DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • hii ni dua ya majina 99 ya allah baada ya kusikiliza dua hii ndugu yangu omba unachotaka kwa sharti kiwe cha kheri

ความคิดเห็น • 917

  • @saadahassan1437
    @saadahassan1437 6 หลายเดือนก่อน +12

    Yarabi naomba niondolee mitihani kazini na unifanye nidumu kazini naomba unioe ridhki ya halal na yenye kheri naomba umpe pepo ya firdaus baba angu alotangulia mbele za khaki na umat MUHAMMAD s.w.s

  • @MayasaOmar
    @MayasaOmar 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ya allah nakuomba uniondoshe husda chuki fitna za waja unifungulie milango y riski unifungulie mlango wangu wa ndoa inshallaah uniondoshe maradhi mabaya ynayotawala mwili nnayoyajua n ni siyoo yajua inshallaah ni ww t tunaekuomba n kukutegemea n kuitaji msaada kwako allahumma amina

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  5 หลายเดือนก่อน

      Aamina 😂

    • @FashionHekima-wq9fl
      @FashionHekima-wq9fl 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nikihitajiduaa nakupataje shekhewangu

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  3 หลายเดือนก่อน

      @@FashionHekima-wq9fl nipigie kwa 0652286323

  • @ambelekhan6548
    @ambelekhan6548 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ya ALLAH niongoze yaliyo mema 🤲Nipe mwisho mwema nope rizki🤲 ya halali nakuomba mola wangu pekeyangu siwezi 😭🤲 Nakuomba Mola wangu niongoze nipe rizki niondolee hofu niondolee maradhi mimi na watoto wangu Ya ALLAH ya ALLAH nakuomba🤲🤲

    • @snanijuma7710
      @snanijuma7710 หลายเดือนก่อน

      Hii Dua ni Dua kubwa sana na inshallah Allah atatimiza Kila hitajio jema la mioyo yetu 🤲

  • @hanifaahmad5018
    @hanifaahmad5018 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ameena yarabi niondeleeee hasada na husda na matatizo yaliombele yangu ninayoyajua na sisiyojua tupe iman ya kukuabudu ww na kuyafata mamrisho yako uwarehemu wote walotangulia mbele ya hakiiiii ameena ya rabbi

  • @rehemamisele-jt1xj
    @rehemamisele-jt1xj 11 หลายเดือนก่อน +7

    Ya Allah naomba uniepushe na kila lililo baya mjn uchw husd za watu mahsd ulinde familia yng uzd kutup uzma na pumz kila kukicha

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 10 หลายเดือนก่อน +23

    Ya Allah Ya Allah naomba unisamehe ninayoyajua na nisoyoyajua makosa yangu niondolee maradhi nijalie uhai mrefu afya amani nikuabudu nipe rizki ya halali na mwisho mwema

    • @tausihassan4846
      @tausihassan4846 7 วันที่ผ่านมา

      Ya allah ya allah tujaalie waja wako

  • @alphoncymatara5108
    @alphoncymatara5108 9 หลายเดือนก่อน +15

    Ya Allah nakuomba uwapunguzie adhabu ya kaburi wazazi wote wawili , ya Allah nakugemea kwa kila Jambo liwe kubwa liwe dogo ya Allah ukanifanyie wepesi na kuniondolea mabalaa na chuki juu ya kazi yangu na familia yangu Amin🤲🏽😔

  • @MwanaidiAwadhi
    @MwanaidiAwadhi 11 หลายเดือนก่อน +22

    Amiin 🙏🏼🙏🏼🙏🏼ewe mwenyezimungu naomba unifunglie mwanganz katik maisha yangu Unifungulie rizk zngu kila zito allah unifamyie wpesi kila ninapoingia nuru inimwilik unajalie mwisho mwem 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 7 หลายเดือนก่อน +4

    Yarab naomba niondolee madeni yote nibaki huru

  • @MAMUIZINA
    @MAMUIZINA 11 หลายเดือนก่อน +19

    Aamiiin🤲🤲🤲🤲yaarabilialamina mwenyezimungu niondolee matatizo yangu ya ALLAH we ndio mtoaji ya rabb takabali dua🤲🤲🤲

  • @MariamNassoro-j3j
    @MariamNassoro-j3j 11 หลายเดือนก่อน +17

    Ya Allah unifanyie wepesi katika mambo yangu, unikinge Na hasad, husda Na wabaya wote walonizunguka pamoja Na familiar yangu amiin

  • @Joharibakari-cv3oq
    @Joharibakari-cv3oq 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ya -Allah Kila zitoo Naomba liwe jepesiii ya Allah Nipe umri mrefu mimi pamoja familia yangu naomba umuondolee mitihan H kila zito kwake liwe jepesi akika Allah wew ndio tumaini letu la mwishoo🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ZainaMkamba
    @ZainaMkamba 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah kupitia Dua hii imponye mwanangu sielewi kinacho muuma Kila kitu nimepima ila hakuna ugonjwa ila tumbo linajaa na kutapika nakuharisha

  • @LatifaSalumu-b6r
    @LatifaSalumu-b6r 11 หลายเดือนก่อน +14

    Ya Allah unifanyie wepes kwenye mamb yangu na ridhik yang uniepushie na mabaraa,vijicho,husna,uchawi na mashetwani maisha yangu yanakutegemea ww Allah 😢😢Amin 🙏

  • @alphoncymatara5108
    @alphoncymatara5108 9 หลายเดือนก่อน +5

    Amiin Yarab al-amin nakuomba rehema zako na afya na kutimiza malengo yangu Yarab al-amin,hekima juu yako Allah pia nakuomba utulivu juu ya familia na Maisha yangu kwa ujumla.

  • @khadijaZuberi-wo4eg
    @khadijaZuberi-wo4eg ปีที่แล้ว +16

    Amiina yaarab nisamehe makosa yangu pia naomba unipe mwisho mwema na naomba nifanye yale yenye kukupendeza, niepushe na maasi ya dunia niwe mja mwema, naomba uniepushe na watu wabaya na wale wasopenda kuona mafanikio yangu wasiwe na nafasi kwangu, nakuomba ya Allah niondoshe na nuksi, mikosi, mapepo, na maradhi sababishi yasinikute, nifungue kila nilipogungwa kwa nguvu za giza, mfanyie wepesi bosi wangu asahau yote yalotokea anirudishe kazini kwa nguvu zako Allah. Naiombea familia yangu, wadogo zangu na wazazi wangu waepushwe na kila Shari na kila baya lisiwakute kila atuombeae ubaya kwetu ugeuke na kuwa uzuri, ❤️🙏

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  ปีที่แล้ว

      😭😭😭🤲

    • @zozosabra2176
      @zozosabra2176 ปีที่แล้ว +1

      mwenyezi mungu nakuomba uniepushe na mitihani mm na familia yangu niongezee watoto wangu na uniepushe na maradhi makubwa na madogo nakuomba ewe mwenyezi mungu nifungulie milango ya ridhiki mm na kizazi changu . na uwasamehe wazazi wangu makosa ya kaburi Amina

    • @nooralhadidi6420
      @nooralhadidi6420 7 หลายเดือนก่อน

      [​@@zozosabra2176

    • @BatulHarun
      @BatulHarun 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu atufungulie riziki za halal yarabi atupe wepesi wake

    • @BatulHarun
      @BatulHarun 6 หลายเดือนก่อน

      Yarabi ndoa iwe ya kheri kwangu

  • @ZainabuMsangi-gx1fe
    @ZainabuMsangi-gx1fe 4 หลายเดือนก่อน +7

    Yalaah naomba ninapoisikiliza dua hii uniepushe na maradhi pia unijaalie mwisho mwema na uyape nuru maisha yangu na familia yangu...inshaalah utukubalie dua zenu

  • @Coco-nu4of
    @Coco-nu4of 7 หลายเดือนก่อน +4

    Amin yaa rabbi 😭😭😭😭👏

  • @AbdiMohamedhapi
    @AbdiMohamedhapi 10 หลายเดือนก่อน +12

    Amin yarab nisameh makosa yangu Na uniondoshe matatizo YA nyumba yangu

  • @MwajumaNurru
    @MwajumaNurru 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ya allah naomba uniondolee matatizo ninayopitia kwa kupitia dua hii amiin

  • @asnatabdallah
    @asnatabdallah 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ya Allah nakuomba unisamehe makosa yangu ninayo yajua na nisio yajua nakuomba unipe afya njema na mwisho mwema 🤲

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi MUNGU Naomba uniondoshee mauchawi majini walionitumia 😢

  • @NayBakari
    @NayBakari 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yarab nifungulie ‘ nifungue funguko vyote vilivyokuwepo ,mwilini Kwangu viwe vya binadamu au majini au wachawi Naomba Allha nifungulie ridhiki yangu nipe umri mlefu na mama angu,muondolee,malazi na umpe umri mlefu inshallah. 👏👏👏

  • @nasrashaibu158
    @nasrashaibu158 ปีที่แล้ว +13

    Yarab nisamee makosa yangu na unisamee zambizang unipe riziki zangu zaharari kizazichang kiwe miongoni yawaja wema ishaarr❤

  • @ShaniRadjab
    @ShaniRadjab 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ya Allah nipokeleye swalha dhangu n'a dua zangu ya Allah unisamehe dhambi dhangu unijalie mwisho mwema Ya Allah uniweke katika kundi ambalo litakalo ingia katika jannatu fidrau yaAllah warehemu wazazi wangu😢uwasamehe dhambi Zao kupitia dua hiyo ya Allah utunusuri Sisi viumbe vyako dhahifu ya Allah🙏🙏

  • @BayanTanzanian
    @BayanTanzanian 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amiin yarabi

  • @MtumwaHamza
    @MtumwaHamza 3 หลายเดือนก่อน +6

    Amin ewe mwenyezimungu niondolee chuki,husda, choyo, hasada, shari na mambo mengine yote mabaya

  • @MwanaMone
    @MwanaMone 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ya allah naomba unisamee mabaya yangu yote na uniondole matatizo nlio nayo.unilinde na hasad za waja ya rabina halameen🙏🙏

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  3 หลายเดือนก่อน +1

      Aamina yaa rabbi kwa sote Aamin

  • @BintiAli-b8g
    @BintiAli-b8g 6 หลายเดือนก่อน +5

    Ya Allah niondolee kila mitihani ninayo pitia kwa kupitia dua hii yarab

  • @HalimaismailySaid
    @HalimaismailySaid 5 หลายเดือนก่อน +12

    Hakika hii dua ni dua mjarad sana Allah atukubalie na atufungulie na kutuongoza kwa kile tunachokikusudia nilienda nikatia udhu nikanuia nikasikiliz zaid ya mara 7 wallah majb niliyapata siku hiyo hiyo mpk nililia kwa furah

  • @HaidariMohamedi
    @HaidariMohamedi 7 หลายเดือนก่อน +4

    Yaa allaah nakuomba kupitia dua hii unisamehe dhambi zangu unifungulie milango ya rizki hakika wewe ndo muweza wa kila jambo allha mimi nikiumbe chako mnyonge kwako yaa allaah yaa allaah naomba msaada wako ee mwenyeezi mungu nisaidie

  • @ZawadyKilume
    @ZawadyKilume 4 หลายเดือนก่อน +21

    Allah Ww Ni Mwingi Wa Rehema Naomba Unisamehe Makosa yng Mola Wng Usinifichie nuru Ya Uso Wako Allah Najua Mm ni Mkosaji Mbele zako Nisamehe Mola Wng Ww Ndo Mwingi Wa Huruma Allah Nihurumie Mja Wako Niokoe Ktk Mitihani Hii ninayopitia Allah Wng Niponye Maradhi Ya Ganzii Ktk Mwili Wng Nipone Kbs Nijaze Imani Juu yako Allah Wng Mm Ni Mkosaji mbele Zako niponye Kupitia Dua Hii niponye Kwa Dua iliyomponya Ayubu Allah Nifanye Vile Ikupendezavyo Ww Mungu Wng Allah Nisaidie mja Wako

    • @zeynabawadh2185
      @zeynabawadh2185 2 หลายเดือนก่อน

      Ya rabby tuponye na utusamehe kwa kupitia duwa hii na utukunjulie riski zetu amina ya rabby😊

  • @Lulu-wt9dd
    @Lulu-wt9dd 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ya Allah naomba nitoe malaz niepushe na mabalaa ya kidunia nijaalie lizki nawombea wazazi wangu uwa jaalie her na lizki uwatoe malazi yalabi wajaalie watoto wangu tabia njema na wenye Imani amina 🤲🤲

  • @rukiamohammad9773
    @rukiamohammad9773 5 หลายเดือนก่อน +4

    Amiin thumma Amiin Yaarab tuondoshee matatizo utufanyie wepesi hapa duniani na kesho Akhera . Amiin

  • @nurdinomary4432
    @nurdinomary4432 10 หลายเดือนก่อน +9

    Amini yarab Al Amin niondolee maradh husda za waja uwape afya njema family yangu watoto wangu wazazi wangu yarab nifungulie nakuongezea rizk nifanyie wepes Kaz yangu yarab Kika nifanyalo liwe jepesi Amin Amin

  • @Atb300
    @Atb300 ปีที่แล้ว +79

    Amin Yarab Al-Amin niondolee na mitiani husda na kila lilokua Baya mbele yngu nifungulie rizki ndogo ndogo na kubwa kwani wewe ndo kimbilio lngu Hakuna wa kuabudiwa zaid yko yaah Allah🙏❤️

  • @jamilakimaro9993
    @jamilakimaro9993 4 หลายเดือนก่อน +6

    Yaarab nakuomba kupitia dua hii unisamehe makosa yangu yote imma kwa kukusudia au kwa kutokukusudia naomba utuepushie maradhi naomba uwape tahfif marehemu wetu waliotutanguli na uzidi kunipa wepesi ktk kufanya ibada zako yaarab. Aaamin

  • @mariamponera6386
    @mariamponera6386 ปีที่แล้ว +1

    yarabi nisamehe makosa yangu na madhambi yangu naomba unirehem

  • @AminaJuma-c8h
    @AminaJuma-c8h 11 หลายเดือนก่อน +6

    Yarabi nijalie lakheri unijalie ndoa uniepushe nazinaa Amiina Amiina 🤲🤲

  • @SabrinaTrabi
    @SabrinaTrabi 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mola nakuomba utuondoshee mabaya na kutupa amani na afya njema kwa familia yote nakuomba mola wangu amiin

  • @tatusaidy9661
    @tatusaidy9661 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ya ALLAH wewe ndie mtoaji wa yote basi nakuomba ya rabby niponye katika kila matatizo ninayo ya pitia nipe nuru ndan ya paji langu lauso naniokoe katika kila zito ninalo pitia mimi pamoja na familya yangu ya rabby😭😭

    • @fatumakyengya45
      @fatumakyengya45 4 หลายเดือนก่อน

      YA Allah Nijalie Yaliyo Mema Na Uniepushe Na Mitihan ,,,Unijalie Afya Njema Na Umri Mrefu ,,,Unijalie Watoto Walio Wema Na Uwajalie Wazazi Wangu Afya Njema ,,Aman Katika Nyoyo Zayo Amiiin

  • @HadijaMboga-wr1jq
    @HadijaMboga-wr1jq 19 วันที่ผ่านมา +1

    Aminaa ya Allah ninakuomba uniondolee maradhi yangu na wazazi wangu na watoto wangu na familia yangu kiujimla na unifungulie njia ya kheri na mafanikio mema amiina

  • @KhadijaShango
    @KhadijaShango ปีที่แล้ว +8

    😮eemungu wangu usie shindwa na jambo lolote naomba mungu wangu uniodoleshe maradhi katoka mwili wangu nipate mumeo mwenye hekima napia wape wazazi wangu mwisho mwema amin

  • @TwalaaTaib
    @TwalaaTaib ปีที่แล้ว +1

    Amin yaarab Alamin kwa Soote

  • @LatifaAley
    @LatifaAley 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ya Allah tujaalie kheri za Dunia na kesho Akhera .

  • @AlphonceMichael-qy6jf
    @AlphonceMichael-qy6jf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amin

  • @manenosakulo7076
    @manenosakulo7076 ปีที่แล้ว +4

    We mwenyezi mungu niondolee matatizo,chuki, husda kazini kwangu nyumbani kwangu yarabi niongezee kipato Cha kheri na Halal niwe huru,kwenye biashara zangu nifanikiwe,unijalie mwisho mwema,nitafutie sehemu nzuri ya biashara,niachane nayo mambo yenye kukuuzi, Nina pikpik nauza bc niuze kwa faida na kazini kwangu niwe na Nuru, kauli na niwe na nyota kwa Kila ninachokifanya

  • @SalhatZayumba-hv2ys
    @SalhatZayumba-hv2ys ปีที่แล้ว +1

    Yarab niondoshee dhiki na husda za waja Aamin

  • @elizabethgitau-xl3mx
    @elizabethgitau-xl3mx 4 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba YaAllah aniepushe na haya machungu nimepitia sana mangumu

  • @FauziahNambaka-bn2ln
    @FauziahNambaka-bn2ln 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi mungu anitakabalie dua zangu,swala zangu,funga zangu na anisamehe madhambi zangu zote na waislamu wote duniani

  • @MariaGoreth-es9ii
    @MariaGoreth-es9ii 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ee mungu nilinde uniepeshe
    Na maovu unikinge mm nagamilia yangu jutukinge na madui unipatie ridhiki Amin unitimizie ndot zang kupitia Dua hii Amin

  • @AmzaChikwendu
    @AmzaChikwendu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amin Yarab

  • @habibaamiri9786
    @habibaamiri9786 ปีที่แล้ว +8

    Amiin yaarab ewe mola wangu nijaalie kila lenye kheri na Mimi niepushie kila lenye mitihani na Mimi nifungulie riziki zahalali kila kilicho fungwa kifungulie mollah wangu niondoshee kila penye ugumu kiwe kimefungwa namajini au wachawi Allah wewe ndio kinga yangu yaaraby takabar dua

  • @JasminKibula
    @JasminKibula 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah naomba unisamehe makosa yangu yale niliyo yafanya kwa kuelewa na kwa nisiyo yaelewa Allaha naomb unipe mwisho mwema Ya Allah

  • @mwamvuaathumani4182
    @mwamvuaathumani4182 ปีที่แล้ว +4

    Ya Allah taqabari Duaa ya Rabi nipe subira Kwa kila jambo mola wangu nipe kizazi chema nifanye niwe mwenye kusimamisha swala mie na kizazi changu nipe Mme Bora na mwenye hofu juu yako ya Allah😢😢 niepushie maradhi husda na kila baya litakalo nijia ya ALLAH😢😢🤲

  • @MwanarusiRupia
    @MwanarusiRupia 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah nakuomba uniondolee matatizo yanngu unifungulie baraka zangu inshaallah😢😢😢😢😢😢😢

  • @halimamuddy9607
    @halimamuddy9607 ปีที่แล้ว +3

    Amiini 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @neptunezanzibar5552
    @neptunezanzibar5552 ปีที่แล้ว +1

    M,mungu nijalie rizki

  • @shakirajuma-ro9fh
    @shakirajuma-ro9fh ปีที่แล้ว +3

    Yarabiy nakuomba unifanyie wepesi Kwa kila ninalo pitia yarabiy 🤲 nakuomba uwasamehe wazazi wangu zambi zao yarabiy 🤲 nakuomba unifanyie wepesi kwakila jambo 🙏 Amiin 🤲🙏

  • @shumatagirl2767
    @shumatagirl2767 3 หลายเดือนก่อน +1

    eeeeh mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema ambaye hufananishi na kitu chochote, naomba nisamehe makosa yangu naomba nimurike katika nuru yako na uyapokee maombi yangu na kuyajibu mollah wangu sina pa kukimbilia zaidi ya kwako. Amina🙏

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 ปีที่แล้ว +10

    Eee Mola wangu naomba ninapocniliza Dua hii maradhi yamgongo yanayonisumbua nipone kwa rehma zako,Mwanangu masikio yake umfanyie wepesi ya Allah apate kusikia Amiin

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Hta mm mgongo vle pia kunyonyesha allah atupe afya njema inshaallah

    • @SubiraMussa-ik2mh
      @SubiraMussa-ik2mh ปีที่แล้ว

      Ya rabi nakuomba niondoshee kila lililofungwa unifungulie

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      @@SubiraMussa-ik2mh allahumma amiin.

  • @MBENEdesignshomefinishing
    @MBENEdesignshomefinishing หลายเดือนก่อน +1

    Ee mwenyezi mungu unisamehe makosa yang niangazie Nuru yako ktk njia zangu,niongoze nifunge kufuani maneno yako na yaniongoze muda wote wa heli hapa duniani eee mola wa mlezi nakushujidia ww tu amin

  • @fadhirajuma1240
    @fadhirajuma1240 ปีที่แล้ว +5

    Eeeee Mwenyezi Mungu nifanyie wepesi niweze jifungua salama inshahalah🙏🙏

  • @NtakirutimanaFabrice-rn4yr
    @NtakirutimanaFabrice-rn4yr หลายเดือนก่อน +1

    Amiiin nisamehe makosa yangu na zambi zangu zinazo zihirika na zinazojificha 😢😢🤲🤲niekeye wepesi palipo uzito, niongoze na nuru yako,nibarikie rizk halali 🤲🤲🤲

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 ปีที่แล้ว +3

    YAAA ALLAH NAKUOMBA UNIEPESHE NA MATATIZO KWENYE NDOA YANGU NA UNIONDOLEE MARADHI YANAYOSUMBUA KWA MWILI WANGU YOTE SIHR MWILINI NIONDOLEE VITU VINATEMBEA NIONDOLEE YA ALLAH NIONDOLEE WASWAS NA UNIJADHE SUBR YAA LABII NA MAMA MUONDOLEE MARADH YANAYO MSUMBUA AWE NA AFYWA NJEMA NA BINT YANGU YAA ALLAH MUONDOLEE MARADH YAA NAAYO MSUMBUA MWILINI MWAKE NA SIHR ZILIZOMO MWILINI MWAKE UMUONDOLEE YAA RAB MSAIDIE WAZAZI WAKE TUKO MBALI PIA UMKINGE NA WATU WENYE NIA MBAYA KWAKE JESHI LAKI LIMLINDE KILA HATUA MWENYE NIA MBAYA AKIMGUSA KWA NIA MBAYA YAA ALLAH WW NDO MLINZ WAKE YAA ALLAH YAA ALLAH NIEPUSHE FITINA HUSDA WIVU NA VIJICHO MAKAZIN NA UTUJAALIE UTAJIR INSHAALLAH NA MUME WANGU NA UTUJAALIE MAELEWANO MAZUR INSHALLAH WENYE NIA MBAYA WASHINDWE WANAYOKUSUDIA YAA ALLAH NILINDE KWENYE KAZ YANGU NIJAALIE NIFANYE MAENDELEO NIWE NA MUUONGOZ MWEMA WENYE KUNIDHULUM WASHINDWE PIND NINAPOFANYA MAENDELEO YANGU NIONDOLEE HUSDA KWENYE KIPATO CHANGU KIWE NA BARKA YAA ALLAH NIKIIPATA NIFANYE VITU VYA MSINGI INSHALLAH

  • @iradukundamimi4212
    @iradukundamimi4212 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yarabi niondoleye matatizokatika maisha mwangu yarabi napia mengi muno unipe moyo yasubra

  • @christinejohn7294
    @christinejohn7294 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ya Allah nisamehe makosa yangu ninayoyajua na nisioyajua. Nifungue mimi na uzao wa tumbo langu. Kutokana na vifungo vyote vya hasad, vya majini, vya laana za ukoo na iwapo kuna sihri pia utufungue yarabbi

  • @rosewangui8316
    @rosewangui8316 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ya Allah unayajua vyema matatizo yangu nikumbuke nibarike nisamehee dhambi zangu ....Muepushe mpenzi wangu Na adhabu kubwa ya kaburi🤲📿

  • @MejumaaMwamunda
    @MejumaaMwamunda 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ya Allahi niondeshee mitihani na unipe Kila hitaji la moyo wangu, niondeshee maradhi na unipe furaha kwenye maisha yangu

  • @aminachilindima-cr6fv
    @aminachilindima-cr6fv ปีที่แล้ว +2

    Yarabbi nakuomba nijarie upendo ndani ya familia yangu ,nijarie ridhiki na mjalie mwanangu apate ridhiki kwenye maangaiko yake wajalie mama na Baba yangu afya njema ,yarabbi ww ndo unajua mapito yangu amiin

  • @nuruddin5074
    @nuruddin5074 ปีที่แล้ว +5

    NA UMSAMEHE MZAZI WANGU MAKOSA YAKE NA UMJAALIE KATIKA WAJA WA PEPON INSHALLAH NA MAMA YANGU UMJAALIE MWISHO MWEMA NA KIZAZI CHANGU KIWE NI CHENYE HOFU YA ALLAH NA FAMIRIAY YANGU NA UWASAMEHE MALEHEMU WOTE UWAJAALIE KATIKA WAJA WEMA UWAEPUSHE NA ADHABU YA MOTO NA ADHABU YA KABR

  • @rehemasalim6923
    @rehemasalim6923 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yaalah niwekee mama angu aje kuwaona watoto wngu inshallah 🙏🙏🙏ameen🤝

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 10 หลายเดือนก่อน +4

    Alhamndulillah Alhamndulillah Alhamndulillah

  • @AminaGd-v6r
    @AminaGd-v6r 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yarabi naomba uniondoshee matatizo na huu wakat mgumu nnaopitia atakukataliwa na kukosakazi Amiin 🤲🙏

  • @bintifikirini-wy3kc
    @bintifikirini-wy3kc ปีที่แล้ว +7

    Eeeh mola wangu naomba unifungulie mwangaza katika maisha yangu, uniepushe na kila shari lolote baya lisinifikie unifungulie kizazi changu, ee mola wangu naomba ulinde familia yangu popote pale uwaepushe na kila shari eeeh mola wangu, amiin ya rabby.

  • @ManirakizaSada
    @ManirakizaSada 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amiin ya Raabii kupitiya iyi Dhua nakuwomba unisameh mazhambi yangu ya Allah na unikubaliy Dua yangu

  • @FashionHekima-wq9fl
    @FashionHekima-wq9fl 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yarabi niondoshee matizokatika maishayangu nafamiliya yangu na uondoshee husdakatika utaftaji warzki yarabi nakuomba kwani wewetu ndie mjuzi wakilajambo Amen

  • @abbasayubb5424
    @abbasayubb5424 ปีที่แล้ว +2

    O Allah bless me up with ahusband isaumu ayub ipray for may marriage from Jordan with may husband o Allah make may marriage be very fast

  • @zubedamohamedi753
    @zubedamohamedi753 ปีที่แล้ว +3

    Yaa Allah niondoshee mitihan, chuki, majini, husda na unipe mwisho mwema Yarabb. Unipe moyo wa uvumilivu na moyo ya kushukuru

  • @Rubi-v9t
    @Rubi-v9t 14 วันที่ผ่านมา

    Allah naomba nisame mimi ni mkosaji nakuomba niponye hii hali ya baridi na gazi katika mwili wangu ikiwa kama uchawi au ni wasi wasi naomba niponywe kwa uwezo wako yarab

  • @mishysaidy9802
    @mishysaidy9802 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yarabih naomba uniongoze katika njia iliyo nyooka naomba uwape afya njema watoto wangu uwape ufahamu Mungu wangu wewe ndie kila kitu binadamu si chochote mbele yako nakuomba Mungu wangu huyu binti yangu apate usingizi mzuri na kama kuna mtu ana7babisha vimludie mwenyewe 😢😢🙏🏼🙏🏼🙏🙏 Amina🙏

  • @gracekalama6935
    @gracekalama6935 ปีที่แล้ว +2

    Amiin thumma Amiin yarabbi ninusuru na husda za waja nipe riziq za halal kila nifanyalo liwe la kheir🤲🤲

  • @shanymgunda7502
    @shanymgunda7502 ปีที่แล้ว +4

    Yarab naomba unisimamie katika kila kitu changu naomba unisimamie katika kazi zangu.naomba unilinde na maradhi mm pamoja na kizazi changu pamoja na ndugu zangu naomba unisimamie kizazi changu katika masoma na umuondolee maradhi yote alionayo yanayoonekana na yasiyoonekana na utulinde na mabaya ya dunia

  • @zainabuhassan6603
    @zainabuhassan6603 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeeen.
    Eeeh M/Mungu niondolee matatizo kkt familia nijalie hekma ktk moyo wng uwalinde watoto dhid ya husda na maradhi.
    Unifanyie wepc ktk biashara yangu nipate rizk ya halali.
    Waajalie wazazi wng Afya njema.

  • @solaboss1795
    @solaboss1795 ปีที่แล้ว +4

    Amiiin ya rabbal Allamiin Naomba kupitia Dua hii Allah Aniweke wepeesi kweny safari yangu Itimie kwa uwezo wake

  • @SofiaMwakipiti
    @SofiaMwakipiti 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ewe mwenyezi mungu unajua udhaifu wangu naomba uniongeze nipe furaha na amani mtu ulie mtuma kwangu naomba tu anisaidie

  • @tatumahmud-ns1nb
    @tatumahmud-ns1nb ปีที่แล้ว +5

    Yallab nakuomba nitoe nuksi mabalaa mikosi yote nipate amn ya moyo yallab

  • @aishaothman1235
    @aishaothman1235 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ya allah nakuomba unisafisha niwe safi kwa kila mja niwe mwenyekupendwa n kila mtu nifungulie milango ya rizk niweze kuisaidia familia yangu naomba nipate na kazi ninayoiitaji Amin Inshaalah

  • @ommykiss97
    @ommykiss97 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kuanzia leo kupitia dua hii ewe mollah wangu naomba ikawe ndo mwisho wa mitihan yangu yoote yalabby nijaalie yote ya liomema na uniepushe na yote yaliomabaya kuanzia leo mpaka siku naingia kaburini iwe hivyo pia kwa wazazi wangu na mke wangu na wanangu mpe kivuli na pepo baba yangu hatibu ally msamehe makosa yake yallabby😢 nifungulie rizki na ziwe zenyekudumu Allahumma aamiin

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  5 หลายเดือนก่อน +2

      😭😭😭 Allahu mma Aamin

    • @ummuasmahan5193
      @ummuasmahan5193 4 หลายเดือนก่อน +1

      Aamiin

    • @SaumuAli-pk8xp
      @SaumuAli-pk8xp 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amiin

    • @ommykiss97
      @ommykiss97 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@mpondamedia2416 🙏🙏🙏

    • @ommykiss97
      @ommykiss97 3 หลายเดือนก่อน

      @@ummuasmahan5193 🙏🙏

  • @SaumuSaumuchizzy
    @SaumuSaumuchizzy 10 หลายเดือนก่อน +2

    Emola wangu niondole mitihan yenye inanikabili pamoja na maradhi nilyo nayo wewe ndie tengemeo letu sinamwengine wa kumtengemea isipokua wewe Mola 🤲🤲

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 ปีที่แล้ว +3

    Nakuomba hitaji la moyo wangu unipe kwani ni wewe wajuwa kila maombi ta siri subra unipe kwa maisha 🤲🤲

  • @JamillahKihange
    @JamillahKihange 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Allah aondeshee Kila baya linalonizunguka na familia yangu kazini kwangu nifingulie rizki nipushie maradhi makubwa na madogo yarab alaamina nakutegemea wewe mungu wangu

  • @FatumaMwaliko
    @FatumaMwaliko 3 หลายเดือนก่อน +3

    Amina mungu anifanyie wepesi katika kazi zangu inshallah

  • @NyirasafariSaudah
    @NyirasafariSaudah 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ya Allah naomba shifaa.nagonjwa sana ya Rabbi🤲kishwa kinaniuma na ninasikia kizunguzungu Kila siku.nakuomba ya Rabiii🤲

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416  5 หลายเดือนก่อน

      Aamina yaa rabbi 😭😭

  • @MwanapiliAthumani-zp1bs
    @MwanapiliAthumani-zp1bs 4 หลายเดือนก่อน +3

    Yaraby nakuomba unifanyie wepesi kwa kila njia kupitia dua hii insha Allah

  • @AminaBakar-r6f
    @AminaBakar-r6f 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amin yarabi

  • @lightnessseifu5983
    @lightnessseifu5983 ปีที่แล้ว +3

    Yarab naomba uniondolee maradhi yote kwenye mwili wng, niwe na afya njema, nibariki kwenye kazi yangu, na umuundolee mwanangu maradhi yanayomsumbua awe na afya njema na umsimamie kwenye masomo yake akifanya mtihani afauru yarab atimize ndoto yake.Amiin🤲

  • @AsiaNassoroMpili
    @AsiaNassoroMpili ปีที่แล้ว +1

    Amiiiiiin 🙏🙏

  • @شاني-ص6ظ
    @شاني-ص6ظ ปีที่แล้ว +3

    Ameen🤲🤲🤲ya alla nijalie Kila laheri ,Kwa kazi,Kwa familia yangu ,na bos wangu anijali,na mambo yangu nifaie wepesi.

  • @RehemaShomari-b2z
    @RehemaShomari-b2z 6 หลายเดือนก่อน +2

    Amiin ewe mwezi mungu nakuomba m na familia yangu utuondoshee mitihani dhiki maradhi utufanyie wepes katika maisha yetu utujaalie mwisho mwema nyoyo zetu utushibishe kuraani na kukutaja kila lamara kitika vinywaj vyetu amii ❤❤❤❤