Dua na sala za makaburini acheni kabisa hazina hisa yoyote katika ulimwengu wa roho, huko makaburini ni mifupa sana tu na majini...ila Kanumba hajafa yupo kuzimu
Daaah..! Imekaa poa sana hii kwa kuwaenzi wenzetu ambao wametangulia mbele za haki,kuna namna m'mewapa faraja hata kama hawapo tena na sisi,safari hii ni yetu sote kwa kila mtu na kila mtu kwa muda wake,then M'meongea vema sana juu ya Kanumba God Bless you all ❤ Life its too short...😢
Hongera kwakulijua hilo bora utubu Mungu akubariki sana
Marehemu kanumba kumbe alikuwa ana madem wazuri ndio kawaingiza kwenye tasnia bongo movie wakina wema irene aunty lulu
She is very smart 👌
Mungu akubariki dada
Amen dada 🙏 barikiwe sana usigope ata wa kikutusi ata Jesus wali mutukana sana
Uwoya mkari sanaa💕💕💕💕💕
Mtangazaji bora kabisa
Amewakula san r.i.p kanumba
Mungu awarehem waliotangulia InshaAllah
Dua na sala za makaburini acheni kabisa hazina hisa yoyote katika ulimwengu wa roho, huko makaburini ni mifupa sana tu na majini...ila Kanumba hajafa yupo kuzimu
Naona mpo wote kuzimu
Daaah..! Imekaa poa sana hii kwa kuwaenzi wenzetu ambao wametangulia mbele za haki,kuna namna m'mewapa faraja hata kama hawapo tena na sisi,safari hii ni yetu sote kwa kila mtu na kila mtu kwa muda wake,then M'meongea vema sana juu ya Kanumba God Bless you all ❤ Life its too short...😢
Mkubwa, mtu. Akiishakufa''' hajui neno lolote,,😊
Sio kweli @@marymwasiga
Maneno mazuri sana
Nakumbuka ile of side ukampiga bastola ya kichwa 😢
Yaaan nyie mpo hai lkn pia mnataka kuenziwa
"Nilikua napenda kuimba ila sauti ikaniangusha" 😂😂😂kanikumbusha Riyama Ally interview yake na Salama😂😂
Kanumba legend
Faraja Ya Tasnia
Jamani heshima nikitu chabule kwani hamsikii kwamba kunaibada inaendelea hapo kwanini msisubiri iishe ndio mfanye interview???
Mke wa janjaro
😢
Bonge La shangazi arichuji obra
Huyu bado haja okoka.
Mguu inje mguu ndani
Kaokeni na nyie!
Cameraman usimuoneshe mtu mmoja muda mrefu zungusha camera huku na kule ingenoga sana unaemuhoji ibaki sauti tu
Yani mpaka mtu ukitaka kujikuna huwezi manaa mda wote mkamera unakuangalia wewe tu