MC PILI PILI ATOA UFAFANUZI “NILISEMA USIOE MTU MWENYE TAMAA, SIYO MKE WANGU”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Huyu alioa kwa kukurupuka kwa kuangalia mwonekano wa nje.Mungu awape wanaume hekima maana wengi wamejenga jehanamu nyumbani kwao bila kujua.

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 15 นาทีที่ผ่านมา

    Nasemaje hakuna cha mtumishi wa MUNGU wala mganga swala lakupata mke au mume bora ni mapenzi ya MUNGU tu😂😂😂

  • @Bambagatz
    @Bambagatz 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Something is wrong somewhere.

  • @starlily07
    @starlily07 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tatizo lake huwa mropokaji sana

  • @vincej9275
    @vincej9275 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama kuna shida mwisho itajulikana tuu !

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sijawah kumwelewaga mc pilipili meme

    • @lydiamsheri4095
      @lydiamsheri4095 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anaeleweka sema hujatulia kutafakari.Ana maumivu moyoni ndo maana anaonekana haeleweki

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha kikiii brooo

  • @speciosermusika2009
    @speciosermusika2009 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani huyo interview haiwezi tumwa kwenye mtandao kwa kuthibitisha maneno ya MC Pilipili😂😂😂

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha kikiiii brooo