EXCLUSIVE: IRENE UWOYA alizwa na Ada ya mtoto wake/Anatumia maziwa kuogea/Tuhuma za kumuua Ndikumana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • copyright of ZamaradiTV
    Produced by Zamaradi Mketema
    Camera/Editing by Bestizzo
    Color Grading by JEFF

ความคิดเห็น • 1.8K

  • @Angetrida
    @Angetrida 5 ปีที่แล้ว +52

    Zama nlimiss Sana vipindi vyako your the best...and big up to Irene she is a woman and a half 🤗❤️❤️

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw หลายเดือนก่อน +2

    Naam! Kweli kabisa,mtoto wako ana busara sana .Wazazi hakuna chochote kikubwa unachoweza kumpatia mtoto wako zaidi ya kumzaa. Hiyo shule ya gharama kubwa sana siyo muhimu sana kama unaona uwezo wako hauruhusu.Elimu ni muhimu ila si kuridhisha walimwengu.Mhimu ni kumfundisha mtoto kuishi vyema duniani kwa kusoma shule zenye kutoa elimu nzuri na ada za kawaida tu.Pongezi Zamaradi kwa mahojiano mazuri, pongezi pia Irene Uwoya.❤❤🎉

  • @everlynekakatoi1704
    @everlynekakatoi1704 5 ปีที่แล้ว +27

    Irene,you r a hero,singles mothers r hero's,hakuna mtoto anaishi maisha mazuri katika hii dunia kama mtoto was single mother,keep it up dear

  • @naomimmary3885
    @naomimmary3885 5 ปีที่แล้ว +43

    Bora ata ulimzaaga mtoto wako leo anakuwa faraja kwako, kuliko ungemtoa mungu akulinde umalize mwendo salama

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 5 ปีที่แล้ว +37

    Nakupenda sana Irene mungu akutumzie mtoto wako na mungu akupe mwingine

  • @miriamcheya3136
    @miriamcheya3136 5 ปีที่แล้ว +6

    Km ulishawah kufwatilia interview za irene nahukuona machoz sponges kwa zama km umeona hilo gonga like twende sawa

  • @Lawrenciamuhode
    @Lawrenciamuhode 5 ปีที่แล้ว +57

    Nampenda Sana Irene😘umeniliza stay blessed

    • @princesssway1396
      @princesssway1396 4 ปีที่แล้ว

      Nampenda pia IRA anamaringo bora wema

  • @keits255
    @keits255 5 ปีที่แล้ว +42

    “ Tanzanian Oprah “ people Seem to open up with you Zamaradi . You’ve got that connection with people ! Good interview!

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV 5 ปีที่แล้ว

      Kate Semiono th-cam.com/video/YIoCQeP48yk/w-d-xo.html

  • @keylopaxassey3375
    @keylopaxassey3375 5 ปีที่แล้ว +453

    Interested interview.. You need a small table, tissue papers, and maybe some water..

    • @phillipajmpanduji9553
      @phillipajmpanduji9553 5 ปีที่แล้ว +2

      Keylopax Assey I second that

    • @giftprudence
      @giftprudence 5 ปีที่แล้ว +2

      Thank you, I agree.

    • @dorislelo287
      @dorislelo287 5 ปีที่แล้ว

      Kabisa tissue na maji visikose

    • @nadinemiruho4530
      @nadinemiruho4530 5 ปีที่แล้ว

      Pole sana dada yangu mungu atakusaidiya I Love you more ❤❤

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 5 ปีที่แล้ว

      Your right

  • @asnalially6799
    @asnalially6799 5 ปีที่แล้ว +25

    Yaan bonge la interview zama anauliza maswali kiakili sana mpaka irene kaongea ukweli wote sijasikia NO comment 😄😄😄👍👍

  • @florambwambombwambo1322
    @florambwambombwambo1322 5 ปีที่แล้ว +57

    Kama unamkubali zama gonga like hapa

  • @neemaerasto1842
    @neemaerasto1842 5 ปีที่แล้ว +6

    sister zamarad ur a super woman
    i lov very much big up and ur interview session
    very sorry irene uwoya let God be with u in ur hard time ur passing through

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 5 ปีที่แล้ว +44

    Zamaradi hongera Sana Irene ana kuheshimu Sana kwa kujibu hayo maswali yote

  • @swabrakaisary8960
    @swabrakaisary8960 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole saana Iren kwakweli umenistisha saana nimkasa ambao Mimi napitiaa wakusomesha mtoto ivyo nimeumia saana Munqu akutie nquvu

  • @mgenisalim6947
    @mgenisalim6947 5 ปีที่แล้ว +42

    Best interview ever daa zama ur so smrt unapouliza maswali

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 5 ปีที่แล้ว +27

    Bonge moja la Interview....💕💕💕 duh hadi nimelia na Mimi.

    • @estamapesa363
      @estamapesa363 5 ปีที่แล้ว

      Dada Yangu mambo uko wapi jmn ckuon miss you much

  • @malisemagasper1685
    @malisemagasper1685 5 ปีที่แล้ว +45

    Hongera sana zamaradi unahoji kwa step lkn pia maswali yako ya heshima sio ya hovyohovyo yan unajua kuuliza kwa hekima

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mpenzi #IreneUwoya asiejua uchungu wa mwana aende #Leba ataelew why unalia! Ila hongera san mamii unajitahid kbs na Mungu azidi kukupa nguvu na maisha ili umuudumie Mtoto.

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว +11

    Unaniliza dada uwya❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢

  • @wamchomvudedone9873
    @wamchomvudedone9873 5 ปีที่แล้ว +57

    Interview nzur ila ushaur kuwe n Maji,tissue o coffee...

  • @zainathcuwimigishazchelsea2113
    @zainathcuwimigishazchelsea2113 5 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah IREN UWOYA wangu, Mungu akunilindie nakupenda san my sister, napole kwamitihan unayopitia be strong my star . nilikupendaga kipindi Niko darasa la 6 (2007) adi nikawa nakuhiga kuva adi kuongea najina la Oprah likaniiva mwisho nikacha kuva style zako kwasababu yawazazi wangu wenye dini.ila nakupenda saana Oprah wangu. Kutoka BURUNDI

    • @elieereka8744
      @elieereka8744 5 ปีที่แล้ว

      ZCuwimigisha Zchelsea23 pumbavu

    • @evelynembogoma9499
      @evelynembogoma9499 5 ปีที่แล้ว

      ZCuwimigisha Zchelsea23 njoo uku kuna ndugu yako

  • @openmindtz
    @openmindtz 5 ปีที่แล้ว

    nimependa show ni nzuri n very creative kwanza ni mtu kuwa Open zaid na mahojiano yaliyo tokea huko nyuma na Tvshow zingine....ila changamoto iliyopo ni juu ya sauti kutosikika vizuri mfano dakika ya 27 sauti inaanza kuyumba na kusikia vby....i hope next more show we wil have gud n great One....i bless the show

  • @prisilakapinga3781
    @prisilakapinga3781 5 ปีที่แล้ว +192

    Wale wa st Kayumba wenzangu nipen likes

  • @esthermiseka8315
    @esthermiseka8315 5 ปีที่แล้ว +18

    This interview makes me cry😰

  • @mwanaishamakumbuli3360
    @mwanaishamakumbuli3360 5 ปีที่แล้ว +14

    Safi sana Dada zamalad kwa interview Nzuri nimejifuza kuwa na maelewano mazuri na mtu kabla hajatangulia mbele za Haki, mwanaisha makumbuli toka mbeya

  • @pinahoscar6735
    @pinahoscar6735 5 ปีที่แล้ว +20

    Irene napenda the way unavoongea yan sauti yako tamu balaa👏👏👏maswali makini, majibu makini kiujumla bonge la interview hongera zamaradi baby😘

  • @evancemsyangi8324
    @evancemsyangi8324 5 ปีที่แล้ว +203

    Kama umeona I phone toleo jipya gonga like

    • @aminakombo582
      @aminakombo582 5 ปีที่แล้ว

      leleopard mbona kama povuu achaa wivuu

    • @blackpantherleopard6320
      @blackpantherleopard6320 5 ปีที่แล้ว +1

      @@aminakombo582 😁😁😁sasa wivu wa nini akati ivyo ni vya kawaida mmmm africa bwana umaskini unatuma mtu anasifu kitu cha ovyo kweli ungesema ana miliki gari la kwanza kisamani siyo iyo simu au ungesema nyumba

    • @maryemmanuel6764
      @maryemmanuel6764 5 ปีที่แล้ว

      evance msyangi na hotel kubwa anazotumia achane nazo kwanza

    • @sophiakasim5153
      @sophiakasim5153 5 ปีที่แล้ว +1

      Na ndo alichotaka kuonyesha

    • @mustafaabdul6297
      @mustafaabdul6297 5 ปีที่แล้ว

      Upo vizuri sanatu

  • @joank5550
    @joank5550 5 ปีที่แล้ว

    Irene u're a fighter. Wewe ni mama wa mfano wa kuigwa. Ila unajinyonga sana. Million 30 ni gharama sana. Mbona zipo shule nzuri tu za gharama nafuu.

  • @SandraSalomeAngolorctr
    @SandraSalomeAngolorctr 5 ปีที่แล้ว +21

    Dada Zama..you are doing a great job but a nice table between those chairs with a box of tissues and some cute flowers would be nice. Love from Ug🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @boboyann3435
    @boboyann3435 5 ปีที่แล้ว +11

    Wale wanawake wa Wasafi TV wajifunze kutoka kwako Zamaradi, wanakua na kiherehere mingi sana kwa interview zao.....Irene u made me cry😭😭😭😭😭

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 ปีที่แล้ว +87

    Huwa naumia nikiona mwanamke akilia especially single moms ...pole irene..God will see you through darling

  • @judyfess2906
    @judyfess2906 5 ปีที่แล้ว +5

    Zama knows her thing. I rarely watch interviews to the last word... But I just watched upto the time she waved bye😂 more love from Kenya beautiful Zamaradi.. And to Irene Uwoya... You are a one man army.. Being a singke mom is not a walk on the park.. I know that part. I can relate

  • @bettykim146
    @bettykim146 5 ปีที่แล้ว +18

    Congratulations sister zama I like the way you put your interview in order more love from Kenya 💕💕❤

  • @khatibkhatib926
    @khatibkhatib926 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sister ,Lakini Zamarad itapendeza kama utakuwa unaweka tissue na maji wakati unafanya interview ,khatib kutoka England 🙏

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 5 ปีที่แล้ว +45

    I like vile camera man anajua kuzoom Irene wakati anaongea kitu iko na uzito

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @longshot4484
      @longshot4484 5 ปีที่แล้ว +2

      Sio cameraman ni editor, hapo kuna camera tatu

  • @najmaally7556
    @najmaally7556 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda iren sana yaani unajitambua sana umekuwa mama mzuri sana Kwa kijana wako

  • @evagracefredy4950
    @evagracefredy4950 5 ปีที่แล้ว +40

    Irene umeniliza sana kuhusu mtt sina ata chakuongea pole sana msomeshe mtt ndo msahada wako na msili wako

    • @effieyange5392
      @effieyange5392 5 ปีที่แล้ว

      Ishi kulingana na pato lako..au ulie kila siku.

  • @victorpaulmalatu5036
    @victorpaulmalatu5036 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anipe maisha marefu kwakweli,nimeuona uthamani wangu kwa wanangu nikiwa kama baba,god bless me.

    • @Neemakilimba
      @Neemakilimba 3 ปีที่แล้ว

      Victor paul malatu ,Hilo jina la malatu mbona nilababu yangu

  • @tinas.6058
    @tinas.6058 5 ปีที่แล้ว +8

    Good interview 👌need tissues and some drinks for next time 😊love you Irene 🥰

  • @kabaritah8148
    @kabaritah8148 5 ปีที่แล้ว +7

    Irene ure a hero, God will take care of ure son.Don't let anyone judge u. And Don't be intimidated

  • @dorislelo287
    @dorislelo287 5 ปีที่แล้ว +18

    Best interview Irene amefunguka unatendeaga haki zama ila pale alipokua analia ungejaribu hata kumliwaza kidogo kingine mahijiano mengine pasikose angalau maji na tissue

  • @salimdiabyonlinetv4873
    @salimdiabyonlinetv4873 5 ปีที่แล้ว +29

    *MUCH RESPECT ZAMARADI* 🤩

  • @gloriaodaba4001
    @gloriaodaba4001 5 ปีที่แล้ว +113

    Zama you need tissues if u have to evoke such deep emotions from people.I like your interview the.

    • @leilamom2270
      @leilamom2270 5 ปีที่แล้ว +1

      Hongera zama

    • @farahmussa9754
      @farahmussa9754 5 ปีที่แล้ว +4

      Kwahio zimekosekana tissue bado hajafanya vizur jamani 😏, mwanamke hand chief 👌na wala si mzigo.Leo hajaweka kitu kesho akiweka soda bado utasema aweke wine ,waja mengine tupunguze.

    • @stanleymlela2474
      @stanleymlela2474 5 ปีที่แล้ว +4

      Kwani nn nayeye da Irene asitembee na leso

    • @watson2488
      @watson2488 5 ปีที่แล้ว +4

      gloria odaba ,,,its true tissue would do , than wiping out tears with them bare hands

    • @yasmenoozm8094
      @yasmenoozm8094 5 ปีที่แล้ว +1

      @@stanleymlela2474 aki ww🤣🤣🤣

  • @masungatv
    @masungatv 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwa mtu aliesoma Communication hii ndio art of asking questions good work Zama

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 5 ปีที่แล้ว +11

    Daahh hayo Manywele jamani mtu unaweza kulala vipi jamani😳😳😳 marefu namna hio mengii kisha mazito dah🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @aloycemasele7236
    @aloycemasele7236 5 ปีที่แล้ว +215

    Unalia? Yaan mi nikifanyiwa interview niongee yangu na mtt wangu hata mtangazaji utalia mpaka ufunge kipindi, single mother sisi hee mungu ndie anaejua.

    • @pendogodwin1612
      @pendogodwin1612 5 ปีที่แล้ว +7

      MUNGU atupe wepesi

    • @aloycemasele7236
      @aloycemasele7236 5 ปีที่แล้ว +4

      @@pendogodwin1612 amina

    • @danielrichard3131
      @danielrichard3131 5 ปีที่แล้ว +2

      Kibo cha ndesi unaogea maziwa uwiiiio

    • @zuenaramadhan802
      @zuenaramadhan802 5 ปีที่แล้ว +3

      Acha kbs tunalea kwa shida mno Basi tu

    • @fatmafeisal4328
      @fatmafeisal4328 5 ปีที่แล้ว +3

      Aloyce Masele yani kila single mother lazima alie kwa chochote kile hujui irene anafanywa nini ili apate ada ...

  • @yahabibiyahayatiyahayuni7339
    @yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 ปีที่แล้ว +95

    Huyu mwanadada ana heshima zake interview yake inavutia hana pang'ang'a kama wabongo hao wengine ni mtaratibu hadi una miss tu aendelee na mahojiano

  • @mcrootsav7712
    @mcrootsav7712 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mmno zamaradi...unafanya kitu kikubwa mmno kwenye TV interview zako...blessed more lovely

  • @Vanisikaka
    @Vanisikaka 5 ปีที่แล้ว +11

    Cameraman basi sawa tumeshaiona Iphone 11🤣🤣

  • @jailethjosephales8860
    @jailethjosephales8860 5 ปีที่แล้ว +14

    Nakupenda Sana Irene uwoya Mungu yu nawe pamoja na mwanao.. Pole haya ni mapito ya Dunia everything will be alright 😍😘🙏

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 ปีที่แล้ว +16

    Zama unauliza maswali vizuri kama miladi ayo masha allah

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mara ya kwanza nimetoa machoz interview ya Uwoya cjawahi kutoa machoz....pole kumbe unapitia mapito

  • @petroprenge8716
    @petroprenge8716 5 ปีที่แล้ว +18

    Technical advice: Kuna Mwangwi unasikika ambao sidhani kama ni necessary, fanyia kazi hilo @Zamaradi

  • @mcrootsav7712
    @mcrootsav7712 5 ปีที่แล้ว

    Very interested....hongera umependeza mnoo...interview iko vzr mmno na nimejifunza kupitia Zamaradi zaidi...kwa jinsi ameweza mchokoza kiulaini Irene nakuweza kuyajibu maswali yote vizuri..hongereni mmno.

  • @asiakomba1056
    @asiakomba1056 5 ปีที่แล้ว +36

    Daaah nimejikuta ntokwa Na machozi pambana Dada kwa ajili ya mtoto WK krish love

  • @boscoboscoboy3100
    @boscoboscoboy3100 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama unamkubali irene oya piga like hapa chini

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 5 ปีที่แล้ว +111

    Maoni yangu tu : 30 million is too much for underage. Angekuwa secondary au university ingekuwa stori ingine. Ni vizuri kuelewa kuna Leo na kesho. ...

    • @issanaseeb7699
      @issanaseeb7699 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😆😆🙌🙌

    • @gottaboy4178
      @gottaboy4178 5 ปีที่แล้ว +9

      Ni kweli kabisa, Iam not sure kama anastahili kulipa 30m per year ni vema angefanya investment zaidi...

    • @susanruo8087
      @susanruo8087 5 ปีที่แล้ว +10

      @@gottaboy4178 Yah, 30 million is alot of money. Investment for a better future of that boy would be better

    • @missserenity4589
      @missserenity4589 5 ปีที่แล้ว +1

      Kadanganyaa her kid is 8 na fee structure...she must have reasons for lying

    • @christinenjeri6146
      @christinenjeri6146 5 ปีที่แล้ว +8

      @@missserenity4589 we unajua international school fee ni ndefu sana

  • @noureenmulenga9967
    @noureenmulenga9967 4 ปีที่แล้ว +5

    Stay strong,and big up to single mothers😍😍😍

  • @natashaally192
    @natashaally192 5 ปีที่แล้ว +6

    Zama love your interview

  • @easterbryanmathias8339
    @easterbryanmathias8339 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda Irene unanifanya niwe strong

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 5 ปีที่แล้ว +8

    The best female presenter Zamaradi

  • @Smartboy-wt1es
    @Smartboy-wt1es 5 ปีที่แล้ว

    Kweli usimjaji usie mjua kuanzia leo nimekpnda bure@irene uwoya💞💞

  • @gideonsaid8737
    @gideonsaid8737 5 ปีที่แล้ว +7

    Kuogea maziwa kisayansi unaongeza bacteria wanaotunza ngozi ya mwili

  • @janewilson8620
    @janewilson8620 5 ปีที่แล้ว +6

    Kitu nimependa kiswahiliglish hamn had raha zama na Irene mpo vizur wote muuliza na muulizwa nimewapenda

  • @neemammary5985
    @neemammary5985 5 ปีที่แล้ว +17

    Hongera zama nimependa kabisa interview yako Ireen pole umeniliza

  • @getrudacharles5797
    @getrudacharles5797 5 ปีที่แล้ว

    pole mamy mtegemee mungu utashinda mungu akukuzie mwanao ktk kimo na maarifa usikate tamaaa

  • @winifridashoo410
    @winifridashoo410 5 ปีที่แล้ว +69

    Ambae ajapitia single mother bila kutegemea hawez jua uchungu wake

    • @shamimuabubakari3508
      @shamimuabubakari3508 5 ปีที่แล้ว +2

      Haswaaa hujakosea yaani hawez jua uchungu na kunavyoumizaga kichwa mtu unatafuta pesa ili mtoto apte kuishi poa yaan kuna mda hat wewe hujijali dah mugu atusaidie

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 5 ปีที่แล้ว +2

      @@shamimuabubakari3508 amin

    • @zainabuzainabu4372
      @zainabuzainabu4372 5 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ni mmoja wa single mother's nishapitia hya yote

    • @winifridashoo410
      @winifridashoo410 5 ปีที่แล้ว +1

      Tena single mothers wengi huwa hatutaki watoto wafate nyayo zetu hiwa tunataman wapate tulivhokikosa

    • @shamimuabubakari3508
      @shamimuabubakari3508 5 ปีที่แล้ว

      @@winifridashoo410 haswa mpenz yaan tubapamab san ili tu mtot asipite ulikopita yup radh mam asivae itu mtoto awe vizur

  • @saidymtenda9777
    @saidymtenda9777 5 ปีที่แล้ว +50

    Jaman comment fupi fupi wengine wavivu kusoma🤔

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 5 ปีที่แล้ว +12

    Zama, hamna tissue dadangu?
    She needs some consolation too...
    Nawapenda nyote though.
    Irene's make up is on fleek!❤

    • @dorislelo287
      @dorislelo287 5 ปีที่แล้ว

      Atakubembeleza kidogo ili mtu arudi kuwa sawa

  • @jacksonmezza3721
    @jacksonmezza3721 5 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂 Dah Kwenye Hii Interview Dogo Janja Kachoreshwa Sana Yanii Dah

  • @milkametrine2670
    @milkametrine2670 5 ปีที่แล้ว +196

    Hii ni interview yakwsnza Irene kujibu kila swali analo ulizwa

    • @marthadeo159
      @marthadeo159 5 ปีที่แล้ว +11

      Ndio ninategemea na wanaomuuliza wengine wanaruka ruka ty harafu wanataka wajue kiundani, mtu lazima umtegenezee mazigira na namna ya kumuuliza swali kutokana na mazingira

    • @queenbibisha1961
      @queenbibisha1961 5 ปีที่แล้ว +1

      Milka Metrine true leo akuna no comment

    • @chachabeauty9780
      @chachabeauty9780 5 ปีที่แล้ว +1

      Kbsaa

    • @habeebahassan585
      @habeebahassan585 5 ปีที่แล้ว

      Milka Metrine kabisaa

    • @lucybaya3183
      @lucybaya3183 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

  • @annabawili1626
    @annabawili1626 4 ปีที่แล้ว +1

    uko vizuri dada nakupend

  • @fadhiliajali1960
    @fadhiliajali1960 5 ปีที่แล้ว +13

    Mil 30 kwa mwaka duh , akija kitaa kupata kazi analipwa wastan mil 1 , haya maisha haya acha tu 🤝🤝🤝

    • @kubrymtutala1736
      @kubrymtutala1736 5 ปีที่แล้ว +1

      Mil. 30 mmmh! Kwa mwaka.. Tanzania au Ulaya.?

    • @fadhiliajali1960
      @fadhiliajali1960 5 ปีที่แล้ว +1

      Tanzania hiyo feza boys 😁😂😂

    • @kubrymtutala1736
      @kubrymtutala1736 5 ปีที่แล้ว +1

      @@fadhiliajali1960 hapana bwana, fedha hafikii fedha hiyo

    • @fadhiliajali1960
      @fadhiliajali1960 5 ปีที่แล้ว

      Kubry Mtutala si ndo kasema hivyo kk 😂😂😂😂

    • @elizapanga9532
      @elizapanga9532 5 ปีที่แล้ว

      Million 1 nyingi sana unalipwa laki 3 kiwango juu maisha haya yako kama movies, kuna wengine wanashidwa kulipa ada ya million 1 kwa mwaka lakini wengine mpaka million 30 daaah!!!!!!

  • @AAa-xv2mw
    @AAa-xv2mw 5 ปีที่แล้ว +10

    Irène umenifanya niskie uchungu kweli .krishe anakili Allah amfanyie wepes insha Allah.

  • @rosekingalu4403
    @rosekingalu4403 5 ปีที่แล้ว +117

    Zama weka tissue box pemben yako au hata leso
    Hata maji au coffee

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 5 ปีที่แล้ว

    Zamaradi ni mtangazaji Bora. Irene ni mrembo. Napenda akicheka meno yke mazuri.lkn irene unajuta ulchomfanyia ndikuman.lzma itakuja kukulipa hyoo.maskn ndkuman alkua anakupenda mnooo.lkn tatizo ww hujatuliaaa..tumia vzuri uzur wako my sster....

  • @neymafrancis6219
    @neymafrancis6219 5 ปีที่แล้ว +10

    Hongera sana Irene, zama unajua sana kuuliza✔

  • @joanalfred1074
    @joanalfred1074 5 ปีที่แล้ว +13

    Zama please lighten the stage imepoa sana make it classy , otherwise it’s dope! You know you are the best! Irene thanks for sharing

  • @tasharosre6026
    @tasharosre6026 5 ปีที่แล้ว +24

    Hongera zamarad nakupenda bure unajua kuhoji, Irene penda ww

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 2 ปีที่แล้ว

    Hoñgera Zama!! Leo Irene amejitaid sana

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 5 ปีที่แล้ว +8

    Great interview

  • @changanikisesa7021
    @changanikisesa7021 5 ปีที่แล้ว +7

    Tissue on interview please nimenotice interview nyingi za bongo hamuweki interview defenetly emotionals happen

    • @irenelukumay877
      @irenelukumay877 4 ปีที่แล้ว

      usijali Irene we ni mwanamke mpambanaji utatobowa

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 5 ปีที่แล้ว +16

    Zama na lilommy Napenda sana interview zenu,irene ng'ang'ana tu mamii.

  • @ramadhaniayubu6103
    @ramadhaniayubu6103 5 ปีที่แล้ว

    Dada Zamaradi una maswali mazuri sanaa kwa kwerii penda sanaa

  • @sharonmwesh696
    @sharonmwesh696 5 ปีที่แล้ว +39

    Ila Irine mzuri daahhh!!!

    • @issanaseeb7699
      @issanaseeb7699 5 ปีที่แล้ว +2

      Ila atazeeka tu kama sisi 😆😆

    • @mwanakhatibu3722
      @mwanakhatibu3722 5 ปีที่แล้ว +2

      @@issanaseeb7699 😀😀😀😀umenifanya nimecheka mpaka nimepaliwa namaji

    • @issanaseeb7699
      @issanaseeb7699 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mwanakhatibu3722 Wacha kunichekesha pia😅😝😝😂😂😂

    • @gaudenciamallya9779
      @gaudenciamallya9779 5 ปีที่แล้ว +2

      Sharon Mwesh interview nzuri sana Zama vs uwoya

    • @asiahamza3949
      @asiahamza3949 5 ปีที่แล้ว +3

      Sharon Mwesh wakawaida sanaaa

  • @ansilaulotu7178
    @ansilaulotu7178 5 ปีที่แล้ว +15

    That's what we call absolutely mother's heart, mother's love, mother's everything!!

  • @joharimlenda5973
    @joharimlenda5973 5 ปีที่แล้ว +77

    Mwenye interview zake mjini amerudi hongera sana Zamaradi kwa kazi nzuri na zenye ubora

    • @tahahsjsbbehbsd9610
      @tahahsjsbbehbsd9610 5 ปีที่แล้ว

      Jmn unajina kama langu 😘😘😘😘😘😘😘😘 lop you wajinà

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 5 ปีที่แล้ว

      nakupend weri woy😘😘😘😘

  • @charlynmasai2164
    @charlynmasai2164 5 ปีที่แล้ว +11

    zamaradi is the best his interview is of high level

  • @WendoJuma
    @WendoJuma 5 ปีที่แล้ว +28

    Irene....she is very emotionally

    • @severinemabirika2249
      @severinemabirika2249 5 ปีที่แล้ว +1

      U can't say she is very emotionally .....but say she is very emotional

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana interview Tamuuuu Kweli Tulivu Kama Mlivyo.Mbarikiwe sana.

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว +35

    Awww mtoto anaakili sana mpeleke shule ya kawaida usijitese Irene huyo mtoto yuko kama mwanangu anavyonipaga moyo your beautiful mama kaza buti mamaa

  • @angelmwandata2233
    @angelmwandata2233 5 ปีที่แล้ว +82

    Irene mbna unatuliza wenzio huku pole dada😭❤❤

  • @lizzbettysylvester3477
    @lizzbettysylvester3477 5 ปีที่แล้ว +4

    Thank you zaman I love you 💞💞

  • @makwirojryg1885
    @makwirojryg1885 5 ปีที่แล้ว +102

    mungu nisaidie single mother mie nimlee mwanangu vizuri

  • @zumzummohamedi6513
    @zumzummohamedi6513 5 ปีที่แล้ว +14

    Zamaaaaaaaaa nakupenda Bure nipo arusha japo arusha ujatutembelea

  • @switbird24love57
    @switbird24love57 5 ปีที่แล้ว +7

    Irene answered the question accordingly......Big up zama

  • @beutymttobeutty2273
    @beutymttobeutty2273 5 ปีที่แล้ว +10

    Irene umenutoa machozi xna 😢😢😢😢mungu atakupa uwezo jikaze😢😢😢

  • @edoell
    @edoell 5 ปีที่แล้ว +5

    Ukiwa na mwanamke ambae anakwenda kulipa fee ya 30m kwa mtoto wa primary school ujue umeingia Choo cha kike

    • @saladaniel9274
      @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kbs

    • @annastaziantete6786
      @annastaziantete6786 2 หลายเดือนก่อน

      Punguza bangi kdg kijana ila akilewa ni fresh mfyuuuu n miaka 4 lkn

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 5 ปีที่แล้ว +30

    Pole sana Irene wangu mungu yupo 🙏🙏❤️

    • @norahmtemi1143
      @norahmtemi1143 2 ปีที่แล้ว

      Naelewa maumiv unaypitia mom

  • @stellamajala5588
    @stellamajala5588 5 ปีที่แล้ว

    Zamaradi you are the best host in Tanzania love u so much