Fahamu zaidi kuhusu YouTube TAX Info | Ulipaji kodi ya YouTube

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Mwezi mmoja uliopita Google waliwatumia TH-camrs wote Kupitia Suala jipya la ulipaji kodi kwa kila pesa watakyoikusanya inayotokana na Viewers kutoka taifa la Marekani. Hii inamaanisha inakubidi ujaze taarifa zako za ulipaji kodi ili uanze kukatwa Asilimia fulani iwe kama kodi
    FOLLOW ME:
    Instagram: / richstartz
    Twitter: / richstartz
    Facebook: / richstatz
    Email: rmaguluko@gmail.com

ความคิดเห็น • 33

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali Sana Kaka hili Somo Nimeelewa Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana

    • @penzamatirio7812
      @penzamatirio7812 2 ปีที่แล้ว

      nasisi ambao bado mnatushauri nini I'll tucikie malengo

  • @nyasimbotv8163
    @nyasimbotv8163 ปีที่แล้ว

    Nice kaka

  • @roxoustv5942
    @roxoustv5942 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana brother..kupitia wewe tunajifunza vingi sanaaaaa

  • @mkqualityit_technology3406
    @mkqualityit_technology3406 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @ejntv
    @ejntv 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice bro yaan nakufatiliaga sana nilikuwa naomba video inayokuja uelezeee kilakitu kuhusu Google adsense 💫💫💫💥💢💯

  • @nmctanzania
    @nmctanzania 3 ปีที่แล้ว

    Nilikua naisubiri hii Thanks

  • @yassirmohammed5067
    @yassirmohammed5067 3 ปีที่แล้ว +2

    🙏🚶

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 3 ปีที่แล้ว

    Daah inaumaaa maishahaya mpaka lini si kuibiwa ukoo

  • @noelgypsum
    @noelgypsum 2 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa naitafta sana hii

  • @pamtvburudika2077
    @pamtvburudika2077 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwann usianzishe darasa la kawaida kaka kwamba nikikuhtaji najua wap nakupata napata Maada tofauti na njia hii ya online, mm napenda kuwekeza online lakin njia hii ya kujifunza kwa youtube kunavtu nahc sivpati, nimefuatilia sana vpind vyako ila nimetokea kuvutiwa na kupenda e com ya kuuza music online na graphics napenda sikumoja nifike angalau kufanya biashara ya namna hyo, Ila nataman zaid kama ningeweza kupata nafasi hiyo ya face to face itakuwa ni rahc maana ile garama ya bando nikikuchangia naweza kujua haraka pia kuuliza nakujbiwa kwa wakati. Je ilo linawezekana?

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 ปีที่แล้ว

      Mambo gani ungetamani niyafanyie ufafanuzi zaidi katika Video zijazo ?

  • @maswi_magige
    @maswi_magige 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka week hii ndio nime faulu vigezo naomba msada tafadhali

  • @Elimishatv
    @Elimishatv 16 วันที่ผ่านมา

    Naomba unijazie nibalansi kodi

  • @fridaynews1397
    @fridaynews1397 3 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja kaka

  • @africanhappyadventure6951
    @africanhappyadventure6951 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini mkuu usifanye kabisa namna ya kuijaza hiyo form,,Naona ingekuwa poa sanaaa Kaka

  • @maswi_magige
    @maswi_magige 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mimi sina tin ya biashara ila nina nina tin ya leseni ya udereva je naweza kuiitumia

  • @Kichomi_og
    @Kichomi_og 3 หลายเดือนก่อน

    M naomba kuuliZa goglAdsns unaingiza card ipi ya benk ambayo inatakiwa ufungue?

  • @letasonslyvester
    @letasonslyvester 4 หลายเดือนก่อน

    da me nmeshindwa jinsi ya kusajili channel angu na ninashida kwel

  • @maarifadayle1897
    @maarifadayle1897 3 ปีที่แล้ว +1

    Vipi kama chanel yangu bado haijaingia kwenye mfumo wa malipo, pia nahusika kwenye hilo?

    • @ejntv
      @ejntv 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanahusika watu wa malipo tu

  • @sizonitvtz1028
    @sizonitvtz1028 3 ปีที่แล้ว +1

    bro kwa yule youtuber anae anaza itakuaje

  • @norbypoltv
    @norbypoltv 3 ปีที่แล้ว +1

    𝚂𝚑𝚞𝚔𝚛𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚊𝚔𝚊🙏🙏

  • @Elimishatv
    @Elimishatv 16 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba yako kaka

  • @tution5113
    @tution5113 2 ปีที่แล้ว

    Ungeleta tutorial ya jinsi ya kujaza

  • @jonathanmlyansi9546
    @jonathanmlyansi9546 3 ปีที่แล้ว

    samahi ni software gani itakayo nisaidia kwenda live TH-cam na niweze kuweka graphics zangu vizuri kama logo matangazo maandishi yanayotembea kwa ajili ya nfo

  • @Zetiboy
    @Zetiboy 6 หลายเดือนก่อน

    bro mim naitaji namba yako