MAAJABU YA MAPACHA HAWA MAMA YAO MZAZI HAWAJUI/WAKIUMWA WANAUMWA WOTE/WANAWAZA PAMOJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2021
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    MAAJABU YA MAPACHA HAWA MAMA YAO MZAZI HAWAJUI/WAKIUMWA WANAUMWA WOTE/WANAWAZA PAMOJA
    #Bonatv #Exclusive #Mapacha
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 822

  • @joyceraphael6631
    @joyceraphael6631 2 ปีที่แล้ว +11

    kunawengine awo wanafanana Kama aho wanaishi tabata changombe mwenyezi mungu nijarihee namimi nipate mapacha wangu wa2kama aho Amina❣️❣️🙏

  • @neemacharles9848
    @neemacharles9848 2 ปีที่แล้ว +16

    Mashaallah wanavyofanana mungu nijaliena nami nipate mapacha hongereni warembo😍😍😍😍

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 ปีที่แล้ว +26

    Hata mi ni pacha..Amabao wako pacha like zangu naomben 🙏💕👭

    • @nkalugiradio8140
      @nkalugiradio8140 5 หลายเดือนก่อน

      Hongera na Mimi nawezangu tupo watatu❤

    • @TheoHaule-vu5ub
      @TheoHaule-vu5ub 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo my dear team twins community

  • @heriethkusigwa8469
    @heriethkusigwa8469 3 ปีที่แล้ว +18

    MUNGU Fundi Mno 🙏🙏🙏GOD is so Adorable 🙏🙏

  • @aminahema9714
    @aminahema9714 3 ปีที่แล้ว +54

    Mi napenda story hiz z mapacha😍😍😍Mungu nijaalie n mm nizae vijipacha vyngu in Sha Allah

  • @hawasadik1760
    @hawasadik1760 3 ปีที่แล้ว +12

    Ooo jaman mwenyez mungu nijalie kizaz chamapacha na mm

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +23

    MASHAALLAH. mm dada yangu anao mapacha wakike pia.yani kila siku akinitumia picha lazima niulize uyu nani kulwa au doto.paka leo siwajui kama wachina yani.mashaAllah

  • @zawadiramadan6336
    @zawadiramadan6336 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah Mashaa Allah Mashaa Allah yaa Allah tujalie na sisi yaarabb

  • @furahakalekezi7537
    @furahakalekezi7537 4 หลายเดือนก่อน

    Nguvu kuu asili iwalinde na kuwatunza na kuwabariki mapacha, wakubwa zangu, Mimi ni nazo ya kufuata mapacha japo walirudi Asilini
    Hongereni sana 😘😘😘😘😘🌹🌹🌹🌹

  • @davidole8257
    @davidole8257 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kwao wanafanana sana huyu ambae Hana Mume mie nipo Tayari kuoa na nitawapenda wote Doto upo tayari

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 2 ปีที่แล้ว +4

    Manshaallah tabarak Allah ♥❤.
    Mwenyezi Mungu mtukufu Subhanah wataala awakinge na shari na husda za mahasidi Inshaalllah 🤲🏻

  • @mwashambagofa352
    @mwashambagofa352 3 ปีที่แล้ว +5

    Juzi niliona picha ya kinaigeria ya mapacha ambayo wanahisi pamoja sikuamini kumbe kweli wapo,Mungu ni mkuu Sana..

  • @EmiliaKasalila
    @EmiliaKasalila หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu na Mimi unipe mapacha wanao fanana katika uzao wangu Amina

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 5 หลายเดือนก่อน +1

    shida ya pacha mukishikana sana kwakila kitu ila maisha tofauti kuna mmoja atafariki mapema kama mm niko na pacha wangu ila kashaniacha ashatangulia mbele ya mungu

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 3 ปีที่แล้ว +98

    Mashallah ya rabby naomba nijalie watoto mapacha 🤲

  • @margrethmshana3560
    @margrethmshana3560 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimewapenda hatarii,hapo in finger print ndio tofauti, kwalivyofanana huyo ni MTU mmoja ,very lovely girls.

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimesoma na mapacha jamani wanapendana hawa huwakuti wanamashoga yani wenyewe tu na hawagombani ovyo 😂😂😘

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 3 ปีที่แล้ว +11

    Kua na watoto mapacha ni raha sana mashaAllah yarrabi nijaalie na mm

    • @zulfahaji4666
      @zulfahaji4666 3 ปีที่แล้ว

      Wamepishana. Sauti

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 4 หลายเดือนก่อน

      In Shaa Allah amiin thumma amiin Yarabbil Aa'lamin YaRahman Rahim

  • @florahmathew3510
    @florahmathew3510 3 ปีที่แล้ว +19

    Kulwa ana sauti nzito na inakwaruza kuliko doto..So nice indeed

  • @simonkiprotich3300
    @simonkiprotich3300 2 ปีที่แล้ว +8

    Beautiful due to their twin bonded love; could they hav been patient may be the Lord may have bless them married by twin bros too.

  • @karie9030
    @karie9030 2 ปีที่แล้ว +14

    Warembo, voices of worship and preaching...

  • @zainabuhussein3487
    @zainabuhussein3487 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani napend mapecha Allah nijalie namimi nikiolewa unijalie mapecha amina

  • @neemamsacky9468
    @neemamsacky9468 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu nijalie nilicho kibeba kiwe mapacha wakufanana

  • @jacklinenoel5841
    @jacklinenoel5841 3 ปีที่แล้ว +13

    Napenda mimi jaman Eeer MUNGU nijaalie na mimi🙏

  • @halimaabdillah8440
    @halimaabdillah8440 3 ปีที่แล้ว +13

    Had rah mashaallah

  • @magrethgavan9353
    @magrethgavan9353 2 ปีที่แล้ว +4

    Warembo kweli mungu awape Maisha marefu 🤗

  • @manasadunia3458
    @manasadunia3458 3 ปีที่แล้ว +40

    Masha allah Allah nijalie na mimi nikiolewa nipate mapacha Ameen

    • @selinaingado2669
      @selinaingado2669 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @zahrahemed9171
      @zahrahemed9171 3 ปีที่แล้ว

      Nitafutie 0777 814883

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 3 ปีที่แล้ว

      0716841642...Piga nikupe nina asili ya mapacha but,Nina MKE amepacha na mpenzi wa nje anao...Karibu na wewe nikupe!!!

    • @manasadunia3458
      @manasadunia3458 3 ปีที่แล้ว

      @@shukuranikibona5893 😂😂😂😂😂 kweli au

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 3 ปีที่แล้ว

      @@manasadunia3458 Ukweli kabisa... reality mom..!

  • @ezekiel2034
    @ezekiel2034 3 ปีที่แล้ว +21

    Waaa this two girls are indeed beautiful ❤️❤️👏👏👏👏👏💐🎉

  • @jacklinejohn9415
    @jacklinejohn9415 2 ปีที่แล้ว

    Nice wame pendeza xana na kuhusu wanacho kizungumzia ni kweli kuhusu wa toto mapacha mmoja Aki umwa ni wote hata Mimi ninao pia nawangu niwakike pia

  • @hawababuu4350
    @hawababuu4350 3 ปีที่แล้ว +13

    MashaAllah Tabarakallah.. Ila sauti zao hazifanani huezi kukosa kuwajua

  • @jesscajuma7253
    @jesscajuma7253 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awachariya wote Dada 🇰🇪🙏🌹🌹🍎🍎🤍🤍

  • @aminatumbo7410
    @aminatumbo7410 3 ปีที่แล้ว +14

    Katika pacha nnao wapenda bas ni hawa wa mfuko mmoja nice hutenganishwa na kifo tuu ila sio binadamu

  • @LyidiaMororo
    @LyidiaMororo 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani mapacha wazuri mungu awalinde ,nami pia ninao wakike na wakiume ila wananitoa jasho naniwakubwa miaka 15 lakini ni hatari

  • @davisnkoba2683
    @davisnkoba2683 2 ปีที่แล้ว +2

    You are real beautiful twins
    NAPENDA tu vile wanavyopendana l do love them.

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimewaakubar sana wadogo zangu❤️

  • @user-su1eb3im6t
    @user-su1eb3im6t 5 หลายเดือนก่อน

    Yaan wanaongea wao mapacha nacheka mm😂😂😂jaman napenda sana ila sipati . Namuomba Allah anijalie nipate inshallah 🙏🙏🙏🙏

  • @user-pp8bm9un5j
    @user-pp8bm9un5j 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn wanafanana kama sisi tunavyofanana lkn kuna tofauti kidog kweny saut lkn pia kulwa n mwembamba kidog Dotto mnene kidog. Yaan story yao haina tofauti na yao kama vle mama, marafk, majran na ndg wengne kutuchanganya n kawaida sana. Na cc wakat mwingne huwa anauliza ww n kulwa ama Dotto?, Kuhusu kuumwa na yenyew n hivyo. Kiufupi the way walivyoelezea halika n kwel. Nmependa mnavyoishi Mungu awape maisha marefu. Nmefeel vzr sana kuwasikiliza natamani niwaone jmn live ❤❤🎉🎉🎉

    • @maalimali5513
      @maalimali5513 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli kuna tofauti kidogo Doto ana uso mpana kidogo kuliko Kulwa

    • @user-uf1oz7zc3q
      @user-uf1oz7zc3q 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ila wazur sana

    • @maalimali5513
      @maalimali5513 4 หลายเดือนก่อน

      Allah kawajaalia Mashaallah♥️

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 2 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah Allah awaeke in sha Allah

  • @salhatyusuph2305
    @salhatyusuph2305 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nmewapenda

  • @mariamhakim1463
    @mariamhakim1463 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mamayangu ana mapacha namimi nikiolewa nizae mapacha insha allah❤😅😊

  • @juliekashindi1919
    @juliekashindi1919 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu nijaliye na mimi wa Toto mapacha 🤲🤲

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmefanana sana Mungu naomba unijalie mapacha

  • @felisterbaraka209
    @felisterbaraka209 3 ปีที่แล้ว +8

    Mungu anijalie nani mapacha

  • @user-kk7dd3xm8t
    @user-kk7dd3xm8t 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤❤❤more blessing

  • @bonifaceyohana2515
    @bonifaceyohana2515 3 ปีที่แล้ว +6

    Nawapenda mapacha sana huwa nikiwaona nafarijika mno

  • @agnesskasansa9959
    @agnesskasansa9959 2 ปีที่แล้ว +7

    Nataman mungu anipe mapacha nawapenda sn

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 2 ปีที่แล้ว +3

    Mnanikumbusha mbali sana
    Sisi ktk mtihani ilikuwa tunajisahau tunaandika jina moja sasa hapo kazi kwake mwalimu hizo alama aweke kwa sauda au saida 🤣😂

  • @edinahmaganga3528
    @edinahmaganga3528 2 ปีที่แล้ว +2

    😘😍😚😗 warembo sana Mungu awalinde

  • @sisiliabugerheghon4745
    @sisiliabugerheghon4745 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice identical,,....❣️

  • @hadijambwana9068
    @hadijambwana9068 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anijalie pchaa

  • @MuhamadiAli
    @MuhamadiAli 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mmoja mnene mwengin mwembamba. Mmoja sauti kavu na wengine sauti nzito

    • @ibrahimkhamis8394
      @ibrahimkhamis8394 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli mmoja mnene mwengine mwembamba, wala hawajafanana kiiivo unaweza kuwatofautisha😅

  • @thisiszai2045
    @thisiszai2045 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha'Allah wazuri

  • @jeniphachristian2131
    @jeniphachristian2131 3 ปีที่แล้ว +6

    Woooooh ni nzur but hapo kwenye Mume Sasa...😊😊🤗

  • @edsonjonas2775
    @edsonjonas2775 2 ปีที่แล้ว +2

    Ata Mimi mke wangu ni mapacha wanafanana Sana alafu mke wangu nlishawahi kumuita shemeji alafu nao walibeba Mumbai pamoja na wakazaa watoto wanafanana Sana mpaka nlpata tuhuma kwa baadhi ya watu kuwa huenda nilideti nao wote

  • @ihsan304
    @ihsan304 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awaeke in sha Allah 🤲

  • @rehemanyale2212
    @rehemanyale2212 3 ปีที่แล้ว +36

    Mashaalah, wamefanana mpaka sauti, warembo sana

    • @cantonaiddy6042
      @cantonaiddy6042 3 ปีที่แล้ว

      Hpn sauti hazifanani huyu wa kushoto ana sauti ya mapozi

    • @cantonaiddy6042
      @cantonaiddy6042 3 ปีที่แล้ว

      Wa kulia sura yake pana kidogo

    • @rehemafungo5042
      @rehemafungo5042 2 ปีที่แล้ว

      Asante wajina umeandika kiswahili🤔🤔

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 3 ปีที่แล้ว +12

    Wow Masha Allah

  • @user-kt4kk4cs5s
    @user-kt4kk4cs5s 5 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah nimewapenda sana

  • @user-zt6eb7re4u
    @user-zt6eb7re4u 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ Mungu awabariki nyote

  • @fedhumafundikila2100
    @fedhumafundikila2100 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah ❤️❤️ jamani wamefanana kweli💥nimewapenda nami natamani nipate mapacha🙏🙏

    • @selinaclarence878
      @selinaclarence878 3 ปีที่แล้ว

      Tofaut zao mmoja nwongeaji sana kuliko mwingne

    • @juliethkipeja4791
      @juliethkipeja4791 2 ปีที่แล้ว

      Na kulwa kasura kake kembamba kidogo

  • @diananjoki6788
    @diananjoki6788 2 ปีที่แล้ว +8

    indeed fearfully and wonderfully made.

  • @user-cx7rh6jt6y
    @user-cx7rh6jt6y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn Mungu🙏 nawapenda ❤❤❤❤

  • @user-lo2zq4fy6j
    @user-lo2zq4fy6j 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn mpka raha ❤❤❤❤, nawapend san mapcha

  • @JaniJann-xv2nq
    @JaniJann-xv2nq 2 หลายเดือนก่อน

    Wangu hawafani lakini wakiumwa na tabia wanashare ❤❤❤❤ maanake walishare placenta moja

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 3 ปีที่แล้ว +2

    Kabla hujawauliza nan mkubwa nan mdogo tayar kwakuwatazama tu nikajua nan mkubwa nan mdogo usually nina mapacha Alhamdulillah pia mama zangu wadogo mapacha my family kuna mapacha fully na ninaomba mungu anipe tena mapacha inshaallah.

    • @missmoona4497
      @missmoona4497 3 ปีที่แล้ว +1

      Lkn pia mama zangu mapacha hao waliposwa pamoja, waliolewa siku 1 na waume zao nimarafik mno wanaopendana kias kwamba mungu akawapa wake mapacha maashallah

  • @sophiaabdallah7821
    @sophiaabdallah7821 2 ปีที่แล้ว

    Daah very interesting had nataman km wangkuw wa kwanguu😍😍😍

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 3 ปีที่แล้ว +38

    Mungu awajalie moyo wa kupendana hivo hivo milele🌹💖👏

    • @ashanassour1139
      @ashanassour1139 3 ปีที่แล้ว +3

      Ya rabbi nijaalie na mm nipate mapacha wawili dua zenu naomba

    • @zennahmtoto1867
      @zennahmtoto1867 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin sote Yarabbi

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa akipata mime!!!??

    • @ericklaura7511
      @ericklaura7511 3 ปีที่แล้ว

      @@ashanassour1139 Ameni. Hitaji la moyo wako likatimie kwa uweza wa Mungu.

    • @ericklaura7511
      @ericklaura7511 3 ปีที่แล้ว

      @@lucyhusein4043 si umesikia amesema yeye hata asipoolewa ni sawa?

  • @bakarijuma9683
    @bakarijuma9683 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh 🙏🏻🙏🙏 good!

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi na kulwa wangu tulitoa kali std 1 hadi form iv darasa moja na benchi moja enzi hizo hkn viti, tulikuwa tunakalia madawati,
    Ila mapacha watu huwa wanawapenda mnnooo lkn walishindwa kututenganisha
    Pia pacha huwa na hila mbaya hujiona wao ndio ndugu sana kuliko ndg wengine japokuwa wote wamezaliwa na baba na mama mmoja

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 2 ปีที่แล้ว +4

    Hadi nikatamn, eeeh Mungu niajalie namie🙏 mapacha

  • @gloryqueen6296
    @gloryqueen6296 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni..sauti azifanani

  • @user-wc3hn4kt1x
    @user-wc3hn4kt1x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kitu ambacho sitaki kabisa ni mke wangu kuniletea mapacha. Ee Mungu naomba watoto tofauti ila MAPACHA sitaki

  • @kanezajoella6663
    @kanezajoella6663 4 หลายเดือนก่อน

    Sauti ni tofauti pia kulwa ame changamka sana wazuri ❤❤❤❤

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah hongern❤❤❤

  • @tundaspodo6955
    @tundaspodo6955 3 ปีที่แล้ว +10

    Mapacha wangu haooo nawapenda Sana Awana tabu na mtu

  • @saumumunisi8013
    @saumumunisi8013 4 หลายเดือนก่อน +1

    Half ni wazuri nimewapenda sana

  • @elizabethmwikali9925
    @elizabethmwikali9925 3 ปีที่แล้ว +8

    They look together too much 😜😜😜

  • @fakiibabalao4185
    @fakiibabalao4185 3 ปีที่แล้ว +9

    Mtangazaji na mapacha wanavithethe kama umegundua hili weka like hp

    • @nishrash3637
      @nishrash3637 3 ปีที่แล้ว +1

      Kurwa saut yake inakwaruza na anakithethe Sana kuliko doto waskilize kwa Makin! Na kimuonekano Doto siyo muongeaje sana

  • @user-jj9xf7nt9k
    @user-jj9xf7nt9k 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wawo mungu nijalie na mm

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa inapendeza Sana kuwaoa wote wawili.🤣😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🤔

  • @richardsimon8786
    @richardsimon8786 2 ปีที่แล้ว

    God bless

  • @dr.alexmagufwa9131
    @dr.alexmagufwa9131 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji upo vizuri sana

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah maashallah maashallah maashallah

  • @nananishimwe1963
    @nananishimwe1963 5 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda.apacha

  • @user-ji1fm7eh1p
    @user-ji1fm7eh1p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba nijaalie nami nipate mapacha

  • @user-vm8wn4qg6j
    @user-vm8wn4qg6j 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu simama na mm nipate mapacha

  • @asmintambwe9547
    @asmintambwe9547 3 ปีที่แล้ว +5

    In shaa Allah mungu nipe namie mapacha

  • @musitemusite4316
    @musitemusite4316 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah

  • @princessmeggyclement7591
    @princessmeggyclement7591 3 ปีที่แล้ว +19

    Yarabby nijaalie namimi Amiin👏👏

  • @juliethkipeja4791
    @juliethkipeja4791 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nipe hitaji la moyo wangu

  • @priscamagambo5320
    @priscamagambo5320 3 ปีที่แล้ว +3

    Waoooo Kama wadogo zangu wanaonifata,Ila wao Ni wakiume

  • @shamtesaidi4058
    @shamtesaidi4058 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah, inapendeza sana. Mwenyezimungu awalinde na jicho la husda

  • @chantalmwipata8820
    @chantalmwipata8820 3 ปีที่แล้ว +2

    I have facings the same,to my twins daughters

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @raheemaal-hady9328
    @raheemaal-hady9328 3 ปีที่แล้ว +7

    In Shaa Allaah Mungu atakupa Mume bora Mammy Dotto... Nawapenda sana mammy zangu Allaah awalinde na killa shari.

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 ปีที่แล้ว +2

    sema wanacomfidance sana ma sha Allah😘wapewe movie wacheze watz tuenjoi zetu uzao wa nyumban.

  • @gloryandrew9428
    @gloryandrew9428 3 ปีที่แล้ว +10

    Ee mungu nijalie na mimi mapacha

    • @mdungikona1968
      @mdungikona1968 3 ปีที่แล้ว

      Acha kuwataka hao wasumbufu niulize mimi

  • @marthakalushita1089
    @marthakalushita1089 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimewapenda jamani mapacha wenzangu waoo

  • @zainabsaidy1381
    @zainabsaidy1381 3 ปีที่แล้ว +42

    Yarrabi nijaalie na mie nipate mapacha inshallah

  • @deborahlagila6351
    @deborahlagila6351 2 ปีที่แล้ว +4

    Wanafanana sio ajabu mama kuwachanganya me mwenyewe wa kwangu wana miaka 7 nikitoka safar nawauliza