All over the would are watching this interesting movie but they don't understand nothing out of it because is only only you who can enjoy it because it's your language and people's around the world 🌎 are also interested about this movie. So why not translate in English language also so that many around the global can also enjoy it better.
Snack Boy is number one, congratulations to the makers of this film, let's wait for the fate of the Zoyas because their defender wants to find something🙂🙂🙂
Wakwanza from kenya likes pls
Naomba tu likes ka 10 ivi guis watching from kenya 🇰🇪
All over the would are watching this interesting movie but they don't understand nothing out of it because is only only you who can enjoy it because it's your language and people's around the world 🌎 are also interested about this movie. So why not translate in English language also so that many around the global can also enjoy it better.
Wakwanza from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wimbi
wakwaza mimi jamani nahomba like zangu kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Aiyaa endelea kuhombaa😂😂
@@Poshyang-pf9pt😂😂😂😂 etiiii aendelee kuhomba😮 YANIIII wewe
Eti una homba😂😂
Wa kwanza from mombasa wapi likes xangu
Clam i like you so,...tuna kutaka fika congo ata siku moja please🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
mimi ni mac kutoka kenya fun mkubwa wa clam, bravo kwa kutoa season 2 asante
Naijuwa iyo
Kiukweli sifa na pongezi ziende kwa huyu dada aliechukua nafasi ya kakoso chukua maua🎉🎉🎉 yako sster
aya sasa mimi wakwanza kutoka Tanzania❤❤😂😂😂😂 basi like ata 50 tu
Super Kakoso lete kazi kakangu. Mimi nina MB mpaka zinamwagika. 😂😂😂😂
The first one kudadadekiii sina bayaaa naomba like Zang 🎉😊😊
Wakwanza mm like ata mbili jamani much love from saudia Arabia really appreciate ❤❤❤❤🎉🎉
You deserve more than 2 likes so mimi nakupa likes kumi 🎉 ..
Super Kakoso in box please nina ujumbe wako directly kakangu🙏🙏🙏
Congratulations team,ndo mm hapa
Ujikaze usiwe nakawiya bro nakufata Niko Congo Bukavu
Wa kwanza from cape town
Uwa atusemi sana tunapo kuwa namba moja1👊👊🇹🇿
Leo nko top,from kenya wapi likes
Hiyo episode ya7 tunaisubiri
😍😍😍😍
Wadau tukumbukane japo kwa uchache
Wa 103 From 🇨🇩 nipeni likes zangu rafiki
Nasubir kuona kijana nyoka atalifanyia nn hili jeshi kubwa❤❤❤❤
kwel unajua sana kaka, na utazid kuw mkubwa kiuchum na maaruf zaid kwa uwezo wa mungu. Ila naomba achia chuma ya7 kak
Munipe like 2 tu Watu wa mungu
Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajakoment chochote 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Mmm ndo wakwanza kuona filamu hii
Nawapenda sana kwanza na mkubali clam🎉🎉🎉🎉
Aya Leo me wakwanza naombeni like zangu kenya🎉🎉🎉❤
ACHA bang tafuta hela
@@LOTOWILSON😂😂😂😂😂😂 sio kwa jibu hilo
Mwambie mama Ako akupee hizoo like 😮😮😮mnakera balaaa
Naipenda hii movie ya Clam
Aha nimarudiyo kuanziya moja mkaka 6 tulikofikiya haya twende kazi 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wa kwanza kuifatilia filamu hii nipeni like zenu kutoka Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wakenya wanayofwatilia hii cinema wapi likes ya msanii wetu clam VEVO ,,,hata yangu
Big up vevo🎉🎉🎉🎉🎉
leo wa Kwanza 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂jman nimemecheka naiyo kuswekelea mbali waah mwakatobe Aiya
Wow! Kazi nzuri sana ongereni sana mahuwayenu Nawapa maana yana wastahili🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza leo team Clam wapi LIKE zenu🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza kucomment Leo wapi likes zangu 😂❤
1st on this form 254🇰🇪🇰🇪
Wa Kwanzaa
Kazi kazin ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kama uko hapa juu ya clam pika like
Mm n wa mwisho kutoka kenya naomba like zangu na nawapenda wote❤❤❤❤❤
Mm wakwnza nipen like zangu jamnaniiiii
From USA 🇺🇲 give my likes 🎉🎉
Watching from country KENYA 🇰🇪
Tupeee seven chap! Huk ZAMBIA
Dah watu mpo chapu dakika Saba Tu mshakokent bila ata kuangalia😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwenzenu kutoka Kenya. Mbarikiwe
Calm VEVO ❤❤❤❤
Top fan of clam from Kenya wapi likes
Leo mimi apa number 1 from Dr Congo 🇨🇩 😂 Gonga basi like za kutosha
Jamani nipo sahii nipeni like zangu mupoo🎉
Snack Boy is number one, congratulations to the makers of this film, let's wait for the fate of the Zoyas because their defender wants to find something🙂🙂🙂
World Movie clam🎉❤ me like zangu kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍👌
Umu mwaka tobe kaixh😂😂😂
Mm hapo
🇰🇪🇸🇦
Wa kwanza naombeni like ZANGU za ukwel
tunataka Episode 7 please wapi like
على فكره حلوه اوي
Ndio clm tupeni epsd y 7
Tuletee film epsod 7 tunasubili
❤❤❤❤❤fast from mombasa kenya....liked jameni
Good job from 🇧🇮💐 tunawapenda san sitaki like zetu jaman 😂😂😂
Leo nimekuwa wa kwanza naomba laik jama
Kama wewe ni wa kwaanza gonga like hapa 👇🔥🔥🔥
Kama kawaida hujawai feli kaka
Nishatokea jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤ 😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂
Oh jaman penda ww
Niko pia mkenya kuitwa heri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Soo tuseme ndio boss mchawi ilienda na maji ivo
Unatukosea sana clam VEVO
unatoa kupindi unawachia njiani
Wakwanza today likes zangu jamani Jennifer from Australia
Nimecheka kwasauti jmn😂😂😂 eti chaka chaka nino anamaringo.huyoo kwio kwio saaitakuaje😂😂😂😂mwakatobe we kiboko
kwan clam yule babu yake yuko wapi
Wa kwanza 🎉😂
Mimi ni wa kwamzwa nina pata zawad gan
kaz kaz ndugu
Mimi wakwnza naombeni like zangu❤❤😂😂😂
Mi ka mkenya nafwatilia sana
Fine 🎉🎉🎉
Burundi tujuane🇧🇮🇧🇮🇧🇮 hata like kumi tu
Wa 50 leo naonmba likes
Waoo💖💞🙏 nakupo ngeza kigyana nyoka enderea👏👏
Kwa kwanza nipewe Zang
Mulijidanganya tumesha iona hiyi
Wakwanza Leo lakini sitaki likes zenu 😂😂😂
Mi sio wa kwanza wala wa mwisho naomba like 50 tu bas zinanitosha🎉😅
Naipenda sanaa😊
Tse pole sana broo kakoso,
We tueletee kipande cha saba bhn acha kuyumba VEVO
mimi apa wa.kwaza ku leki ❤❤❤❤
From Kenya 🇰🇪❤
First one 🎉🎉
Wakenya Na Watanzania Hi Clam ni Mambo yote wagapi wanakubaliana nami
Good work bro
Kama kawa clam wetu twakukubali 🎉🎉❤
Wakwanza mm Leo natak like zang
Bwana clam vevo tutolee episode ya 7 mbona hivo lakini sjapenta
Wa kwanza leo
Hello Jose from Kenya clam vevo my favourite
Wanaomkubali vevo gonga kwwnye kopa ❤
Wa kwanza leo😅team vevo burudani kwa wote😊😊❤❤❤❤
Oya. Kimungu. Apa. Au msukuma. Au ticha. Vp. Mwana.
#conguraturatio bro cram
Mwakatobe dah😂😂😂😂😊
Watching from Mozambique
Wa kwanza leo like zangu apa