Ee Mola wa muumba wa mbingu na ardhi munyanyue darja mja huyu aendelee kuwatumikia waislam mjaalie kusikilizwa na mkinge na maadui pande zote nne na jicho la husda inshaallah
Mimi sio muhislam lkn anacho fundisha shekhe ni sahihi kabisa uwaminifu ni kitu muhimu uwaminifu kwa MUNGU na kwa wanadamu. Me nitakufatilia sana shekhe ili nipate maarifa
We shekhe nakufatilia sana nimegundua unaakili timamu uko vizur sana , waislamu nawakubali sana japo ni wachoyo sana kutoa zaka na sadaka 😂 utakuta mtu swala kubwa kama ya ijumaa mtu anabeba sh 1,000 tu hatariii ,ndo maana utakuta msikiti umezingizwa na nyumba za watu kwakuwa hauna hela za kujitanua kuwahamisha watu ili eneo liwe kubwa.
Usipo Shiba kwa jasho lako pia asema yasiyo yako ..😂😂kweli kabisaa na Watu w karni hii hawapendi kuondolea w2 shida wataka kuwacheka wenye shida Allah atuongoze yarabb.
Mtu mwema ni yule anayetafuta kasoro zake akazifanyia kazi,ukitafuta kasoro za watu hiwezi kizifanyia kazi...utaishia kugombanisha watu na kuongea usiyoyajua!Tuwe kusikiliza na kucjukua yaliyomazuri inshaAllah...
Assalamu alaikum mm nimefanya San ile ya kumswali mtume kwa siku 1570 n swala za usku lakini nimepta mtihani ,nimefutwa kazi😭 sah niko n miez 5 bila kibarua chocte nipo saud.😭😭😭😭 Inaniuma sanà
Ongeza jitihada kwenye ibada pia dunia ya sasa inahitaji saan kujitoa akili illaaa katika kila ulifanyalo omba msaada kwa allah pia usiache allah anatabia yakukujarib je utashkuru au utakufuru anapima nia yako lakn jua allah ndie kila kitu na anafanya anapoamua ila sio unapotarajia ww , hio hata mm ilinitokea lakin amka usiku lia kwake muelezee shida kidhat utapata zaid ya hio uskute ilikua na mtihani usioujua
Swalatu awabin ni صلاة الأوابين هي صلاة الضحى إذا تأخرت حين ترمض الفصال، كما جاء في ذلك الحديث عن النبي صلى الله عليه وسلم في صحيح مسلم، وهي أيضاً صلاة الضحى إذا تأخرت إلى آخر الوقت، وليست تختلف عن غيرها فيما يقرأ فيها ويدع فيها، وليس لها حد؛ قد يصلي الإنسان ركعتين، وقد يصلي أربعة ركعات بسلامين، وقد يصلي ست ركعات بثلاثة ...
shekhe watu hao walikua mafukara sana enzi hizo sema walikua wanajitahidi kueneza wanacho kiamini ili wewe leo ule matunda ya biashara yao wao hawakuwaza pesa hata kidogo kulikua nabiashara za kubadilishana biashara kwa biashara
Hivi nyie mashekhe munajua lkn kama hizi pesa za karatasi ni shirki na kinyume na quraan? Sawa hamuna power ya kubadilisha chochote kuhusiana na pesa lakini jee hata kulisemea hili jambo basi pia hamuwezi unless iwe hamuelewi.
Allah akulipe kheri nyingi sheikh wetu
Mi nawaelewa sana mashekhe ingawa ni mkristo ila nafuatilia sana darasa za mashekhe hasa mashekhe kama wew na wengine mna elimu halisi kabisa
Swadacter naomben like zangu
Mimi nishakupa 😂
Maneno Matamu Mashallah! Mwenyezi Mungu akuweke Shekh Wetu
ll
Asalam alaykum warahamatullah. Wabarakatuh. Shukrani. Kwa. Darasa. Mungu. Akuhifadhi. Insha allah❤❤
Ee Mola wa muumba wa mbingu na ardhi munyanyue darja mja huyu aendelee kuwatumikia waislam mjaalie kusikilizwa na mkinge na maadui pande zote nne na jicho la husda inshaallah
Aamin
Allahumma aamiin
Ameen
Allahumma Amen
Ahsante sana shehe wangu
9:29 9:34 9:35 9:49
Maneno mashaallah
Mash Allah tabarak Allah kheri. Mola akupe Afya , umri na elimu yenyekunufaika ili uendelee kutuelimisha inshaallah
Allah akulipe Kila laheri n'a darsa y'a cheikh
Aslm alkm ww.... sheikh Walid usinichekeshe😀😀😀😀😀. Allah akulinde, akupe umri furaha na mafanikio Masha Allah 🌹. Jazakallah kheir 🙏❤️♥️♥️♥️😁😁😁😁😁
Swadaqta
Maisha marefu yenye hekma na elimu sheikh wetu Allah akuhifadhi
Sheikh Walid nakupenda kwa ajili ya Allah,,Allah akupe afya umri mref uendlee kutuelima,,,jazzaqalah kher
Nami nampenda kwa ajili ya allah
Maashallah sheikh Allah akuhifadhi tunakupenda saaaana
Jazaq llah. Khairan
Wallahi,kama shabiki yako,napendezwa na mawaidha yako,kwanza wewe ni mchezi,kisha unatumia lugha ya upole na ya kuridhisha.
Kaka hatushabikii mashekhe tunajifunza toka kwao.mwalimu
Mashaallah. Shukhuran sana kwa darssa. Allah subhaanah wataala akuhifadhi
Shukran sana Sheikh Walid kwa elimu kubwa ya uchumi kwa waumini wa kiislam..Allah akulinde na akuhifadhi.
Jazakallah
MashaAllah MashaAllah
Ma Sha Allah, Swadaqta
Allah akulipe akulinde pia na akupe mwisho mwema🤲 Amiin inshallah 🤲🤲
MA SHA ALLAAH MADA HIYO NI MUJARAB SHEIKH WALID ALLAH AKUHIFADH WALA HUNA KUJIMWAMBAFAI
Amiin
Mashaallh
MashaAllah....sheikh walid nakukubali sana
Shukran jazakallah Allah atufanyie wepesi
Allah amzidshie ilmu zaid mwinyi Walid ili tupate kunufaika zaid
Mashallah mawaidha mazuri Sheikh nakuskiza tokea Mombasa
MashaAllah jazakalahu kheri baadal kheri janatil fridaus from kenya 🇰🇪
Maneno Matamu Mashallah!
Mashallah ❤may Allah grant you blessings
Allhamdulli llah llabiallaar minar
Alhamdulillah Allah akuweke shehe wetu
Shukrani Jazeera
Walid wallah unahekima sana
Mashaalaah
Mashaallah ❤❤
Allhaa akuhifadh inshaallha
Shukran shekhe kw Elimu nzr sana ALLAH Akujaalie Pepo y Jannat Firdaus Inshaallah
Mashaallah!! Sheikh Walid. Jazakallahu kheir
Asanteee shekhe
Ma Shaa Allah upo sahihi kabisa Sheikh wangu
Mashaallah akiongea kwaza unamuelewa hapapariki akiongea taratibu anachambua kwa mpangilio
🙏🙏🙏
FRREE DVR ZZ SAW
Shehe nakukubali sn mung atupewepesi
Sheikh Walid wewe kama Imu Hambal
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
Alhamdu lillah masha All’wa sheikh Walid baaraka llwah fiiqa
Mashallah barakllah
Naaam sheykh kiukweli waisilamu lazima wawe napesa
Takbir
MashaAllah maneno Safi kabisaa
Mashaallah. Shukran mashekh zetu
Ma shaa Allah Allah akujalie kila lakheri na umri mrefu uzidi kutuelimisha
elimu Sahih kwa wakati sahihi..Mashallah😅
Maneno mazito.maashallah kaka.baaraka llah fii
ان الله في ما عليه العبد si hadithi Shehe
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏
❤
mimi ni mkristo , ila kwa haya aliyoyafundisha huyu shehe nitaenda kuyafundisha kanisani.
Si Uhamie Ulipo Sikia Hicho Maana Kuna Na Mengine Yenye Faida
@@amilyabdu1563 kweli kabisa akaribishwa🎉🎉
FANYA IBADA KUTAFUTA RADHI ZA ALLAAH SIO KUPATA THAWABU , HAYO MENGINE MUACHIE ALLAAH
Mashallah sheikh
Allahu Akbar
Maashallaah
Mashaallah shekh
Your very smart shekhe Mashaallah
mashallah❤❤❤
nisahihi ufakiri hautakikan ktk dini ya kiislam
Kweli kabisa❤
Jazakumullah Sheik
❤❤❤
Mashaallah
Amen amen kaka
Allhamdullillah .allha.akuweke
Ukweli kwenye ahadi.
Mimi si muislam ila huyu jamaa kiboko anafundisha ukweli kabisaa
Allah akbar 🥱
Mashaalla
Ni muda sasa wa kufunguliwa mlango mwingine wa kheri zaidi ya ileee ya mwanzo
Mimi sio muhislam lkn anacho fundisha shekhe ni sahihi kabisa uwaminifu ni kitu muhimu uwaminifu kwa MUNGU na kwa wanadamu. Me nitakufatilia sana shekhe ili nipate maarifa
Mfuate akusomeshe uujue uislam
Mwenyezi mungu azidi kukuongoza
Mwenyezi Mungu akupe hidaya inshaallah
Allah akuonyeshe kheri na njia iliyosahihi na akupe nguvu ya kuiendea inshaAllah
Karib katika uislam
shekh twaomba utfafanulie hicho kitendo hatujakifaham
We shekhe nakufatilia sana nimegundua unaakili timamu uko vizur sana , waislamu nawakubali sana japo ni wachoyo sana kutoa zaka na sadaka 😂 utakuta mtu swala kubwa kama ya ijumaa mtu anabeba sh 1,000 tu hatariii ,ndo maana utakuta msikiti umezingizwa na nyumba za watu kwakuwa hauna hela za kujitanua kuwahamisha watu ili eneo liwe kubwa.
Mambo yana bana kila siku
Usipo Shiba kwa jasho lako pia asema yasiyo yako ..😂😂kweli kabisaa na Watu w karni hii hawapendi kuondolea w2 shida wataka kuwacheka wenye shida Allah atuongoze yarabb.
swadakta
Uwe uchumi halali sio fedha za dhuruma kutoka kwa wanasiasa.
Sahihi
Mtu mwema ni yule anayetafuta kasoro zake akazifanyia kazi,ukitafuta kasoro za watu hiwezi kizifanyia kazi...utaishia kugombanisha watu na kuongea usiyoyajua!Tuwe kusikiliza na kucjukua yaliyomazuri inshaAllah...
Usihukumu watu na kuwakhofisha watu kwa isiyoyajua bro
@@abdizoseyyid633 wacha wewe tunaishi nao tunawajua.
Assalamu alaikum mm nimefanya San ile ya kumswali mtume kwa siku 1570 n swala za usku lakini nimepta mtihani ,nimefutwa kazi😭 sah niko n miez 5 bila kibarua chocte nipo saud.😭😭😭😭 Inaniuma sanà
MUNGU Atakusimamia Inshaallah
Ongeza jitihada kwenye ibada pia dunia ya sasa inahitaji saan kujitoa akili illaaa katika kila ulifanyalo omba msaada kwa allah pia usiache allah anatabia yakukujarib je utashkuru au utakufuru anapima nia yako lakn jua allah ndie kila kitu na anafanya anapoamua ila sio unapotarajia ww , hio hata mm ilinitokea lakin amka usiku lia kwake muelezee shida kidhat utapata zaid ya hio uskute ilikua na mtihani usioujua
Mm Ile nlisoma na mama Yangu akanisaidia kuisoma Majini yamenitoka mwilini usiogope mitihani ya Allah 🙏
Inawezekana hiyo ndio kheri,mm nimepata kheri kubwa baada ya kufukuzwa kazı.Alhamdulillahi rabbil a'lamiyna
Unatakiwa kumtegemea Allah na siyo kumtegea kwa unachokifanya
Swalatu awabin ni
صلاة الأوابين هي صلاة الضحى إذا تأخرت حين ترمض الفصال، كما جاء في ذلك الحديث عن النبي صلى الله عليه وسلم في صحيح مسلم، وهي أيضاً صلاة الضحى إذا تأخرت إلى آخر الوقت، وليست تختلف عن غيرها فيما يقرأ فيها ويدع فيها، وليس لها حد؛ قد يصلي الإنسان ركعتين، وقد يصلي أربعة ركعات بسلامين، وقد يصلي ست ركعات بثلاثة ...
E preciso nos informar
Nauliza,mshahara wa sheikh wa mkoa unatoka wapi?
Ili iweje
Unautaka ushekhe wa mkoa endelea kupambana
Mkoani
Yani huyu jamaa mpka wa din zingine wanampenda
Jamaa ana nyota sana huyu lakini pia ni muungwana sana hana ugomvi na mtu
shekhe watu hao walikua mafukara sana enzi hizo sema walikua wanajitahidi kueneza wanacho kiamini ili wewe leo ule matunda ya biashara yao wao hawakuwaza pesa hata kidogo kulikua nabiashara za kubadilishana biashara kwa biashara
🤌✅️💙💨
hahahahaha
Amesahau kusema sehemu ya tano imejificha kwenye MAULIDI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huu ugomvi sasa 😀
Wewe bwana acha chuki usiwee mjinga sanaaa
@@hassanisihaka910 ndio nikishakua mjinga ivo nielimishe
Isipotambua kwa elimu yako utazungumza kwa ujinga wako
Hivi nyie mashekhe munajua lkn kama hizi pesa za karatasi ni shirki na kinyume na quraan? Sawa hamuna power ya kubadilisha chochote kuhusiana na pesa lakini jee hata kulisemea hili jambo basi pia hamuwezi unless iwe hamuelewi.
Si kweli wala si sahihi pesa haina haramu yoyote ila shida unaipataje na kuitumia
Wewe ukienda dukani kununua mchele au sukari utalipiaje bila pesa?
مشأ الله تبارك الله