Safi sana Afande Ashiraf. Yuko vizuri sana. Amewahi kunikamata zaidi ya mara 3 lakini sijawahi kupata fine wala kutoa Rushwa. Very understanding guy. Anakimbilia kukuelewesha au kukuelimisha na sio kwenye Rushwa au fine kama wengi wanavyofanya. He’s passionate for the work he is doing. Mungu ambariki sana
Afande amesema point sana. Utu ni kitu cha muhimu sana. Hata kama uko kwenye haki, basi kama mwenzio akikosea, basi jitahidi kuzuia isitokee ajali. Mfano mtu ana overtake kimakosa, basi mwache, punguza mwendo. Asante Afande Ashraf
Kamanda tunakukubali sana . It is my hope to see u gaining higher ranks in ur field in the future. Uz a perfect example of a traffic officer. Jah bless
Big up! Kwanza unahofu ya Mungu! Bonge la brother man! lol! Umetisha! Uko right kabisa Kuna madereva wababe barabarani humu! Yaani wanajifanya wajuaji hatari! Kazi ya kukamata kamata utahurumia wote! 😀😁
Nec brother yan ukipenda kaz yako lazma huifuraiye na ufanye kaz vzr na kwa mikogo saf sana brother na unajina la mtto wang Ashilafu mwanangu wahoo mung akubarik🤲🤲🤲🤲😍😍😍😍😍😍😍👏👏👏
Mimi nimefanikiwa kumwona jamaa yuko vizuri.Changamoto kubwa anamatusi sana hasa kwa madereva wa daladala.Alimtukana dereva mmoja siku moja kwangu Kama devera nilijisikia vibaya kwelikweli.Aache hiyo tabia.
Huyu mwamba Ofcourse anaipenda sana kazi yake, 2017 alikuwa pale maringo round about nilikuwa nasalimiana nae kila asubui nikiwa nasubiri daladala, juzi nimempita tank bovu!. All the best!.
Namkubar mala nyingi huwepo pale tank bovu mataa namkubar sana jembe lakiz polisi mzur hana roho mbaya mungu abalik..jeshi letu la polisi na mangene asante tanzania gd tz nakupenda tz
Huyu Trafic kwakweli ni mtu ambaye hii kazi iko kwenye damu yake yaani anaipenda ,anafanya kazi yake kwa umakini na kwa upendo Mungu ambariki ktk kazi yake
Dogo nakukubali ila usiwe unakaa kimya bila kutoa kazi zako. Mimi natamani kila siku nipate clp zako. Safi sanaaaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Viongozi wampandishe cheo huyu Traffic, anatoa sana mafundisho kwa waendeshaji, hakimbilii kutoza faini, anaipenda kazi yake anaifanya kwa passion, please please please apewe cheo
Huyu trafiki Yuko vizuri Sana. Wengene wakiwa kazini wanachelewesha Sana wanatumia muda mwingi kukagua magari. Tanzania tungekuwa na trafiki moja Kila mkoa mambo yangeenda vizuri
Huyu afande namkubali sana,inaonekana wazi anaipenda na kuiheshimu kazi yake.Yuko makini sana na kazi yake huku akituonyesha manjonjo yake.Inawasaidia pia wale wanaonuna
Safi sana Afande Ashiraf. Yuko vizuri sana. Amewahi kunikamata zaidi ya mara 3 lakini sijawahi kupata fine wala kutoa Rushwa. Very understanding guy. Anakimbilia kukuelewesha au kukuelimisha na sio kwenye Rushwa au fine kama wengi wanavyofanya. He’s passionate for the work he is doing. Mungu ambariki sana
Your very right! Alinidaka hata mm banana but alinielewa! Na akanielimisha!
Mmempnda bure au sio
Mungu akufanyie wepesi ktk kazi zakoo
Safi
Mungu ni mwema akujaze maisha mema. Ufike mbali na usikengeuke
This guy loves what he does, he deserves a reward.... big up Ashirafu👌👏👏👏
Huyu trafic Ashraf yuko vizuri sana. Hata ukiongea nae mcheshi, ni trafic anajua kazi Yake.
MUNGU akubariki sanaa hakika unaipenda kaz yako more blessing 2 him
Big respect kwa Afande Ashraf, uko smart, unafanya kazi kwa weledi hakika inatia moyo kwa wanafunzi kuona kuwa kazi ya traffic ni nzuri
Kaz ya police sio traffic 😄😄😄😄
Alhamdulilaah huyu askar Muelewa sana Mungu ambariki kaz yake
Kwasisi madereva ukiona afande ashiraf kakukamata ujue unakosakubwa sana, :-) daa mungu akuzidishie broo
Some time anakusimamisha anakupa hi arafu anakuruhusu. 😀🚦🚥👮 Ndani ya mataa ya tank bovu
Jamaa yuko vzurii..c kama wale wanaoo znguaa
Madereva wengi wanakufa kwa ajili ya roho mbayaa Nani amesikia hiyo na kuelewa gonga likes zako hapa tujuane
Afande amesema point sana.
Utu ni kitu cha muhimu sana. Hata kama uko kwenye haki, basi kama mwenzio akikosea, basi jitahidi kuzuia isitokee ajali.
Mfano mtu ana overtake kimakosa, basi mwache, punguza mwendo.
Asante Afande Ashraf
Niwachache sana wanaoziwezea hizi kazi Mungu azidi kukuinua zaidi na akupe kibari uzidi kukubarika zaidi.
Kweli
Huyu anafaa sana.
Huwa anaelimisha kwanza kabla ya kukimbilia kutoza fine.
He is ok yuko vizuri.👍
Kamanda tunakukubali sana . It is my hope to see u gaining higher ranks in ur field in the future. Uz a perfect example of a traffic officer. Jah bless
Nakukubali sana afande ashirafu good job
Ndiyo faida ya askari waliosoma...big up afande unatumia vizuri elimu na mafunzo yako.
Huyu askari ni mzuri sana moyoni! Hasababishi stress kwa madereva
Nampenda sana huyu Ashraf Allah akuzidishie afya njema
Namwomba afande IGP ampromoti askari hodari Ashrafu. He has passion towards his work. We have few of his kind. May God bless his work.
Hii ndio raha ya kufanya kazi unayoipenda😘😘 safii afande Mungu akubariki sanaaaaaa
👏👏👏👏👏 hongera sana Afande ❤
Ukifaham kazi ,,,na ukaipenda kazi yako....Ni Raha sana...
Hongera uko na hofu ya Mungu
Big up! Kwanza unahofu ya Mungu! Bonge la brother man! lol! Umetisha! Uko right kabisa Kuna madereva wababe barabarani humu! Yaani wanajifanya wajuaji hatari! Kazi ya kukamata kamata utahurumia wote! 😀😁
Maashaallah mimi nakupenda sana wewe afande Ashraf Allah akupe nguvu inshaallah katika kazi yako
Nec brother yan ukipenda kaz yako lazma huifuraiye na ufanye kaz vzr na kwa mikogo saf sana brother na unajina la mtto wang Ashilafu mwanangu wahoo mung akubarik🤲🤲🤲🤲😍😍😍😍😍😍😍👏👏👏
uk vizuri Afande
Hongera sana Kaka Allaah,akulinde Uendelee kusimamia Haqi
mapenzi na kazi,
passion
Anafanya kazi nzuri sana Mungu ambariki
Nampenda sn uyu askari ❤️❤️❤️❤️❤️
Enjoy your work, he is the best example
Mimi nampenda Sana huyu afande upo vizuri Sana Kwa kazi njema
Hongera sana afande. Tunakupenda
Uki ipenda kazi yako raha sana
Mungu akubariki bro asee
Kazi nzuri afande
Pongez kwa kuipenda kazi yako
Daaah! Huyu ndio polis wangu bora kwa Tz
yupo vizuri,naomba awe anaoneshwa kila mara,pia anapenda kazi yake
@@noelanassari5335 yan nngekua na uwezo wa kulipia vipind...nngekua namuwekaga yeye tu
💯
Hakika anaonyesha kuipenda kazi yake hongera sana afande ashrafu
Nakubali Afande Ashirafu Abassi Shaban
Nakubali sana utendaji kazi wa uyu kamanda......ata nikiwa kwa daladala pale tangbovu natamani tugande niendelee kumtizama.
Ongela Sana afande ukiipenda kazi yako ata uchoki mungu anakupa nguvu
Nakukubar sana nikikukuta maeneo ya tank bovu shule ashirafu mungu akupe nguvu katika Nazi yako
Saf sanaaa afande ashraf mtt wa mie
Very good uko poa sana wengi wao wakiwa trafc wanaona wameshafika mbingu
Jamaa yupo vizuri aisee
Mimi nimefanikiwa kumwona jamaa yuko vizuri.Changamoto kubwa anamatusi sana hasa kwa madereva wa daladala.Alimtukana dereva mmoja siku moja kwangu Kama devera nilijisikia vibaya kwelikweli.Aache hiyo tabia.
Huyu mwamba Ofcourse anaipenda sana kazi yake, 2017 alikuwa pale maringo round about nilikuwa nasalimiana nae kila asubui nikiwa nasubiri daladala, juzi nimempita tank bovu!. All the best!.
Safisana nampenda kwa kazi zake mungu akutangulie🙏🤲
Wow so nice afande
Yuko vzur sana very interesting
Iddaty nichek 0715165518
Safi Sana
Yaan nimeipenda Sana hii anapenda Sana kazi yake
napendeza kazı esrafu..mungu seidia🧿
Big respect bro😘😘
Namkubari sana Afande
Wow amazing 😃
Nimependa alivyo smart
Anatenda kutoka moyoni, tuzipende kazi zetu kihiviiii...
Hahaha inategemea na kazi km uliyokuwa unawish kufanya ndio hiyohiyo umeipata, maana nowdays unafanya kazi unayopata na sio unayopenda
@@joycechaz2840 umenena vyemaa hahaaaa dunia hii banaa!
Mungu akulinde afande uko vizurri sana nimeipenda utendaj kaz wako mkuu
Tunakupenda sana
the real black african Traffic men much love you from Congo zaire welcome in congo
Namkubar mala nyingi huwepo pale tank bovu mataa namkubar sana jembe lakiz polisi mzur hana roho mbaya mungu abalik..jeshi letu la polisi na mangene asante tanzania gd tz nakupenda tz
Ashrafu upo juu sana namekupenda bureee!!!
Anaipenda kazi yake,yaan kwa madaha zaidi
Huyu Trafic kwakweli ni mtu ambaye hii kazi iko kwenye damu yake yaani anaipenda ,anafanya kazi yake kwa umakini na kwa upendo Mungu ambariki ktk kazi yake
Dogo nakukubali ila usiwe unakaa kimya bila kutoa kazi zako. Mimi natamani kila siku nipate clp zako.
Safi sanaaaaaaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kweli kabisa afande Ashraf
Kuna watu wakiwa barabarani wana pretend kuwa wao always wako perfect na Ndio wenye right na mwingine ndiye amekosea.
Am kenyan kudos bro
Uko sawa jembe madereva wana roho mbaya sana
NAMKUBALI,ANAFANYA KAZI HUKU AKIBURUDISHA NA KUBURUDIKA,RAHA JIPE MWENYEWE,NO STRESS
Huyo mwislaeri mweusi noma sana
Duuuh nimekupenda bule
Mashallah
Afande yupo vizuri sana kazini 👍
Waoooh,hivi ndivyo unapaswa kutambua kipaji chako na kukiishi na pia unapaswa kujituma na kuipenda Nazi yako,syo kama trafiki wengi walivyo,nimpenda
Ashrafu ni mtanzania 🇹🇿🇹🇿tena mrangi wa dodona naona wakenya🇰🇪🇰🇪 mmeshaanza kusema eti ni askari wenu et mkikuyu🤣🤣🤣
Hahahahahahahaha
🤣🤣
Siyo Dodoma warangi ni kondoa
Mh,Singidaaaa
Nyaturu tribe
Ashirafu yupo vizuri sanaa
Anapenda Sana kazi yake ndo maana wao ongera sana afande👨🍳👮♂️👮♂️👮♂️👮♂️
Hongera sana
Ninamkubali Sana huyu jamaa. Big up
iyo nimeipenda deleva kua na utu uwo ndio udeleva
Jamaa huyu anavituko
Afande Ashrafu ulichosema ni kweli madereva wengi wanaroho mbaya sana
Hongera zake
Nime mpenda akifanya kazi kwa furaah
Viongozi wampandishe cheo huyu Traffic, anatoa sana mafundisho kwa waendeshaji, hakimbilii kutoza faini, anaipenda kazi yake anaifanya kwa passion, please please please apewe cheo
Hachukui lushwa afande, MAGUFULI TUNAOMBA mpadishe cheo pls
Huyu trafiki Yuko vizuri Sana. Wengene wakiwa kazini wanachelewesha Sana wanatumia muda mwingi kukagua magari. Tanzania tungekuwa na trafiki moja Kila mkoa mambo yangeenda vizuri
Amen ubarikiwe sana
Nimefuatilia sana style hizi zinanikumbusha mafunzo yangu ya Udereva kwenye ile mikao ya askari wa usalama barabarani
Very good
nice job
Hao ndio wanaofurahia wanachofanya big up afande
Anapend kazi yke ndo maan yuko bora
Big up afande ashraf 😁😁
Mungu akubariki hata kama wanasema umeiga India
Dah umetisha sana
Uyu jamaa safi2 anaipenda xana kazi yake .
Huyu afande namkubali sana,inaonekana wazi anaipenda na kuiheshimu kazi yake.Yuko makini sana na kazi yake huku akituonyesha manjonjo yake.Inawasaidia pia wale wanaonuna
Nakubali sana kaka
Uko sawa afande roho mbaya husababisha ajili
Asanre. Kwa ufanisi. Uadilifu wa kazi. Roja. Tano kwa tano mkuu
Hata mm nilimuona live Jamaal yuko vizur sana. Na anafurahisha.
Piga kazi kaka maisha yaendelee
Nakubaliii Sana afandee