MTOTO RAMADHANI AZITETEMESHA NYOYO ZA WAUMINI "TUMUONGOPE ALLAH NA TUONGOE UMAUTI SEHEMU YA MWISHO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @OFFTRACKTV
    @OFFTRACKTV  11 หลายเดือนก่อน +11

    Karibu kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 whatsapp.com/channel/0029VaDFvPE9RZAg9slXGy0e

    • @HassanMoses-hh2eg
      @HassanMoses-hh2eg 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah

    • @AbdallahDade
      @AbdallahDade 8 หลายเดือนก่อน

      Allah akbar 😢

    • @NamaroRiziki
      @NamaroRiziki 8 หลายเดือนก่อน

      MASHAALLAH ALLAH akuzidishie elmu

  • @yayanheryana8539
    @yayanheryana8539 ปีที่แล้ว +27

    Allahu Akbar Subhanallah ..I am From Indonesia 💙💙👍👍🤝🤝

    • @jaffersadiq5880
      @jaffersadiq5880 ปีที่แล้ว

      masha allha beuty full spech i m from india plz dont forget me in dua

  • @hemedsaid8543
    @hemedsaid8543 ปีที่แล้ว +11

    Yarab🤲mtimizie huyu mtoto kulla haja zake mjaalie sheikh huyu kila analolitamani umjaalie malaika huyu mafanikio katika maisha yake
    Ameen Ameen Ameen😇🤲🌹🥀🌷🌻umuingize katika jannatulfirdaus yarab

  • @mwajumaally2918
    @mwajumaally2918 3 ปีที่แล้ว +38

    Mungu nijalize watt wangu wape waneijua dini mashallah mungu amkuzie katika imani 🙏

  • @rjimdad5813
    @rjimdad5813 ปีที่แล้ว +10

    মাশা আল্লাহ.... ছোট একটা মানুষ এত সুন্দর আলোচনা করছে. দোয়া করি আল্লাহ তাকে ইসলামের জন্য কবুল করুক আমিন

  • @mariamhamisi598
    @mariamhamisi598 3 ปีที่แล้ว +49

    Mashaallah mtoto huyu allah tunamuomba amzidishie elimu yake na Allah ampe umr mrefu na mwisho mwema na sisi pia allah tunamuomba atujaaliye mwisho mwema

  • @akmalmuh
    @akmalmuh ปีที่แล้ว +11

    MasyaAllah Tabarakallah... support from Indonesia

  • @jinaabdullah4107
    @jinaabdullah4107 3 ปีที่แล้ว +99

    Mashaallah na sisi watoto wetu Allah awajaalie wawe watoto wema inshàallah

  • @LatifaAbbas-f3m
    @LatifaAbbas-f3m 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah❤❤❤Allah jalia vizazi vyetu

  • @naimaislam552
    @naimaislam552 3 ปีที่แล้ว +16

    N
    Mwili mpka wasisimka jamaniii
    Tuwape watoto wetu maadili mema inshaa allah

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah 🎉🎉🎉 Mwenyezi Mungu akuzidishie sheikh,,,,, Allah akujaalie mwisho mwema

  • @mohamedomarrajab6335
    @mohamedomarrajab6335 3 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allah Tabaraka Allah,Allah azidi kukupa uwongofu yaa bunaiy,ww na walio kukuza mpaka kufikia hapo in sha Allah.

  • @Sahragabow
    @Sahragabow ปีที่แล้ว +1

    Maashaa Allaah jazaakallaahu khayran maamo ☝️✅

  • @yusufmohamed9843
    @yusufmohamed9843 3 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH WAZAZI WAZURI NI WALE WANAO WALEA WATOTO WAO KWA TARBIA NZURI WAZAZI NI WACHUNGA NA KILA MCHUNGA ATAULIZWA NA ALLAH WALICHOWAFANYIA WATOTO WAO .

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 3 ปีที่แล้ว +13

    Mashaallah Allah azidi kukuongoza vema Allah anijalie kheri katk malenz ninayo wapa ya kidini wanang wazid kusimama na Allah (S.W)

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 2 ปีที่แล้ว +8

    Maa shaa Allah 😢😭 MWENYEZI niongoze nijaalie Mwisho uliomeema Mimi na kizazi changu inshaallah 🙏🙏

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 ปีที่แล้ว +10

    Mashaallah namuomba m.mungu awaongoze watoto wetu wote waijue din

  • @shabanclement9724
    @shabanclement9724 3 ปีที่แล้ว +6

    Daaaah Mwenyezi Mungu kaamua kumleta huyu mtoto makusudi, tumcheni Allah

  • @ashaproudofyoubabahaji8523
    @ashaproudofyoubabahaji8523 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Allah azidi kimuongoza na atuongozee na watoto wetu Allah amuondoshee hasada

  • @mustafalekishon3011
    @mustafalekishon3011 3 ปีที่แล้ว +11

    MashaAllah Allah amuhifadhi mtoto huyu na wazazi wake. Ameen

  • @nemambelwa142
    @nemambelwa142 3 ปีที่แล้ว +22

    Maashaallah nampenda mno huyu mtoto Allah amkuze na amlinde na hasad ampe mrefu aje kuwa sheikh mkubwa In Shaa Allah

  • @zarqawiyare8058
    @zarqawiyare8058 2 ปีที่แล้ว +3

    Mey Allah prevent the young boy from evils Am really really happy to listen sheikh ramAdan

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +10

    Mashallahu mashallahu mashallahu yarab tuongoze bzaz vwetu namm unitunuku mtt mzur mfano wa huyu 💓

  • @yusuphmalongo4514
    @yusuphmalongo4514 3 ปีที่แล้ว

    Japo kuwa mimi ni mkristo rakini kwahuyu mtoto arichokinena chatoka kwa mungu amen

  • @alimiahbakari7806
    @alimiahbakari7806 3 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah ALLAH mjaze elimu mtoto huyuu zaidi ya ziada naumlinde nakila shari pia wape wazazi wake kherii nyingi Aamiiina

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +24

    Mashaallah mashaallah 😭😭😭❤❤❤nalia kwafuraha wallah mungu tujalie kizazi chema mashaallah mungu akuongoze mwanangu🤲🤲🤗

  • @mwatimaabdallah7909
    @mwatimaabdallah7909 3 ปีที่แล้ว +2

    MAASHALLAH MAASHALLAH, mwenyezi mungu awajaalie na watoto we2 wawe katika miongoni mwa watoto wenye vipaji vya QUR-ANI

  • @haifaahoussain6849
    @haifaahoussain6849 3 ปีที่แล้ว +25

    😭😭😭 yaa Allah tujaalie vizazi vyetu vyenye kumjua Allah na mtume Muhammad(S.A.W) Allah atupe mwisho mwema

  • @marianelmi6168
    @marianelmi6168 3 ปีที่แล้ว +40

    Maashaalah Tabaraklaah
    Allahu Akbar Allahu Akbar
    This young boy may Alla grant him
    He a miracle child subhanallah
    May Allah grant his parents for the hard work
    Maashaalah

  • @aisharamadhan4778
    @aisharamadhan4778 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallh Allah Akbar Allah Akbar... Allah,, akuongoze mema kijana huyu akueke umbri wamema uje uwe shekhee waksho uma huu... Allah,, akuepushie husda... Akuongoze na familiya yko na waziwako... Amiin Amiin ya rabbi Allah Amiin

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 3 ปีที่แล้ว +8

    ALLAH ampe Siha njema na ahifadhi Qur'an Inshallah

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว +11

    Allah atujaaliye vizazi vyema na ss vyenye kumjuwa Allah mungu akuzidishiye mtoto mwema ww

  • @rahmasaid8764
    @rahmasaid8764 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashalla Mashalla alla avikuze vizazi vyetu kama Hivi awajaze Wazazi watoto yuhu kilalakher Amiin yarabby🤲🤲

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah mashaallah hata mtu mzima anaweza asiweze Allah amrinde na husda

  • @shadiahborandi2687
    @shadiahborandi2687 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah tabarakallah ongera sana mutoto wetu Allah akusidishiye ilimu akupe umuli murefu Allah tupe kizazi cema y,allabi

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 3 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah Allah aturuzuku nasiye watoto wema wenye madiri mazuri ya dini nawenye kumfaham Allah amkinge nakila hasadi na wazazi wake Amiin🤲

  • @sherifrahjab
    @sherifrahjab ปีที่แล้ว +1

    Maashaalla nashukuru mdogo wang mngu azidi kukupa nguvu za Allah na akulinde daima milele

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 ปีที่แล้ว +64

    Mashallah yarabi mzidishiye shifa mtoto huyu umlinde na hsadi na husuda yarabi tuongozeye na sisi watoto wetu wawe miongoni mwa watoto wema amini

  • @KuruthumuAli
    @KuruthumuAli 13 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah, Allah atujaalie watoto waliowema, na wenye mapenz na Allah s.w

  • @brothermusa1862
    @brothermusa1862 3 ปีที่แล้ว +10

    Masha Allah Mwenyezi Mungu atuajalie watoto wetu Deen..in Shaa Allah

  • @RoseKasimba-fj7em
    @RoseKasimba-fj7em 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah, takibir alahuwakibaruh, Allah azid kukujaalia maisha marefu alichokijenga kwako bado upo mdogo azidi kukukuza nacho

  • @swabrinamohammed1425
    @swabrinamohammed1425 3 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allah! Laiti watoto wote wangekuwa kama huyu mtoto wallah kusingekuwa na watoto waizi mitahani, na wangekua katika njiaa iliyo kuwa ya sana na yakumjua Allah... Mungu akuweke mtoto uzidi kuiendeleza dini ya kislam Masha Allah❤❤❤Allah tujalie mwanzo mwema na mwisho mwema

  • @abdulrahmanarif555
    @abdulrahmanarif555 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah.... Subhanallah... Allahu Akbar.
    Subhanallahi Wabehamthihi.
    Subhanallahiyil Azeem.
    Excellent.., Beautifull...Mind Blowing..
    SPEACH.
    Thanks for the Excellent Video.
    Dua.... Salam....Dua.

  • @aminasarah2049
    @aminasarah2049 3 ปีที่แล้ว +11

    SubhaaAllah ,mtoto mazuri MashaAallah ,Allah Amjalie umri mrefu atutoe taka za masikio,shukran kwa mawaidha

    • @muhsin3854
      @muhsin3854 2 ปีที่แล้ว

      subhaa Allah Kila mtu hatakufa siku yake

  • @njokipexhe4428
    @njokipexhe4428 3 ปีที่แล้ว +5

    Mm n mkristo but nmempenda huyu mtoto xna, Mungu akujalie neema uishi miaka mingi unene n miayo zetu.ubarikiwe xna.

  • @Binkhator
    @Binkhator 3 ปีที่แล้ว +72

    Maa shaa Allah... "Allah atuongoze kwenye haki na avikuze vizazi vyetu katika maadili ya Kiislamu" Allahumma Ameen

  • @ikramsanni4047
    @ikramsanni4047 3 ปีที่แล้ว +16

    Charismatic Young Shaikh Ramadhan, is a great blessing to Islam and the world wide Muslim Ummah. May Allaah grant him life.

    • @imru5835
      @imru5835 ปีที่แล้ว

      Maasa,alla

  • @asmanmurunga4833
    @asmanmurunga4833 3 ปีที่แล้ว +8

    MaashAlllah ,, Allah Amuongoze huyu ndugu mdogo

  • @ASHURAASHURA-jx2if
    @ASHURAASHURA-jx2if ปีที่แล้ว

    Masha allah mashaallh mungu azidi kukuza mtt wetu inshaallah NA mungu pia tunaomba tujaalie vizazi vyetu viwe yenye kujuwa allah nakuijuwa din inshaallah tabaraka llah

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 3 ปีที่แล้ว +7

    Maa shaa Allah:: Ramadhan kijana wetu unakipaji Sana Maa shaa Allah: Allah akuongoze wewe,, Familia yako na sisi na familia zetu Aaaamin!!!!

  • @mkwenyajr4499
    @mkwenyajr4499 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah
    Allah Amrudhuku Her Zake Kadri Allah AtAkavo Na Atujalie Kauli Thabit Sisi Na Vizazi Vyetu🙏🙏

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 3 ปีที่แล้ว +5

    Maa shaa Allah mtt mzuri Allah akuhifadhi daima na Allah akufanyee ni mfano kwa.watt wenzio kuwa kama.wewe,,

  • @hussainmuhammed4295
    @hussainmuhammed4295 ปีที่แล้ว +5

    I am from india 🇮🇳👍🌹☪️ masha allah❤

  • @salminsalimn9115
    @salminsalimn9115 3 ปีที่แล้ว +27

    Ma shaa Allah, Mwenyezi Mungu akukuze mtoto wangu...Ya'Allah tujalie ummat Muhammad (s.a.w) mwisho mwema, tujalie vizazi vyema ya'Barr......
    Wale wanaoweka mkono wa chini jamani shida ni ipi badala ya kumsifia mtoto mdogo kutupa manufaa?
    Ma shaa Allah, Ma shaa Allah , Ma shaa Allah...

  • @zaitunimtemelwa1481
    @zaitunimtemelwa1481 3 ปีที่แล้ว

    Allah azidi kukuongoza shekh Ramadhaan

  • @tamashakigwinya6486
    @tamashakigwinya6486 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah mashallah mashallah Allah aviongoe na vizazi vyetu inshallah

  • @sidow4044
    @sidow4044 3 ปีที่แล้ว +145

    The light of this deen will keep on shining forever coz of young lions like sheikh Ramadani. May Allah always preserve and increase his knowledge.🤲🏼🕋❤️

    • @faridasaid1255
      @faridasaid1255 3 ปีที่แล้ว +5

      Mashaallah ❤️Allah will give us all of our prayers and encouragement

    • @abdigamute531
      @abdigamute531 3 ปีที่แล้ว

      Mashaa allah

    • @hassankatram5697
      @hassankatram5697 3 ปีที่แล้ว +2

      Masha Allah may Allah bless you and keep you and your family

    • @anavananavan5110
      @anavananavan5110 3 ปีที่แล้ว +1

      His messages should be translated to English and also other languages. I WOULD LIKE TO LISTEN BUT I DON'T SPEAK THE LANGUAGE.

    • @cyrilmousa9747
      @cyrilmousa9747 2 ปีที่แล้ว

      Amin

  • @traoreibrahimasb6590
    @traoreibrahimasb6590 3 ปีที่แล้ว +59

    May Allah almighty bless this child forever !!!! i have no word to describe how i'm happy to listen him

  • @ashurampuya6214
    @ashurampuya6214 3 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akuongoze mwanetu ,hongereni wazazi yanii nashindwa kuongeza neno kwa furaha yakuona mtoto akitoa dawa bila woga

  • @jabirabuu573
    @jabirabuu573 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha’Allah tabarakaAllah..Allah akuzidishie Kwa mambo yako ya kheri unayo tufunza Insha’Allah

  • @MohamedAshraf-oo5wd
    @MohamedAshraf-oo5wd 3 ปีที่แล้ว +29

    MashaAllah, SubhanAllah, Alhamdolilla, that truely is a live merical of Allah swa, may Allah bless him abandonedly, and make him a source of goodness for all of us. In Shaa Allah.

  • @zainabusalumu8544
    @zainabusalumu8544 2 ปีที่แล้ว

    Mashaalla ALLAH AMUONGOZE yy na wazaz wake kwa kumuhifadhixha QURAN

  • @eleniliverie9949
    @eleniliverie9949 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashawah tuongoze watt wetu ishwah na sisi pia .mungu akujalie hicho kipaji uendele kuelimisha watu duniani ishawah na mungu akuongeze naakuepushe namachoyawatu amin

  • @MariamAlly-q1x
    @MariamAlly-q1x 20 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah mungu avijaalie na vizaz vya waislam wote 2pate watoto wema wenye kumjua mola. Wetu,aamin

  • @Lucas1962
    @Lucas1962 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu amsimamie huyu mtoto kwenye iman..barikiwa Sana mtoto

  • @rahmasaid8764
    @rahmasaid8764 3 ปีที่แล้ว +5

    Alla amujalie umri mrefu maishali Mwake Mtoto huyuu,Azidi kuwaelimisha walikum Wote napia wasiokua wasilam waigiekatika. Usilam Ishalla alla❤❤

    • @mamaahmedy
      @mamaahmedy ปีที่แล้ว

      Mashaa Allah Allah amuweke motto uyu na amzidishie elim zaid nazaid ,Amiin

    • @ridwanrabiukano6973
      @ridwanrabiukano6973 ปีที่แล้ว

      Amin

  • @fatmamdigo1848
    @fatmamdigo1848 3 ปีที่แล้ว +17

    MashaAllah...mashaAllah...mashaAllah baby boy mungu akuongoze...na mungu aniongozee wangu mtoto nami InshaAllah. Ramadhan kareem wa saum maqbul All the muslim...

    • @alfanm.8221
      @alfanm.8221 3 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @soomaalimanintheworl2330
      @soomaalimanintheworl2330 3 ปีที่แล้ว

      Many people i understand only a word masha Allah But i Don't understand Other word's Can you Explain this language 💓💓💓

  • @alijunior0486
    @alijunior0486 3 ปีที่แล้ว +6

    MASHA ALLAH may almighty protect you from evil eyes......Ameen thuma Ameen

  • @zuusuley9112
    @zuusuley9112 3 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah
    Allah amzidishie elimu na amuondoshee hasadi na choyo Aamin

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 3 ปีที่แล้ว

    Mashanllah mpk nalia kwa furah enz mung tujarie na ss watto.wetu wawe miongon wa din

  • @meez001
    @meez001 3 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah Mola azidi kumuongoza kwa mema insha Allah

  • @dullydullahsenior756
    @dullydullahsenior756 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah Tabaraka Rrahman 🙏🙏🙏Allah amzidishie ilmu huyu mtoto na kizazi cha ki Islam 🤲🏽🤲🏽🤲🏽❤️❤️❤️❤️❤️

  • @jamesngowi1897
    @jamesngowi1897 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah! Allah atuongoze na akuze watoto wetu ktk maadili ya dini

  • @Ali-gk5mv
    @Ali-gk5mv 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah 🤲Allah Azidi kukupa ilmu na umri uzidi kuelimisha watu na Akulipe... ALLAH Awaongoze watoto wetu kwenye njia iliyo nyo oka,,,

  • @lailaselmin9590
    @lailaselmin9590 3 ปีที่แล้ว +87

    Kama tunamasikio natusikie jamani mwenyezi MUNGU ameamua kuwatumia watoto ili tumtambue MUNGU na tubadilishe maisha yetu

    • @mrchefamour1987
      @mrchefamour1987 3 ปีที่แล้ว

      Hakika dada yangu

    • @asiangagaya6668
      @asiangagaya6668 3 ปีที่แล้ว

      Allah Akbar hakika Allah ana maajabu yake Allah tufanyie wepesi twakuomba

    • @ezekiasolomon1481
      @ezekiasolomon1481 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mrchefamour1987 llllllplllllllllll

    • @lubuvahussein5556
      @lubuvahussein5556 3 ปีที่แล้ว +1

      Aamiin
      Allahumma
      Aamiin

    • @halimamohammed123
      @halimamohammed123 3 ปีที่แล้ว +2

      Masallah 😭😭😭😭😭😭😭

  • @firdausibrahim7904
    @firdausibrahim7904 2 ปีที่แล้ว

    MaashaAllah maashaAllah tabarakaAllah mungu akuongoze inshaAllah ♥ atuongozee na sisi watoto wetu inshaAllah na Jamie islam

  • @yusuphsaad4349
    @yusuphsaad4349 3 ปีที่แล้ว +7

    Amiyn yaa rabbi...allah akusimamie..akupe yote mazuri

  • @rizikjuma-y1k
    @rizikjuma-y1k ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Hutu shekhe

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 3 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah Allah amuhifadh huyu mtoto na sisi atujalie watoto wema

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว +1

      inshaallah

    • @munaaisha9963
      @munaaisha9963 3 ปีที่แล้ว

      Mashallah mashallah 👌👌👌

  • @masud4843
    @masud4843 ปีที่แล้ว +1

    from Indonesia the largest Islamic country in the world is here to provide support ❤️🇲🇨❤️🇲🇨❤️🇲🇨

  • @jamaldinimachawi3411
    @jamaldinimachawi3411 3 ปีที่แล้ว +5

    Yaa Allah tujalie kizazi chema na chenye kujali mafundisho ya mtume wetu s.w.m

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabaraka rwahmani Allah akuhifadhi Allah atuongoze sote na watoto wote inshaallah

  • @hawamdee5827
    @hawamdee5827 2 ปีที่แล้ว +3

    Marshall Allah amfanyie wepesi mtoto huyo atimize ndoto zake katika elimu ya dunia na akhera yaarabi🙏🙏🙏

    • @danielngalawa1198
      @danielngalawa1198 2 ปีที่แล้ว

      Yesu ndie njia na kwel ya uzima mtu aendi kwa Allah pasipo kupitia yeye full stop.

    • @SaidLikando-ny4fu
      @SaidLikando-ny4fu 3 หลายเดือนก่อน

      Umerongwa ww​@@danielngalawa1198

  • @salimomar3186
    @salimomar3186 ปีที่แล้ว

    Mashalla Allah akusimamiye ktk harakati zako pia akupe nguvu na maisha marefu akujaaliye mwisho mwema

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 3 ปีที่แล้ว +58

    MashaaAllah ❤️ ❤️ Allah azidi kumsimamia na kumnusur na hasdi za waja wake 🤲😭😭😭

    • @tousihhhh6765
      @tousihhhh6765 3 ปีที่แล้ว +2

      😭😭😭😭

    • @tatuseiph1245
      @tatuseiph1245 3 ปีที่แล้ว +3

      Ewe mola Wang nijalie kizaz kama iki

    • @dekaabdi2470
      @dekaabdi2470 3 ปีที่แล้ว +3

      Masha allah masha allaha my brother muslim

    • @dekaabdi2470
      @dekaabdi2470 3 ปีที่แล้ว +3

      💯💯💯♥️❤️❤️🏆🏆💗

    • @fallfatou1918
      @fallfatou1918 3 ปีที่แล้ว +2

      Mashallah little boy
      💯💯💯💯💯💯💯
      🤎💜🧡💖💚❣💛🤍❤💙💝

  • @INDIA_user-ho8zw6wi3l
    @INDIA_user-ho8zw6wi3l ปีที่แล้ว +1

    Subhan Allah is the best child among good children.

  • @munimuni3365
    @munimuni3365 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah nami namuomba Allah nikizaga nami.nizae mtoto kama uyo🤲

  • @halimakisali2426
    @halimakisali2426 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤ Asalam aleikum warhamatullahi wabarakatuh..alhamdulillah jazaqallau khair insha Allah Ya Allah mjaalie sheikh Ramadhan na umpe afya njema ..na umri mrefu azidi kutuelimisha 🎉🎉insha Allah Alhamdulillah

  • @hadijamwanana2471
    @hadijamwanana2471 3 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭nimejikuta machozi yafuraha yanabubujika tu mungu tulindie mja wk huyu pia mpe afya yy nawazai wk ya rabi🤲🤲🤲

  • @Ali-gk5mv
    @Ali-gk5mv ปีที่แล้ว

    Wallahy Allah Amuifaidhi mdogo wngu nasikiliza hutba yke mpka machozi yanitiririka 😢😢 Allah Atuongoze sote umati wote wa S.A.W Muhammad

  • @ahmedreza520
    @ahmedreza520 ปีที่แล้ว +5

    C'est un grand professeur Mancha Allah

  • @ayshaaysha2165
    @ayshaaysha2165 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mwenyezi mungu akujale
    Umri mlefu

  • @Archimedes241
    @Archimedes241 3 ปีที่แล้ว +28

    I dont understand most of what he is saying, but i can see he knows what he is talking about and he on the way to becoming a great asset for Islam...Maa Shaa Allah.

    • @eastzooadmin6416
      @eastzooadmin6416 3 ปีที่แล้ว

      Where are you from brother, the kid speaks kiswahili/Swahili language

    • @tvstation6472
      @tvstation6472 2 ปีที่แล้ว +1

      Akhii, he is talking about the death of Muhammad s.a.w

    • @tvstation6472
      @tvstation6472 2 ปีที่แล้ว

      @@eastzooadmin6416 Tanzania

    • @eastzooadmin6416
      @eastzooadmin6416 2 ปีที่แล้ว

      @@tvstation6472 Ndio ndio akhui

    • @askandarabuba7694
      @askandarabuba7694 ปีที่แล้ว +1

      ​@@tvstation6472 pls do something to translate for us by displaying English texts

  • @Mariam-d5f
    @Mariam-d5f 8 หลายเดือนก่อน

    Mashalla mmguatu oongozee yarabii tuwena mwisho mwema🕌🕌🤲🤲🤲🤲

  • @hatijapirijakaric123
    @hatijapirijakaric123 ปีที่แล้ว +4

    Es'selamu Alejkum!🤲🧕🇧🇦💌Bosna i Hercegovina.🇧🇦

  • @endangsugiar7205
    @endangsugiar7205 หลายเดือนก่อน

    Masya allah semoga sehat selalu buat syech syarifudin aamiin...

  • @mrchefamour1987
    @mrchefamour1987 3 ปีที่แล้ว +5

    Miaka 7 kiswahili fasaha na maneno mazur ya lugha ya kiarabu.
    Baarakallahu fiihi

  • @husnatanzanian9155
    @husnatanzanian9155 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Allah akupe afiya nshaallah Mdogo Wangu namaisha malefu Ramadhani mubalaka

  • @rehemachoka2943
    @rehemachoka2943 3 ปีที่แล้ว +11

    Mashaallah Allah amuongeze shifaa mtoto huyu wallah mpaka nahisi raha

  • @maoulidaattoumani3862
    @maoulidaattoumani3862 8 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah God bless this child ❤️❤️❤️💖🕋. This child is incredible. May God give us all children like His Isha'allah. Masha Allah This child is truly incredible Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤