Dokta uko sahihi kabisaaa wanawake wengi wanajisahau sana wakiwa kwenye ndoa mwaka mmoja tu anataka mfanya kazi wa ndani yeye' anajiachia anakua mvivu ndo maana wanaume wengi hujikuta wanaangukia kwenye mapenzi na wadada wa kazi kwa sababu za uchangamfu uchapakazi usafi kujituma pia wanajali sana muda
ni kukosa hofu ya Mungu tu ngonjo sio kitu cha kushea na pia hakuna dhambi hatari kama ngono maana utaambulia maradhi, no one have ever die because of missing sex, and thats why in each and everything we need to tolerate/uvumulivu. Ukiona wana ndoa wanahangaika wana laana.
Ni addiction tu,,, ni sawa ujiulize why Kuna baadh ya wanaume wanafanya mapenzi ya jinsia Moja yaani wanaingiliwa na wanaowaingilia why hawaachi jibu ni addiction...
Shukrani sana
Siyo kila kitu chakujaribu kwenye hii Dunia mengine sikia na kupuuza asee
Doctor please bring it on kaka Tupe muziki kilasiku Tupe sugar muwaa I meaning good good stuff or good news eeeee apo sugar kaka eee 😅
Dr safi Sanaa
⭐⭐⭐⭐⭐
Dokta uko sahihi kabisaaa wanawake wengi wanajisahau sana wakiwa kwenye ndoa mwaka mmoja tu anataka mfanya kazi wa ndani yeye' anajiachia anakua mvivu ndo maana wanaume wengi hujikuta wanaangukia kwenye mapenzi na wadada wa kazi kwa sababu za uchangamfu uchapakazi usafi kujituma pia wanajali sana muda
ni kukosa hofu ya Mungu tu ngonjo sio kitu cha kushea na pia hakuna dhambi hatari kama ngono maana utaambulia maradhi, no one have ever die because of missing sex, and thats why in each and everything we need to tolerate/uvumulivu. Ukiona wana ndoa wanahangaika wana laana.
Wewe ni daktari kabisa
Kweli sana dokta nimependa ushauri wako
Wanaume wengi siku izi tumekuw na. Mambo ya ovyo wanaum weng saiz ndo wanawaingilia wenzao
dokta meza mate jaman mbona jaziba ndo kuchukia
Ni kitu gani hasa kinapelekea baadhi ya wanawake kufanya mapenzi kinyume namaumbile? 1hurka. 2tamaa. 3utandawazi 4ningemko?
Ni addiction tu,,, ni sawa ujiulize why Kuna baadh ya wanaume wanafanya mapenzi ya jinsia Moja yaani wanaingiliwa na wanaowaingilia why hawaachi jibu ni addiction...
Kqel hata mimi ukinpa tuu yuma na ume wang unaanguka
Ila doctor unasema ukweli mwanamke akikunenepea unaanza kumtafakari kinyume nyume. anakaa vibaya.
Sasa mtu unampenda kweli na unajua atakua wako wa ndoa na maisha SASA KWA nini ufanye dae mapenzi kabla ya ndoa!?