TUMIA JINA HILI LA ALLAH (YAL-LATWIF) KUFANYA MAMBO YAKO KUA MEPESI Kwanza utaswali rakaa 2 Katika rakaa yakwanza utasoma suratul-fatiha kisha utasoma suratul- Alamnashrah, Katika rakaa ya pili baada ya suratul-fatiha utasoma tena suratul- Alamnashrah mara 1 tu. Ukishamaliza kuswali utaleta Istighfara kama zifuatavyo: 1. Astaghfiru-Allah x 100 2. La illaha illa Allah x100 3. Allahumma Swale ala Muhammed ya Rabbi swale Aleihi wa sallamx100 4. Ya Latwif x 16641 Kila ufikapo Ya Latwif 1000 utasoma dua ifuatayo mara 100 Allahu Latwif Biibadihi yarzuku man ya shau wahual qawiyul aziz x100
Mungu anasiri kubwa juu yaviumbe wake sio sisi tujuavyo dini iko moyoni namatendo yako so ombeni hizo dua mkeshe tuone utajiri kama utawajia lini mungu akashusha utajiri pasipo juhudiya MTU
Hata sisi tunafanya kazi,biashara tunapambana hasa na wakumuomba ni Allah ili atupe baraka ili tufanikishe sio kwamba tumekaa tu tunaomba dua lbd haijaeleweka
Allahum Amin Amin kwadua nawe pia Allah akujalie pepo yake sheikh wetu.ila nikuombe kitu unapo tutajia aya jitahidi kutuelekeza ni surat gani na ni ayat yangapi maana inakua nyepesi kuisoma kwenye kitabu unaiona.samahan lakini kama nimekosea
Unajua ninyia sjui tuseme akili zenu zipoje ktk Dua unahitaji dalili Gani wewe muhmini Gani usiejua Dua ni ibada ni muumini gn asiyejua mtume saw kafundisha Dua ni silaha ya muumini ni muumini Gani usiejua anaeombwa ni ALLAH au angekwambia ukaombe mizimu ndo furaha Yako kipi hapo usichoelewa Sasa , Au ndio kijifanya mchamungu zaidi ya wenzako ili tukuone, Kipi hapo ni dhambi ktk maelezo ya Huyo mzungumzaji
Sheikh Sharifu islam hongera kwakutupa faida ya jina la Ya Latwifu lakini si unajuwa idadi yake hilo jina ni kubwa sana kuisoma hilo jina? uache kazi ufanye kazi sana sio kazi ndogo unaweza kumaliza hata masaa 4 hujamaliza kusoma hilo jina la Allah subhana watala Ya -Latwifu? ningekuomba utoe idadi ya ndogo japo ya kusoma hilo jina idadi ya mara 1000 itakuwa ni bora zaidi kuliko kutoa idadi kubw akıama hiyo asante sana huo ndio ushauri wangu.
Sheikh mm nina mtoto na nimemuita Islam ila cha ajabu watu wananiambia jina gani hilo je hairuhusiwi kuita jina hilo jibu ni zuri baya sijaelewa mm nimelipenda sana
@Msafiri Afraha Allahuma Ammin M/mungu akujalie mke mwema kwako na watto wema waje wakufae ww au nynyi wazazi pamoja na jamii kwa ujumla akufunglie kila la kheri duniani na Akhera akupe hitaji moyo wko 🙏 Ammin Allahuma Ammin 🤲
Sasa walitaka umwite KAFIRI? kwa sababu kinyume Cha ISLAM NI KAFIRI Hao ndo wanaokimbia kuisoma dini yao hata Hilo jina maana yake haijui anapinga TU kwa sababu hajasikia mtu kwao akiitwa hivyo
Kwanini mnaotupa darasa ndo mnakuwa na mitihani migum kuliko wasio jua mambo yote nakama mwajua kwanini msiyafate yote hayo kisha utajiri ukawajia namikosi zikawaondoka ?
MJASIRIAMALI SHUPAVU LAILA MUSSA mitume wengi walikuwa Masikini na mitihani mingi sana, ingawa siri za uungu walikuwa walikuwanazo, sasa wale mitume vp mimi na wewe. Changamsha kichwa majibu unayo
Maashaallaah masomo yako shekhe ninzur sana mungu akuweke akuzidishie mambo ya kheri nyingi na baraka nyngi ktk kaz zako amiina amiina
Inshallah Mungu mkubwa
Shukran kaka Allah akubariki uzidi kutupa chakula cha roho nakufuatilia vyema nikiwa Doha Qatar.
JAZAKA LLAH KHAYRAN ALLAH akupe umri mrefu wenye kheri na baraka ndani yake
Asw sheh
Nawomba wutaratibu
Nitume swada tuma wastap namajina
Ya kitaburisho ishaallah
Shukran sana shekhe Allha akuzidishie ilimu
tunakushuru sheikh kwa darsa zako ni nzurisana na nyepesi kuelewa shukran
TUMIA JINA HILI LA ALLAH (YAL-LATWIF) KUFANYA MAMBO YAKO KUA MEPESI
Kwanza utaswali rakaa 2
Katika rakaa yakwanza utasoma suratul-fatiha kisha utasoma suratul- Alamnashrah, Katika rakaa ya pili baada ya suratul-fatiha utasoma tena suratul- Alamnashrah mara 1 tu. Ukishamaliza kuswali utaleta Istighfara kama zifuatavyo:
1. Astaghfiru-Allah x 100
2. La illaha illa Allah x100
3. Allahumma Swale ala Muhammed ya Rabbi swale Aleihi wa sallamx100
4. Ya Latwif x 16641
Kila ufikapo Ya Latwif 1000 utasoma dua ifuatayo mara 100
Allahu Latwif Biibadihi yarzuku man ya shau wahual qawiyul aziz x100
Naomba kuuliza kama nitakuwa kwenye udhulu naluhusiwa
Shukran 🤲
KILALAKHERY NAKUTAKIA
Walykum salaam warahma tullah wabarakatu
ALLAH akujalie kila la kheri shekhe wetu
Shukran shekh tunasubr ljayo ishaallah
Ustadhi nashukuru sana nimekufahamu na ni kweli umenielemisha
Shukraan Sana sheikh wangu kwa DARSA zur jazaka Allahu khaira
Namm piya namuomba Allah akupe husnlhatimaa
Mashallah allahbakulipe kwakutupa darsa allah atujalie wepesi atufungulie riziki natuweze kutekeleza ulicho tufundisha amin ya allahnashukuru mnoo nimeelewa
Mashallah hakika ALLAH ( SW) anataupenda kwani wakat tukimuomba ikiachana kutupa tulicho muomba Bali hutupa thawabu pia AL HAMDULLILLAH.
Akujalie ALLAH hidaya na akuzidishie riziki na ilmu sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh. Amiin thumma Amiin .Barak'Allahu fiiQ kka yetu.
Wa'aleykum Salaam Wa Rahmatullahi Ta'ala Wa Barakatuh.
Jazak ALLAH Khair.
AMINA YA RABBI
MUNGU AKUPE KILA LA HERI DUNIANI NA KESHO AKHERA
Allah akulipe nmejifunza manshaallaha
Mashallah, hizo dua mngekuwa mnatuandikia ili tuweze kuzisoma
Alaykumsalaam warahmatullah wabarakatuh Amina
WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh jazak Allah khayran
Shukran sheikh wetu, tafadhali nisaidie na dua ya muisho.
Shukran ya ustadh
Amina
Ameen
Waalaikumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh shukaran sheykh jazakallahu khair
Shukran jazakallah khair
Allaykum msalam warahmatullah wabarakatuh shukrani sheikh Ameen
Shukran habib mungu akujazi kheri inshaalh kwa kutuma mazuri
Ndugu ALLAH akujaze naakupe umri mrefu
Mashallah
Jazakallah khaira
Asante Sheikh
Shukran sheikh
MAA Shaa ALLAH TABARAKALLAH JAZAKALLAHKHEYR
Shukran inshallah
Mashaallah
MashaAllah MashaAllah MashaAllah.
Manshallah Allah akuzidishie Elimu yako, na akupe kila Kheri uzidi kutupa na sisi elimu zaidi
Ameen thuma ameen yarabby
Shukran
Ameen Yaa Rabbil aalamin
Jazakalheri Allah akujalie pepo
shukran jazakallaahu khayr
ManshaAllah jazaka Allah khaira 🤲
Masha Allah
Maashalaahhh
Merci beaucoup
Shukran
Walekum musalam warahamatul llahu wabarakatu
Shukran mashallah
Masshaallah
Allahumma ameen
Amina inshaallah
Amiin
In sha allah
Aamiin ya rabb aamiin
A.aleykum shekh je kama ni mgonjwa utafanyaje
Maa shaa Allah
Mungu anasiri kubwa juu yaviumbe wake sio sisi tujuavyo dini iko moyoni namatendo yako so ombeni hizo dua mkeshe tuone utajiri kama utawajia lini mungu akashusha utajiri pasipo juhudiya MTU
Ya mezekana we kafii hujui lolote menyezi mungu akuogoze
Hata sisi tunafanya kazi,biashara tunapambana hasa na wakumuomba ni Allah ili atupe baraka ili tufanikishe sio kwamba tumekaa tu tunaomba dua lbd haijaeleweka
SubhanaAllah, ikiwa hauna yakiini, huwezi kupata cocote
Mashaallah shukran.....na aya hiyo iko surah gani
Katika majina zamwenyezi mungu.
Jina LA Allah ya Latif
Amiin amiin amiin
Yaraatifu
Asalam aleykum heri niandikie hiyo dua Nina ndugu yangu yupo jela
Yaaa Latwiiiif
Allahum Amin Amin kwadua nawe pia Allah akujalie pepo yake sheikh wetu.ila nikuombe kitu unapo tutajia aya jitahidi kutuelekeza ni surat gani na ni ayat yangapi maana inakua nyepesi kuisoma kwenye kitabu unaiona.samahan lakini kama nimekosea
Sheikh Alam nashira inapatikana sura gani tafadhali?
rashida birungi Surat Ash sharh ina patikana katika sura ya qur ‘an number 94
Shukran
Allahumma amiin
@@rutahalima1400 pole dada naona Leo hi, tafuta katika quran sura inaitwa INSHIRAAH.
Assalam Aleykum Warahmatullah Ust unacho kisema utupe na dalil. dini ni Qala Allah Qala Rasulullah Swalallah Aleyh wassala tunaomba dalil.
Unajua ninyia sjui tuseme akili zenu zipoje ktk Dua unahitaji dalili Gani wewe muhmini Gani usiejua Dua ni ibada ni muumini gn asiyejua mtume saw kafundisha Dua ni silaha ya muumini ni muumini Gani usiejua anaeombwa ni ALLAH au angekwambia ukaombe mizimu ndo furaha Yako kipi hapo usichoelewa Sasa ,
Au ndio kijifanya mchamungu zaidi ya wenzako ili tukuone,
Kipi hapo ni dhambi ktk maelezo ya Huyo mzungumzaji
@msafiriduwiya7765😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Iyo Aya pia omesoma inapatikana sura gani?
الشوري ١٩
Twaa no yke uongee nae akwambiee
Sheikh Sharifu islam hongera kwakutupa faida ya jina la Ya Latwifu lakini si unajuwa idadi yake hilo jina ni kubwa sana kuisoma hilo jina? uache kazi ufanye kazi sana sio kazi ndogo unaweza kumaliza hata masaa 4 hujamaliza kusoma hilo jina la Allah subhana watala Ya -Latwifu? ningekuomba utoe idadi ya ndogo japo ya kusoma hilo jina idadi ya mara 1000 itakuwa ni bora zaidi kuliko kutoa idadi kubw akıama hiyo asante sana huo ndio ushauri wangu.
Shukran Allah bariki na atuongoze ktk njia ya kher sis nawazaz wetu. Amin amin amina yaraby takabal duaa
Shkuran 🤗🤗
nataka kumregesha mume wangu
Asalam aleykum sheik naomba niandikie hiyo dua ya kusoma baada ya kumaliza ya Latwif mara elfu 1 ili niendelee mpaka nifike 1,660,041
Rahilu Nyundo ni elfu 16641 iyo uliyoandika Wewe ni mil 1 Laki 6 na 60 na 41 Shukran
@@abdulhalimhumud1917 sawa niligundua baadae nimekosea asante
Rahilu Nyundo Insha Allah kheri
@@abdulhalimhumud1917 Amiin
16641
Sheikh mm nina mtoto na nimemuita Islam ila cha ajabu watu wananiambia jina gani hilo je hairuhusiwi kuita jina hilo jibu ni zuri baya sijaelewa mm nimelipenda sana
@Msafiri Afraha Allahuma Ammin M/mungu akujalie mke mwema kwako na watto wema waje wakufae ww au nynyi wazazi pamoja na jamii kwa ujumla akufunglie kila la kheri duniani na Akhera akupe hitaji moyo wko 🙏 Ammin Allahuma Ammin 🤲
Sasa walitaka umwite KAFIRI?
kwa sababu kinyume Cha ISLAM NI KAFIRI
Hao ndo wanaokimbia kuisoma dini yao hata Hilo jina maana yake haijui anapinga TU kwa sababu hajasikia mtu kwao akiitwa hivyo
Shekhe je nikisha zigawa hizo Mara elfu moja jee zile Mia sita 41 nafanyaje Kisha ni natakiwa kusoma kwa muda wa siku ngapi ama siku moja intosha?
Inatosha hzo nyengine utamalizia bila hyo ayaaa
@@islammbarack4768 jazaka lahu kheri allah akulipe kheri nyingi
Sasa tutashika kipi natuache kipi au mwanogesha kipindi
Kwanini mnaotupa darasa ndo mnakuwa na mitihani migum kuliko wasio jua mambo yote nakama mwajua kwanini msiyafate yote hayo kisha utajiri ukawajia namikosi zikawaondoka ?
MJASIRIAMALI SHUPAVU LAILA MUSSA mitume wengi walikuwa Masikini na mitihani mingi sana, ingawa siri za uungu walikuwa walikuwanazo, sasa wale mitume vp mimi na wewe. Changamsha kichwa majibu unayo
We dini yk nn
Mn naon una masuala y ovyo
Akili zako zitskuwa haziko sawa labda km hujarlewa ni Bora ungeuliza
Mashallah
Jazakallah khair
Mashaallah
Shukran
Masha Allah
Amiin
MashaAllah
Mashaallah
Mashaallah
Masha Allah
Amiin
Masha Allah