MGOGORO WA JINSIA MBILI | PR. DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @sindanosamson5144
    @sindanosamson5144 2 หลายเดือนก่อน +1

    Namshukuru mungu kwa jinsi anavyokutumia mchungaji tunajifunza sana

  • @luciadominik1626
    @luciadominik1626 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi MUNGU akubariki ❤

  • @HappinessAhia-ey1lq
    @HappinessAhia-ey1lq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nabarikiwa sana pastor,
    Mungu akubariki sana.niko ughaibuni ila naona tu kama Niko nyumbani.
    Rafiki yangu pia wanapenda mafundisho yako.
    Watching from Washington USA
    God bless you.

  • @pmgpmg7717
    @pmgpmg7717 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watching from South Sudan. I love this channel it has taught me a lot

  • @stephenmekenya
    @stephenmekenya 3 หลายเดือนก่อน +1

    hello mm n stevo watching from Kenya plz pastor niombee

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 3 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu Akuongezee miaka mingi mtumshi nazidii kubarikiwa na mafundisho yko

  • @eliudbeyanga8575
    @eliudbeyanga8575 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda masomo ya channel hii

  • @abilityemmanuel3000
    @abilityemmanuel3000 3 หลายเดือนก่อน

    shaloam, pr David Mbaga ki ukweli panga kipindi juu ya jinsia mbili ikoje ki_biblia,? bwana akujaze mafunuo

  • @PendoOscar
    @PendoOscar 3 หลายเดือนก่อน

    Somo la leo limenipa mwanga wakuelewa zaid kuusu jinsia na mahusiano ya ndoe ubarikiwe

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu hata ukiwaomba msamaha hawasamehe na ili wakuumize zaidi wanatafuta mahusiano mengine mapya wanakuumiza alafu wakienda huko kuishi wanaishi miaka miwili au mitatu baadae wanakurudia tena wanakuomba msameheane mrudiane na huku wanaishi na mahusiano mengine hapo ufanyeje urudi au uweke msimamo wa kuwaacha waende tu

    • @PaulMligo
      @PaulMligo 3 หลายเดือนก่อน

      Kuna muda nawaza hata MUNGU anisamehe, maana n inatia uchungu sana ye hakuwa radhi kukusamehe, ila yeye ndani ya miaka miwili au zaidi et arudi unisamehe mmmmmh! N uchungu sana Tena kosa lenyewe utasikia alichelewa kupika anaamua kuhama miaka duh MUNGU ANISAIDIE SANA