Milliard Ayo uko vizuri Kwa lugha na hekima Mungu akubariki sana Kwa kuwa mzalendo kuitangaza nchi yetu nzuri pendwa Tanzania. Mwalimu alifanya kitu kizuri Arusha. Bravo!!!
Hongeara sana sana mama yetu kwa kutimiza ndoto zako za hiyo film,pili nakupongeza sana kwa kuitangaza Tanzania naamini uchumi wetu utapaa sana,mwenyezi Mungu akubariki.
Safi sana Millard.. Hii Royal Tour bwana imenishibisha sana.. Mama amefanya jambo kubwa mno mno mno... Nakumbuka miaka mingi iliyopita.. Wapinzani bungeni walikuwa wakilalamika sana kuhusu kuitangaza nchi yetu ya Tanzania na vivutio vyake vingi tulivyo navyo.. Leo mama kafanya.. Paaaaapu... Kwenye ulimwengu.. Kazi kwetu sasa
All Glory to God for our president vision.Naamini sasa tunaenda kusimama kiutalii kwa nchi kutangazwa kimataifa. Hongera Rais wetu kwa maono makubwa. Ahsante Millard Ayo kwa kutuletea
kaka Millard ayo nakuombea mungu akupe maisha marefu unatujulisha mengi nilihanzakukufatilia nikiwa mikowani adisasa ivi nipo dar badonamuomba mungu sikumoja nipige pichana wew naimani siku iyo nitafurai
Rais wa Nchi hawezi kusimamia jambo halafu liwe Dogo au baya..hii inaonesha ukubwa wake kama taasisi. Wengi hatutamuelewa,na ningeshauri kwa wale ambao hamjamuelewa Mama mkae Kimya,msilaumu mapema.. Mimi nasubiri kuona Nchi yetu ikivunja rekodi nyingi sana katika hii tasnia ya utalii,ni suala la muda tu. Hongera Mama,hongera Rais wetu.
Millard kazi nzuri ila nimegundua wamasai na culture Yao Ina mchango mkubwa sana katika sekta ya utalii tz mfano mdogo tu mbuga zote kubwa tz Serengeti, ngorongoro,manyara,tarangire majina yote hayo ni ya kimasai nao pia wanapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa kwa mchango wao wakutunza maliasili hizi.
Sio kaona hawafanyi vizuri, hiyo filamu alitakiwa yeye ndio aigize, kwa sababu inahusu kiongozi wa nchi ndio kuwa tour guide, mkuu katika hiyo filamu na imeshafanyika nchi nane duniani,
Milliard Ayo uko vizuri Kwa lugha na hekima Mungu akubariki sana Kwa kuwa mzalendo kuitangaza nchi yetu nzuri pendwa Tanzania. Mwalimu alifanya kitu kizuri Arusha. Bravo!!!
Hongeara sana sana mama yetu kwa kutimiza ndoto zako za hiyo film,pili nakupongeza sana kwa kuitangaza Tanzania naamini uchumi wetu utapaa sana,mwenyezi Mungu akubariki.
Hongera Raisi wetu Mama Samia kwa Kwa kazi nzuri.Ahsante Milladayo kwa Kutujuza yaliyojiri.Mungu awabariki nyote.
Good work Millard Ayo. You killed it. Be blessed.
Milard wewe ni hatari sana kaka umefanya kazi kubwa sana aisee Mungu akulinde sana sana Jamaa yangu We are proud of You Broo
This film will indeed open up Tanzanian future. God bless the President, God bless tanzania
Mungu akulinde Tanzania 🇹🇿... Thank you madam president
Millard you are the best ever, keep it up brother.. from Kenya
Asante sana Mathalai ! salimia Kenya
This had to be include into the documentary what a nice 👌 one big up millard you are my inspiration 🙌
This is absolutely amazing brother Millard, keep up the good work. #weareinyourback
Millard Ayo! You have nailed it my bro! 👏👏
Mama Samia is taking Tanzania to another Era! Kudos madam president👏👏
Love it....very nice 👌
Acha wanao beza wabeze Mama umefanya kazi nzuri ya kulitangaza Taifa. Sio kila mtu atakuelewa.
From 🇨🇩 Dr Congo pongezi kwako Ayo unakipaji 📌
shukrani sana Chokala
Safi sana Millard.. Hii Royal Tour bwana imenishibisha sana.. Mama amefanya jambo kubwa mno mno mno...
Nakumbuka miaka mingi iliyopita.. Wapinzani bungeni walikuwa wakilalamika sana kuhusu kuitangaza nchi yetu ya Tanzania na vivutio vyake vingi tulivyo navyo..
Leo mama kafanya.. Paaaaapu... Kwenye ulimwengu.. Kazi kwetu sasa
This is what we call creating country visibility -this being aired 350 TV stations in America it's just awesome ......
hakuna kitu kama hicho...350
Absolutely.
@@kamanda007 acha ubishi wa kipumbavu
@@yusufhemedyusuf3021 Hizo station 350 ni zipo, nitajie 5 tuu, poyoyo usiye na akili wewe
@@kamanda007 wewe mjinga tu
Hivi ndiyo umeuliza swali gani pumba wewe?
Mpigie Ayo umsikie fala wewe ambae bado unaishi kwa shemeji.
All Glory to God for our president vision.Naamini sasa tunaenda kusimama kiutalii kwa nchi kutangazwa kimataifa.
Hongera Rais wetu kwa maono makubwa.
Ahsante Millard Ayo kwa kutuletea
ubunifu mzuri sana Patandi Boy...............hongera Millard Ayo,Hongera Ayo Tv
Congratulations Raisi Samia Suluhu kazi iendeleee
Great work Millard 👏
Dunia hii huweezi kuishi peke yako hongera mama
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH
Kaka Allah azidi kufanyiya wepesi, kwakazi zako zote, From Malawi 🇲🇼. Son of Burundi 🇧🇮
Amen, asante sana Frank
@@millardayoTZA Mr Millard ayooo welcome Houston Texas Pasadena 🇺🇸
@@millardayoTZA Big up Brother, its a huge miles,God bless your work
Bro Millardayo hongera sana kwa kazi yako nzuri ubarikiwe sana sana
Kazi nzuri Millard ayo nakupenda Bure .pia mko vizuri kimitambo
Very nc, I like it , tnx for sharing
Asante bro sisi wengine NYC atukuweza kuuzulia so big up to you
Umefanya editing nzuri Sana kama BBC documentary flani unyama Sana kaka mkubwa
Umenyenyekea na wewe mwenyewe kuwa msanii Mungu akulinde akubariki akupe moyo huo huo maisha yako yote
Hongera Mama yetu Samia kwa kazi nzuri iliyojaa maono makubwa.Mungu ibariki Tanzania.
Your the best Millard Ayo good work .
Asante sana Henry
Hua nakuelewa Sana kaka ayo
Kep good work
Good job Millard ayo
I appreciate you broo 👊👊
Hakika Mama anaupiga mwingi. Hongera pia kwako kaka mkubwa Millad Ayo kwa kujituma zaidi na kutuletea habari mbashara God bless you
Kudos millard keep going
Kazi nzr Milard. Unaweza na unaweza tena
Am proud kuwa mtz Millard kazi nzuri
Asante sana Kudra
kaka Millard ayo nakuombea mungu akupe maisha marefu unatujulisha mengi nilihanzakukufatilia nikiwa mikowani adisasa ivi nipo dar badonamuomba mungu sikumoja nipige pichana wew naimani siku iyo nitafurai
Keep up Good work my brother Ayo
Brother we ni mtu kubwa sana katika tasnia ya habari sio tu Afrika basi ni duniani, nakuona kwa jicho angafu sn. Mungu akutunze kaka Miradi Ayo
Salute to you brother kazi nzuri.
Hongereni sana Ayotv
Good work Millard mungu akulinde
Amen, asante sana Dax
kazi nzuri mdogo wangu, we ni mpambanaji
Bravoooo 👏👏 👏
High creativity I like your work and lifestyle 💪💪
Ongera Rais wangu Samia na Mtangazaji.
Ubarikiwe Mzee baba, TH-cam channel yako ndo inanieweeka mjini Hadi Leo,be blessed brother
From arusha to the world I can't imagine the youth generation of tour operator agency has been growing up in number
The flying masai
Broo bigup sana mungu akupe kila jema utakalo ukovizuriii sana broo Millard report ziko powa sana cjawahi mis kuziangalia god bless you
Millard ayo mungu akujalie maisha marefu sema ameen
Amen 🙏
Millard hujibug msg za watu hapa leo vip
Mama unajituma kwa ajili ya nch yko na watanzania kwa ujumla Allah akulinde uzid kupambana kwa ajili yetu
Aaayyooooooo wewe ni hatali sana kaka🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤴🏿🤴🏿 binafsi napenda kukuita king wa habali God be with you brother
shukrani sana Pamba
Great content brother 👏🏾👏🏾
👊👊
🔥
Kazi nzur sana Millard ubarikiwe baba🙏
Rais wa Nchi hawezi kusimamia jambo halafu liwe Dogo au baya..hii inaonesha ukubwa wake kama taasisi. Wengi hatutamuelewa,na ningeshauri kwa wale ambao hamjamuelewa Mama mkae Kimya,msilaumu mapema..
Mimi nasubiri kuona Nchi yetu ikivunja rekodi nyingi sana katika hii tasnia ya utalii,ni suala la muda tu. Hongera Mama,hongera Rais wetu.
Tumezoea kuishi kwa mazoea ila kutambua fikila za mtu kunaitaji utulivu na usikivu .....
Ni lengo la miaka mingi ijayo ongeara Mama.
Millard kazi nzuri ila nimegundua wamasai na culture Yao Ina mchango mkubwa sana katika sekta ya utalii tz mfano mdogo tu mbuga zote kubwa tz Serengeti, ngorongoro,manyara,tarangire majina yote hayo ni ya kimasai nao pia wanapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa kwa mchango wao wakutunza maliasili hizi.
Good Job Millard👏
Asante Beatrice
Ahsante mama
Good job Millard
Daaah paramount ni moja ya studios ambazo nawish kuzitembelea asante millard kwa dondoo
Good job broo
Congratulations mom,madam president
Incredible work mama
Kazi nzuri brother Millard
Kazi nzur millard
Hongera sana Millad kungu aikuze chanel yako iwe juu juu juu sana
Asante sana Yousuph
One love ayo tv
Kazi nzuriiii Millard Ayo
Good job brother. Keep up 👀
Hii ndio channel ya kuangali isiyo nauongo kama zengine gd job bro
Asante sana Bakari 🙏
Great
Hongera kazi nzuri 😍😍😍.
asante sana
@@millardayoTZA kazi Safi
Good job...🔥🔥🔥
Ni jambo zuri Sana ambalo kiongozi wetu ambavyo kuwa natalie wa mbele kuinuwa uchumi wetu.
gud work bro millard ✌
Jamani Millard nakupenda bureeeeeee nijibu basi jamaniiiii
Pamoja sana Ritha, much love
@Ritha Mlipie mahari.. Alitunzwa eti.. Mzee Ayo aligharamia ili Kijana astawi. 🤔🥴😴
@@malopemaliyamungu5243 😄😄😄😄
Kudos
Appreciate bro
DJ mark fanya uje ututafsirie hii move pls
Hongera Ayo tv umepigwa mwingi
Well done brother
Milard upo vizur🔥🔥🔥🔥
Nec
Hongera mama
Hongera sana kaka miladi ayo
Oyooooooooooooo millard ayo upo juuuu
shukrani, pamoja sana Victoria
So nc
Good job Ayo
Hongera sana mh. samia
No comment but wonderful to what going on
Kazi iendelee
Mama kaona bongo movie hawafanyi kitu kaamua kufanya mwenyewe aises miss you Kanumba
Sio kaona hawafanyi vizuri, hiyo filamu alitakiwa yeye ndio aigize, kwa sababu inahusu kiongozi wa nchi ndio kuwa tour guide, mkuu katika hiyo filamu na imeshafanyika nchi nane duniani,
Millard inabidi tuongee na serekali ujengewe sanam lako
Pam village micocheni
Hatariiii fire
👊👊
🙌🔥🙏
Gud job ayo
Mpiga mwingi anazindua filamu hadi lini?