TAZAMA IMAMU MKUU WA MADINA ALIVYOUMBUKA MBELE YA WANANCHI BAADA YA MADRA ALIYOUZA KUREJESHWA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 27

  • @KhannatOmar
    @KhannatOmar 6 หลายเดือนก่อน

    Usia muhimu tena ufike sehemu husika dah jumba zuri kaona aliuze kuliko kumuwekea baba yake chuo akapata dua allah atupe watoto wema wenye kheri na madili mema amiin

  • @MejasonMzazi
    @MejasonMzazi 7 หลายเดือนก่อน +9

    Tamaa zitawauwa mbwa nyie. Alafu mmekuja na makanzu yenu kuwatia aibu waislam safi wasiofanya dhulma.

    • @musseleng.2124
      @musseleng.2124 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wamejitia aibu wenyewe...maana hâta Abuu Jahal alikuwa anavaa kanzu Lakini amejitia aibu mwenyewe.

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry 7 หลายเดือนก่อน +3

    دووو عار ثم عار إذا عشت في الظلم

  • @Abubakarhemed-cp5wb
    @Abubakarhemed-cp5wb 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani tamaa mbaya ,baba amesema maisha yote mpaka mwisho wa dunia madrasa iwepo kwenye hii nyumba leo mtoto wa marehemu anauza nyumba eti madrasa ihamie temeke, aibu hiyo ebu tuwapende wazazi

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 7 หลายเดือนก่อน +3

    Waislam hawaitaki madrasa wanataka wapige kidi hii ni kitu kipya mwisho tukitafuta mali tukuzigawa kwa mungu tutowe na nyaraka ili wahuni wasingie

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 7 หลายเดือนก่อน

      Usiseme waislam ww akosee mtu mmoja utujumishe waislam sot so sawa

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 7 หลายเดือนก่อน +1

    İmam dhulmati

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo hat wengi Tanzania hat hawana zina zingua sana hati kupewa

  • @ibrahimsaad617
    @ibrahimsaad617 7 หลายเดือนก่อน +2

    Silaa

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 หลายเดือนก่อน +4

    Maustadh achen janjajanja ndevu nzr mnakua matapel

    • @ZainabuMlyatangu
      @ZainabuMlyatangu 7 หลายเดือนก่อน +1

      Na wakomeeeeeee

    • @tobosha3236
      @tobosha3236 7 หลายเดือนก่อน

      Tena eti n imam wa mskiti

    • @Zuu673
      @Zuu673 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @mudhihirIbrahim-hb7ry
    @mudhihirIbrahim-hb7ry 7 หลายเดือนก่อน +2

    Madina gani

  • @khamisissa252
    @khamisissa252 7 หลายเดือนก่อน +2

    Duh jamaa wamekula za uso

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 7 หลายเดือนก่อน

    ila swala la hati tz sio la mwaka mmoja, mm nimejenga nyumba lkn naambiwa il nipate hati inatakiwa million 4 swala la kumiliki hati ya Ardhi kwa tz kiukweli linashida sana nataman sana kujua kusaidiwa kwa hilo

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 7 หลายเดือนก่อน

    Pesa wacha tu

  • @azzerharoub4782
    @azzerharoub4782 7 หลายเดือนก่อน

    media kubwaa Mnakosa kichwa cha habari chenye maudhui mazuri mpak mumchafue hamjui chanzo mnahukumu watu wapuuzi..Kumharibia mtu jina au sifaa yake Hamuwez kufanikiwa Mpka Mnakufa Labda Allah akitaka kwa kumpa mja wake mtihan😮

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika ya mali zenu na watoto wenu ni fitnaa

  • @MaabeshFungurume
    @MaabeshFungurume 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni imamu na makanzu ma hina kwa kidevu chezeni na mali waqf mta juta sana

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 7 หลายเดือนก่อน +1

      Basi mwenzio nilikuwa sijui, kumbe videvu vyapakwa hina?

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅​@@judyngowi391

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ma sheikh njaa hao 😂😂

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @callicevallice7383
      @callicevallice7383 7 หลายเดือนก่อน +2

      @@HanifaOman-oo4pl ukiwaangalia tu unaona wananuka shida hao