Yaah Allah nakuomba umzidishie yakiin na imani thabiti Muuza miwa maana kaonyesha imani kwako hata kama ni maigizo lakin ni mtu anaonyesha ana imani kubwa kwa Mungu wake
Hawa mapacha show kama yao wameuwa mpaka inakeraaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ila muuza miwa na muuza karanga mnatia mmetia huruma ila pia mnapata na funzo kwenye kumpa mtu chenji😔😔😔😔 kwa ustarabu huo utafika mbali muuza miwa🤲🤲
Dah nasikitika pacha wangu kaenda kula maharage ya watu kwa mama ntilie akaondoka hakulipa siku niloenda mimi nikabananishwa hadi huruma,ila muuza miwa Big up sana🤝💪
Mambo vip? NAKUKARIBISHA Kuitazama hii 👇🏼👇🏼👇🏼 th-cam.com/video/4rPG51PRPHA/w-d-xo.html Produced by bullet beatz Share kwa marafiki Subscribe like Toa comment Saport music mzuri Enjoy good music 👇🏼👇🏼👇🏼 th-cam.com/video/4rPG51PRPHA/w-d-xo.html
YAani mashallah wamefanana sana yaani wamenikumbusha tukio lishawahi kutokea kijijini kwetu,pacha wa wili wakiume wamefanana kila kitu mpaka tembea sasa mmoja alikuwa jambazi sasa akishaona askari wanamsaka anajificha mwisho wa siku maskini anakamatwa mwenzie ambaye si mwizi maskini alikuwa anasota jela na vipigo kila wakati, mpaka mwisho wa siku Askari wanakuja kujua ni mapacha wa kufanana tayari too late
😆 🤣 😂 umeni kumbusha mume wangu nae picha na wote wanajeshi sasa mwenzake alikuwa ni mtu wa kukopa sana alafu anadai mume jamani walivyo gundua ilabidi watenganishwe ofisini
@@noxlosingida2369 Hahahaha hiyo style ya kimataifa iliku yaani kopa wewe mimi nilipe hahahaha halafu sometimes wanamakusudi wakijiona wamefanana yaani lazima tuu watajadiliana ili wavae sare ili wakafanye tukio 😂😂 Astaghfirullah laadhwim 🤣 mie Alhamdulillah pacha mwenzangu wa kiume akithubutu kufanya batili wanamkamata mwenyewe kama walivyomkuta hahahaha 😂
Najua kile mnacho penda hivo sina budi ya kuwapa burudani nakila siku mawazo tofauti tofauti yana kuja ivo endelea ku enjoy Vipidi vikali ndani ya #WasfiTV #WasafiBet #MoTownSanya
Dah mungu akuongezee ridhik kaka wa miwa allah awe nawe
Anaesikia huyu jamaa mmoja sauti yake inafanana na Idris sultan gonga like apa👋👋😂
Kbs
Ni wadogo zake Idris Sultan
Ni ndugu
Kwelii
Aseeh nmetafuta san hii sauti asante kwa kunisaidia
Yaah Allah nakuomba umzidishie yakiin na imani thabiti Muuza miwa maana kaonyesha imani kwako hata kama ni maigizo lakin ni mtu anaonyesha ana imani kubwa kwa Mungu wake
Amiin Inshallah 🙏
Inshallah
Safi sana
Ammina allhuma amin
Wewe kaka wa miwa yaan mashaallah!! Hadi nimekupenda unaimani na haupendi ugomvi
Daah sio siri mwenyezi mungu amjaalie kheri sana katika maisha yake na ampe maisha mazuri zaidi kwa moyo wake aliouonyesha hapo Inshaalah
Awe mungu mfungulie kila hitaji la moyo wake na umzidishie rizki
😢😭Huyu kaka wa miwa ana iman madhubut Mashallah YA ALLAH Umfungulie ridhk yake kwa wepes
Amiin🤲
Imagen uyu kijana anauza miwa kanitoa machozi walai mungu amfanyie wepesi
@@salimkharisa8186 Yaan we acha tuuh
Ameen
Ameen.🙏🙏
Huyu mjasiriamali wa miwa ni peace sana. God bless him
Muuza miwa kakubali loss mwamba kweli jau. Uyo babu jau angekuwa yy angeweza kuwa makini# the best amazing
Allah mjaalie riziki na Imani thabiti Muuza miwa MA SHA ALLAH
Huyu jamaa wa miwa huyu Safi Sana daaaaah mungu amzidishie
Allah akupe mafanikio makubwa sana kupitia kwenye biashara yako muuza miwa🙏🙏🙏
Amiin wallah
Sura ya muuza iko ki INOCENT kabsa..
Allahuma Amin
Muuza Mia Allah amuongozee na ampe biashara kubwa zaidi bora hasara kuliko Shari kubwa
Muuza miwa yko humble sana......aki mungu amuongezee kipato,
Kwa kweli hicho ni kipimo cha Watanzania kuwa na lmani wengine ni ugomvi wa hali ya juu muuza miwa hongera sana.
Muuza miwa Mungu akuinue unaonekana una imani sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Uhakika mungu amzidishie
Lazima ni Muha, wengi kwenye biashara zao hawaendi makuu
Mbali na Twins Muuza miwa katugusa sana
May God bless him.
Sanaa
Hakika
Sana
Allah amjaalie wepesi na amuongezee kipato endelevu
Amin
Ni waigizaji wazuri more videos with twins inabamba Sana Ila ulinzi uimalishwe 😆muuza miwa ni mkaka mzuri Sana biashara yake izidi kuendelea
Nawapenda saaana hawa vijana jamanini feithar na faidh allah awaongoze katika kila hatua ya maisha yenu na munachokifanya🥰🥰🇹🇿 🇴🇲
Ila uyo jamaa wa miwa anaonekana mstaarabu sana God bless his hustle 🤍
Sana i wish nimjue nimuongezee japo kidogo kamtaji kiukweli anautu na hekma sana
Pia ana imani sana MashaAllah🙌🙌🙌
Nmemuonea huruma ad nimelia
Sanaaa mashaallah!! Yaaan hadi nimempenda
Sana kwa kweli Mungu amongezee kbx
Respect Kwa mwenye miwa kweli hii ni life tu😭😭
❤️❤️❤️
Adi imeniuma
Duniani Kuna Watu na mioyo yao
Hawa mapacha show kama yao wameuwa mpaka inakeraaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ila muuza miwa na muuza karanga mnatia mmetia huruma ila pia mnapata na funzo kwenye kumpa mtu chenji😔😔😔😔 kwa ustarabu huo utafika mbali muuza miwa🤲🤲
Diamond akupandishie mshahara kazi nzuri sana
Subiria mbaka niuze ndo nikupe pesaako..dah wanangu wa dola moja amani sanaaaa✊✊✊✊
Daaaa muuza miwa kinyongee sana adi huruma😂😂
Machozi kabisaa🤣🤣🤣
Muuza miwa Allah amjaalie afanikiwe kwenye maisha yake
Blessed
Waaa nimempenda bure
Maashaallaah Allhamdullaah Hawa mapacha wanafanana kweli kabisa mungu awape umli mrufu wenye Barak nyingi Amiin
Meuwa leo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ata muuza miwa yani wauza biashara wote wastarabu 😍😍😍🙏🙏🙏
Muuza miwa Kama mimi (nauza miwa), Allah bless you
Kipindii bora ..ila imana ya muuza miwa imewapendez watyu wengi 🙏
Uyu Muuza miwa jamn MUNGU akubariki sana na Kazi yako 🙏
ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH. HUYO JAMAA ANAYE UZA MIWA SAFI SANA ALLAH AMAFANYIE WEPESI TU. IN SHAA ALLAH.
Waaleykum salaam
Waaleykum salaam warahmatullah, Ameen
Waleykum Salam warahmatullah wabarakatuh
Ameen InshaAllah
Muuza Miwa ..aisee Humanity at his best
Mashaallah mashaallah laha sana kulea mapacha hadi kufikia apo Allah awakuze zaidi lnshaallah natamani na me siku moja Allah anijalie twins lnshaallah
Kazana kuukatikia utapata
Daaah very sad kwa muuza miwa 😢💔💔 jins anavy sema NI MAISHA 2
Wanachanganya kweli hata nami siezi jiokiwa kabisa.from 🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
Dah wanafanana sana aisee! Na wanajua kuigiza kweli kweli nice 👍
Muuza miwa jmn ataftwe tumchangie buku buku😭😭😭😭😭😭😭
Nikweli kabisa
Kweli kabisa
Nikweli kabisa dah sio kwa imani hyo
Uyu kaka tumchangiee mtafuteni tena
Kbsaaaa❤️❤️
Huyo muuza miwa tunaomba namba yake ya simu ili tumchangie chochote tulichonacho. Kaonesha utu sana.
Nimewaza kama wewe
Kama Motown na wasafi media walimuacha ivyo basi walikosea sana
Kweli aseee ata mwenye chochote kitu jamaa anautu sana
Atafutwe
Inauma😪
Dah huyu wa miwa ameniliza maskini ya mungu, Allah akufungulie bro unaonekana unaroho nzuri
Mungu acha aitwe Mungu yani awa w kaka wanafanan mnoo💕💕Kisha sanya anajuw kujikausha balaa😅😅😅
Kweli mzee
Dah nasikitika pacha wangu kaenda kula maharage ya watu kwa mama ntilie akaondoka hakulipa siku niloenda mimi nikabananishwa hadi huruma,ila muuza miwa Big up sana🤝💪
Mashaallah mungu anijaalie na mm nizae mapacha
Kuwa fananisha mpaka uwe kabisa na ukaribu nao , sio kwa mfanano uho 😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Hata ukiwa karibu nao uwezi na wanatoooo dem mmoja sana hao
"Mungu ndo anaejua atakulipa vipi" Well said MashaAllah🙏🙏🙏🙏🌙
Muuza Miwa atafanikiwa Imani inammbeba🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ebwana kitaa kina mishe kibao huyo ndio Mo Town Sanya nembo ya mtaa yupo na pacha wenzangu mashallah ❤️ kufanana kama kote
Mambo vip? NAKUKARIBISHA
Kuitazama hii
👇🏼👇🏼👇🏼
th-cam.com/video/4rPG51PRPHA/w-d-xo.html
Produced by bullet beatz
Share kwa marafiki
Subscribe like
Toa comment
Saport music mzuri
Enjoy good music
👇🏼👇🏼👇🏼
th-cam.com/video/4rPG51PRPHA/w-d-xo.html
Ni moja kitu kikubwa Sana aiseeeeeeh ambacho ushawai fanya keep it up 💪 kumbe show kalisio lazima mastar
Namuomba Allah sana sana anijaslie mume mwenye hofu ya Allah na tujaaliwe watoto twins nitafurahi sana yaan acheni tu
Nipo Muna na MashaAllah ukoo wetu ni pacha kwenda mbele👌 😊
@@alkasusjaasus7015 ok poa poaaa Allah awakuzie vyema sanaaa
Daaaah nimeumia muuza miwa jamanii daaaah ingekuwa kweli sijui ingekuwaje daaaah
Utu uzima dawa mzee katumia busara ya hali juu. Bigup mzee wa karanga.
Maskini uyu wamiwa katia hadi uruma 😅 kijasho cembamba kilikuwa kishaanza kumtoka😢
Wallah kipindi cha kijanjanja nimewapendaaaaaa buree 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mwenye kipindi bora wasafi na tanzania yote ..mo town sanya...kwaiyi umenikosha
Jaman kaka wa miwa roho imeniuma daaaah 😭
Me hadi nimetoa machoz
Nimelia
yaan adi mie roho imeniuma afu akawa mnyonge daa
@@meckywadyatv.9016 I’m in Canada and I don’t if I can have the number for the guy who sell Miwa
Shed tears aki 😢😢
Polen ila iwe funzo kwenu pia kuwen na iman
Huyu mo town sanya ajengewe sanamu makumbusho🤣🤣🙌
Dah mzee kadata Sana'a mwanangu ..
Mpaka kaamua kuchungulia kweli #karanga
YAani mashallah wamefanana sana yaani wamenikumbusha tukio lishawahi kutokea kijijini kwetu,pacha wa wili wakiume wamefanana kila kitu mpaka tembea sasa mmoja alikuwa jambazi sasa akishaona askari wanamsaka anajificha mwisho wa siku maskini anakamatwa mwenzie ambaye si mwizi maskini alikuwa anasota jela na vipigo kila wakati, mpaka mwisho wa siku Askari wanakuja kujua ni mapacha wa kufanana tayari too late
Mmh jamn
😆 🤣 😂 umeni kumbusha mume wangu nae picha na wote wanajeshi sasa mwenzake alikuwa ni mtu wa kukopa sana alafu anadai mume jamani walivyo gundua ilabidi watenganishwe ofisini
@@noxlosingida2369 Hahahaha hiyo style ya kimataifa iliku yaani kopa wewe mimi nilipe hahahaha halafu sometimes wanamakusudi wakijiona wamefanana yaani lazima tuu watajadiliana ili wavae sare ili wakafanye tukio 😂😂 Astaghfirullah laadhwim 🤣 mie Alhamdulillah pacha mwenzangu wa kiume akithubutu kufanya batili wanamkamata mwenyewe kama walivyomkuta hahahaha 😂
Mtauwa watu kwa pulesha
Ipo sana iyo
Show babu kubwa sana nimekubali motown Sanya hicho kipindi kiko juu
Sanya katika vipind vyote hichiiii nimeonjoy kinoumaaaaaaaaa wametishaaaa twins nation🔥🔥🔥🔥
Woooi can't explain how much I love those 2 boys paka I wish nigepewa wakue wangu
Please once again kavideo with the twins more love from Kenya
Napendaka sana vipindi vyako kka yngu❤🇦🇪🇧🇮
Big up mkaka wa miwa respect sana...🤜🤛 Gonga like
Babu Hana sadaka😘😘💕💕😂😂Hana sadaka yahaina hio
Yaan toka nmeanza kuafatilia hiki kipindi jmn hii ya hawa matwins ni the best nmecheka sna na kuwaonea huruma haswa miss miwa jmn
Huruma jmn 😭😭muuza miwa dah maisha hayq 😭😭😭😭 uwiii imeniuma Sana
.muwe mnawasadia bas km hvy mkiwaona jmn dah
Ambaye show imem bamba kama Mimi like hapa Mo sanya aone huyu ni mtangazaji wa level ya aina yake full talented 🙏
Hehehee kwakweli Wana changanya kama date ya Leo 22/2/22 safiii sana
Nimeipendaiyo mashaallah wamefanana hadiraha wallah
MashaAllah their mom should be very happy
Huyu jamaa wa pili amenihurumisha adi kidongo nilie juu alikua ameanza kulia alafu jua kali waaaah 😢😢😢😢😢😢ila acheni izi hizi prank 😂😂😂😂😂😂
Nice please We need more shows with the twins nimeipenda sana from 🇨🇦🇨🇦
Hi lizzy
@@issamlekwa3034 hi dear
I wish I can get the number of that guy of miwa
I shed tears 😭. Here I’m in Canada
Axante na nyie nawaomben muwe na iman kama yang 7bu mtoa rizik n mwenyez mungu 🙏
Tangu nianze kufuatilia Motown Sanya, this is the best show I had ever seen...big up Bother. We laugh and learn 😂🙌🏽
kabisa
Umetisha sana mwamba from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Aww 🥰 🇧🇮🇧🇮
Nimeipenda sana hii
Mo sanya leo mke wangu kafurai kwasbb yeye naye ni pacha
Mungu msaidie nakumuinua kwenye kazi yamikono yake muuza miwa anahekima
Jamaa wa miwa ni mtu poa sana na ana imani sana
That’s so funny… yafaa wakatie dem mmoja!! Dah maisha mtaa.. watu wanapiga kazi 💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸
Umetisha sana umekuwa mbunifuuu sana big up
Mo.. Hii show Umetisha.. Nimefurahi sana yani kila nikikumbuka nacheka tu.. Big up bro.. And the twins Brothers.. Mmetisha
Hahaha hii ya leo nzur sii lazima kila siku superstar..Ubunifu mzuri
Diamond muongezee MotownSanya mshahara
Sio mastar kihivyo long wanajulikana Ni comedian
Mikoani hatuwajui ndio tumewaona leo
Najua kile mnacho penda hivo sina budi ya kuwapa burudani nakila siku mawazo tofauti tofauti yana kuja ivo endelea ku enjoy Vipidi vikali ndani ya #WasfiTV #WasafiBet #MoTownSanya
Tunakukubali Sana mungu akuongoze katika Kazi yako
Muuza chips umemzingua aseeeee hhhhhhhh
Dah ila huyo wa miwa kanigusa na kanifunza kitu
Mtafute wa miwa achangiwe amegusa wengiiiii
Toeni nmba wa miwa tumchngiiie
Leo mo umenifurahisha sana maana unawafahamisha uzuri mashallah acha nilale sasa masalama❤️
Masalama✋
Mashallah Allah yani adi raha nawakubali mapacha nyie noma sana ❤️❤️❤️❤️
Masikini Mwuuliza miwa alitaka kulia😂sema mwamba hana maneno mengi
Nimeenjoy mpk raha,,,God bless you guys
Wow l can also say it's one of my favourites show 😂😁😚
Muuza miwa Mungu amfungulie milango ya ridhik amina ..….ana busara sana🙏🙏🙏🙏
Amen🙏
Insh Allah Allah amfanyie weeps muuza miwa 🙏🙏
Asante kwenye maisha inahtajka iman Sana🙏
Ila mapacha wote duniani 🙌🙌🙌🙌
Sema ina huzunisha kama uyo muuza miwa mungu akusaidie ufike mbar
Kweli mwanangu ana imani kubwa sana
hata muuza karanga pia jaman mpole had anatia huruma
Yani uyo jamaa wamiwa kaongea vitu vya msingi mungu amjaalie na atujaalie kwa Sote amina
Safi sana aaaaaa, umekula mb zangu ki halali
Maashaallaah Allhamdullaah mungu akufanyie wepes inshaallaah
We needs more videos with twins ❤🥰😍
Exactly ❤️
Yes yes yes we needs more videos plzzz🤗
Unapenda Ugomvi wewe muone kuleee
Jamani nimetabasamu kwakila hatuaapacha raha jamani
@@franleytv6131 hadi rahaaa
Babu kaona isiwe tabu ngoja nivute kidogo,
Muuza karanga hakubali cha kupewa bure,safi sana
Nakubali Sana mo town Sanya 🔥🔥🔥🇰🇪 more love
Talented guy's, kudos mapacha
🤣🤣🤣maskin muuza miwa jamani hebu muongezeeni mtaj, mwenyew mpoole
Mi nimempenda sana kwa Imani alivyokuwa nayo😢 tumchangieni hata jero jero kila mtu
Nangoja majibu yenu
Duh aisee ni nomaaaaa
The best interview ever
Dah kaka wamiwa jmn😭😭😰😰😰yani wafanya biashara hote niwaminifu hakiyanani cheki uyu kaka wakaranga jmn wachips yani wote tu😭😰