MATUMIZI YA SILAHA ZA MUNGU // Sunday 26,2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Somo: Matumizi ya silaha za Mungu
    Andiko: Waefeso 6:11-18
    Pastor: Innocent Leonard Mashauri
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 184

  • @KSA-hu5he
    @KSA-hu5he 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi naomba Amani Kwa Kazi yangu na familia ya yangu watoto wangu wasumbuliwa na pumzi nisaidie wapate uzima Kwa Jina la yesu amen

  • @deboramsangi360
    @deboramsangi360 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nisaidie Yesu, usiruhusu shetani aone machozi yangu, adui asiseme yuko wapi Yesu wako. Baba ktk jina la Yesu Damu yako inifunike na nyumba yangu

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i หลายเดือนก่อน

    Asante yesu nashukuru mungu kwanza

  • @florencekanze
    @florencekanze 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi wamungu kwakutufunulia mengi yakiroho Neema yabwana izdikukuongoza🙏🙏

  • @JamilaKusiluka
    @JamilaKusiluka 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipo hapa Na familia yangu Mungu tulinde Na mabaya YA maadui Mungu tusaidie

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 4 หลายเดือนก่อน

    Ninakupenda Yesu wangu, naomba usinipite

  • @KSA-hu5he
    @KSA-hu5he 4 หลายเดือนก่อน

    Wee mungu niomba unisaindie katika maisha yangu niangukapo naomba unienue kiimani nisishidwe Amen❤

  • @christinaisaya-eh8pl
    @christinaisaya-eh8pl 4 หลายเดือนก่อน

    Usinipite Bwana ingilia kati jambo hili🙌🙌🙌🙌🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumiahi wa Mungu ubarikiwe sana Sana🙏🙌

  • @praisesoundsonline
    @praisesoundsonline 4 หลายเดือนก่อน +12

    Kwa miezi nimelia nikimuomba mungu anipe ushindi didi ya wakora ambao walinyakua channel yangu na kutoa nyimbozote za ibada. Naye mungu ni nani? Sasa hivi natangaza ushindi wake kwa sababu channel imerudi, na ametupa nguvu zaidi kuendelea na kazi yake. Asifiwe mungu wetu milele.

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana naomba kwaajili ya kesho ya watoto wangu wafanyike kua vichwa na sio mkia

  • @johntendwa7856
    @johntendwa7856 4 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu, neema ya mungu ikufunike.

  • @rachaelngwatu7970
    @rachaelngwatu7970 4 หลายเดือนก่อน

    Thank you Jesus for paying My depts

  • @SYDEYLINET
    @SYDEYLINET 4 หลายเดือนก่อน

    HALLELUJAH BWANA niko hapa unapopita usiniache tenda kwa mfungo huu nipe ushuuda,fungua anga yangu nipokee baraka zangu kwa JINA LA YESU KRISTO 🤲🤲🤲🤲🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nahomba nijengue nhumba yangu , nihongueseque mshara kazini

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 4 หลายเดือนก่อน

    Eeee Bwana naomba utende kwa watoto wangu na mzee wangu katika jina la yesu usinipite mokosi

  • @EdwardKadala-fp2js
    @EdwardKadala-fp2js 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni utuonekane ktk maisha haya mungu usinipite

  • @JohnEnea-xs7lj
    @JohnEnea-xs7lj 4 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba utende ju ya watoto wangu katika jina la yesu khristo

  • @RitaJoseph-lv4zh
    @RitaJoseph-lv4zh 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu .! Majina yangu ni Rita Joseph. Nabarikiwan na kwa sana na maombi yako. Naomba kujiunga na Madhebau Yako . Niko na nusu mwaka kwa Sasa na Kila wakati Mungu anasema na Mimi kuwa nijiunge na Madhebau Yako. Tena anasema na Mimi kabisa kwamba ,,,Amekuita juu ya kuwavusha watu wake Ng,ambo ya pili. Kiimani na Kiroho.

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Nahomba mungu nipate wateja mungu

  • @marymueni7891
    @marymueni7891 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu unayajua yote ninayoyapitia

  • @Zurinenkai
    @Zurinenkai 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anisaidiye katika changa moto ninazo pitia kazini namungu anikutanishe nawatu walio sahihi

  • @sarahfeni1866
    @sarahfeni1866 4 หลายเดือนก่อน

    Eeeh MUNGU NAOMBA mukono wako kwa maisha yangu

  • @FloraEzekia
    @FloraEzekia 4 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe sana pastar wewe unahubili injili ya kweli

  • @LeaBonifasi
    @LeaBonifasi 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu ufugue mume na mm nipate sehemu yabishala

  • @WahindiKwembe-c1g
    @WahindiKwembe-c1g 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu nakuhitaji kwenye maisha yangu

  • @Tumaini-pd5ic
    @Tumaini-pd5ic 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa kuwa hutanipita wala hutaniacha niendelee kuteseka na mapito haya ya ndoa nikumbuke Yesu wangu maana vita ni kali sana peeke yangu siwezi

  • @nkundechindwa9654
    @nkundechindwa9654 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu niponye miguu yangu inapooza

  • @gukawafly
    @gukawafly 4 หลายเดือนก่อน

    Amani ya mungu baba amen

  • @SalomeMangale-m8i
    @SalomeMangale-m8i หลายเดือนก่อน

    Muniombee sana npate ushidi dhidi ya madui zangu

  • @mishikazungu8028
    @mishikazungu8028 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi 😢😢😢😢😢

  • @evajuliuspeterjulius1527
    @evajuliuspeterjulius1527 4 หลายเดือนก่อน

    Ninaielejesha kiu ndani yangu tena ya kufunga na kuomba roho mtakatifu lejea ndani yangu

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Amém Amém Amém Amém 🇲🇿

  • @yvetteasabwa3152
    @yvetteasabwa3152 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen and Ameeeen mungu niongezee imani ,Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu

  • @nicki1885
    @nicki1885 4 หลายเดือนก่อน

    Asante YESU

  • @irenemwenda6374
    @irenemwenda6374 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah Hallelujah 👏🏿 👏🏿

  • @RestitutaMassawe
    @RestitutaMassawe 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante BWANA YESU NAAMINI MUNGU ATATENDA MAKUU JUU YA NYUMBA YANGU

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Nahomba mungu nipate mtagi wa pesa

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Amém Jesus Cristo amém glory

  • @JanetCharo-pu2tt
    @JanetCharo-pu2tt 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa siku ya leo🙏

  • @JohnEnea-xs7lj
    @JohnEnea-xs7lj 4 หลายเดือนก่อน

    Asante bwana yesu

  • @NdindaJudy-fg1zc
    @NdindaJudy-fg1zc 4 หลายเดือนก่อน

    Biashara yangu na familia mungu atukubuke

  • @Anethjohn-su5kn
    @Anethjohn-su5kn 4 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu

  • @faustamumbee9160
    @faustamumbee9160 4 หลายเดือนก่อน

    Nashkur Mungu wang kwa ulinzi wako ,asantee kwaknpigania katika vita dhid ya adui zangu, hautaniacha niaibishwe kamwee, umekua mwema sana kwangu Bwana, nitakutumain wewe siku zote za maisha yangu,

  • @Princesscareen-z1z
    @Princesscareen-z1z 4 หลายเดือนก่อน

    Naitaji kuishi Maisha matakatifu ya kumpendeza mungu

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Nahomba mungu nikumbuke 🇲🇿🇲🇿👏

  • @JacintaWambui-f2w
    @JacintaWambui-f2w 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu usinipite

  • @MPULULEHonoratha
    @MPULULEHonoratha 4 หลายเดือนก่อน

    Assnte Yesu

  • @godfreykiwelu2888
    @godfreykiwelu2888 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @rosendindi6634
    @rosendindi6634 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana naomba ukarejeshe ndoa yangu mume wangu alichukuliwa na mwanamuke mwingine

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Past nakuhomba unisadie mambo yangu ayahendi kibissa ,🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏

  • @phabianmtewele9461
    @phabianmtewele9461 4 หลายเดือนก่อน

    Amina ni kweli kabisa wsnakuja hadi dukani nashika biashata yangu wanatumana

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Amém Amém Amém . Félix mozambique 🇲🇿👏

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Amém Amém mungu

  • @MariamJuma-u4g
    @MariamJuma-u4g 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsante yesu

  • @MwajumaMwajuma-c8e
    @MwajumaMwajuma-c8e 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu.mponye.asila.namqonjwa.aliyo.nayo

  • @MariamJuma-u4g
    @MariamJuma-u4g 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sina la kuandika zaidi ya kusema ahsante yesu kwa wema wako kwangu

  • @rachaelngwatu7970
    @rachaelngwatu7970 4 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen 🙏🙏

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Nimalize madeni kulipa na kujengue nhumba yangu nihongueseque mshara kazini

  • @AzaratiKilele
    @AzaratiKilele 4 หลายเดือนก่อน

    Nimechoka kulia natangaza ushindi kwa jina la yesu

  • @nicki1885
    @nicki1885 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Nakuhomba mungu nimalize madeni kulipa

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @RehemanassoromsigwaMsigwa
    @RehemanassoromsigwaMsigwa 4 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @MariamuMakele
    @MariamuMakele 4 หลายเดือนก่อน

    Eee baba nakuja mbere zako haja yangu kwako naomba baba yangu niludishie mausiano yangu niludishie mume wangu jesse Paulo mwakwisy

  • @faustamumbee9160
    @faustamumbee9160 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba uporimoshe milima yote iliyopo mbele yangu, niinue kila ninapo anguka, nitie nguvu kila ninapo kata tamaa, niongoze katika njia inayokpendeza wewe Bwana🙏🙏, ninaomba uniinue kiuchumi nisaidie nipate mtaji nifanye biashara,

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Amém Amém babá

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa siku ya pili

  • @joanesFelixFelix-cb1vb
    @joanesFelixFelix-cb1vb 4 หลายเดือนก่อน

    Nipate wateja mungu

  • @truphenakhagori9387
    @truphenakhagori9387 4 หลายเดือนก่อน

    Aaaaaameeen

  • @ChristellaWachawaseme
    @ChristellaWachawaseme 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu niponye ogonjwa wa Bawasiri 😢😢

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 4 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji Roho wako Bwana anisamehe dhambi zangu zote nisamehe nahitaji rehema na neema niponye ponya familia yangu na watoto to wangu niokoe na roho ya umauti ikashindwe kunifuatilia na kuwafuatilia ndugu zangu

  • @irinenyukuri5643
    @irinenyukuri5643 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana usinipite niko hapa mbele zako

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr 4 หลายเดือนก่อน

    Sharom sharom

  • @Judith-mw4ys
    @Judith-mw4ys 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nataka nikujue 🙏takasa fahamu zangu, aki na mawazo nisitawaliwe na nguvu za kuzimu, chochote ambacho kinaniondoa katika nafasi yako kiondoe😭😭😭🙏

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 4 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @hermanfrank6727
    @hermanfrank6727 4 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu asifiwe maombi haya yalikuwa yng kabisa YESU kutana na maisha yangu unapowazulu wengine nami usinipite mwokozi wangu.

  • @mariahabokea2085
    @mariahabokea2085 4 หลายเดือนก่อน

    Jesus, take charge in every situation over my life. Amen and Amen

  • @FarajaMushi-tw2lr
    @FarajaMushi-tw2lr 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa

  • @cathelinemadembwe5561
    @cathelinemadembwe5561 4 หลายเดือนก่อน

    Usinipite wazazi wangu na kaka na dada zangu..

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 4 หลายเดือนก่อน

    Tundai Amani kwa familia Baba unajua wanazopitia kwakukosa kuelewana Mungu ingilia kati usiku huu wa leo usinyamaze😢😢

  • @SandraFatuma-r4y
    @SandraFatuma-r4y 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana mungu usiku huu naomba alama zako kwenye mwili wangu

  • @MwanaHuseni-jf2lv
    @MwanaHuseni-jf2lv 4 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba Mungu anifungue Kwa magonjwa ya kipepo🙏🙏vitu kutembea Kwa mwili 🙏🙏

  • @mancamushi
    @mancamushi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu naomba unisaidie katika mfungo huu nione mwanga ktk maisha yangu

  • @nicki1885
    @nicki1885 4 หลายเดือนก่อน

    I surrender my life to Jesus

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sifa na utukufu kwako Ee Yesu

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana amenisaidia na kunipa tumaini Jipya nilikuwa katika changamoto nyingi ila nilijiwekeza kwake, nilikubari majaribu yangu, sijahangaika kwenda kwa waganga tumaini niliweka kwake, tubaki tukimuamini kama mtumishi asemavyo hapo majaribu yanaweza kuchukua miaka ila usikate tamaa endelea kumtumainia MUNGU, Sasa namshukuru MUNGU

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 4 หลายเดือนก่อน +1

    Eeh BWANA YESU Naomba Ukanifanikishe katika njia zangu zote
    Kupitia maombi haya

  • @peterkarera6297
    @peterkarera6297 4 หลายเดือนก่อน

    Usinipite Yesu unapodhuru wengine, wewe ndiyo mtetezi wangu

  • @SandraFatuma-r4y
    @SandraFatuma-r4y 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni niponye katika usiku huu baba

  • @dorothy201
    @dorothy201 4 หลายเดือนก่อน

    Eeh baba naomba unikumbuke kwa huu mfungo kwa hizi siku saba

  • @JosepherHerman
    @JosepherHerman 4 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha ktk madhabahu hii Yesu wangu niponye

  • @KabibiMure
    @KabibiMure 4 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU nakusihi uniponye ndoto na koo langu🙏🙏🙏🙏

  • @JacintaWambui-f2w
    @JacintaWambui-f2w 4 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa wema na fadhili zako bwana

  • @fuugf3288
    @fuugf3288 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu asate kwa familiar yangu naomba tusaidie tupare pesa ya kujenga nyumba ya mama Eeee mungu tusaidie

  • @NasraSaidi-dq7fh
    @NasraSaidi-dq7fh 4 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu naomba unisaidie katika biashara yangu Mungu nipate wateja kwa jina la yesu

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana usinipite pokea hitaji langu

  • @KabibiMure
    @KabibiMure 4 หลายเดือนก่อน +1

    Moyo wangu nataka kutembea nawe Yesu wangu