Mhe Waziri tume omba mara nyingi kama Sisi Becco Ltd tume fanya Access Road from kibiti mpaka mloka uliza wote Kilimani Kipo mloka Huyu Jv Arabs mpaka Leo miaka 3 hatuja lipwa wana TU zungusha.Naombs uangalie watu wako wa Ndani Nchi not Bankrupt due to these Arabs Jv.
Hilo bwawa limecheleweshwa na huyo mwizi Makamba. Makamba ni fisadi na muongo kama Mwigulu na huyo mwanamke anawaangalia tu hawachukulii hatua yoyote. Wananchi wanalia nakuteseka.
Magufuli oyee angekuwepo kalemani lingekuwa limeisha
Ayo sasa unachoka vibaya
Mhe Waziri tume omba mara nyingi kama Sisi Becco Ltd tume fanya Access Road from kibiti mpaka mloka uliza wote Kilimani Kipo mloka Huyu Jv Arabs mpaka Leo miaka 3 hatuja lipwa wana TU zungusha.Naombs uangalie watu wako wa Ndani Nchi not Bankrupt due to these Arabs Jv.
Hilo bwawa limecheleweshwa na huyo mwizi Makamba. Makamba ni fisadi na muongo kama Mwigulu na huyo mwanamke anawaangalia tu hawachukulii hatua yoyote. Wananchi wanalia nakuteseka.
Hakuna chochote hayo nimajiz tuu