MSANII 20% WA BONGO FLEVA AFUFULIWA KISANAA NA NABII MKUU - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 64

  • @mhandoonthebeats8581
    @mhandoonthebeats8581 7 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi watu wanafuata miujiza hawafuati maandiko,hapo wanamuabudu huyo jamaa aisee Mungu awaonyeshe njia

  • @valerianmtowe7822
    @valerianmtowe7822 ปีที่แล้ว +1

    Mbona ajapewa ela

  • @gwakisanoah2538
    @gwakisanoah2538 ปีที่แล้ว +3

    Nuru na giza katu havikai pamoja, lazima kimoja kiondoke. Ndege wafananao huruka pamoja... Pasi na shaka mmeshajipatia thawabu yenu.

    • @sirpleasureb
      @sirpleasureb ปีที่แล้ว

      2 wakorintho 6:14Msiambatane na watu wasioamini. Je, wema na uovu vyapatana kweli? Mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?

  • @hastatz
    @hastatz ปีที่แล้ว +2

    YESU njooo huku uone

  • @wemakingdaily1462
    @wemakingdaily1462 ปีที่แล้ว +6

    Wengine wanaenda kumuomba Nabii pesa tu

  • @atugonzalugemalila5142
    @atugonzalugemalila5142 ปีที่แล้ว +1

    Tutayaona mengi

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 11 หลายเดือนก่อน

    Ndio kiukweli tulisikia mengi mashabiki wako ndio kwanza tunakuona siamini pole sana bro.20%

  • @Nanata1995
    @Nanata1995 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki

  • @Nanata1995
    @Nanata1995 8 หลายเดือนก่อน

    Ok wazima

  • @samwelilulandala2384
    @samwelilulandala2384 ปีที่แล้ว

    Mkuu wa kuzimu huyu SI nabii wa mungu, mkono wa bwana uwe juu yake! Kanisa linashangilia upumbavu kanisani Kila siku ushetani mtupu

  • @user-sy8ug5en5o
    @user-sy8ug5en5o 8 หลายเดือนก่อน

    Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua

  • @machembachenga9446
    @machembachenga9446 ปีที่แล้ว +2

    Siku za mwisho mengi yatainuka na bado

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว +2

    Waganga hawana chochote mbere ya Baba Nabii Mkuu GeorDavie Balozi wa Amani. Najua umefunguriwa Sana. Kama nilivyo funguriwa

  • @eastafricabrokerkiller8028
    @eastafricabrokerkiller8028 ปีที่แล้ว

    Jamaa anajua safi sana

  • @mashapromise3364
    @mashapromise3364 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว +1

    Yuko sahihi sana

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tutaona mengi Sana mwaka huu 😢😂 ukitaka mkwanja tu andaa wimbo hata wa hovyo nenda kwa nabii unarud na milion moja

  • @maserafistudio4640
    @maserafistudio4640 ปีที่แล้ว

    Kisongo Wereeeeeeeh

  • @HesauDaudiInyalala-bb1ru
    @HesauDaudiInyalala-bb1ru ปีที่แล้ว +1

    20% hiyo nayo Kari sana

  • @josejosepg6601
    @josejosepg6601 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ipo 🤔🤭🤭

  • @Bonnyjakobo-hf5dd
    @Bonnyjakobo-hf5dd ปีที่แล้ว

    Dah,,,kak safii sana

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 ปีที่แล้ว +1

    Uuuuuwiiii

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Baba yangu GeorDavie Balozi wa Amani Nabii Mkuu Mungu Akubariki sana. Burundi Capital politic Gitega.

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 ปีที่แล้ว

    NJAAA

  • @kakajoeprosper957
    @kakajoeprosper957 ปีที่แล้ว

    Duuuuuu subirini tutaona mengi kwa uyo mzee na atadhihirika tuu

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb ปีที่แล้ว

    2 wakorintho 6:14 Msiambatane na watu wasioamini. Je, wema na uovu vyapatana kweli? Mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Sava Sana baba

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +1

    Twende kazi 😂😂😂

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 ปีที่แล้ว +7

    NawaambiagA hapo hakuna Mungu hapo ni Disco

    • @farajashaban1073
      @farajashaban1073 ปีที่แล้ว

      Kumbuka katiba inakataza kukashifu au kudharau imani ya mwenzako

    • @user-kk5ct8sx9t
      @user-kk5ct8sx9t ปีที่แล้ว +1

      ​@@farajashaban1073 na ufahamu biblia inasema Mungu hafanyi kazi na wapumbavu

    • @kelvinmwandiga6883
      @kelvinmwandiga6883 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa sio kanisa ni disco

  • @hilaliusjohn8386
    @hilaliusjohn8386 ปีที่แล้ว +5

    Hivi mazuzu Tz watakuja kuisha kweli?

    • @mropeamadeus54
      @mropeamadeus54 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza kuwa wewe ndio zuzu, maana hata kichaa uwaona watu wazima kua vichaa, wale wanaenda Kwa waganga na bar hao sio mazuzu, Yani Mtu aende church awe zuzu ndugu pole, umekosa heshima

    • @HellenEmmanuel-mz5bv
      @HellenEmmanuel-mz5bv ปีที่แล้ว

      Hivi hapo mnamfuata YESU au mwadadam sijaelewa?

    • @mropeamadeus54
      @mropeamadeus54 ปีที่แล้ว

      @@HellenEmmanuel-mz5bv MUNGU ndani ya Mtu uwezi ona MUNGU posipo Mtu.

    • @amosdickson6318
      @amosdickson6318 ปีที่แล้ว

      Yaani hatari sana ndugu.
      Wajinga hawaishi
      Yaani majitu yametekwa Hata hayajitambui.
      Mwe
      By AMO.G (AMOS THE GREAT)

  • @masoudymichael
    @masoudymichael ปีที่แล้ว

    Nimeipenda

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa wimbo gan huo jmn khaaa 😂😂😂

  • @ElizabethMtambo-pv2ql
    @ElizabethMtambo-pv2ql ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏

  • @amanididas7660
    @amanididas7660 ปีที่แล้ว

    We ni nabii wa wapi ????? Wa mchongo??
    Kanisan km studio au feista duuu

  • @mbunah255
    @mbunah255 ปีที่แล้ว

    😂 asante Studio😅

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni twenty percent? Au?

  • @furolafideligaya658
    @furolafideligaya658 ปีที่แล้ว

    Huyu nabii yupo poa kwani anawapa vya lohoni na vyamwili wengi hula vya washilika

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 ปีที่แล้ว

    Hapa mbinguni ni ngumu kuingia, Sasa nipango lawanyang'anyi Eee MUNGU tusaidie

  • @JamesMakasi-ck1hr
    @JamesMakasi-ck1hr ปีที่แล้ว +2

    Tutaona mengi Sana hakuna nabii apo

  • @wolterdavid8979
    @wolterdavid8979 ปีที่แล้ว

    20 parcent

  • @amanididas7660
    @amanididas7660 ปีที่แล้ว

    Hajapewa hata mia??? 😂😂😂😂😂 Rodi rodi rodi

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 ปีที่แล้ว

    Du

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuuh Hili nalo ni kanisa?

  • @chire4574
    @chire4574 ปีที่แล้ว +1

    Hawa ndo kina makenzi..

  • @pintymelodytz913
    @pintymelodytz913 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🙌🙌

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏

    • @janethkamazima8307
      @janethkamazima8307 ปีที่แล้ว +1

      Hv wewe unayejichukulia utukufu wa Mungu,tangulini nuru na Giza vikaaa pamoja kwann unapeleka watu kuzimu,unauwa watu Kuna masaa na madk Kuna kusaga meno watu msikie huyu Ni shetani mkubwa watumishi wameimba hmsikii

    • @janethkamazima8307
      @janethkamazima8307 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli huku ndani Ni ushetani unaendeleaje tu kwenye hili wanaloita Ni madhabahu ya Mungu

    • @mozespatnam7469
      @mozespatnam7469 ปีที่แล้ว +1

      Kanisa lenye Ibada za kishetani