Nawaomba tena nawa stiziya sana wajamaha tafadhali mutupe maendelezo ya verry good mimi nimuzaliwa wa Congo naapa Niko Congo natizama sana filamu iki kiukweli ni nzuri sana ila tunaitaji maendelezo
Safi sana mama umejua kosa lako na umetenda Kwa ajili ya kumtunza furaha ya mwanao pongezi Kwa wamama jasiri km wewe na pia ni funzo Kwa wamama wengine tuwe makini inshaallah
What a wonderful movie , I enjoyed it to the fullest ,,a mothers sacrifice and the favour from his boss ,,if all mothers and bosses would be like this the world would be a better place to live.
Kwa kweli hii video nmeipenda sana kwa jinsi dada Nana afanya katika video hii na namuombea dada Nana aendelee hivo yeye anaweza kipaji anacho na mungu amzidishie
Jems ulipata Boss MZIMA kabisaa na Boss huyo nam'pa Big UP anaroho zuri kwakuwa alijitahidi nakukupatia msaada wa kujitibisha Sandra Uko juu sana ukiendelea hivo utakuwa nyota na shuja kwenye Bongo movie
Daaah!! Katika stories zote za bongo move hii ni hatari sana kwa kweliii.. Niseme tuu bro James Congratulations wewe pamoja na team yako yotee mmefanya vizuri sanaa..
Many thanks for the wonderful lesson for the world of today and i would like to argue the ladies who got married without any knowledge on how to hundle their baby boy this is the right opportunity to understand your responsibility over your children.
Dha!!! Movie nzuri xna km utaamini mm cjawahi kutizama bongo movie lkn leo imetokea tu amini nachokuambia leo niko yuotube nikaona sehem pameandikwa kosa la mama ikanibidi nibonyeze nilicho kiona nimependa cna mko vizuri cna mungu akupeni wepes mtoe tena n tena pia mama anaweza kufanya chchote kw mwanae hapo ndo nilipo penda zaidi by yussuf zakaria fm Tanzania visiwani lv you.
Eeeh, movie nzuri sana nimefurahia na pie ni niseme yuko na boss mzuri wakujali masilahi ya wafanyi kz wake pie sisi wamama tutazingatia sana hasa hapo kwa kitovu mumefunza kitu ya maana sana mubarikiwe na muzidi kusonga mbale nangalia nikiwa Saudi arebia
Mbali na usmat ulio nao movie zako zimetulia rangi mekap madhari lugha zimetulia nilikuwa siwezi kuangalia movie yenye mawili ila movie zako zimeniingia my daer❤️
Toka nijue movie zako nimekuwa mfatiliaji mzuri sana coz sijawahi maliza kuangalia movie yako bila kujifunza kitu. Mungu akubariki sana ukija bongo nambie nikupe zawadi.
Kapaya tokaa nianze kufuatilia kazi zako daah zinanikosha tokaa enzi upo na bahati bukuku ... Napenda Sana kazi zako pia naipenda sanaa ingekuwa inawezekana wahllah ningejiunga na wewe
Ni simu ya pili Sasa naanza kumfatilia huyu jamaa but huwez amini kashanilia mb za kutosha nafatilia movie zake hata ambazo hajatoa Bado. Hongera Sana bro unafanya kitu Bora Sana nakuona mbali na nataman na mm kufika uko make filamu ni moja ya ndoto zangu
Dah pole James! Pole mama James Usisikitike Nani kama mama? Kama usingekuwepo mwanao angekuwa Hanithi! Usiwaze umemuokoa mwanao hakuna cha aibu Subir wajukuu sass
Duuuh move nzur sana!! Mm ni naitwa Furgenc Philipp kutoka bukoba. Napenda sana na nina ndoto ya kua mcheza move. Ila sjapata nafas hiyo. Kama kuna mtu anajua njia naweza pitia anisaidie tafadhal. Asanten
Am in love with this movie 🎥 it's so interesting,, everything is perfect💥 👍,, have learnt a lesson on it,, wow kudos guys,, keep it up 👏 much love from 🇰🇪🇰🇪
Kiukweli movie ni nzuri ila imeniumiza Sana.....Bora nibaki siwezi kulala na mwanamke kuliko kilichotokea! Mama kulala na mwanawe halafu ikachukuliwa kawaida...imeniuma Sana! Jaman wanawake tuwe makini na watoto wetu wa kiume kuepusha haya Mambo NI fedheha Sana!
Umalizaji haujanifurahisha officeni kule vipi na yule dada kule unge onyesha upokeaji wake maana alionekana bado anakupenda na vipi rafiki yako alie kuwa na wewe nazani mnahitaji ubunifu zaidi kazi ni nzuri.
Movie nzuri saaaana inafundisha ila Kwanza ungemali dawa za hospital na pia nilitaka muende Kwa pamoja kazini mkiwa mmeshikana mikono muingiapi ofisini kuziba midomo ya wale ila pongezi Kwa boss wako na secretary wako. Bila kumsahau rafiki Yako. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Na furai sana kuona part 2 nikiwa nchini DRC , naipenda sana filamu hii ongera kabisa , nili itaji hata nipate number ya jems na mkewe Sandra na nione njisi watarudi offici
Movie nzuri sana it teaches us that we woman we should be careful while giving birth especially boy child , second lesson we can learn from this movie we should not laugh at someone's situations coz is not there fault
Tukiachana na maudhui ya Movie naweza kuona umakini kwenye kuvaa uhusika. Nimempenda Boss na wambea. Naanza kuona ladha mpya ya Bongo Movie. Keep it up
Daa amazing story now bongo move mnaanza kuinogesha we need more than kanumba. Pull up and rise Tanzania
Jamani boss mtu mzur, binadam tungekuwa hivi!!dah tungeendelea sana
Filamu nzuri kweli. Wahusika wenye wanajua kuigiza vizuri, Sanda ni muigizaji nimempenda pamoja na James. Wana umahiri kwa ku act sana.
Nawaomba tena nawa stiziya sana wajamaha tafadhali mutupe maendelezo ya verry good mimi nimuzaliwa wa Congo naapa Niko Congo natizama sana filamu iki kiukweli ni nzuri sana ila tunaitaji maendelezo
Haki James mzur....hata kama jogooo hawik ningekaa nae tuu ivyo ivyo...🙏💞
Usingemvumilia madhaifu yake
Kwa kweli james ,,,unakipaji chakuingiza💪,,,mungu akuzidishie marifa 🙏,,natazama nikiwa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,vipi kuhusu part 2 plz
sana😍😍😍😍
walio angalia mwaka 2024 tujuane
Mimi hapa
Nipo
Niko hapa
Niko hapa pia
😂😂tuko pamoja😂🎉
Safi sana mama umejua kosa lako na umetenda Kwa ajili ya kumtunza furaha ya mwanao pongezi Kwa wamama jasiri km wewe na pia ni funzo Kwa wamama wengine tuwe makini inshaallah
Kumbe ntemi anakiswahil kizuri ivi jaman😂😂😂😂❤❤❤ more brother
😂😂👆
@@MaliethaLeonard hukujua kama anakiswahili kizuri
Nafurahia movie nzuri sana Jemes na mama mgoko Mashali yenu ndiyo haya majibu tu mwanipamba mubarikiwe
Sawa ni nzuri lakn hamujatuonyesha reaction ya judithi hapo nadhani ingelinoga sana
What a wonderful movie , I enjoyed it to the fullest ,,a mothers sacrifice and the favour from his boss ,,if all mothers and bosses would be like this the world would be a better place to live.
Yaan James n bonge la handsome na napenda anavyovaa very smart umeoa jaman james
Jemes anatafuta mpenzi2 hataki kuoa
Kwa kweli hii video nmeipenda sana kwa jinsi dada Nana afanya katika video hii na namuombea dada Nana aendelee hivo yeye anaweza kipaji anacho na mungu amzidishie
DAAH kazi kali hadi inazidisha ukali yani kali zaidi ya sana big up sana mmeweza sana
Jems ulipata Boss MZIMA kabisaa na Boss huyo nam'pa Big UP anaroho zuri kwakuwa alijitahidi nakukupatia msaada wa kujitibisha Sandra Uko juu sana ukiendelea hivo utakuwa nyota na shuja kwenye Bongo movie
Nayipenda movie kwasababu nampenda Nana
Movie nzur sana imatufundisha pia tuwe wasili sio kila tunacho kiona tuongee
Cha kwanza nashukuru waigizaj wote wameigiza. Vizur alafu kingine nimependa San kwa nafas ambayo boss aliompa james
@@NIFFER720 umefurahi mama?
Hongera sana namuona kanumba kwa mbaali anakuja👍👍
❤
Hebu acheni kufanannisha kanumba na vitu vingine bhana
Daaah!! Katika stories zote za bongo move hii ni hatari sana kwa kweliii..
Niseme tuu bro James Congratulations wewe pamoja na team yako yotee mmefanya vizuri sanaa..
Hii movie imenifumbua macho kuwa mama muangalifu kwenye uzao wangu..
Kwanini wew usiamke, Gonga like friends
Kutombana
Kutombana
Best movie all year,tena fundisho kwa wazazi wote, hongera sana🎉❤❤❤❤❤❤
Weweeee jaman kaka yetu kashapona kweli mama ni mama jamani 😍
Nakipenda sana mama hii movie ni fundisho kubwa sana ktk maisha yetu tunayoaishi karibuni sana katoro
Ahsante mpenzi wangu
eunice
I like this move umenifanya mpka nimkumbuka bro kanumba mungu akuzidishie ufahamu
Daaah nimeipenda Sana move ya salvina nzuli mnooo hassa ilipoishia... Hongereni Sana .natumain hii itakuwa zaidi
Hongera kwa ku Enjoy
Fety SUBSCRIBE ili kuendelea kupata zote
Many thanks for the wonderful lesson for the world of today and i would like to argue the ladies who got married without any knowledge on how to hundle their baby boy this is the right opportunity to understand your responsibility over your children.
@@ebengemmasa223 it's very important to lean from this movie
Hakika huyu James ni mrithi wa kanumba hongera sana Magulu big up sana movie nzuri.
kapaya unaweza sanaa keep it Kala.
Kazi nzuri
Dha!!! Movie nzuri xna km utaamini mm cjawahi kutizama bongo movie lkn leo imetokea tu amini nachokuambia leo niko yuotube nikaona sehem pameandikwa kosa la mama ikanibidi nibonyeze nilicho kiona nimependa cna mko vizuri cna mungu akupeni wepes mtoe tena n tena pia mama anaweza kufanya chchote kw mwanae hapo ndo nilipo penda zaidi by yussuf zakaria fm Tanzania visiwani lv you.
Watching like ten times but not tired of ,,,,, I se Nice movie drop part 2 guys plz we like
MashaaAllh movie smart Sna nimeipenda na pia ckuwa najuwa kma kitovu kikimuangukia Mtoto chini ya uchi wake humletea shida thanks Kwa mafunzo yenu 🙏🙏🙏
hongera kwa kujifunza kitu 🙏
Eeeh, movie nzuri sana nimefurahia na pie ni niseme yuko na boss mzuri wakujali masilahi ya wafanyi kz wake pie sisi wamama tutazingatia sana hasa hapo kwa kitovu mumefunza kitu ya maana sana mubarikiwe na muzidi kusonga mbale nangalia nikiwa Saudi arebia
Waoooo, Ahsante sana na karibu sana
@@kapaayathegreat Asant 🌹🌹🌹🌹💕
Mbali na usmat ulio nao movie zako zimetulia rangi mekap madhari lugha zimetulia nilikuwa siwezi kuangalia movie yenye mawili ila movie zako zimeniingia my daer❤️
shukrani sana,
enjoy movie nzuri mpenzi,
usisahau ku SUBSCRIBE ili kuendelea kupata zote
It's very fine mostly,coz every body likes it the movie, mmmwaaa💕😍💕💕
Toka nijue movie zako nimekuwa mfatiliaji mzuri sana coz sijawahi maliza kuangalia movie yako bila kujifunza kitu. Mungu akubariki sana ukija bongo nambie nikupe zawadi.
Wow, ahsante sana mpenzi wangu
Hawa said
Naomba zawadi yangu sasa.
Jamani mmenifanya nirudi kufuatilia bongo movies tangia kanumba atutoke toa part2 plz
Actually this movie is good, kisa Cha movie, actors and the way mlivyoigiza it's wonderful...
Plz Tunakuombea uendelee hivihivi ufike mbal
nimependa sana Diana, yani kiswahili chako kiko imara sana. special comments from kenya
Daaaaaaaah! Tanzania hii kuna maboss kama hawa, nimependa sana
Movie nzuli yamafundisho nimependa mno😘😘from BURUNDI 🇧🇮
Kapaya tokaa nianze kufuatilia kazi zako daah zinanikosha tokaa enzi upo na bahati bukuku ... Napenda Sana kazi zako pia naipenda sanaa ingekuwa inawezekana wahllah ningejiunga na wewe
Karibu sana mpenzi wangu
Wow so educative and so emotional keep it up James enjoying from Kenya
Ni simu ya pili Sasa naanza kumfatilia huyu jamaa but huwez amini kashanilia mb za kutosha nafatilia movie zake hata ambazo hajatoa Bado. Hongera Sana bro unafanya kitu Bora Sana nakuona mbali na nataman na mm kufika uko make filamu ni moja ya ndoto zangu
Enjoy movie nzuri kaka
Jaman 2juane 2lioangalia 2024
Yani sichoki kuangalia hii movie jamani nisiwe mchoyo wa shukurani kiukweli movie mmeitendea haki hongereni Sana kwa kazi zuri♥️💞
Wow ahsante jamani
@@kapaayathegreat 🙏🙏
Tangia movie za marehemu kanumba leo hii nmepata movie Tena ,from Kenya leta part two
Kazi nzuri,hongera kwa walioshiriki
Napenda ilivyoishia eti "Mamdogo Kuna swali tena"😂😂😂Shkamoo mamdogo jamani
Dah pole James! Pole mama James
Usisikitike Nani kama mama? Kama usingekuwepo mwanao angekuwa Hanithi! Usiwaze umemuokoa mwanao hakuna cha aibu
Subir wajukuu sass
@@aminaomarimaidi wajukuu wa kutosha
Duuuh move nzur sana!! Mm ni naitwa Furgenc Philipp kutoka bukoba. Napenda sana na nina ndoto ya kua mcheza move. Ila sjapata nafas hiyo. Kama kuna mtu anajua njia naweza pitia anisaidie tafadhal. Asanten
Eiiih!! Hi nayo Kali ya mwaka, James Vs Sandra kudos
Waàaaau much love nana nimependa move tamu sana n pia imetuvunza
Safi broo nakubali kaz zako sio mbaya 4rom Kenya
asante DAYANA sauti, macho, shape aah! nini nimesahau 🥸uhuuu amazing waoooh!👨💻
Am in love with this movie 🎥 it's so interesting,, everything is perfect💥 👍,, have learnt a lesson on it,, wow kudos guys,, keep it up 👏 much love from 🇰🇪🇰🇪
Wow the best swahili movie I have ever watched....big up to the team....kazi nzuri
Kazi tamu Sana😍😍😍😍 Ila Nana amushukuru mungu sina hera na umaarufu ningemuoa coz nampenda htr
utapata hela usijari
Jaman maisha haya mungu atusaidie kwakweli mambo kama haya yapo huku tunakoishi
Hongera sana wahusika. Waiting part 2
Jamani tatizo mmechelewesha sana part 2 aaaaahh
When James is happy,am happy too 😃 nice film buddy...🇰🇪
Hee duh mama kafanya mambo😃I really like the effort of all mama live long
Naomba Mungu anipe Rafiki kama Steve hilo ndio ombi langu kwa mola 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@@mildredalukudo7385 umepeta usijari Mungu atasikia
Kiukweli movie ni nzuri ila imeniumiza Sana.....Bora nibaki siwezi kulala na mwanamke kuliko kilichotokea! Mama kulala na mwanawe halafu ikachukuliwa kawaida...imeniuma Sana! Jaman wanawake tuwe makini na watoto wetu wa kiume kuepusha haya Mambo NI fedheha Sana!
Kwa hivo tatizo limeisha eeh??...eeh we dada nawe huoni 😅😅😅mama mdogo jamani..great film..hongera kapaya
Umalizaji haujanifurahisha officeni kule vipi na yule dada kule unge onyesha upokeaji wake maana alionekana bado anakupenda na vipi rafiki yako alie kuwa na wewe nazani mnahitaji ubunifu zaidi kazi ni nzuri.
Ndio tunataka vitu kama hivi move kali sana
I see Sandra, she is so fitting, plz mwendelee pamoja hivo hivo 👏
Nipoo hapaa 2024 🎉
And I was hearing all over that bongo movie is dead this dude is more of Kanumba great work James💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💯
what is your name and where are you?
My name is Vincent kigosi brother of kigosi
@@salimusalimu4912 karibu sana
It's good to see Mayasa Mrisho again 🥰
Flm mzur sana na ni yenye mafunzo ya kutosha. Ila mwisho mmetunyima (umaliziaji haukuwa mzur) hivyo ni vizur kutuandalia part 2
Steve ni rafiki nzuri 😂😂🎉🎉
Dah..! Yani kweli Mungu kaumba huyu Sandra mzur sana yani nataman kupata no yake ya sim sasaiv yani
Waaooh kazi nzuri✊✊, lakn ungeenda nae ata kazini mara moja huku mmeshikana mikono ingependeza 🤭🤭
Nimeipendasana Ila haikustaili kuisha hivo🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hii movie imeweza.... Congratulations guys 😀
Aki mmeweza jamaa
@@joshuawambua2793 ouoooooooooooopoooooooooopooooopoooooooololoooooooooooo ooopp
Muda siyo mrefu, naanza kuwapa movies nzuri sana andaeni furaha
Movie nzuri saaaana inafundisha ila Kwanza ungemali dawa za hospital na pia nilitaka muende Kwa pamoja kazini mkiwa mmeshikana mikono muingiapi ofisini kuziba midomo ya wale ila pongezi Kwa boss wako na secretary wako. Bila kumsahau rafiki Yako. 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nice move mungu awabariki kwa mafunzo pia kila jambo laitaji subrah
James nimekupenda sana humble man huna ugomvi hata kama unasemwa..waiting part 2 please watching from kenya
Kosa n mama pat 2
Kosa la mama pat2
Nakumbuka hii mikonge baba yangu marehemu alikua anafanya kazi hii ya shamba la mikonge
Hongera sanaaa broo only God knows unafanya nini nakuona mbali... Usinisahau ukifanikiwa zaidi
Nashukuru sana, sitakusahau kabisa
Pamoja💯💯💯
Akh nimeipenda sana movie yenyewe, it has moral lessons. Congrats to this boss
@@cardiobush9672 ahsante
🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️keeeep it up bro isee you higher like kanumba msukuma og
Pa,moja sana
nimependa sana iy movies Sana From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮Tunawapenda sana
Na furai sana kuona part 2 nikiwa nchini DRC , naipenda sana filamu hii ongera kabisa , nili itaji hata nipate number ya jems na mkewe Sandra na nione njisi watarudi offici
Movies nzuri sana ongereni muendelezo plus 💕💕❤️❤️🌹🌹🙏🙏
Kapaya wazinguwa sehemu ya pili twataka
smart move please netx am woching from 🇰🇪🇰🇪 please next because ina mafundisho 🥰🥰
Wow hongereni sana mumemaliza vzr ❤❤❤🎉🎉🎉
Ahsante sana jamani, Janet
mungu awajaliye muendeye na kazi nzuri kama iyi
Movie nzuri sana it teaches us that we woman we should be careful while giving birth especially boy child , second lesson we can learn from this movie we should not laugh at someone's situations coz is not there fault
Enjoy movie my dear
Thanks 🙏
Tukiachana na maudhui ya Movie naweza kuona umakini kwenye kuvaa uhusika. Nimempenda Boss na wambea. Naanza kuona ladha mpya ya Bongo Movie. Keep it up
Ak movie nshaipenda na inafundsha sana mubarikiwe
Movie nzuri sana Tangu Kanumba afe nilikuwaga sijasngalia Movie ya Tanzania kuingalia nzima,kazi nzuri
Enjoy movie nzuri kaka,
Usisahau ku SUBSCRIBE ili kuendelea kupata zote
We're waiting for part 2 guys ,we love so much
Movie inamafunzo big up bana nimejifunza kulinda mtoto wa kiume na mamamdogo hatar kwel 😂😂😂 heko kwako
@@agneskemmy4935 ubarikiwe