mashaallah mungu awzidishiye na awa epushe na maadui ya waisilamu, sheikh salam hawafahamu ukisema mtume mohammad salah lahu aleyhim wasalam, jaribu kuwafunza maana yake, yaani Rehma na amani zimfikiye, kwa kiswahili.
Narudia tena hii kazi ya Daawah Ni ngumu sana...yani unadeal na watu sio maandiko tu bali ata lugha yenyewe mtihani..duh masheikh Mungu awape subra na awazidishie sana
Shekh Salim unanifundisha Sana napokufuatilia allaah akunusuru ndugu yangu! Natamani waadhiri wa Tanzania wafanye Kama hivi ili uislam wetu usambae duniani.
Mashallah. Ustadh Salim Allah akujaze kheri. Quran 5:4 inazungumzia vilivyohalalishwa kwetu Mungu akataja mpaka vinavowindwa na wanyama wanaopewa elimu ya kuwinda ikiwemo mbwa,kipanga, eagle na wengineo mradi awe amepewa elimu na mwanadamu ya kuwinda. Vile vile Quran inatupa ruhusa kula vilivyowindwa na wanyama hao akiwemo mbwa. Shukran.
Assalam Alaykum Shekh Salim skuiz hamutembei Mitaa kwa Mitaa tumemiss Da'awa ya namna hivyo muwe mnatoka siku Moja moja sio kila siku hapa hapa tu Wengine Tumewachoka wanakuja ao kwa ao tu Kila Siku na wala hawana Maswali bali ni kuharbu tu ndo lengo lao.
MashaAllah,Allah awazidishie subra,sii kazi rahisi kufikisha kalma ya laillaha illa Allah
Shida yaa vijana ya Kenya . Media and kusikisa. Barabaganda. Wa wa chuk ya Islam . Allah aqa ongoza wale wazuri
mashaallah mungu awzidishiye na awa epushe na maadui ya waisilamu, sheikh salam hawafahamu ukisema mtume mohammad salah lahu aleyhim wasalam, jaribu kuwafunza maana yake, yaani Rehma na amani zimfikiye, kwa kiswahili.
Inn shaa Allah tutawaelesha
Mashaallah
Narudia tena hii kazi ya Daawah Ni ngumu sana...yani unadeal na watu sio maandiko tu bali ata lugha yenyewe mtihani..duh masheikh Mungu awape subra na awazidishie sana
Aameen ameen ameen sote
Maa Shaa Allah... Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu,,, mazbut wallah...Allah awahifadhi nawapenda sana
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen
Assalaam Alaykum Warhamatullah Wabarakatuh.ALLAH awape umri mrefu mashehe wetu vipenz
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote
MashaAllah kazi safi ya kheri
Masha Allah kwa hakika mnafanya kazi ngumu lkni insha Allah mungu atawalipa
Aameen ameen ameen sote
Shekh Salim unanifundisha Sana napokufuatilia allaah akunusuru ndugu yangu! Natamani waadhiri wa Tanzania wafanye Kama hivi ili uislam wetu usambae duniani.
Inn shaa Allah wahubiri wa Tanzania wanafanya juhudi kumbwa sana
@@salimdaawah123 juhudi wanafanya Sana, lakn inakuwa ubishi tu wanaoelimika ni wachache Sana
Wa kwanza asalama aleikum waramtulah wabarakatu
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh
Salim huyo msomaji wako ndio mzuri ally presha nyingi hassan maneno yanapotea potea mdomoni
Wako vizuri ila umuri ndio imesonga
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Kazi nzuri
Asalam aleikum warhamatullahi wabarakatuh mabrouk shekhe Wetu Allahu Akbar
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
MashaAllah ❤
Mashaallah Mashaallah karibu ndugu yetu
Man sha Allah sheikhe wetu mungu akubariki pamoja na mashehe wenzako
Aameen ameen ameen sote
Mashallah. Ustadh Salim Allah akujaze kheri. Quran 5:4 inazungumzia vilivyohalalishwa kwetu Mungu akataja mpaka vinavowindwa na wanyama wanaopewa elimu ya kuwinda ikiwemo mbwa,kipanga, eagle na wengineo mradi awe amepewa elimu na mwanadamu ya kuwinda. Vile vile Quran inatupa ruhusa kula vilivyowindwa na wanyama hao akiwemo mbwa. Shukran.
Masha Allah kwa ukumbusho huo shukuran
Mashaallaha
Mashaallah baarakallah
Ma sha Allah
Walykmmsalam.warahamatullah.mashekhe.wetu.ALLAH.AWAPE.ULINZI.DUNIANI.NA.AKHERA.INSHAALLAH
Aameen ameen ameen sote
Amiin sisi wote
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu dawa is unstoppable
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya
Aameen ameen ameen sote
Aameen ameen ameen sote
MashaaAllahu
MashaAllah
Mashallah mashekhe Allah awatie nguvu
Aameen ameen ameen
Mash ALLAH alhamdulilah Neema ❤❤❤
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
Allah azidi kuwaongoza WAO na sisi In Sha Allah 🤲🤲🤲
Aameen ameen ameen sote
Mashallah tabrakallah❤
Wallaykum sallam warahma2llah wabaraka2h MashaALLAH ALLAH awalipe Kila la kher
Aameen ameen ameen sote
Somo Mungu akupe nguvu upeleke neno la Mungu
Aameen ameen ameen sote
Mashekhe wetu nawapenda kwaajili ya Allah SWT
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Pia sisi
Mungu awazidiye uwezo wa kupeana dawa❤❤❤
Aameen ameen ameen sote
ALLAHU AKBAR
TAKBIR ALLAHU AKIBAR ❤
Allah awape kila la kheri ktk kuwaelimesha kuhusu dini
Aameen ameen ameen sote
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu NaFikiri Huyo NDUGU amesshau labda ALIKUWA Ataka surah 96 Surat Alalaq
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh maybe but inn shaa Allah akirudi tutajua tu
mashaallah allah awatie nguvu katika daawa
Aameen ameen ameen
MashaAllah Tabarak Allah Masheikh wetu kwa mafundisho bora.
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Leo kumeeleweka ❤❤❤❤
Tena kabisa
Assalam Alaykum Shekh Salim skuiz hamutembei Mitaa kwa Mitaa tumemiss Da'awa ya namna hivyo muwe mnatoka siku Moja moja sio kila siku hapa hapa tu Wengine Tumewachoka wanakuja ao kwa ao tu Kila Siku na wala hawana Maswali bali ni kuharbu tu ndo lengo lao.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Ya leo moto
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Uyo jamaa ajielewi anaongea tu
Huyu ni feisal
Axc
Naeza pata Ile verse ya bible mwennye kanzu mbili ampatie mwenye hana
Hapo sidani kama kuna mkristo anaabudu mungu wawili niuongo wenu
Wakristo wanaabudu nani?
Hivi mimi nasema kweli mtu naakili zake anamfuata Paulo ambaye alkuwa akiuwa watu Bure Bure tena watakatifu
Unajua Mohamed aliyokua alifanya? Siku ya kuekewa sumu Kwa nyama alikua amefanyaje? Ama unataka nikuonyeshe Kwa Qur'an na hadith?
@@user-hy5zd5rn6rleta hayo aliyoyafanya Usitishe watu leta hayo yaliomo ndani ya Qur'an na Hadithi ambayo Waislamu hawayajui ww kafiri unayajua.
@@user-hy5zd5rn6r
Ndo onyesha hiyo propaganda yko 😂
Toa nasbir
Read the Hadith by Ibn Ishaq 515
Asalamu aleykum. Hawa vijana kiwanja wame kuwa fariki waka jua tabiya yako ume peleka imbiyo. Wanani chekesha
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah wataelewa tu
Nanyinyi munaenda sabato kwel
Tunaenda kila siku
Ustadh ukisilimisha mtu mwambie waislam wote ndugu ajiskie huru awe karbu nanyi ili ajifundishe uislam awe muislam kamili
Inn shaa Allah
Unaogopa wasabato
Yeah because waongo sana
Shida yaa vijana ya Kenya . Media and kusikisa. Barabaganda. Wa wa chuk ya Islam . Allah aqa ongoza wale wazuri
Huyu ni feisal