JINA MOJA LA ALLAH AMBALO UKIMUOMBA KWA JINA HILO DUA YAKO HAIRUDI UTAJIBIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 303

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 9 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akupe elimu zaidi uzidi kutufunza mema

  • @bintybaba3486
    @bintybaba3486 3 ปีที่แล้ว +29

    Ma shaa Allah. Allah akuzidishie elimu yenye kunufaisha na akujaalie mwisho mwema.

  • @ttss3712
    @ttss3712 3 ปีที่แล้ว +14

    Alhamhdullah Ala neema til Islam Allah akujaalie kila la khery apa, Dunia n ksho akhera

  • @AliHassan-ib8lq
    @AliHassan-ib8lq 3 ปีที่แล้ว +25

    Mashallah inaonesha dhahir hata wewe Sheikh uliitumi majina hayo ukabarikiwa lafdhi na hekma kama Sheikh Othman Maalim, Allah atujaalie sote tufanikiwe.

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 4 ปีที่แล้ว +10

    Mashaa Allah tabarakallah ya shekh muswaddiQ Allah akujaalie umri mrefu hakika nimejifunza nisilolifaham shukran🤲🤲Allah akulipe kheri

  • @ajumsellem7551
    @ajumsellem7551 3 ปีที่แล้ว +6

    Uko vzr San San San sheikh wetu tunakupenda sn kwa hakika tupe chakula Cha moyo Zaid ili mioyo yetu ishibe dini y kiislmu n Imani na ziwe n amani ALLAH ( S.W) akujaaliy maisha marefu Zaid Zaid n kil l kheri shikh MASHAALLAH ❤️😘😘😘😘😘❤️❤️❤️😘😘😘

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 4 ปีที่แล้ว +28

    Shukran Sana sheikh Allah Akulinde na kila baya na akuifadhi Leo Duniani na kesho akhera

  • @maryamtemba1760
    @maryamtemba1760 4 ปีที่แล้ว +23

    Sheikh shukran sanaaa hilo jina llkua kam@ kitendawili kwangu lkn leo Alhamdulilah nimepata kulijua Allah akulipe fi dunya wal akhira

  • @sawasawa4957
    @sawasawa4957 4 ปีที่แล้ว +13

    Shukrani alla akuzidishie ilimu yenyemanuf

  • @modhhirmaulana8283
    @modhhirmaulana8283 4 ปีที่แล้ว +18

    Assalamu Aleikum Warahmatu Allahi taala Wabarakatu Awwalan Jazzaka Allah kheir Ustadh wabaraka Allah fiyk, Ningependa kujua je kuna utaratibu wowote wakusoma na idadi ya kuyasoma majina haya matukufu ya Allah Jalla Jalalu pindi unapo tia niaya ya kuyasoma haya majina. Shukran Wabillahi tawfik.

    • @saidyssaley1509
      @saidyssaley1509 4 ปีที่แล้ว +3

      Mafuta KITABU kinaitwa "SWALA 10 ZA MTUME MUHAMMAD SWALLALLAHU ALAYHI WASALLAM" YAPO MAELEKEZO VIPI UTATUMIA

  • @saumuyahaya8789
    @saumuyahaya8789 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa somo zuri mwalimu shukran kwa mawaidha. Mazurii

  • @zuhurahussein
    @zuhurahussein 4 ปีที่แล้ว +28

    Mashaallah shk nikweli dua hiyo hunihifdhi Sana wallah Al hayum yakayum mwenyezi mungu ni mwingi wa rehma takbiri Allah akbar

  • @khadijahamisi2473
    @khadijahamisi2473 3 ปีที่แล้ว +3

    Tabaraka llah sheikh inshllh nna iman matatizo yngu allah atanitolea njia...allah akupe ilmu na ujuzi zaidi inshllh

  • @aishaseif7127
    @aishaseif7127 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah shehe Allah akuli pe duniani na akhera ukazikute herizako

  • @yusuphh3heguyscanjustdugug333
    @yusuphh3heguyscanjustdugug333 3 ปีที่แล้ว +8

    Ninamuomba ALLAH (SW) atujalie utekelezaji mwema katika kuyaendea yote yaliyo ya kheri.

  • @samiramaulid9252
    @samiramaulid9252 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akujaalie pepo ya juu kabisha sheikh wng hakika umetujuza mema.

  • @alliyalliykidawa5931
    @alliyalliykidawa5931 3 ปีที่แล้ว +10

    Mungu akupe kila la kher kwa darsa lako

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify 4 ปีที่แล้ว +12

    Maa shaa Allah wajazakallahu khaira kwa ujumbe bora sana.

  • @z10jrtz47
    @z10jrtz47 4 ปีที่แล้ว +11

    MASHA ALLAH, MWANAFUNZI WA SHEIKH OTHMAN MAALIM..??

  • @nkurunzizaabdul-aziz7211
    @nkurunzizaabdul-aziz7211 4 ปีที่แล้ว +9

    Jazakhallah kheri ndugu yangu

  • @abdullahiisaackkiriama2505
    @abdullahiisaackkiriama2505 4 ปีที่แล้ว +25

    Masha Allah sheikh jazaakallahu khayr ♥️🇰🇪🇰🇪

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว

      Tabarakallah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 3 ปีที่แล้ว +8

    Kama namuona maalim kwambali😍😍ma sha allah

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 ปีที่แล้ว +6

    Bi Idhini Llah! Allah akulipe mema, akulinde, akuzidishie ilmu na akupe kila lenye faraja na kheri! Wewe na kila aliye hudhuria na atakaye hudhuria DARSA zako kwa njia tofauti! Allah wape Tawheed wale wote wasio amini juu yako na wale tunao dhani wameamini kumbe ni wanafiq! Allah tunusuru mk uwa miongoni mwa wanafiq! Allahumma Amin!

  • @HairahSayyed-hs9sb
    @HairahSayyed-hs9sb ปีที่แล้ว

    Masha Allah tabarakallah sheikh wetu mwenyezi mungu akulinde na akujaalie umri tunufaike na tufuate

  • @aminakaruwa206
    @aminakaruwa206 3 ปีที่แล้ว +4

    Ma Sha Allah Shukran jazila Allah akulipe kheri shekhe

  • @swaumhassan8709
    @swaumhassan8709 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah allah akulipe kila unalo lihitaji duniani na akhera kwako na kwetu pia amiin

  • @afsarazia831
    @afsarazia831 2 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar wanijaaza Iman Allah akulipe mazur dunian paka akhera Insha Allah

  • @aydaabbas9580
    @aydaabbas9580 3 ปีที่แล้ว +8

    Shukran. Jazakllah lkheir. 🤲

  • @aminasulayman4352
    @aminasulayman4352 4 ปีที่แล้ว +7

    Jazzaallahu Ghaira sheikh muswaddik Kwanzaa kutupa faida

  • @aishasaid7426
    @aishasaid7426 3 ปีที่แล้ว +9

    جزاك الله خيري

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani sheghe kwa kuipeperusha vyema bendera ya UISLAM.... maashaallah

  • @amenamaashaallahyasheikh3457
    @amenamaashaallahyasheikh3457 3 ปีที่แล้ว +7

    Maa sha Allah tabarakallah shukran

  • @hamicdenasr7329
    @hamicdenasr7329 3 ปีที่แล้ว +3

    M/mung akujazee hekma, maarfa n elmu uzd kutoa hyo elmu kwetu insha'allah

  • @zaby-n-mamashasha6671
    @zaby-n-mamashasha6671 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah Rabbilaalaminah ,Mungu akupe kila la kheri

  • @munawwarkhamis7518
    @munawwarkhamis7518 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sheikh.... Allah akuepushe na kila hasada

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z ปีที่แล้ว

    Shukran sana mrithi wetu nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH

  • @zulfaabubakar8060
    @zulfaabubakar8060 4 ปีที่แล้ว +13

    ماشاء لله تبارك الله يا أخوي شكرا جزاك الله خيرا

  • @rahmaa3621
    @rahmaa3621 4 ปีที่แล้ว +10

    Maashallah. Majina yanapatikana katika SURAH
    1. Al bakarah
    2. AL Imran
    3. Taha
    Jina lenyewe ni AL Hayuu AL Qayum.
    Jazakallahu kheiran.

    • @jasminjuma6390
      @jasminjuma6390 4 ปีที่แล้ว +2

      Mashaa Allah hakika maneno mazur

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว +1

      Jazaka Allah khair

    • @abdikahfi3831
      @abdikahfi3831 3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran

    • @ummukhayrath6051
      @ummukhayrath6051 3 ปีที่แล้ว +1

      Allah akbru😍😍😍😭😭😭😔😔😔😔😔

    • @SelemanMakau
      @SelemanMakau ปีที่แล้ว

      @@abdikahfi3831 mashallah,sauti Kama shekhe wetu othmani maalim,usomaji na matamshi pia,Allah atuitadhie mashekhe wetu Tanzania,mubia tunampenfa Sana waislam was Tanzania bara.

  • @jumamohd4465
    @jumamohd4465 3 ปีที่แล้ว

    mashallah unafananae shekh wetu othman maalim allah akuzidishie

  • @kibzrizfan1472
    @kibzrizfan1472 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Allah akupe umri uzidi kutunufaisha na elimu ulionayo

  • @rahmaabdulla4949
    @rahmaabdulla4949 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sheikh ALLAH akujaalie kilalakheri na akuepushie kilalashari Amiin

  • @ftimaramadan4748
    @ftimaramadan4748 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran wajazaka llahu heri inshallah

  • @ummuyussuf4190
    @ummuyussuf4190 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah shukrn sn allah akupe janatulfirdausi amin

  • @hadijamsamaha6880
    @hadijamsamaha6880 3 ปีที่แล้ว

    Shukran ya ustadh mungu akuzidishie eelimu uzidi kutuelimisha

  • @juweiriyaomar6128
    @juweiriyaomar6128 3 ปีที่แล้ว +7

    Assalam alykum wa rahmatullah wa barakatuh. JazakaLlah kheir ya Shekh. Pongezi kwa kazi nzuri ya Daawa. Allah Akuzidishie. Tunaomba Dua yako kwa sie tunao tafuta ilmu ya Dini.

  • @salmahhabibu4131
    @salmahhabibu4131 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah..tabarakallah... jazaakallah kheir

    • @jumanassor9190
      @jumanassor9190 3 ปีที่แล้ว

      Allah akubarik kwa elimu ulotupa

  • @arjunpanditi5489
    @arjunpanditi5489 3 ปีที่แล้ว +7

    Maalim othman wapili ww mashallah

  • @ashalaurent4722
    @ashalaurent4722 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mwenyezi mungu akujaze kheri duniani na kesho akhera ila unaongea kam maalim nivizuri pia kijifananisha na watu wema japo sina uhakika kma wajifananisha au ni ndugu yako maana hata uweusi wenu unafanana mashaallah

  • @aishasaidy5646
    @aishasaidy5646 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sheikh jazakaLLAH KHEIR

  • @zamdashamsa8886
    @zamdashamsa8886 3 ปีที่แล้ว

    Waalaykum salamu mansha allah nafurahi kwaku ni pa shifaa kubwa

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa Allah tabaraka Allah. Allah akubifadhi

  • @saadkhamis8888
    @saadkhamis8888 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazzak Allahu l-kheir,baada kheir jannatu naiim

  • @zabirashzabi2846
    @zabirashzabi2846 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah sheikh Mwenyezi Mungu aku lipe kheir na atulipe sote in sha Allah.

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah jazakAllah kheir

    • @raskingo1495
      @raskingo1495 3 ปีที่แล้ว

      Jazak Allah kheri Allah azidi kukuhifadhi sheikh na akupe afya njema

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi5048 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukran Allah azid kukuongoza🙏

  • @kasimumraja1393
    @kasimumraja1393 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuzidishie elimu ili uzidi kutuelimisha zaid n.a. zaidi

  • @omarmwalim3158
    @omarmwalim3158 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kutupa daawa

  • @azizamuharam3941
    @azizamuharam3941 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shukran Alah atuongozee na sisi vizazi vyetu Nakupenda nataman uwe mwanangu wa hiari

  • @ashaali3958
    @ashaali3958 2 ปีที่แล้ว

    Mashalla mungu akulinde zaidi shukran, mungu akubarikie

  • @mwanasitidzengo6691
    @mwanasitidzengo6691 7 หลายเดือนก่อน

    Walaikm msalam warahmatullah wabarakatu. Masha Allah watabaraka Allah

  • @asanakanda8473
    @asanakanda8473 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mwenyezi mungu akupe mema duniyani na akhera in sha allah

  • @i.ridhwani893
    @i.ridhwani893 3 ปีที่แล้ว +1

    Mansha'Allah..shukran sheikh.

  • @salmakhator7135
    @salmakhator7135 2 ปีที่แล้ว

    Shukran shekh Allah akulinde na kila mabaalaa na akulipe kwa kwa wema wako kwa kutufunuwa macho na akili

  • @sessekiza2047
    @sessekiza2047 2 ปีที่แล้ว

    Shukuru Allah kuzidishiye Afya

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuhifafhi

  • @HadiyaMuhammed-tt2xs
    @HadiyaMuhammed-tt2xs 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @dinakipingo1905
    @dinakipingo1905 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah akulipe kheri Sheikh

  • @mansourahmzinga9256
    @mansourahmzinga9256 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani takabala llahu minna waminkumu..

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mola akupe jaza yako inshallah

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 2 ปีที่แล้ว +1

    Jazaakallah kher

  • @khadijampogole8389
    @khadijampogole8389 3 ปีที่แล้ว +3

    Mash Allah shukrani

  • @shakirahsemdoe4638
    @shakirahsemdoe4638 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukraan,,Jazakumullah khairan.

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว +6

    ماشاءالله تبارك الله جزاك الله خيرا شكرا يا شيخ

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAHU AQBARU Mashaallah Alhamdulillah

    • @mwinyipesa
      @mwinyipesa ปีที่แล้ว

      Mashallah allah akulipegheri shee

  • @handhalhandhal4608
    @handhalhandhal4608 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah. Allah akuzidishie elmu.

  • @fatmahamisi7369
    @fatmahamisi7369 3 ปีที่แล้ว

    MAA SHAA ALLAH TABARAKA ALLAH JAZAKALLAH KHEYR.

  • @josuzajsk398
    @josuzajsk398 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah tabaraka arrahmaan Sheikh ...... 🤲

  • @haseanatnsanya2079
    @haseanatnsanya2079 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallaah mungu atuongoze

  • @domboy1445
    @domboy1445 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazaka llahu khery

  • @fatwimatzahrau2327
    @fatwimatzahrau2327 4 ปีที่แล้ว +2

    Jazaka LLAHU khayra

  • @zuhrasharfu4947
    @zuhrasharfu4947 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukran.

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 3 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh Cna La kukulipa Mungu ila nakuombea mwenyezi Mungu akuzidishie ilmu yenye manufaa kwa umma

    • @kudrajuma1473
      @kudrajuma1473 3 ปีที่แล้ว

      Manshaaal mungu akuzidishie

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran mmungu akubarik

  • @moridohome4790
    @moridohome4790 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukran jazzakallah

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana aaalllah atakulipa shekh

  • @Abla_habiba02
    @Abla_habiba02 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah jazakallahu khairan😊

  • @azizamini3226
    @azizamini3226 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah....!!!

    • @azizamini3226
      @azizamini3226 3 ปีที่แล้ว

      M/Mungu akulipe unit a mkubwa kwa kutuelimisha

  • @shemsahafidh9129
    @shemsahafidh9129 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah jazaka allahu khaira

  • @ukhtyanasabintimalikimalik7188
    @ukhtyanasabintimalikimalik7188 3 ปีที่แล้ว +3

    Sawa sheikhe
    Waaleykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @riyadahmad8300
    @riyadahmad8300 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kheri

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 3 ปีที่แล้ว

    Asante mwenyexi mungu akubariki

  • @saleemshehabu3071
    @saleemshehabu3071 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sana sheikh
    Allah akubarik

  • @Saidamwaka1
    @Saidamwaka1 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallaah MashaAllah tabarakaAllah

  • @nuskudrsalam-fx4zo
    @nuskudrsalam-fx4zo ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuzidishiye kaka angu

  • @durmoizeally875
    @durmoizeally875 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe maisha marefu uzidi kutufuza tusiyo yajuwa

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 ปีที่แล้ว +5

    MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah

  • @victoriagilago8894
    @victoriagilago8894 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sheikh kwa somo zuri ila mimi muuni moya naomba tafsiri ya hayo majina kwa kiswahili bado sijafahamu kiarabu

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 7 หลายเดือนก่อน

    Shukraan
    Allah akubaarik

  • @subranadja4052
    @subranadja4052 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana ya skeikh

  • @nashirjumanne851
    @nashirjumanne851 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru SHEKH.