cha naya❤❤❤❤
Chamtoto wa nandy kizuri ila midor munakalibisha mashaytwan
Kweli midoli inatumika na nguvu za giza
Mmmh mme damshi🎉😢😮
mtalinganishaje chumba chamtoto ambaye ameshaanza vuruga vitu namtoto ambaye ajaanza ata kujigeuza kitandani kwaiyo chanaya nikizuri zaidi
Rachael benjamn cha naya ni kizuri xanaaaaaaaaa
Naya daughter ❤
Kwa mashindano ayo mungu anawaona
naya the best❤
Chumba Cha Naya Kuna Kila kitu Cha gharama na Kiko full, halinganishwi
Msyuuuuh......
😢looh.acheni.chokochoko..mambo.votevizuli
Ushindani so mzuri mungu niepushe na mambo aya
Jamn maisha ya kupanga ni ya kupanga tu ,na kwako ni kwako ,Paula asijifananishe na nand bwana mwenzie yupo kwake et
Chumba kikali ni cha Amarah 🎉
❤❤❤❤❤❤❤ pau
Cha naya kizuri sana jmn naya mwenyewe nimzuri sana
Amara chumba kizuri sanaa ❤❤❤❤
Kiko smart
Acheni ujinga na Paula koma usitoe kasolo Kwa mwenzio kati hata mtoto Wako hatumjui
daaaaaah me naonaa All unvessaary
As you all know Amara is the princess ❤🎉🎉🎉
nandy wewe ni mama usijali wengi wapenda chumba chako
❤❤❤❤
Cha mtt wangu ndo kizuri
Safi
Haha na ww unaefuatili masuali ya nand na Paula cha mwanao kipoje??😂😂😂😂😂
Kipo kama zizi la ng'ombe
Kinazidiwa na cha mwanangu
Naya❤❤❤❤❤❤ bby
mmbea weweee sanaaa toka hapa uchonganishi tu
Chumba Cha Naya aisee Kiko juu balaa, hongereni sana mno
Naya the best
Msijisahulishi kama Chumba kizuri Nikaburi tu Ayo yote Niyakupita Acheni upuuzi Nakujifanya Wanjiga
Naya ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Chumba cha naya ndo kizurii
Nyinyiwenyew kwenu vyumba vya watoto wenu mnavyoo. Mnatuletea izoo abari je mnavyoo chumba cha watoto wako
AMARA
🎉🎉🎉🎉🎉🎉amar bd mdogo
Jaman nyie ebu acheni maneno machafu bhn mbn vyote viko smart🎉 7:14
Jamani uko nikuchonganisha watu Kilamtu namaisha yake jamani
Cha amara kibaya cha naya kizur cha amara kizur cha naya kibaya je cha kwako
Sawa bhana hongereni mbona amuongelei Cha mwanangu
😂😂😂😂 Bora tu
Msimlinganishe Naya na wengine
Wao tu wamekuwa hawana vyumba kwahy shindanien Mambo ya msingi ciyo vyumba vya watot hizo ni starehe zao
Eyt mbna amara hatumuoni🖐🏾
Cha mwanangu mimi ndo kizuri zaidi
😂😂
Cha naya ni kizuri bhana
Umbea. Tuu
Amna chochote tu ulimbuken tu
Nyumba zao au wamejenga?
Bado muda wake wa kuonyeshwa. HuweI kumpost mtoto aje ajipist mwenyewe.
Mh makubwa mbona kizuli sama
Hii yote kwa sisi maskini ni upuuzi maanahata kula kwetu ni tatizo kulala sisi ni popote hata chini tupeni msaada kwanza
ata sisi sio wasanii tunavyumba na nyumba za kifahari lakini atuziweki mitandaoni acheni ushamba na ujinga
Cha nandy kizuli bwana
Hiz ni pesa zinawasumbua2 vote vizul2
wasanii wa kibongo acheni ushamba
Chumba cha mtoto wa nandy ni kizuri sana kuliko cha huyo anayefichwa, mbona mtoto wa nandy hajafichwa na anapata shavu mpaka bata wanaona aibu. Au huyo amaranth ana chongo😅😅
Lakini ukumbuke hata mtoto wa nandy ulimuona baada ya kufikisha mwaka 1
Uyo mtoto wa paula ni mdogo ata tiwa husdaaa
kizulu cha mtoto wa nani bwaana
😢😢
Ww mtangazaji huna kazi ya kufanya au
nay
Chumba📡🛰️Cha,,paura,kizuri
Cha amara
Paula
Nandy kwanza ni mama wa nyumba ambaye ame funga ndoa na ana nyumba yake,
sasa Paula anaye ishi kwa nyumba ya ku panga ata anza je ku jipimanisha na Nandy?!?!
Nandy ana pesa yake jamani na couple yao ipewe mauwa yao maana naona ndo couple ilio sérieuse Tanzania nzima
Paula mtoto jamani ndo kana iga ku kuwa kuwa kajipimanishe na wengine lakini kwa Nandy kame kosea
Shenzi type,nkt
Rudi shuleni😂😂😂😂
Nand apewe mauwa yake kwamtt wake pazur San tn san
Endeleeni kushindana hadi majeneza mtashndana
Cha kwangu kizuri kupita vyote
kwakweli chumba Naya nikizuli ila na chamwanangu nikizuli mnooo
cha naya ndo kizuri
Jamani wametafta hao acheni waenjoy maisha yao
Paul awek sul ya mutot wak waz tumuon
Naya the best
Kwakwl fanyn yen 1:25
Uyo mchonganixh uongo2
Naya❤🎉
Amara 🎉🎉🎉😂❤❤
Chumba kizur kabur