Asante sana shukran sheikhe wetu kipenzi kwa ajili ya Allah tunajifunza mengi kwakutuelimisha Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha sisi na vizazi vyetu
Mashalaah jazaka llah hairan shekheawaidha yako nayapenda Sana huwa yanikumbusha Sana ahera ala akulipe na akupe umri mrefu na akatukutanishe pepon nakupenda kwa ajili ya allah
Maashaallah shukraan Sana sheikh wetu kwakutuelimisha Allah akubariki Sana sheikh akujaalie afya njema yenye kher na barka ya akhera na Dunia naakujaalie jannah firdausi Aamiin
Mashallah shekh allah akuzidishie upole,hekma,umrimrefu na akulipe kwakila jema kuanzia sasa si kuyako ya kufa na siku ya malipo na akufufue pamoja na wajawema inshaallah..
Laaaaaaah hakika nimedarasika zaidi kwa lisaa lizima hili nimetumia kumskiliza sheikh wang mpendwa, naskitishwa na jinsi tutamkosa Burundi Mwaka Huu sababu ya Janga hili la Corona Allah akujaze kheir Sheikh Othman Maalim
Nafaidika na mingi sana kwenye darsa zako. Allah akupatie afya, akuzidishie elimu na akujaalie mwisho mwema. I’m watching from London, Jazakum Allah kheir.
Sheikh Othman Maalim nakuambia hvi hakuna mfano wako juu ya ufikishaji hawakuwezi hata wakisema nini juu ya ufikishaji daawa fanya kazi alizokutuma Allah na Allah akustiri na kila Shari za waovu
Allah akubaariki na akuzidishie kila la kher insha Allah Shukran sana kwa darsa zuri sana na lenye faida na manufaa mengi Allah akupe umri na afya njema insha Allah na akuzidishie barka na maisha mema dunia na akhera
Wallah ht mm nampenda Sana shekh wangu Othman..mola anijalie xiku moj nikutane naye ana kwa ana in shaa llah.,...mola akubariki akupe kheri dunian na akhera Ameen
Hakika Hata Tunaona Hizo Sirikalizetu Za Dhulma Hazina Maendeleo Mashaallah Huwo Niukweli Laatazididhalimiyn ila Khasara..Allah Tunusueu Nadhulma Yarabiy...Tujaalie Halali Yarabiy
Ma shaa Allaah tabaraka Allaah mawaidha yenye manufaa sana lakini kwa hisani jaribu kuzifanya mfupi ili mtu apate yote badili yakuwa ndefu utapata baadhi yake maana tunashukuliwa na fikra za kiduniya wa jazzaka Allaahu kullu kheir
MashaAllah jazakallah Allah Bariq ....Shekh Allah azidi kukupa umri sote jamii Muslim uzidi kutupa daawah nakukumbushana ya kher matupu Ameen yaraby
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI SHEIKH WETU.KIPENZI
ALLAH akupe kila la khairat shehe wetu
Maasha'Allah somo zuri kwa viongozi wetu laiti wangesikiliza mawaidha yako Allah akulipe kheir
Mashallah tabarakallah mawaitha mazuri sana kama wakati huu viongozi wangefata uongoze kama huwo tungeanzia maisha ya poponi duniani
MashaAllah,sheik nimepata dawa ya roho nimeburudika wallahy,jana Allah kheir Mungu akupe umri uzidi kutuilimisha
Mashallah shekhe othuman mungu akubashirie pepo yakawe ndo makazi yako inshaallah
nakupenda sheikh wetu kwa maudhuwi yako na mafunzo mazuri, Allah akulipe kheri hapa Duniani na kesho akher🙏
Amin Shekhe Allah akujalie kheri kwa mawaidha mazuri Alhamdulilah
Aaamiin sheikh kwa mawaidha yako mazuri yenye kufunza
Inshallah
Allahouma ameen
Mashaallah Sheikh Othmn Maalim asante kw Dawa ya moyo. (Hakika ukumbusho utawafaa wenye kuamin.)
Mashallah Mashallah Mashallah, Jazzaka Allahu kheyr. 🙏🙏🙏
L
@@mahanur4468 l0lp
Allah akulipe hapa dunian na kesho akhera shekh pia akupe afya njema uzidi kutuusia yaliyomema kwetu
Mashalaah shekhe othumani allah akupe umri mrefu ktk huo huo umri mrefu uwe wa heri mble ya allah
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
Asante sana shukran sheikhe wetu kipenzi kwa ajili ya Allah tunajifunza mengi kwakutuelimisha Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha sisi na vizazi vyetu
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
@@mahanur4468 x
6l6ĺ
Sheh nashukuru kwa mafundisho mazuri nina changamoto naomba no yako kwa mawasilino zaidi
Mashalaah jazaka llah hairan shekheawaidha yako nayapenda Sana huwa yanikumbusha Sana ahera ala akulipe na akupe umri mrefu na akatukutanishe pepon nakupenda kwa ajili ya allah
Ma sha ALLAH,ALLAH akujaze kheir ya sheikh
Hakika faida twapata kwa darsa zako.
Mashaallah mawaudha ni mzr na yenye mafunzo Allah akuzidishie umri wenye afya njema sheikhe nikupendae kwa ajili ya Allah
Ma Sha Allah ya sheik Othman Maalim Allah akulinde na Hasidi (Allahumah Amin yarrabii)
Maashaallah shukraan Sana sheikh wetu kwakutuelimisha Allah akubariki Sana sheikh akujaalie afya njema yenye kher na barka ya akhera na Dunia naakujaalie jannah firdausi Aamiin
Masha Allah Allah ampee guvu na afya shekh wetu azidi kutupa darsa ameen
Mashallah shekh allah akuzidishie upole,hekma,umrimrefu na akulipe kwakila jema kuanzia sasa si kuyako ya kufa na siku ya malipo na akufufue pamoja na wajawema inshaallah..
Inshaallah
Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu na akuzidishie maarifa uzidi kutufundisha zaidi na zaidi
Rehma za Mwenyezi Mungu ziwe juu yako hakika unatukumbusha na kutufunza mambo mengi sanna
Mashallah sheikh wetu mungu akujaze kheri na baraka tele nimepata elimu kupitia wewe sheikhs Othman mungu akuzidishie umri wenye manufaa kwa waislam
Kabisa
Shekh wetu nakuombea sana kwa ALLAH akuzidishie umri uzidi kutuelemisha
Laaaaaaah hakika nimedarasika zaidi kwa lisaa lizima hili nimetumia kumskiliza sheikh wang mpendwa, naskitishwa na jinsi tutamkosa Burundi Mwaka Huu sababu ya Janga hili la Corona Allah akujaze kheir Sheikh Othman Maalim
Allhamdulilah nimepata ellim .
Masha Allah mwenyezi mungu azza wajalla akuifadhi sheikh wetu
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
Allah AKUHIFADHI Sh Othman mawaidha yako yote mazuri na MashaAllah hubabaiki Elmu Allah alokupa kitu ninachokuomba nataka GSM yewe ni Sh mzuri shukran
Shukran jazzakallah khairan Allah akulinde na kila la shari akupe umri mrefu shekh Othman maalim ustadh wa wengi
mashallah Allah akupe umri mrefu shekhe wetu kipenzi uzidi kutuelimisha inshallah
Maishaallah Allah akuongoze nasi tupate kufaamu kipitia kwako inshaallah
Allah akulipe kheri sheikh Othuman tunafaidika sana na mawaidha Allah akujalie umri wenye afya njema mashaallah shukran
Ameen
Ameen ya raab
@@abdullmalik7847 Allahumma amin
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
Amiin inshaallah
Masha Allah tabaraka llah Allah Akulinde ustadh mawaidha mazuri tumuogopeni Allah jamani
Allah akutunze Shekhe kwa mafundisho yako tunafaindika , mashaallah ,,jazzakum kheri
Nafaidika na mingi sana kwenye darsa zako. Allah akupatie afya, akuzidishie elimu na akujaalie mwisho mwema. I’m watching from London, Jazakum Allah kheir.
ASALAM ALAYKUM NDUGU ZANGU WAISLAMU TUJITAHIDINI SANA KUSOMA DINI YETU INSHAALLAH ALLAH AWAZIDISHIE KHEIR MASHEIKH ZETU
Hakika tunafaidika namawaidha yako Araah akufanyie wepesi katika kuitangaza dini ya ARAAH Ameen
Mashaallah mungu akupe umri mrefu na kheri nying shehe wetu duniani na ahera
Allah Akuzidishie Afya Nzuriy Yarabiy Akulinde Akuhifadhi Nakilashari Namaradhi Husda Yarabiy Na Umriy Mrefu Wenye Afya Njema yarabiy Utupe Daawa
Mungu akupe rehma na fya njema hadi siku yakiama. Nasisi atuongoze Aamin
Sheikh Othman Maalim nakuambia hvi hakuna mfano wako juu ya ufikishaji hawakuwezi hata wakisema nini juu ya ufikishaji daawa fanya kazi alizokutuma Allah na Allah akustiri na kila Shari za waovu
Allah akulipe kheri sheikh wetu, mm nampenda sn huyu sheikh hana majivuno na kujikweza km baadhi ya masheikh mashuhuri
Allah akupe kheri na baraka ktk maisha yako
Nitiba kwangu mawaidha mazuri mashallah Allah akupe kila rakheri.
Alhamdulillah, Allah Ampe afia nzuri Kwa sheikh uyo
Allah akubaariki na akuzidishie kila la kher insha Allah
Shukran sana kwa darsa zuri sana na lenye faida na manufaa mengi
Allah akupe umri na afya njema insha Allah na akuzidishie barka na maisha mema dunia na akhera
Mashaalla
MashaAllah Sheikh Othman Maalim Allah akupe umri mrefu . Shukran kwa Mawaidha Mazuri na Matumu .
Swadaqta shk mungu akupe umri na mwisho mwema
Masha Allah tabarakallah shukran sheikh wetu mawaidha mazuri
Mashallah Mashallah Mashallah, Jazzaka Allahu kheyr. 🙏🙏🙏
Nakuku bari sana
Mungu akuzidishie kila lililo jema kuko
Mashallah jazaka la kheri
Mashaallah mola akuzidishie elimu shekhe wetu uzidi kutuelimisha yaliyo ya kheir na na sisi tuwe wenye kuyatekeleza
Jazak Allah kheiryan Allah akujaza kheir
mashaaallah unatunufaisha na mawaidha mazur allah akulipe kheri inshaallah
Marshallah mwenyezi mungu atuongoze kwenye haki. Ramathan Karim kwa ndugu zangu wasilamu
Nakupenda sana shekhe wanguu allahu akuzidishiye umri mrefu wa afyanjema inshaallahu uzidi kutupatiamawaidhaa no wakadha
Mashaallah allah akulipe khery na umri mrefu wenye khery na baraka ndani yake
Mashallah, Allah akupe kheri shehe wetu kipenzi na akupe kauli thabiti wakat wa kutoka roho ,AMIN
Allah ametukuka mno kichwa chako amekifanya kuwa chenye mambo mazuri na yenye kheri kubwa Inshaallah Allah akulipe badali kwa mazuri haya
My favourite muslim speakers...ALLAHU barik sheikh Athman Maalim..
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
@@mahanur4468 t98⁹
Salim and me too May Allah bless him
Wallah ht mm nampenda Sana shekh wangu Othman..mola anijalie xiku moj nikutane naye ana kwa ana in shaa llah.,...mola akubariki akupe kheri dunian na akhera Ameen
Masha allah..Allah amzidishie sheikh wetu
Asalam alekum mungu akuzidishe Imani na subra kwa kila Jambo amen amen amen 🙏🙏🙏
Mashallah sheikh wetu kwa kutupewa mawaz mazur Mungu akuzidishie maisha maref🙏🙏
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
ALLAH AKULIPE GHERI NYINGI ZAID NA ELIMU NYINGI ZAID UTULINGANIE KWENYE GHERI.
Hakika Hata Tunaona Hizo Sirikalizetu Za Dhulma Hazina Maendeleo Mashaallah Huwo Niukweli Laatazididhalimiyn ila Khasara..Allah Tunusueu Nadhulma Yarabiy...Tujaalie Halali Yarabiy
Mashallah sheikh Allah akuhifadhi
Shukran shekhe kwa mawaidha mazuri
Yaa Rabbih akupe umri na siha njema uzdi kutuelimisha InshaAllah
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
Maashaallah shukurani kwa kutuelimisha allah akupe afy dunia na khera inshaallah
ALLAHUMMA AMIIN YAARABBI THUMMA AMIIN
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
Mashaallah
MashaAllah MashaAllah shukran sana sheikh
Mashallah Mashallah Mashallah, Jazzaka Allahu kheyr. 🙏🙏🙏
Inshaallah! Allah akupe hekima na uzidi kutupa elimu ya Allah. Penda ssna.
Ahsante shkh wetu Allah akupe umri Yarrab!! Subhanallah MMungu atupe wepesi ktk kila zito tumuegemee yeye mwenye Rehma'
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
Amin amin amin yarab
Amiiiin
Mashaallah Allah akufanye uwe miongoni mwa wale watakao kuwa na mtume peponi.
Masha Allah shekhe mungu akujalie umri mrefu insha Allah
Asalam alaikum wa rahmatullahi wabarakatu.hakika uwadirifu uwaminifu nicheo juu ya wanaadam asante shekhe kwa mafunzo ya kututia moyo ktk maisha yetu.
Masha Allah, tiba ya moyo si haba! Mola akupe kila la kheri Bali sisi site inshaalwa! Aamin!
Penda sana shekhe wangu unaniongoza kwenye kheri Allah akuzidishie uhai na imani ya kudumu
Ma a shaa laah
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
@@azizawadh5973 Alhamdulillah
Mashaaallah sheikh Allah akuzidishee ya kherii
MashaAllah. Waadi nzuri saaana. Allah atujaalie mwisho mwema. Ameen.
Shukran Sheikh.
Ameen ya raab
Amiin
Ammin Allahuma Ammin kwa sote waislamu inshallah. 🤲🤲🤲
Ma SHAA ALLAH tabaaraka rahman shukran wajazakallah khayran
Shukrn shehe jazakkallah kheir nafarajika san kuskiliza mawaidha
Yananiburudisha san kuliko kit chochote.
maashaallah shekh Allah akulipe kheir
Yarabi! Yarabi! Yaa ALLAH tujaalie tuwe waja wako wema. Tuongoze na vizazi vyetu vya ummati MUHAMMAD yaa KAREEM!.
p
Mashallah shukrain sheikh wetu Allah akujalie afya njema akuifaidhi Allah atupe mwisho mwema ss na vizazi vetu kwa ujumla Allahuma ameen 🤲
Mungu akuzidishie umri mrefu tuzid kufahidika
Yaa Rabbi,naomba ututunzie Sheikh wetu huyu,nampenda kwa ajili ya Allah
Ammina Inshallah. 🤲🤲🤲
Aaamin na mm nakupenda ww unaempenda sheikh huyu kwa ajili ya Allah.
MAASHAALLAH TABARAQLLAH BARAQALLAH FIKI 🇸🇦🇰🇪
Mashallah Mashallah Mashallah, Jazzaka Allahu kheyr. 🙏🙏🙏
Ma shaa Allaah tabaraka Allaah mawaidha yenye manufaa sana lakini kwa hisani jaribu kuzifanya mfupi ili mtu apate yote badili yakuwa ndefu utapata baadhi yake maana tunashukuliwa na fikra za kiduniya wa jazzaka Allaahu kullu kheir
Mungu akufanyie wepesi katika maisha yako
Mashalah allah allah akubarikie sheh sadakta
Allah akulinde popote ulipo Othman maalim
Allah akupe umri mlefu uzidi kutuelimisha
Alhamdulilah nashukuru napumbazika kusikiliza dawa kila mdaa
Mashallah Mashallah Mashallah, Jazzaka Allahu kheyr. 🙏🙏🙏
Maashallah,mashallah Allah akupe umri mrefu shekh wangu
🙏🙏🙏❤❤❤👍
Jazaka llahulkhery
Masha Allah Allah akujalie umri mrefu
Ma sha Allah....shukran sheikh kwa ilmu na mafunzo tunayopata kwa darsa zako.Allah baarik fiik
MashaAllah mwenyenzi Mungu akuhifadhi sheikh wetu
MashaAllah mashaAllah mashaAllah.shukran jazzakh Allahu
Mashallah Mashallah Mashallah, Tabaraka Allahu Fiyh. 🙏🙏🙏
Shukran sheikh othman maalim
Mashallah Mashallah Mashallah, Jazzaka Allahu kheyr. 🙏🙏🙏
Maashaa Allah Allah akupe umri mrefu uzidi kutupa darsa .mawaidha mazur sana
Allah akuhifadhi shekhe wetu
Naaam, Jazakallah khair sheikh wetu, Allah aturashie yaaa Arabbi 🤲🤲🤲
Barak Allahu fik ya sheikhunal faadhil
Mashallah Mashallah Mashallah, Tabaraka Allahu Fiyh. 🙏🙏🙏
Masha allah sheikh Allah akuhifadhi kwa rehma zake na barka zake in shaa allah