Muhtasari: 1-2 Wafalme

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha 1-2 Wafalme, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika kitabu cha 1-2 Wafalme, Sulemani mwana wa Daudi anaiongoza Israeli kuwa taifa kuu, kisha baadaye anapoteza mwelekeo na kuiongoza Israeli katika vita vya wenyewe kwa wenyewe na hatimaye Israeli inaangamizwa na Waisraeli wanapelekwa uhamishoni.
    #BibleProject #Biblia #1-2Wafalme
    Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
    Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
    Tai Plus na Eternal Entertainment
    Dar es Salaam, Tanzania
    Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
    BibleProject Portland, Oregon, USA

ความคิดเห็น •