MAOMBI YA VITA YA MKOMBOZI WA FAMILIA // MBINU ZA KUPAMBANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2022
  • Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
    Habakuki 2:14
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 198

  • @zamoyonandrew7239
    @zamoyonandrew7239 หลายเดือนก่อน +2

    ❤️ MUNGU nisaidie nkujue zaidi Kuna muda nakuwa na hofu na mashaka bwana nipe maelekezo juu famly yangu 🙏🙏

  • @tatunyasulu8627
    @tatunyasulu8627 ปีที่แล้ว +6

    Bwana nisaidie, usiniache nakuhitaji Sana, sina mwingine zaidi yako.Tembea na mimi, tawala maisha yangu, uniinue na Uzao wangu,familia kwa ujumla🙏🙏

  • @anastanciaomusula3738
    @anastanciaomusula3738 ปีที่แล้ว +9

    Amen, baba mungu ninaomba uingie ndani ya moyo wangu ili nisije nikabadilika wakati utakapo nibariki. Nizidi kukaa kwako na kuisikiza sauti yako. Asante mtumishi wa mungu Kwa neno la maarifa na maombi barikiwa sana

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri หลายเดือนก่อน +1

    Yesu kristo naomba unisaidie niweze kukujua zaidi mimi familia yangu inanitegemea rakini sina kazi sina chochote. Ira naamini Mungu atanitendea na atanisaidia niweze kupata kazi kwa jina la yesu kristo amen

  • @ruthmosesmasanja6502
    @ruthmosesmasanja6502 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa Mungu, maarifa haya niyashike

  • @emmahmaclean1175
    @emmahmaclean1175 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba uendelee kunilinda na kunibariki kila iitwapo leo amina

  • @leilaadamraymond7344
    @leilaadamraymond7344 ปีที่แล้ว +1

    amen. asante yesu sifa kwa yesu.

  • @janehabakuki4564
    @janehabakuki4564 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi nimegushwa nane limezidi kuniinua kiimani

  • @margaretmachocho
    @margaretmachocho ปีที่แล้ว +1

    Amen naomba mungu zidi kiniongoza katika neno lako

  • @humblenyabuto1230
    @humblenyabuto1230 ปีที่แล้ว +1

    Amen barikiwa mtumishi🙏🙏

  • @user-xu3lr5kg5w
    @user-xu3lr5kg5w ปีที่แล้ว

    Asante bwana yesu kwakuningua asante kwakunirudishia nyota angu ilikua imeibiwa asante kwairudisha kwadamu ya yesu🙏🙏🔥🔥

  • @carorubi3179
    @carorubi3179 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wetu ulie juu twakuomba utusaidie tpate kpita katika safari hii yamateso tuongoze mungu wangu ulie juu mbingun tusamehe ss wako sefu Amen and Amen 🙏 Asante Sana mtumishi wamungu ubarkie

  • @johnkenga1189
    @johnkenga1189 ปีที่แล้ว +1

    Amen mchungaji mungu akubariki sana na azidi kukulinda

  • @platinimuntumoy5156
    @platinimuntumoy5156 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen Asante mutumishi mungu akubariki

  • @happyeliezamwimbwa236
    @happyeliezamwimbwa236 ปีที่แล้ว +5

    Ee Mungu naomba unipe uhodari na Moyo wa ushujaa mwingi bila nguvu yako sitaweza 🙏

  • @leonardobulalu
    @leonardobulalu ปีที่แล้ว +1

    Mungu akaniongoze kuikomboa familia yangu na tumbo la mama angu likawekwe huru kila kilichofunga ktk familia yangu kikakombolewe kupitia madhabahu huu Kwa jina la Yesu Kristo

  • @frazylazier2389
    @frazylazier2389 ปีที่แล้ว +1

    asanti sana mtumish wa mungu

  • @user-xu3lr5kg5w
    @user-xu3lr5kg5w ปีที่แล้ว

    Asante mungu wangu saidia ndugu zangu wote mahali popote walipo kwadamu ya yesu

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu miwema amen

  • @mwasikaflora1374
    @mwasikaflora1374 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi napokea kwajina la yesu kristo

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mungu akubarikimtumishi

  • @King-px7xu
    @King-px7xu ปีที่แล้ว +1

    Amen nichindaniye baba ofo initikamo

  • @jacklinenasongo515
    @jacklinenasongo515 ปีที่แล้ว +1

    Amen nashukuru mutumishi

  • @SalumDigale
    @SalumDigale 11 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwakua umejibu na kutende katika maisha yangu saahii

  • @marypanwark8132
    @marypanwark8132 ปีที่แล้ว +1

    Amen nitie nguvu Yehova...

  • @user-xu3lr5kg5w
    @user-xu3lr5kg5w ปีที่แล้ว

    Asante kwakumponya baba kifo kilichokua kimeandaliwa na wachawi baba🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nishimweneema2378
    @nishimweneema2378 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen Amen Amen

  • @LetcialAlphonce
    @LetcialAlphonce 11 หลายเดือนก่อน +1

    I need you my redeemer💪💪

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu uwe pamoja nami,wewe ndiye msaada wangu kabisa nyakati zote za shida maishani mwangu na familia yangu

  • @user-xu3lr5kg5w
    @user-xu3lr5kg5w ปีที่แล้ว

    Asante mungu wangu asante bwana yesu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sana ❤❤

  • @user-hr9ox3db2e
    @user-hr9ox3db2e ปีที่แล้ว

    Amina Mungu akubaliki sana maombi yako amenitimiza moyoni

  • @fredrickwandera7792
    @fredrickwandera7792 ปีที่แล้ว +3

    Mungu nipe nguvu zaidi na neema yako itoshe Kwa maisha yangu na familia yangu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen ubarikiwe mtumishi wamungu

  • @edgerubayi5448
    @edgerubayi5448 ปีที่แล้ว +2

    Amen baba katika jina la yesu naomba unijalie katika nafsi yangu nisiwe vugu vugu kiroho

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 ปีที่แล้ว +2

    Amen, ninapokea maarifa ya kimungu, juu ya vita ya mkombozi wa familia aisee najiona ni mimi kabisa kupitia hili Somo. Mungu anisaidie nivuke nilipokwamishwa 🙏

  • @user-xu3lr5kg5w
    @user-xu3lr5kg5w ปีที่แล้ว

    Na watoto zetu wakomboe uwalinde kwadamu ya yesuuuuuuuuuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 5 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU tusaidie na utusimsmie

  • @evelyneabassi291
    @evelyneabassi291 ปีที่แล้ว +2

    Amina mwenyez mungu anisaidie katika kipindi hiki kigumu cha ugonjwa unaomsumbua Sana baba yangu aweze kupona maana ndugu wote wamejitenga na kuniacha mwenyewe

  • @user-xu3lr5kg5w
    @user-xu3lr5kg5w ปีที่แล้ว

    Asante kwakumponya mama angu pia kwadamu ya yesu 🔥🔥🔥🔥

  • @robertmgogosi8448
    @robertmgogosi8448 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu nakuhitaji nakuhitaji jehova

  • @ryoaishodo309
    @ryoaishodo309 ปีที่แล้ว

    Amen bwana yesu napokea maombi haya nasema Asante nimebarikiwa sana sana mimi na familia yangu Amina

  • @SalomeMpemba
    @SalomeMpemba หลายเดือนก่อน

    Nabalikiwa san mutumishi asate🎉🎉

  • @perisriziki2299
    @perisriziki2299 ปีที่แล้ว +1

    God bless you too much 🙏 ❤

  • @elizabethkhisa4755
    @elizabethkhisa4755 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 ปีที่แล้ว +5

    🙏🙏🙏 na Mungu pamoja awe nasi

  • @joycejnyagorena4592
    @joycejnyagorena4592 9 หลายเดือนก่อน

    Amen, Mungu tusaidie na utusimamie

  • @judithenock2640
    @judithenock2640 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen 💪

  • @frankndetto3665
    @frankndetto3665 ปีที่แล้ว +1

    Amina Mungu aendelee kutubariki

  • @mishikazungu8028
    @mishikazungu8028 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @tailisindano3002
    @tailisindano3002 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว +1

    Iam Joshua in my lovely family,,,,,I should pray for m y family 🎉

  • @MarcelBlessing-ef7rz
    @MarcelBlessing-ef7rz 4 หลายเดือนก่อน

    Eeh Mungu unitangulie niwe na maarifa ya kutorudishwa nyuma na hofu ya adui Anae tufadha tusiimarishwe ashindwe kbx.

  • @MarcelBlessing-ef7rz
    @MarcelBlessing-ef7rz 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uniongoze na unifungulie kazi ya kunifadha nishimamishe zaidi familia yangu,uongoze kaka na dada yangu kwa kila gisi wanavyo jitowa ajili ya famille

  • @linetflorah6871
    @linetflorah6871 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @renfridakomba7499
    @renfridakomba7499 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @valentinamjindo5374
    @valentinamjindo5374 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @unyezdegranix4996
    @unyezdegranix4996 ปีที่แล้ว +1

    Great

  • @dativaoscar2723
    @dativaoscar2723 ปีที่แล้ว

    Ameen asante mchungaji kwa mafundisho ya leo Mungu na akawe ndani yangu nami ndani yake nisije nikabadilika bali niendelee kukua kiroho 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @celinaduka3346
    @celinaduka3346 ปีที่แล้ว +4

    Amen Mtumishi Mungu azidi kukupa kibali Cha kutuelekeza katika njia zake ,,Mungu anisaidie nitende mema yake na anibariki kwa kila ninalolifanya

  • @catherinesamwel1909
    @catherinesamwel1909 ปีที่แล้ว +3

    Mungu uwe pamoja nasi🙏🙏🙏

  • @michaelicastor3685
    @michaelicastor3685 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza sana kupitia wewe ata kwamaombi we we ndo mwarim wangu

  • @annaaugen5245
    @annaaugen5245 ปีที่แล้ว +1

    AMINA

  • @agnesssimba6929
    @agnesssimba6929 ปีที่แล้ว

    Amina Mtumishi , ubarikiwe sana

  • @Esha-ev5mh
    @Esha-ev5mh ปีที่แล้ว +1

    Bwana anisaidie na mahitaji family yngu

  • @naomingugi8451
    @naomingugi8451 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba unitie nguvu za maombi yuya watoto wangu🙏niko mwisho sasa naomba unitie nguvu tena

  • @DorisZephania-ci8ym
    @DorisZephania-ci8ym 2 หลายเดือนก่อน

    Nikiziungama dhambi zangu wewe ni mwaminifu sana, nihurumie Mungu Muumba Mbingu na Nchi

  • @mosesmaganga1548
    @mosesmaganga1548 ปีที่แล้ว +1

    EMEN🙏🙏🙏

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wajua peke yangu siwezi
    Nakuitaji wewe peke yako mala nyingi nimekua nikiishia njiani kwa kila jambo
    Hadi wokovu ninaishia njiani
    Bwana wewe ndie Shahid wa maisha yangu
    Naomba unikomboe mm Grace na familiar yangu 🙏

  • @CrizeIhojo-vr6iz
    @CrizeIhojo-vr6iz ปีที่แล้ว +1

    Ameni

  • @neemashirima6121
    @neemashirima6121 ปีที่แล้ว +1

    Ameni🙏🙏🙏

  • @user-nv1hm9cg8x
    @user-nv1hm9cg8x 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amina MUNGU Aikomboe familia yangu kuondokana na vitisho vyakila namna kwa kila mwovu adui

  • @user-dn7jg2ik8y
    @user-dn7jg2ik8y 9 หลายเดือนก่อน

    these are all blessings, may the ALMIGHT LORD GOD BLESS US ALLTOGETHER

  • @teresiaemmanuelmswamwajuma2464
    @teresiaemmanuelmswamwajuma2464 หลายเดือนก่อน

    O God, please give me strength

  • @MwaduduFatma
    @MwaduduFatma 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Ameen Ameen...Asante Mungu maan imenilenga kabsaaa Ukaniongoze Jehovah kwa Kila kitu....Mtumishi wa Mungu uzidi kubarikiwa sanaaaaa

  • @chamlungemmnanuel4542
    @chamlungemmnanuel4542 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen pastor

  • @azizalaobaid7520
    @azizalaobaid7520 ปีที่แล้ว +1

    Mtakatifu wa watakatifu naomba ukae ndani yangu nami ndani yako siku sote.ñitabarikiwa daima AMEN

  • @abdinurali7879
    @abdinurali7879 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว +1

    Nipe neema yako MUNGU ya kuwa jasiri kwa ajili ya family yangu

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ame

  • @abelubamba7409
    @abelubamba7409 6 หลายเดือนก่อน

    Nateseka sana,ninapigwa sana na shetani,niombeeni

  • @gfcgghh9138
    @gfcgghh9138 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 👏

  • @marianamaemba6134
    @marianamaemba6134 ปีที่แล้ว +1

    Yani mungu Akupee maisha marefu unaguza roho za watu wengi sana,,,nilikua chini sana Asante kwa kuniinua tena🙏

  • @anarosenicodem5913
    @anarosenicodem5913 ปีที่แล้ว

    Asante Mtumishi barik8wa sana

  • @bahuzetulizo8464
    @bahuzetulizo8464 2 หลายเดือนก่อน

    Amina 👏

  • @prettyalecky6914
    @prettyalecky6914 ปีที่แล้ว +1

    AMEEN,, Asante YESU kwa sababu ww n mwema 🙏🙏🙏

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen 🙏

  • @veronicahowendi1366
    @veronicahowendi1366 ปีที่แล้ว +1

    Amen, mungu nipe hekima na maarifa hapa duniani jinsi ya kulinda jamli yangu na watoto wangu.

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kutupigania nakutushindia🙏🙏🙏

  • @julietliru835
    @julietliru835 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa Mungu na Mungu akuzidishiye kibali ,afya na uzima uzidi kutufunza barikiwa sana.🙏

  • @michaelicastor3685
    @michaelicastor3685 ปีที่แล้ว +1

    Mtumshi wa mungu mungu akutie nguvu sana kwajina la yesu endelea kutufuza

  • @mechasabina4672
    @mechasabina4672 3 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN ❤❤

  • @josephsaid9032
    @josephsaid9032 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anijalie Mimi na familiar yang pamoja na wale wanao hitaj neema za Mungu kushinda Vita na maoteo ya shetani🙏🙏🙏

  • @user-js8nw9jy9t
    @user-js8nw9jy9t 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏽

  • @annbrendanalech4050
    @annbrendanalech4050 10 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen 🙏🙏🙏🙏

  • @user-md7ks7um4o
    @user-md7ks7um4o 5 หลายเดือนก่อน

    Amen ❤

  • @metrinelameyu9659
    @metrinelameyu9659 ปีที่แล้ว +4

    Amen 🙏🙏🙏glory be to God

  • @GloryMsofe-gr3st
    @GloryMsofe-gr3st 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu kumbuka familia yangu🙏🙏

  • @JeanKamala-ei4ck
    @JeanKamala-ei4ck 6 หลายเดือนก่อน

    Amina 🙏