wow safi sana kwa kumkumbuka mwenyezi Mungu uzidi kubalikiwa pia uwe na hofu ya Mungu siku zote ishi kwa kumtengemea Mungu pia mwenyezi Mungu akubaliki sana rayvan wew ni mfano wa kuingwa sisi kama vijana tusikubali kupotea kizembe kisa mambo ya kidunia
Ila Ray jamani si mungu akubariki sana I lack words even to describe you,you have been a good example to others just wishing you all the best in your endeavors 🥀🥰
Atobolee wapi hawa wachawi wanachota nyota za wenzao tu! Our almighty God don’t work that way, read the Holly Bible by the help of the Holy Spirit you will definitely understand what I’m talking about
@@LeganNtambi hapo uhakika yaani mwamposa mimi Sina Cha kumlipa kutoka dalasa la saba mpk Oman. Na mshahara wangu mwalimu halipwi aaaaah weee acha nimtukuze MUNGU wangu
Mara nyingi watu ambao hawajui maandiko ndio huwa wa kwanza kuwafundisha wengine kuhusu maandiko. Tena anajaribu kumshuhudia roho Mtakatifu, lkn ww hujamtaja Roho lkn tumeona kazi ya Roho Mtakatifu ktk ushuhuda wako. Hongera Sana dada@@MonicaMkombwe
Tufanye yote hapa Duniani mwisho wetu ni mauti. Tumkumbuke muumba wetu wakati tukiwa na nguvu. Hongera sana Raymond umefanya jambo kubwa sana kukuribia kwa Mungu. Nami nakutakia mafanikio mema katuka kazi yako ya sanaa ya Muziki.
Hongera sana rayvany mwenyezi Mungu akupe kibari Bado konde boy .ili aache kupenda mishangazi . Alianzana na wolper , akaja Sarah, akaja kajara ,akaja na mshangazi mwingine njoo uombewe
Kafili alie rahaniwa anaacha kusoma vitabu vya mwenyezi mungu anategemea mtu ata maandiko yanasema amtumainie mtu amarahaniwa nakusii soma ndugu uwepuke kuwa kafili kufuata mkumbo
Mungu ni wa wote..hivyo tusimhukumu mtu yeyote..hata Paulo alikuwa Sauli na aliwaua manabii lakini alisamehewa..wewe ni nani mhukumu kijana huyu? MUNGU awajua walio wake tokea mwazo ni wale walioitwa kwa Jina lake..haijalishi maovu yetu.
Sasa Asikali wa nini nawakati mnauwakika wa Mungu hii Dunia bwana😂😂 yaani mpaka walinzi😂😂😂😂nacheka miye kama mazuri ngoja nibaki kumuomba pekeangu sitaki ushirikina😂😂😂😂
@@ProsperReuben-fg6uhYesu anafanya kutumia watu. Maandiko yanasema watamsikiaje asipokuwapo wa kuwaambia. Yesu katuokoa kupitia msalaba lkn mjumbe yoyote juu ya kazi ya wokovu anawaokoa watu.
Kama unapenda kuwa na mwisho mwema wapi likes much love ❤❤❤❤254God bless
Kama unaendeshwa na shetani mwisho mwema utatoa wap? We subiri nafasi yako unayostahili
th-cam.com/video/H-b4DSlxBfA/w-d-xo.html
Mungu akufungulie milango ya baraka nipenda sana ulivyo amua kuombewa
Kuombewa sio kupata wokovu ww
Soo touchy ! Mungu ambariki kijana huyu! I c him to be a gospel singer in future! He will even be blessed more! Gospel.music has a fortune as well!
wow safi sana kwa kumkumbuka mwenyezi Mungu uzidi kubalikiwa pia uwe na hofu ya Mungu siku zote ishi kwa kumtengemea Mungu pia mwenyezi Mungu akubaliki sana rayvan wew ni mfano wa kuingwa sisi kama vijana tusikubali kupotea kizembe kisa mambo ya kidunia
Rayvanny alishawah kumshirukisha The late Magufuli ktk wimbo wa Corona. Kwa this time ni Mwamposa😅😅😅
Mungu amekuja Kwaajili ya watu waliopotea hata reyvany anafunguka taratibu aliyekiroho anaelewa nin namaanisha❤❤❤
The vocals are incredible! Huyu kijana ni treasure for our nation!
Jamani uyo reyvany mnataka ainuliwe mara ngap na mungu..😊i
anataka kuwa kama Jay z
❤❤❤ Mungu akukumbuke zaidi rayvanny, Mungu haangalii mwanzo wa mtu huanfalia mwisho wa mtu❤❤❤
congratulations my Big brother
Mungu akubariki mwamposa. Nimependa kukubali sauti yako ikawabariki watanzania kupitia Reyvany
Karibu kwa Yesu Ray v van boy
Huyu jamaa alishaokoka kitambo sanaaa tangia yupo mbeya...sema tu ndio hivo...ila siku atarudi
Rayvan is going far🎉❤❤❤live long for us man❤❤❤
Natamani sana kuonana na MWAMPOSA❤❤ love from 🇲🇿🇲🇿
Bertothaisa Kalibu 🇹🇿
@zephaniapaul9592 Asante 🙏 ukifika muda nitawatafuta wezangu wa Dar
Uko wapi kwani na skukuuu ni tar 25 fanya urudi tz@@BERTOTHAISA
@@GamDuel-vr4hp Niko Msumbiji🇲🇿 tutakutana Mwakani❤️
Ila Ray jamani si mungu akubariki sana I lack words even to describe you,you have been a good example to others just wishing you all the best in your endeavors 🥀🥰
Lzm utoboe inshaallah ❤❤ umekua wa mfano
Safiiii sanaa mwamba kabisaaa huyuuu rayvanny no one like you boy
Mwamposa mungu akupe maisha marefu and continue to save people of gods almighty 🙏
Mungu akubariki sana Rayvany
Hakika mungu anaweza mungu akujalie mwisho mwema
Amen naye mwenyezi Mungu akuzidishie
Mtumishi wa Mungu katika madhabahu ya Mungu anahitaji askari wa serikali
Kale kaswali walikoulizwa wale watu nani kawaroga hakika inadhihirika hapa.tumerogwa wengi.mungu wangu nihurumie mimi.
Amen 🙏🙏⛪⛪ mtumishi wa Mungu,,..
Nyimbo yngu Pendwa hii❤
Hongera madogo wangu barkiwa sana
Ima
Mbona nimetaka kulia, mwamposa ana nguvu asee... 🎉
Woo thax Revanny kwa ushuhuda
MUNGU azidi kukujaza nguvu mtumishi mwamposa tuendelee kubarikiwa na kukombolewa,,..🙏⛪
Mungu akubariki mwamposa
Upo sawa Mungu ndio kila kitu🎉🎉
Rayvanny lazima utoboe kwa maombi hayo mungu akubarik sana❤❤
Atobolee wapi hawa wachawi wanachota nyota za wenzao tu! Our almighty God don’t work that way, read the Holly Bible by the help of the Holy Spirit you will definitely understand what I’m talking about
@@LeganNtambi hapo uhakika yaani mwamposa mimi Sina Cha kumlipa kutoka dalasa la saba mpk Oman. Na mshahara wangu mwalimu halipwi aaaaah weee acha nimtukuze MUNGU wangu
Mara nyingi watu ambao hawajui maandiko ndio huwa wa kwanza kuwafundisha wengine kuhusu maandiko. Tena anajaribu kumshuhudia roho Mtakatifu, lkn ww hujamtaja Roho lkn tumeona kazi ya Roho Mtakatifu ktk ushuhuda wako. Hongera Sana dada@@MonicaMkombwe
utapeli TU huo Amna lolote hapo kumuhusu kristo au mungu halisi
@PAULNYANDILE Kwani ww ulitegemea Nini hapo ili ujue ni Kristo au Mungu?
Nice dressing broh... its better to bow before the Lord and Jesus Christ is our saviour
Amen 🎉🎉🎉🎉
Mungu simama na Mimi pia nifanikiwe
❤❤❤❤❤❤❤ God bless you Rayvany
Tufanye yote hapa Duniani mwisho wetu ni mauti. Tumkumbuke muumba wetu wakati tukiwa na nguvu. Hongera sana Raymond umefanya jambo kubwa sana kukuribia kwa Mungu. Nami nakutakia mafanikio mema katuka kazi yako ya sanaa ya Muziki.
❤❤❤safi sana kilakitu Mungu ni wakwanza❤
Nmeipenda hii 🎉🎉🎉🎉❤
Yohooo baba una juaimba
Ubarikiwe sana na wapenda sana ❤❤❤
Mungu anaweza na anajua atamjaalia sa sjajua anashda gani huyo ray
Utasikia reyvan kaachia wimbo unaofanana na nyimbo za dini, kama kweli kaenda kusali Mungu ambariki sana.
Kaanza na wimbo kweny album kamshirikish mwamposa
Kama ulitabili hv
Hongera sana rayvany mwenyezi Mungu akupe kibari Bado konde boy .ili aache kupenda mishangazi . Alianzana na wolper , akaja Sarah, akaja kajara ,akaja na mshangazi mwingine njoo uombewe
Na bado upande wapili mtaumia sanaa😂😂. Mwamposa tunae na tunatambanae❤❤
Kafili alie rahaniwa anaacha kusoma vitabu vya mwenyezi mungu anategemea mtu ata maandiko yanasema amtumainie mtu amarahaniwa nakusii soma ndugu uwepuke kuwa kafili kufuata mkumbo
Sisi tunaumia tukion mtu wetu anapotea lkn uyo wenu wenyew kaxhapotea tng anazalie kw wazaz wke
Laaana summaka we😊
Tuone kama siku ukifa atakufufua malaya usiejitambua wewe 😂
Dunia inako elekea nivituko so mtu kumpokea kiristo bali kuombewa ndo ishu hurumaa😢😢😢😢
Mungu ndio msemaji wa mwisho🙏
Kazi nzuri
Mungu ni mwema sana ila akuwa na lolote ajaaguka bali na kuwekewa mikona ya wachungaji wengi😅😅😂😂
Daaaa mungu iko😊❤❤😂😂
Ray vanny no🙏❤️
Can't get enough of listening to this gentleman he is my mentor always
Van umeimba vizul Sana 🤗😍🔥🛍️🇹🇿
Hahahah dah mwamposa ni kiboko yao 😅Heshima yako Vanny boy❤❤
Mungu alivo waajabu ata ingekua kazi za jamaa zisipo mpendeza bado kwa kuwekewa mikono ya watumishi wa Mungu anabarikiwa
Hii ndo ajabu ya Mungu ambayo watu wengi hawaielewi...Kuna nyakat anajua atambananisha na atatumika kwa Utukufu wake
Amina Mungu akubariki sana
Ameeeeen, umechzgua jambo jema kijana utafika mbali
Afu atokee mtu aseme album haiweze kwenda viral😂😂😂
Mungu ainuliwe na mungu amtunze 🙏
Nimeamin kwel mambo yadunia yatapita nakumrudia mungu ama kwel hamna kama mungu🙏
Proudly to be Muslim 🤗
Nani kakuulizaa
Nakupenda sana mtumishi was mungu mwamposa mungu azidi kujupa hekima sana
Nice Vannyboy
Good song
Ni heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake umefanya vyema Raymond🙏
kiki tu upuuzi mtupu
Safi sana rayvanny
Ukimkimbilia Mungu lazima ukejeliwe.ni kawaida sana Mungu akutunze rayvany
AAMIIN 🙏❤💯
Ravvany umenibariki sana kuanzia kesho naenda kanisan
Wewe muislamu
shabani we shabani shabani we shabani shabani madobe........😂😂😂😂😂
Inna Lillah waina ilaihi rajiun
Karibu sana Mungu akubariki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 madobe😂😂🙌🙌🙌
Shetani huyu ana nguvu jamani amejua kuwateka poleni sana 🤣
Pole sana mfungwa wa milele wewe .ni nani wewe wa kuhukumu wenzio?
@ toka apa zuzu wewe
Mungu ni wa wote..hivyo tusimhukumu mtu yeyote..hata Paulo alikuwa Sauli na aliwaua manabii lakini alisamehewa..wewe ni nani mhukumu kijana huyu? MUNGU awajua walio wake tokea mwazo ni wale walioitwa kwa Jina lake..haijalishi maovu yetu.
shetani ana nguvu kwako tu,kwetu hana nguvu Yesu ndiye mtawala
@ pole
Rayvanny anaakili sana hapo kashoot video ya wimbo wake na mwamposa 😁😁😁👏👏👏💥💥
alaaaaaaaaah 🤣🤣🤣
ubarikiwe van boy
Yote tisa napenda sana jinzi alivyo humble Rayvanny
Congratulations Raymond
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys
VanyBoy
Mungu akubariki mwamposa na ryvan
hayo ni maigizo TU wote hao kazi Yao ni moja kuuchanganya ukweli na uongo uende pamoja
😂😂😂😂😂
😂😂 mi ndo nafurah nkion vjana wakimrudia mungu ❤
hareluya yesu yupo
Tupo pamoja Mungu ni mwema tunasubili 31/12/2025 tukavuke pamoja ❤❤❤❤❤❤❤❤
Haya bhna Rayvain
Yaaani Mungu awafungue macho kama wengine tulivyotoka huko
Waimbe live na studio ndio utajua nini maana ya autotune....
Nampenda sana Mwamposa
MUNGU Ambariki sana
nikajua ataangukaaa chiniii na mapepooo,,,,,,🤣🤣🤣🤣
😂😂😂ana pepo uyo
😂😂p
Good 🎉🎉
Mungu akusaidie ley
Ila kuwa star niraha sana ingekuwa mwingine angepata maombi rahis ivoo😮
Mungu awe nawe katika maisha yako
🎉🎉🎉
Sasa Asikali wa nini nawakati mnauwakika wa Mungu hii Dunia bwana😂😂 yaani mpaka walinzi😂😂😂😂nacheka miye kama mazuri ngoja nibaki kumuomba pekeangu sitaki ushirikina😂😂😂😂
Rayvany mjanja kajua kitu alichokifanya sio kizuri kaja kujipendekeza tuu bwana😂😂😂😊
Alifanya nini??
😂😂😂 kwel kabix
Ni kinyume na haki miliki
@@AwaShaban alichukua sauti ya upako wa lazima utoboe na kuweka kwenye nyimbo zake
@@MonicaMkombwe 🙏🤝
Mungu anawajua walio Wake. Sote tunamhitaji MUNGU.
be blessed💓💓💓
Asante Marioo kwa kumstiri binti yetu
Brow umetisha
jmn my role modal mungu akufungulie milango ya baraka
Mwamposa mtumishi aliyetumwa na mungu kutukomboa🙏🙏🙏
Kukukomboa peke yko .hkun mtumish hap ,wavivu wakusoma neno ,utajua tu,ukilijua neno huwez ona utumishi wke,kasome neno
😂
Kama mwamposa anaokoa Yesu Kaz yake msalaban ilikua ni nn?
@@ProsperReuben-fg6uhYesu anafanya kutumia watu.
Maandiko yanasema watamsikiaje asipokuwapo wa kuwaambia.
Yesu katuokoa kupitia msalaba lkn mjumbe yoyote juu ya kazi ya wokovu anawaokoa watu.
Sio yesu tena😂😂😂
Amen amen 🙏
Hizi buku buku mnaona ndogo lakin siku mtasikia jamaa anamkaribia elon musk
Duh kwa sauti hiyo umetishaaaa
Nimeipenda iyo