HII NI BALAA, AWAVAA CHADEMA SAKATA LA RUSHWA, AMPA ZA USO SUGU | MAGUFULI ALIKUWA ANAHONGA VYEO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
- #TANZANIA: Huyu jamaa ni balaa, awavaa Chadema sakata la rushwa, ampa za uso Sugu uchaguzi wa Kanda ya Nyasa, adai Magufuli alikuwa anahonga upinzani kwa kuwapa vyeo mfano akina Silinde na wengine wengi.
Tusiogope.mungu.yupo.tumemjua.letumwambie.ukweli.kama.a
acha kujipendekeza
Rais.angalia.taifa.linaangami.rusha
Damu.ya.watu.atakuwa..mikononi.mwako.kiepushe.soma.kuluan.ikuongoze
Nampa heko huyu mzungumzaji, rushwa italiangaza Taifa
Kwa hili la Kanda ya Nyasa CHADEMA tumekwisha.
Na Mimi Nina Mashaka
You talk about watergate ya nchi nyengine na ya miaka mingi iliyopita huko. Unasahau kubadili gia angani kuliko tokea just few years ago hapa hapa nchini!
Hao wote uliowataja walikuwa viongozi wazuri ndani ya CDM walikatishwa tamaa/flastrated na maamuzi ya kipuuzi.