Hivi siku hizi kuua ni kawaida? Hammuogopi Mungu jaman 😢 hiyo ni damu ya mtu itawaandama sana, pia baba jovin usikubali kabisa pambania haki ya kijana mpaka kijulikane tena hata kiimani tupo pamoja nawe, anza na wote wanao pindisha mpaka walio shiriki kizazi Chao chote
Jeshi la polisi waliwezaje kumuachia huyo binti ambaye angetoa ushahidi wa nini kilifanyika,askari hao kwa kweli ni dhihaka na ingefaa hata huyo mkuu wa kituo aachie ngazi na hao wengine wote walioenda eneo la tukio,kwanini polisi mnajidhalilisha kwa kiwango hiki kama kweli ni watu wenye mafunzo kwa kazi hiyo!
Pole sana, Ila haki ya dami ya mtu Haiwezi kupotea. Mungu wa mbinguni Awalipie kisasi kabisa, ikiwa ni kweli kijana kadhulumiwa uhai. Haki ichipue kabisa Kwa Jina La YESU
Jaman kijan wa watu mzuri jmn asa inamana hatatongonzwa ten huyo mtoto wao washenzi San na hao maskari ndo mana wakistafu wanakuwa wana laana hao mungu atawalipia baba😭😭
Poleni xana wanafamilia, mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu Cha kuondokewa na mpendwa wetu, mwenyezi Mungu akaonyeshe njia pasipo na njia.Mungu simama na Baba wa marehemu.,,,,,😭😭😭
Huyo walikuwa wamuozeshe achukuwe moja kwa moja kulikoni kumuwa siyo mtoto huyo kutaka mwaname anaweza hizo kazi ladhima akimbiye kwao anapenda bwana huyo binti 😅😮😮😢😮 18:20
Kam kijan alivyo kuwa anajiuwa huy bint sialikuwa hap kwanin asipige kelel huy kijan aje kupewa msaad asijinyonge hapn mchezo mzima huy bint anajuwa kwanin asipig kelel na ninan kamfunga na wakat kijan kasha jinyong ni ivii family ya huy dad inahusika moja kwa moja 😢
Kwani kamuiba au walikubaliana? Binti kama binti kwanini awe mwepesi kukubali kukalishwa geto kipindi chote bila kushtuka kuwa nyumbani watamfauta??? Haya ni mapenzi ya watu wawili hawakutakiwa kumuua huyu kijana damu itawalilia sana....
Ila jamani kweli maaskari wetu kuweni na huruma tendeni haki hii picha hata si nzuri hv kweli mtu ajinyonge alafu huyu afungwe mikono na kweli upumbavu huyo.
Mimi nilishaga wai kusema. IPO sababu ya selikali kuwa makini na maeneo haya . Arusha,moshi ,bukoba, Mara, nisehem ambazo zinawatu wengi hawasamini uhai wa mwingine na hofu ya mungu nindogo sana nk
Mambo mazito aya 😢😢😢😢😢😢😢 ukweli binti anatakiwa hawe ndani kabisa police jamani tendeni haki jamani sasa hawa walikuwa wawili vip mmemuachia Msichana wakati yeye ndo agewaeleza kilichotokea ni nini mh nigekuwa mimi kweli nisigezika mpk kieleweke yani pagechagamka tu 😢😢😢😢😢 😢😢😢😢
Duuuh Pole Sana Mzazi Binti wakumshikulia Sana Utaratbu Gan Wa kuhojiana Njee Ya Kituo Af familia Inatakaje make kabla Ya Dr Kutoa majibu Akiiih Police Tusingeenda Hospital Tusingeenda Haki Tungeitafta Wenyewe
Pole Sana baba wa mtoto wa kike pole Sana kwa galama ulizotumia kumtafuta binti yako hakika wewe Ni baba mwema. Kama hayajakukuta ya kutoloshewa na mwanao au mkeo. Vijana wa saivi wapumbavu utatoloshaje mtoto wa watu
Binti si rahs ashiriki kumuua wakati yeye alitoroka nyumban kwao kwa ajili ya huyo kijana anaonekana alikuwa anampenda. hapa itabidi Binti kuhojiwa aseme ukweli wasisikilize upande mmoja tu.
Hizo roho mbaya azitatusaidia wala kutufikisha popote jamani tubadilike ndugu wa binti watambue kuwa maumivu waliyosababisha kwa familia ya huyo kijana Mungu atawalipa kwa kikombe hicho hicho.
Rakinj na mabinti wetu wanatakiwa wajue wajibu wao kwanini alikubali kutoloka na mwanaume wakati anajujia nimwanafunzi? Nao wanatakiwa wachukuliwe hatua ili wajifunze kujielewa kwani mbona sisi tulisoma tukamali wanaume awakuwepo? Nao mabinti zetu aikuizi wanapenda Sana ngono bwana kwanini asikatae pale ilitakiwa wazazi washikiane tu Mana wote niwatoto
wamrudishe sabaya hizi laana za mauwaji zitapita laana hiyo yakuongoza mwanamke na kuwadhulumu baadh ya viongoz waliofanya kazi kwa wered hadi ccm ikaheshimika sabaya alifanya kazi sana arusha laana haitoisha hadi sabaya alipwe haq yake yakumsingizia na kumueka ndani miaka 2
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
Mtuhumiwa wa kwanza ni bint Haina mbambamba!!
Uyo dada anajua sana.msikubali na msizike msipokee mwili.nendeni kwa R.P.C haraka mpate majibu.
Pole sana baba so sad inauma sana kufiwa na mwanao mungu akutie nguvu na mama yake pia
Arusha jaman…napata huzuni sana matukio mengi ya huzuni na kutisha yanatokea Arusha…sending prayers to y’all ❤❤
Yaan acha Arusha tuombe Mungu sn
Mashaka gani! Wakati mtuhumiwa wa kwanza ni binti na ndie anapaswa kusaidia polisi kuwa alinyongwa na nani na yeye kafungwa na nani hyo mikono
Kweli
Sindio jamani
Binti si yupo jamn ndio anajua ukweli wote ko uchunguz uanzie Hapo hapo kwa binti.
Hivi siku hizi kuua ni kawaida? Hammuogopi Mungu jaman 😢 hiyo ni damu ya mtu itawaandama sana, pia baba jovin usikubali kabisa pambania haki ya kijana mpaka kijulikane tena hata kiimani tupo pamoja nawe, anza na wote wanao pindisha mpaka walio shiriki kizazi Chao chote
Kaman tunaomba wanasheria walisimamie hili jambo,haki itatendeka,,,itajulikanatuuuuuuu
Mazingira ya tukio yanatilia shaka sana
Polee sana Baba .. MUNGU awafanyie wepes haki itendeke 😢😢
Amiin😭😭😭😭
MKUU WAJESHI RA PORISI UKOWÀPI WAJIBUSHA HAO PORISI HAPO HATA KAMA HUJASOMA
Siyo kweli kamateni hao wazazi wa binti wanajua kila kitu
Daaah kuna kitu jmn uyo bint anajua kila kitu
Kumekucha. Arusha tena
Pole sana baba unaongea kwauchungu sana
Hili ni somo acheni kuchezea watoto wa watu! Familia nyingine sio nzuri!
M/MUNGU Ilazeroho yamarehem mahalipema peponi pole kwafamilia watajulikana tu
Kuleni sana rushwa kwa damu za watu ila kumbukeni na nyie mna uzao
Jeshi la polisi waliwezaje kumuachia huyo binti ambaye angetoa ushahidi wa nini kilifanyika,askari hao kwa kweli ni dhihaka na ingefaa hata huyo mkuu wa kituo aachie ngazi na hao wengine wote walioenda eneo la tukio,kwanini polisi mnajidhalilisha kwa kiwango hiki kama kweli ni watu wenye mafunzo kwa kazi hiyo!
Tulia dada hapa kuna sintofahamu. Kama unakula ugali wako vizur dada tulia mengine tumwombe Mungu tuu😢😢
Nawe umeanza uongo! Nani kakwambia kaachiwa?
@@danieljoseph1610 nimeona na kusikia kwenye video sijui unachoongea hapa ni kitu gani
@@angelnicholaus9248 hajielew kabisaa 😂😂😂
Akamatwe demu si kaona tukio Zima
Pole sn Baba yng ,Mungu akuteteee ,akupe faraja,kila aliyelitenda hili Mungu wa mbinguni akujibu,na walione kwa macho
Mlivyofanya ipo siku mtafanyiwa taratibu miaka 3 haitopita
😭😭😭😭dunia simama nishuke kama wamemuua siyo haki wangempeleka police tu
Pole sana, Ila haki ya dami ya mtu Haiwezi kupotea. Mungu wa mbinguni Awalipie kisasi kabisa, ikiwa ni kweli kijana kadhulumiwa uhai.
Haki ichipue kabisa Kwa Jina La YESU
Yeesu nimeskia daraja la Mungu nikashtuka nlijua wamewatumbukiza kule mtoni na lilivyo refu😭😭
Upelelezi utanzia apo kwa uyo mwanamke watakamatwa
Jaman kijan wa watu mzuri jmn asa inamana hatatongonzwa ten huyo mtoto wao washenzi San na hao maskari ndo mana wakistafu wanakuwa wana laana hao mungu atawalipia baba😭😭
Usikubali kama Sheria haiwezi kuchukua hatua Fanya unavyoweza huyo Binti kama hataweza kesema ukweli na yeye afe kwa njia ya imani
Inalillahi wainailahi rajuun. Duu mtihani Allah atujaaliemwishomwema
Familia ya Mwanamke ihojiwe Kwa Kina
Mmhhh AISSEH poleni wafiwa jamani roho Inauma mtoto mdogo kumtoa uhai Hivi kweli daaaaa😢😢😢😢
Neno subra lina maana kubwa sana. SUBRA
Poleni xana wanafamilia, mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu Cha kuondokewa na mpendwa wetu, mwenyezi Mungu akaonyeshe njia pasipo na njia.Mungu simama na Baba wa marehemu.,,,,,😭😭😭
Huyo walikuwa wamuozeshe achukuwe moja kwa moja kulikoni kumuwa siyo mtoto huyo kutaka mwaname anaweza hizo kazi ladhima akimbiye kwao anapenda bwana huyo binti 😅😮😮😢😮 18:20
Hatari basa 😢
Mungu awape wepesi Familia poleni wote wafiwa Mungu akasimame na kila nafsi iliyo husika kwenye njama adi mauaji
Tanzanian bhnaa 😢😢 mbona yemezidi hvyo
Amenifurahisha hapo kwa namna ya imani na hataki kuulizwa imani gani, nafikiri nao wapate uchungu kama walivyofanya wao
Justice for jovin 😢😢😢😢😢huyo Dada na familia zikamatwe police tendeni haki achen ubabaifu
Inauma jaman kijana mdogo
Kam kijan alivyo kuwa anajiuwa huy bint sialikuwa hap kwanin asipige kelel huy kijan aje kupewa msaad asijinyonge hapn mchezo mzima huy bint anajuwa kwanin asipig kelel na ninan kamfunga na wakat kijan kasha jinyong ni ivii family ya huy dad inahusika moja kwa moja 😢
Yaani polis huwa wanajizalilisha na kujiondolea heshima na imani kwa raia
Yaani siku ya kwanza fujo cosovo
Yapili kifo mmh sio poa
Wakwanza kueleza ni mtuhumiwa
Alie hai, aeleze vizuri
Mwanzo.
@@kinondoni4668 pamoja na wazazi wake
@@paskaziasholla7471 waa siku ya fujo
Sio mmoja walikuwa
Wengi. ALL.
@@kinondoni4668 ujue walikuja kwania yakuuwa tu hata wangemkuta kwao wangetimiza nia yao kiukweli nimeumia sana sana
@@paskaziasholla7471 sheria itumike haki iwekwe wazi. Pole sana wafiwa
Baba ifike mahakamani
Usijalie uuuwaji huo. Haupendezi
Ng'oo
Bila kupepesa macho familia ya huyo bint ndiyo iliyomuua huyo kijana so sad . Na huyo bint anajua kila kitu , apelekwe polisi akaisaide.
Dah poleni sana mama familiya jovin
Mungu yupo Damu ya mtu aipotei pole sana wazazi
Jamani jamani jamani' Binadamu tumegeuka Wanyama yarabbi
Kweli kabisa binadamu saivi Kama wanyama huwezi kuiba mtoto wa kike unaenda kumtumia wakati hujajua uchungu wa mtoto
@@AyubuFumbuka dooh!!!!!
Kwani kamuiba au walikubaliana? Binti kama binti kwanini awe mwepesi kukubali kukalishwa geto kipindi chote bila kushtuka kuwa nyumbani watamfauta??? Haya ni mapenzi ya watu wawili hawakutakiwa kumuua huyu kijana damu itawalilia sana....
@@stellamsokwa6785 umesema kweli my
Albadili inawahusu
Ila jamani kweli maaskari wetu kuweni na huruma tendeni haki hii picha hata si nzuri hv kweli mtu ajinyonge alafu huyu afungwe mikono na kweli upumbavu huyo.
Sasa kama alifungwa na huyo mwanaume baadae ndipo aksjinyonga jee muhimu uchunguzi ufanywe na ahojiwe huyo mwanamke
Tusiegemee sana kusikiliza upande mmoja. Pande zote mbili zisikilizwe. Watu wa arusha mi nawajua sana kwa kutunga maneno.
Mbona lawama kwa askari sasa
Mimi nilishaga wai kusema. IPO sababu ya selikali kuwa makini na maeneo haya . Arusha,moshi ,bukoba, Mara, nisehem ambazo zinawatu wengi hawasamini uhai wa mwingine na hofu ya mungu nindogo sana nk
Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun 😢 Tanzania 🥺🥺🥺
😭😭😭😭😭
Duh inauma sana jamani huyo binti na familia yake ndio watuhumiwa wa kwanza police mtende haki sio kupotosha ukweli
Pole sana baba,damu ya mtu haipotei bure
Baba pole, huyo Binti amehusika kabisa uwekewe chini ya ulinzi
Mambo mazito aya 😢😢😢😢😢😢😢 ukweli binti anatakiwa hawe ndani kabisa police jamani tendeni haki jamani sasa hawa walikuwa wawili vip mmemuachia Msichana wakati yeye ndo agewaeleza kilichotokea ni nini mh nigekuwa mimi kweli nisigezika mpk kieleweke yani pagechagamka tu 😢😢😢😢😢 😢😢😢😢
Kila siku Arusha jaman😭😭😭😭
pole sana babaMUNGU ndo mlipa kisasi
Pole sana kiukweli inauma
Mm huyu binti simlaum Mana yy ndo mwenye maumivu mkali ila Hana Cha kufanya coz kapoteza mpenz wake,
nahiyo postmontam polisi wasihusike sababu wanaonekana wanajua
Duh inauma sana jamani mbona tunachinjana kama kuku Mungu wa mbunguni ingilia kati.
Hawa watu wameua Akyoo mwenzamgu
Pole baba Mungu asimamie Hilo
Nendeni sehela mtapata haki ya mtoto kuliko kunyamaza naiwe fundisho poleni sana.
Wa dudu wamekuwa viube vibaya sana ila police walikosea kumuachilia uyo mwana dada yeye ndyo atatoa ushaidi 😢😢😢😢
Duuuh Pole Sana Mzazi
Binti wakumshikulia Sana Utaratbu Gan Wa kuhojiana Njee Ya Kituo Af familia Inatakaje make kabla Ya Dr Kutoa majibu Akiiih Police Tusingeenda Hospital Tusingeenda Haki Tungeitafta Wenyewe
Mtihani mkubwa huo😮 mungu atunusuru na mtihani huo munamuwa mtu ni ushenzi hii😢
Kuna dalili ya upumbavu kupitia kwa awa maaskari mh IGP awa maaskari wachunguzwe Kuna kitu Kama sio rushwa basi ao maaskari wanausika.
Uchunguzi ufanyike kwa kina
Ukweli ujulikane
Pole Sana baba wa mtoto wa kike pole Sana kwa galama ulizotumia kumtafuta binti yako hakika wewe Ni baba mwema. Kama hayajakukuta ya kutoloshewa na mwanao au mkeo. Vijana wa saivi wapumbavu utatoloshaje mtoto wa watu
Kwhy ni sahihi alivyopoteza uhai eh!
Wewe nimpumbavu
@@kianda973 nisahihi maana inauma mno usiombe yakukute vijana wa saivi wapumbavu utatoloshaje mtoto wa watu
@@masturasudi7394 Mimi siyo mpumbavu Ila yakikukua utaomba poa kutoloshewa Ni Jambo baya mno
Dah poleni
Binti afungwe jela kbs au awataje watuhumiwa anawajua kbs .
mabinti zetu jaman mh mnawasababishia shida sana wavurana hembu kuen nahofu ya Mungu
Hatari sana
Muulizeni huyo binti alofungwa ni nani alomfunga hiyo kamba???
Binti ksshiriki hilo ni igizo
Binti si rahs ashiriki kumuua wakati yeye alitoroka nyumban kwao kwa ajili ya huyo kijana anaonekana alikuwa anampenda. hapa itabidi Binti kuhojiwa aseme ukweli wasisikilize upande mmoja tu.
@@teddyelizabeth9358 Dunia imekwisha 😭😭
@@mwanahamisndarai1613 Ndioo
Jamani ARusha inatutixha Askar wa Aruxha embu kueni makini mbona mnatutisha kueni makini mbona tunaona mnazunguka
R.I.P dogo langu,,
serikal na polisi ninyi ni wazembe pia ni wavivu, upelelez wa dkk chache mda fanya mlolongo uwe mrefu
Hizo roho mbaya azitatusaidia wala kutufikisha popote jamani tubadilike ndugu wa binti watambue kuwa maumivu waliyosababisha kwa familia ya huyo kijana Mungu atawalipa kwa kikombe hicho hicho.
Mimi sishangai hao wameru wana roho mbaya sana
polen sana Allah awafanyie wepes🤗🤗😭😭💔
Poleni sana wazazi wa kijana!!
Mtihani mbona duniya inaenda kasi haya poleni wafiwa mungu awatiye nguvu
Poleni sana
Haya ndo madhara kuwapangia watoto wetu wanaume wa kukaanao au kuolewa wangewaacha tu waanze maisha
Sio kupangiwa shida Binti ni mwanafunzi
Rakinj na mabinti wetu wanatakiwa wajue wajibu wao kwanini alikubali kutoloka na mwanaume wakati anajujia nimwanafunzi? Nao wanatakiwa wachukuliwe hatua ili wajifunze kujielewa kwani mbona sisi tulisoma tukamali wanaume awakuwepo? Nao mabinti zetu aikuizi wanapenda Sana ngono bwana kwanini asikatae pale ilitakiwa wazazi washikiane tu Mana wote niwatoto
Mapenzi ya watu kila mtu kapitia, kwanini mme muuwa huyo kijana? Mme mkatili bure kijana wa watu jamani woi
Vunjen chungu yan kila aliyehusika na yeye afeeeeeeeeeeeeeeeee😅😅😅😅😅
Mshitakiwa wa kwanza ni binti ndipo wengine watajulikana
Haki itendeke
Je kweli rushwa haipo au
Binti aojiwe jibu litapatikana😂
Aliyeua kwa mpanga atakufa kwa upanga Inaonesha arusha kuua au kuuliwa is not big deal kwa ata wanavyosimulia mikasa yao
Baba pole Sanaa usikubali kuzika mpaka upate majibu sahii,huyo bint ashikiliwe na police haki hitendeke,babaa usikubali kabisa kupokea mwili kilaisi.
Yaani hiyo haina kupinga kabisaaa,kijana kauwawa aisee,watu wamekuwa wanyama mnoo,binti yao malaya na muharifu wamemuacha arudi nyumbani 😢😢
Pole 😢
Polen sana wafiwa
Tusali sana
Watu wakuroga sasa si ndo hao jamani? Mimi ukishirikiana na polisi kunidhurumu! Utajua hujui!
Polosi polisi polisi
R p c,,jastin masejo angalia vijana wako
Binti akupaswa kuachiliwa huru kwa sababu yeye ndo angeweza kutoa maelekezo yote.
Arusha ni wauaji wakubwa. Vifo havitaisha kwa sababu haki inazulumiwa na wala rushwa.
Hii kesi simple tuu kamat binti na wazazi wake funga ndani wawo ndio wahusika