HUU MOTO WA LISSU NI BALAA, WAKODISHWA MPAKA WAKENYA KUVURUGA MCHANGO, VITA NZITO NDANI NA NJE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #TANZANIA: Huu moto wa Lissu ni balaa, wakodishwa mpaka watu kutoka Kenya kuja kuvuruga mchango unaoendelea wa kununua gari yake ya kazi ya ukombozi, "anapigwa vita mpaka na baadhi ya wanachadema wenzake"

ความคิดเห็น • 7

  • @veronicaadrof8244
    @veronicaadrof8244 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana lisu apate gari nzuri na ya samani tuendelee kuchanga

  • @knight6757
    @knight6757 3 หลายเดือนก่อน

    "UKWELI UNAUMA"!!

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 หลายเดือนก่อน

    Iisu has capacity of been leader into Tanzania national is the pasonol has been sacrifice his life time into Tanzania politics trusted man Talk about coruption into Tanzania national use by even rooling part corrupt same of opposition into strong hold opposition in Tanzania chadema tundundulisu explanation it show tanzania population has trust on him no doughty

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe kweli mshamba wa siasa. Jibu. Nikwanini serekali haikumshitaki na wakati alikua hapa nchini na Hana Kinga? Na usemw kamati iliyoundwa kuchunguza ilitoa majibu Gani ? Na ilimuona nani?

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini msiwataje hao watu/viongozi wanaopokea rushwa na waliowapa rushwa kwani Nyerere kasema mtoa rushwa na mpokea rushwa wote "maziganyanza." Hivyo iwe kama ilivokuwa kwa ile orodha ya mafisadi (list of shame) Mwembeyanga. Na wachukuliwe hatua wawe CHADEMA au CCM, hata kama kuzomewa hadharani mchana kweupe. Nashangaa kila anayeongea anaishia wapo watu, wapo watu, wapo watu, akina nani?

  • @Wamisangi
    @Wamisangi 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni mambo haya ya ulaghai, alikuwa wapi kusema ukweli wakati ana mnadi waliye mtuhumu kwa ufisadi wakageuka wakalamba matapishi yao na kumuuza kwa Watanzania eti wamchague kuwa Rais wao.