ASKARI JWTZ WAPAA NA DREAMLINER KULINDA AMANI SUDAN
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
- Kundi la kwanza la askari Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),217 limeondoka leo kuelekea Sudan kulinda amani likitumia usafiri wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kwa mara kwanza tangu kuanza kwa operesheni hizo miaka 12 iliyopita.
Mungu awalinde awaongoze na awatangulie mkarudi salama tunawapenda sana mashujaa wetu
Mungu hibariki Tanzania kwa Hani ribarki jeshii retu
All the best comrades
Mungu ibariki Tanzania, Mungu libariki jeshi letu
Mungu awatangulie katika kaz za mikono yenu
Kila raheli mungu awatangulie mfike salama
Kweli Sasa Tanzania ni nchi inayotambulika Ulimwenguni Mungu ibakiri Africa na Watu wake
mdogo wangu nenda kapambane wakizingua wape za kichwa hakuna kuwalea ila nakuombea urudi salama ,mama na baba wanakutakia kila la heri
N mwendo wa chenja makamanda kawatulizen wasudan ili wasizuliane