Mtumishi wa Mungu unanibariki sana Mungu akulinde, Mungu akutetee , Mungu awe ngao yako siku zote za maisha yako, Mungu abariki na uzao wako,kila unalifanya Mungu alifanikishe kwa jina la Yesu kristo aliye hai,Amina
Namshukur Mungu kwani somo hili limeenda kujib maswali yangu niliokuwa najiuliza kuwa kwanini Mungu aliufanya moyo wafarao mgumu…leo nmeelewa kuwa kumbe kusud la Mungu lilikuwa ni kuangamiza miungu ya misri kwanza ndipo wana wa israel waondoke misri🙏
Mch. Mmbaga upo sahihi sana kuwa Mungu ni halisi. Evolution siyo halisi ni uzushi tu (unintelligible ). No single evolutionary postulates have been observed . To the contrary ,every creationist postulates have been observed. That settles it.
Nina swali... mashindano ya Olympic yalifanyika kwa heshima ya mungu zeus wa ugiriki...je kuna madhara gani kwa mkristo kushiriki au kushabikia mashindano hayo leo...??
Asante pastor kwa haya mafundisho...Mungu azidi kukupa nguvu na ujasiri wa kuieneza injili yake
Naomba maombi juu ya mume wangu macho yake yanazibwa na ukungu mweupe hata kazi hajaenda wiki 2..naamini atapona..Amen..asante kwa mafunxo
@@marthakalekye8069 atapona kwa Jina la Yesu
Barikiwa zaidi baba
Umekuwa zaidi ya baraka kwangu
Nakufata nikiwa DRC congo
Baba yangu mwema mtunze mtoto wako huyu katika jina. la yesu amen
Mchungaji Mungu akubariki na azidi kukufunulia zaidi na zaidi ili wana wa Mungu wajengwe kiroho,umenijenga imani zaidi na zaidi
Mungu akubariki pr kwa mafundisho mazuri Mungu azidi kukufunika na damu yake🙏 naazidi kukupa ufahamu zaidi na zaidi
Amen asante sana pasta unanitia moyo mahubiri yako
Amen mentor may GOD CONTINUALLY BLESS YOU AND INCREASE YOUR BOUNDARIES
Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza Mchungaji.
Barikiwa sana Pastor unapoendelea kutufundisha
Mungu azidi kukutia nguvu Mtumishi wa uendelee kufungua macho walio gizani.
Amen pastor nina shida ya kisaikolojia ninakupataje
Ubarikiwe sana pr yaani mahubiri yako yamenibariki mnoo, mwenyezi MUNGU azidi kukutunza ili tunufaike na madini yako🙏🏼🙏🏼
Mtumishi wa Mungu unanibariki sana Mungu akulinde, Mungu akutetee , Mungu awe ngao yako siku zote za maisha yako, Mungu abariki na uzao wako,kila unalifanya Mungu alifanikishe kwa jina la Yesu kristo aliye hai,Amina
Amen asate mungu mafundisho mazuri nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏
AMINA PR. ZIDI KUBARIKIWA.
Namshukur Mungu kwani somo hili limeenda kujib maswali yangu niliokuwa najiuliza kuwa kwanini Mungu aliufanya moyo wafarao mgumu…leo nmeelewa kuwa kumbe kusud la Mungu lilikuwa ni kuangamiza miungu ya misri kwanza ndipo wana wa israel waondoke misri🙏
May GOD continue using you in a MIGHTY way so that many will know the LORD and be saved, 🙏🙏.
Am blessed by this sermon
Asante sana una tuyiya moyo
Tangu nianze kufwatiliya nina amani
Mungu aendeleye kuku tumikisha
Niko RDC)goma
U so blessed pastor
And thanks for the word
Thanks pastor mbaga tukutane mbinguni
Nimejus thamani yangu God bless you
Amina. Barikiwa sana Pastor.
Somo zurii haswaa...ckutamani lishe
Barikiwa Pr kwa ujumbe mzuri
Amina Pastor, Mungu azidi kukuangazia nuru za uso wake
BARIKIWA SANA PR.MMBAGA.
Thanks!
Kwali kabisa nimeipenda ilisomo 👏🙌🙏🏻
Thanks God you are on air finally coz have been waiting for it eagerly since last night, let us all stay blessed by the word greatly 🙏
Barikiwa or kwa ujumbe mzuri
Ubarikiwe sana Mchungaji umenifumbua sana macho ya kiroho
Nabalikiwa sana
AMEN . Tunakusubiri na tunakuombea
AMEN
Eagerly waiting
Amina pasta
Mch. Mmbaga upo sahihi sana kuwa Mungu ni halisi. Evolution siyo halisi ni uzushi tu (unintelligible ). No single evolutionary postulates have been observed . To the contrary ,every creationist postulates have been observed. That settles it.
SAWA mchungaji 🙏
Kama mwenyezi MUNGU akifunulia kometi yangu nakuiona nakufanikiwa kuoma naomba yangu nipigie mengi ninayo yakumisaidia
Amen pastor nina shida ya kisaikolojia ninakupataje ?
Amen
Kwenda gaza haikua mpango washetani nimpango wamungu
Pastor naomba niomber nasimbuliwa na nguvu za giza
Ameeeen
Aminaaaa
Nina swali... mashindano ya Olympic yalifanyika kwa heshima ya mungu zeus wa ugiriki...je kuna madhara gani kwa mkristo kushiriki au kushabikia mashindano hayo leo...??
Jaman napataje majibu sasa
Nita pataje hizi mahubiri zako zote ziwe kwenye simu yangu
Unaweza ku download
@@MahubiriPrMmbaga hicho kiswahili siki elewi baba mimi ni mutu wa dr Congo 🇨🇩🇨🇩
Pastor kwanini kofia za vijana wa pathfinder pia zina umbo la mdomo wa samaki zenyewe hazihusiani?
Lakini sasa je hawa akinamkwawa japo walikua namiungu walikua hawashindi vita
Pastta kunasiku natamani nije kanisani nisikilize mahubiri nikiwa naku ona
Pastor naomba number yako pls
Unaniponya kiroho na kimwil li paster nBwanq n mwema tunakuombea ulinzi wa Bwana atuongoze
Mbona hili somo halifunguki?
Wameandika linafunguka saa 12:00 Ndo maana my dear
@@MaddieMoreno-i7i Asante ndio naona sasa barikiwa sana my dear
Tubarikiwe sote my dear ❤