Kutana na Askari mwenye Mbwembwe balaa Barabarani akiwa kazini, Ni vituko Mwanzo Mwisho, Utampenda!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2021
- #sirizabongo
Kutana na Askari mwenye Mbwembwe balaa Barabarani akiwa kazini, Ni vituko Mwanzo Mwisho, Utampenda! Askari huyu mara nyingi anakuepo maeneo ya Mbezi shule, Mwenge
Hakika askari wetu huyu anastahili kuwa mfano wakuigwa, Mungu amjalie maisha marefu na afya njema
Namkubali sana huyu jamaa,hata ukiwa na hasira ukimwona tu zinapotea.kama matraffic wengine wangekuwa hivi,tanzania tungekua mbali sana,mungu ampe maisha marefu.
The best traffic officer ever well done our super traffic officer❤🎉
love from Kenya. Beautiful. Sijastaajabu kuona haya kutoka Bongoland. Creativity yenu ni ya hali ya juu, nd'o maana tunawapenda
This officer is a one in a million.
Damu ya Yesu imfunike nimempenda kwakwel,Mungu amuongezee nguvu daima
Amen.
Huyu anapenda kazi yake Kwa moyo mumoja Yan safii, mungu ambariki San aendelee nakazi yake
Asipandishwe cheo bali aingezewe mshahara
yesu kafikaje tena apa
@@alexymdee pesa siyo kitu bro. apandishwe cheo kwa ufanisi wake maana anaweza kuwahimiza wenzake kujitoa kazini Kama yeye na yeye akiwa role model wao. vile vile cheo kikipanda sidhani kama mshahara wake utabakia pale pale
Mungu ambariki sana kwa kazi yake ikibidi aongezewe mshahara. Allah amlinde inshallah!!!
I visited dar es salaam...around goba..I saw thus guy...I laughed the whole day but was happy that he was happy enjoying his work....
Yuko vizuri SANA na kaziyake
Na wengine waige kazi nzuri ya huyu afande Nampa big. Up
Napenda Askari Wote Wange kuwa kama Huyu! Maana pia anaondoa pia hata stress za madereva.Hongera Zake Kipenzi cha Madreva.Mungu Amwongezee Umri na Afya njema.
Nimempnd sanaaaa uyo tlafick mbwembwe nyngiiii hahahaha
Mungu amwepushe na ajal za barabaran nampenda san
M. Napenda wote wawe kama huyu
Kiukweli ukifanya kazi kwa moyo unajisikia raha lkn ukifanya hupendi utaona no mzigo
Aisee yuko vizuri sana. Napenda sana kupita njia hiyo na gari. Huwa nainjoy sana nikifika mazingira yale.
Huyu jamaa yuk pw San mwenyew nimemshuhudia kabisa mbezi shule pale👍👍👍
Huyu mtu mungu ampe maisha marefu katika kazi yake
Yaan hata mda wa Kuwaza rushwa hana hata kidgo yaan nampenda sana na alivyokijana anapendeza sana na Mungu kampa mwili mwepesi furahia tu kazi yako kijana ❤❤❤❤
Maa Sha Allhaa Hiki ni Kipaji Alicho Tunukiwa na Allhaa Anafanya Kazi Ndani ya Nafsi yake Nimeipeda
Ma sha Allah Tabarakaala, jamaa yupo fit sana na anaimudu kazi yake,na pia ana enjoy sana tena sama
Mungu amlinde sana nawenye husda!Aamiin rab
Hongera Sana, Yuko na moyo Safi, damu ya Yesu imfunike Kaka yetu ili na wengine wajifunze kupitia kwake.
Jamaa yupo vizuri, namkubali kwa sanna. Mungu ampe afya na kila la heri katika kazi yake na maisha yake kwa jumla.
This man must be promoted binafsi nilishawahi kumzawadiya 20,000. Akiwepo hapo makutano ya fire. Good guy serikali impromote itakuwa motisha kwa wengine. Japo I will stay missing him
Ckuhz yup chin uku mbez shule
clean money alijipatia wala sio rushwa
dah ningekuwa nae karibu ningempa binti yang amuoe kam hajaoa nampenda san
Kwa mm binafsi kwakweli nimejifunza kitu huyu askari anaipenda sana kazi yake wala hajalazimishwa piya inatakiwa awe mfano kwa wengine utakuta trafiki anasababisha foreni bila sabbu za msingi ila huyu dah!!! aiseee big up sana bro God bless you
MUNGU Abariki kazi ya mikono yako mahana unaipenda nimejifunza kit kwak chanzo cha kupoteza uchovu n kupenda Nazi yako God bless you
Ni kweli huyu Kaka ndio maisha take mwanzo siku amini mpaka nilipopita eneo lake la kazi Ila ndio utendaji wake. Mungu azidi kukubariki Bro.
Vizuri sana ni mazoezi ya mwili viungo vinakuwa madhubuti Mungu ampe afya njema.
Mm nimefikia kutaka nimuon laiv yan kwa anvyo furahisha by abeid ridhwan suleiman kutaka dong kitarun ukipenda $tar big*
Yupo vizuri ukipenda KAZI yako hakuna uchungu moyoni ...Mungu amlinde baraka Tele kutoka kenya
Huyo jamaa ni noma,ni kweli anapenda kazi yake,asiondoshwe barabarani bila kufundisha wengine,ila aongezewe mkwanja
Mungu amtangukie katika kazi yake.
Jamani naipenda mimwenyewe kaziyangu kamahuyu trafiki
Kweli Mungu akulinde Sana
❤❤❤❤❤❤❤ waoooooh nimependa Sana🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu amlinde katika kazi yake, wangepatikana Askari wengi kama huyo katika majiji makubwa hapa nchini foreni zingetoweka na maendeleo yangekua kwa kasi, maana watu watafika kwa wakati katika kazi zao.
Mashaallah
Kipindi icho napita apo naelekea msasani job namiss tz
Jamanii aamishiwe arusha tutafurahi sana❤
Uyu mtu mungu ampe maisha malefu kwenye maisha yake kwamana niwachache sana wenye moyo kama wake safi
Daaah! Binafsi mwenyewe nimemkubali sana huyu jamaa. Mungu ampe maisha marefu na mafanikio katika maisha yake.
Mungu amuongoze katika maisha yake
Mimi nimempenda na nuombea kwa Allah adumu nayo kazi yake inshaallah
Kabisa nimempenda mno yaani ningekuwa boss wake ningempandisha cheo faster
Hongera sana Askari kwa kuipenda kazi yako. Nakuombea Baraka na Neema ya Mungu.
Afande wangu mungu akupe maisha marefu kwani nafurahi sana unachokifanya
Anafaa kuongezwa mshahara na kuwafundisha wengine waww na ari ya kuipenda kazi kama yeye! Nimempenda sana!
Me Kwa mala ya kwanza kumuona nilijua anatumia kijit ise
Mm namkubali sana tena sana na ni shauri mzuri kwa madereva kama kuna mapungufu katika gari hatoi adhabu atakupa onyo , kwa mdomo, ilikaidi unapigwa faini Mungu mtie nguvu
Nimempenda bureee mungu aendelee kukupa afya njema
Uyu djaama nampenda sana Kuna watu wako ici anavituko asipo Vanya vituko Yani kama anaumwa Yuko vizuri from congo DRC.
Yuko vizuri sana... akikaa barbarians hakuna misongamano.... welcome. Mungu akulinde Ascari wetu.
Dah!kusema ukweli kila mtu na kipaji chake ila jamaa yuko vizuri zaidi ya sana
Awe mwalimu kwa wengine,na hapendi sifa Ila anajali kazi yake na anaifanya wa upendo wa Hali yajuu.hongera bro
Asanteee sana yupo vizuri sana
Lakn pia hicho ni kipaji.kuroka kwa
Mungu.kweli hasa
Maana sis tunaona kwa macho yetu. Wenyewe kuna matrafk wana upendeleo kabsa hawamuogop mungu.
Ukfka matumbi unakaa masaa ma2
Mpaka uvuke tazara hv ni kweli
Nakukubali kamanda kazi nzuri
Bonge la Traffic police officer. Safi sana. Good job, keep it up.
Safy
Anafanya kazi aliyopangiwa na Mungu mwenyezi.Wazazi tusilazimishe watoto kazi wasizozipenda.
Nampenda saan namuonag pia 🥰❤️
Mashalah inapendeza Sana . Anafamya kazi yake kiuweled Sana .Mwenyezi Mungu ampe Maisha marefu
Kazi nzuri kheri kubwa ikufikie askar wangu aaaammin
Mimi nimempenda hakika anafanya vizuri, barikiwa mtangazaji
This guy is Amazing ❤️❤️❤️👍
Ulinzi wa KRISTO uwepo juu yake na pis watu wajitolrr kumsapoti
Dah analet raha za barabarn mawazo hakun makosa tufanye wenyewe kwa huyu askar big up Allah akupe umri mrefu
Mungu akulinde Afande, chapa kazi. Idara zote za Serikali na hata zile za Private sector wanatakaiwa kuwa na watumishi wa hivi kuanzia ngazi ya juu.
Ama kweli anafanya kazi vizuri sana mungu amlinde na ambariki katika kazi zake aliyoichagua na vituko vyake nimevikubali sanaaaa
Anafaa kuigwa
Asipandishwe cheo,bali aongezewe mshahara.
Allhamdulillah allh amtangulie kwa kila jema kwenye kazi yake insha allh
Mungu ampe afya njema ikiwezekana serikali imwongezee mshahara maana anaipenda kazi yake. Na anaifanya kwa weledi mzuri sana
Mungu ambariki
Piga kazi kaka wengine wajifunze kwako
Daaaah nimeipenda style yake feeling today from NEW YORK CITY 🏙️
This man deserves a Prize 🏆
Hai broo
Mimi binafsi nimemkubali, anaonyesha dhahiri kazi ipo kwenye damu.
Polis mzur San
Mwambo yuko vizuri kwa kweli mungu amtiye nguvu
Mungu ambariki aisee. Ni kijana mzuri na anaipenda kazi yake.. BIG UP
Kaz nzur san.mung ambarik.a
Mungu amuweke maisha marefu ❤❤❤
Safi sana kwakweli inafurahisha inaonyesha jinsi gani anavyo ipenda kazi yake namuombea kwa MUNGU YESU AMLINDE NA MABAYA YOTE YASIMPATE DAMU YA YESU IWE JUU YAKE POPOTE ATAKAPO KUA
Safi wazalendo bado wapo nchi hii
This is so good! GOD BLess him and help others to learn from him 😂
Yaani Ningekua Dereva Ningempa Hata Lako Moja Maana Kanivutia Sana
Wengine Wamebakia Rushwa Tyu Buku Buku zetu Wana Chukua Watakufa na Laana za Rushwa na Watakufa Vibaya
Daaah jamaaa anajuaa xna a✌✌
Miaskari mingine inajificha pembezoni kutafuta mlungula
I like this man Soo
Much the way he is responsibilities for his duty
Safi sana uyo jamaa
Nampenda sana naomba hapewe posho ilinawengine wawe nawivu waige undajiuo
👍
Safi sana mkuu hinimeipenda sana
Jamaaa anafanya kazi vizuri sana inafaa aongezwe cheo Ila hata akipewa cheo zaidi ,asiache kuongoza magari barabarani . Kulikuwa na mtu akiitwa mayenu pia vizuri sana.
Kweli kazi hii usipoipenda utakuwa mtumwa. Hongera kijana wetu mpendwa.
Yupo vizuri cn askari ❤mng amtangulia ktk kz yake in shaallah
Hakuna jambo zuri kama mtu kupenda kazi yake MUNGU AKUBARI Traffic officer asipandishwe Cheo ili azidi kuonyesha mfano mzuri wa kazi lkn aongezewe mshahara
Wao jamaa anaheshim kazi yake mimi binafsi nimempenda
Tz we are proud with this kind of workers may God bless a man
Proud of** SIO PROUD WITH!
Yuko poa vizuri na Kila mtu ana kalama yake so huyo ni kalama ambayo Mungu amempa pamoja na kwamba ananipenda kazi yake
Hata Mimi nimependa
Yuko sawa kabisa
Mungu amlinde na ampe maisha marefu
Mungu ambariki anafanya kazi yake vizuri sana
Mungu akuzidishie police wetu
This man deserves a prize
Mmabodaboda wameshapack wanamshangaa tu
astahiki soda afande kwa kazi mzuri.(awe mfano mwema)
nampenda ssna Askari uyo Kama wangekuwa wote Kama uyo daa tungefurai Sana mungu ampe ulizi afanye kazi vizuri kupita iyo
I love this guy his in love with the job and his enjoying it his super
Good job afande
Has to be promoted
I appreciate too
Nimependa pia nafikiri ni askari kijana ndo maana. Askari ambao umri umeenda pia na walionenepa wanaona tabu kusogea sogea haraka kwa kuchangamka wanasimama sehemu moja, japo wapo vijana ambao hawajitumi hii inakuwa nitabia ya mtu pia.
Huyu mwamba nakubali sana namfahamu muda kidogo ukipita maeneo alipo una enjoy kiukweli
Mungu ambariki sana
Uyu jamaa ni comedian mzee bongo nzima Yuko pekeaka
He is amazing!! I like it.
Naipenda sana hawa ndo wanatakiwa
Vizur sana 👊👊👊
Mwamba anauchapa mwingi
❤❤ God bless him
Safi nimeturia sana huyu turafk jembe anaipenda kazi take naanajali uutu sana nawengine wajinze
Mungu akubar ki sana my trafiki huyu aishi milele❤️❤️💯💯💯
Huyu jamaa ktk kazi yake anapata faida nyingi sana
1)Mshahara
2)Umaarufu.
3)Mahusiano mazur na watu
4)Uchapakazi nzur kazini/kwa ofisi
5)Mazoezi.
Yaan huyu haitaji gym hata akiondoka hapo basi kila kitu kipo sawa ktk mwili wake.
Kwa kifupi yupo vzur sana ktk majukumu yake.
So proud of him 🫠
so encouraging,l like it
Jamaa yuko pw
Mi naona hana habar ya kupendwa ndivo halivyo uyoo hata kwake hanaonekana mtu mwenye vichekesho mashaAllah
Yupo poah sana very nice ni wachache sana kweny mia yeye ndiye wa kwanza ana stahili pongezi sana
Huku kutesana tena karne hii ya technology
Msiweke traffic lights kwa nini
Hongera kwa kujitoa askari wetu ila afya yako ni muhimu pia ili ulitumikie taifa na familia yako kwa umri mrefu zaidi
Traffic light zipo ila maranyingi huwa ndio sababu ya jam ndio huenda askari kupunguza jam kwakuwa taa hazina upendeleo huluhusu kwa muda marumu
@@jemawiliam9075 kweli anasaidia unakuta taa zinaruhusu upande ambao magari hamna au machache, so anasaidia sana nimependa ubunifu sio kila saa stooop! Lete kadi lesenia mara bima mara fire extinguisher
Mashaallah
Jaman nimependa sn mngu amubariki yy nauzao wake mashalaa❤
Mashaallah 💞
Ukweli nimemkabal
❤😍❤
Powa sana
Hongera sana kwa kazi nzuri mkubwa wangu traffic 🚦
Kazi yake nzuri na eye ndivyo alivyoumbwa na anatakiwa awe mwalim wa wenzake
Alieangalia brother's ataikumbuka hii😂😂😂😂Ricardo dersay mambo yake hayo
Good Job,siyo rahisi kuiga kitu ambacho hakiko kwenye damu,huyu askari anaipenda kazi yake na hivyo ni vizuri serikali imuangalie.
Muda wote anasmile,hata akikamata mtu huwa anaelimisha na hapendagi rushwa.Mungu ambariki
Naomba unitumie namba zahuyu askari nimpe zawad amenifurahisha sana
Nimempenda San anajali kazi yake mungu amuepushe na ajali za barabaran jaman
❤vizuri siku zote waga iviishi mda mlefu nikumhombea kwa mungu hamhepushe na mabalaa ya wanadai
Bila Shaka afande last born
Mungu akuongezee ulipo kosa amiin
Mungu ampe maisha marefu
Hata mimi mkenya nikubali anapenda kazi yake Masha Allah
Mimi pekee nimempenda sana. Na WMENYEZ MUNGU ambariki katika maisha yake na awe na mafanikio
Safi sanaa nimempenda yupo vizury xanaa