#SIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2020
  • VIGEZO NA MASHARTI
    1. Subscribe kwenye hii chanel ya GeorDavie Maarifa.
    2. Follow page yangu ya Facebook (GeorDavie Maarifa) na akaunti yangu ya Instagram GeorDavie Maarifa.
    3. Jibu swali utakalo ulizwa kwa usahihi.
    4. Uwe ndani ya Tanzania ili uweze kupokea zawadi yako.
    5. Tutachagua mshindi na kumtangaza kupitia TH-cam live 25th December.
    6. Lazima uzingatie sheria zote za kijamii zilizowekwa na TH-cam. support.google.com/youtube/an...
    7. Jina utakalotutajia ni lazima liwe sawa na jina lililosajiliwa kupokea pesa.
    ☞ Facebook; / geordaviemaarifa
    ☞ Instagram; / geordavie_maarifa

ความคิดเห็น • 7

  • @mathsmeme-tv6576
    @mathsmeme-tv6576 3 ปีที่แล้ว +1

    Moto moto .........🔥🔥🔥🔥#GeorDavieMaarifa
    #Kupatwakwazawadi

  • @emmanuelbeatrice2172
    @emmanuelbeatrice2172 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmependeza Sana, mnaongea vzr . 🔥🔥

  • @noahlomayani3778
    @noahlomayani3778 3 ปีที่แล้ว +1

    Nasubiri kwa hamu Sánaaaaa. Naamin kwa jina lá mungu wa. Babaaa angu ntashnda tu

  • @noahlomayani3778
    @noahlomayani3778 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli. Nikishinda. Ntafurahi Sanaaaa izi simu tunazotumia ni Vimeo ni shidaaaa Sána nikipengele sm yng ni ya zaman Sánaaaa inanichoshaaaaa uwiiiiiiiiii NAOMBA nishinde leooooo

  • @noahlomayani3778
    @noahlomayani3778 3 ปีที่แล้ว +1

    Mona davie unaongea vzr Sánaa. Nataman. Na mm usk niongee kam wewwww daaaaa dua zenu naomba kushinda nimeshinda leo. Na sm kutwa. Nzim nikijiandaa na .mtihan wang

  • @matridanyambele8774
    @matridanyambele8774 3 ปีที่แล้ว +1

    Naendelea kujiandaa naomba Mungu anisaidie nishinde

  • @esdrasbahati5787
    @esdrasbahati5787 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuna Subiri