Hiki ni kiasi cha FEDHA tulichoingiza baada ya video hii kupata views milioni 1!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 668

  • @beatricengalubutu7008
    @beatricengalubutu7008 4 ปีที่แล้ว +29

    Ambao atutarukisha matangazo kuanzia leo kwa ajili ya mapenzi ya sns tujuane 😁😍😍😍

  • @salumshakespeare
    @salumshakespeare 4 ปีที่แล้ว +49

    You're talk of town guys!!! Congrats sky na team yk

  • @donprinceabselhalims7421
    @donprinceabselhalims7421 4 ปีที่แล้ว +54

    Wachache sana wenye moyo wa dhati kuliweka wazi hili jambo ila Mungu akubariki naimani waelewa wamekuelewa na wabishi waendelee kubisha mwisho ifahamike online business zinahitaji elimu na utashi wa kutosha kuziendesha -Mungu akubariki kaka

    • @hamisijumanne4137
      @hamisijumanne4137 ปีที่แล้ว

      Ata mm nilitaka kujua ili maana nashindwa kuanzisha akaunti yangu ajili yakushundwa kujua kipi kinacho endelea

  • @lolanimals7206
    @lolanimals7206 3 ปีที่แล้ว +15

    KUMBUKA : Hiyo $223.50 ni kwa video 1 tu. Kwa mwezi anapost video zaidi ya 1. Ikitokea video 10 tu zikaenda viral kwa mwezi huo zikapata zaidi ya views 1m, unaweza kufanya kadirio la chini tu $200 × 10 = $2,000 (ni makadirio tu. Kumbuka hulipwi kwa kuangalia Video 1 tu. Hata video uliyopost 2018 kama bado unatazamwa pia inajumlishwa mwezi huo kutokana na views wapya walioiangalia. Bytheway CPM yetu bado ipo low sana! Inabidi kukaza buti sana. Thanks kwa maelezo mazuri brother SKY. Blessed!

  • @mohdapper
    @mohdapper 4 ปีที่แล้ว +66

    Dunia ilihitaji sana watu kama @sky congratulations brother 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 like this aone tunavyokubali anachokifanyaa.... lets goo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @femexpress7857
      @femexpress7857 4 ปีที่แล้ว

      Tafadhari subscribe youtube channel yetu kwa habari na matukio kemkem
      th-cam.com/video/oezA9f9MKMo/w-d-xo.html

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 4 ปีที่แล้ว +21

    Long time I wished to know that !! Thanks very much simuliz!! Always l perfect 👌!!

  • @scolabahame2214
    @scolabahame2214 4 ปีที่แล้ว +31

    Oooh mashalallah mie ndo nimejua leo hongera sana bro sky nawapenda sana sns mwenyezi mungu awarinde inshallah 🙏🙏😘

    • @femexpress7857
      @femexpress7857 4 ปีที่แล้ว

      Tafadhari subscribe youtube channel yetu kwa habari na matukio kemkem
      th-cam.com/video/oezA9f9MKMo/w-d-xo.html

  • @gramsraymond595
    @gramsraymond595 4 ปีที่แล้ว +121

    MPENI LIKE ZA KUTOSHA SKY

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 4 ปีที่แล้ว +8

    Big up SnS kwa habari za uhakika na kwa kutujuza mambo ya kweli,na pia shukran kwaww SKY kwa kujielewa na kuifanya kazi kwa ueledi mkubwa,nawakubalini Sana sana.

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 ปีที่แล้ว +46

    Napenda unavyotangaza kaka mtangazaji❤❤❤😗😗😗hongereni😙😙😙

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +22

    Ooh thks sana brother nimepata knowledge through this video shukran sana 🙏. One day am gonna have 1m views Inshaallah🙏

    • @sammotv6920
      @sammotv6920 4 ปีที่แล้ว

      Inshallah subscribe kwangu na nije kwako tupeane support muniraa

    • @letsenjoy631
      @letsenjoy631 4 ปีที่แล้ว

      Munira hjmb

  • @shakssotaeshaks7401
    @shakssotaeshaks7401 4 ปีที่แล้ว +73

    Sky Sky we ni no1 presenter 4 me all the best my bro

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว +10

      Nashukuru sana mzee

    • @godfreyjoseph802
      @godfreyjoseph802 4 ปีที่แล้ว +1

      @@SimuliziNaSauti nitafute sky..0714990811

    • @georgesamwelchacha7680
      @georgesamwelchacha7680 4 ปีที่แล้ว +3

      @@SimuliziNaSauti
      Hii ya kwamba viewers wanaibiwa au kustopishwa imekaaje? Je ikistopishwa huwa haisomi viewers nchi zote

    • @anthonykamkolwe5766
      @anthonykamkolwe5766 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukweli mtupu.....

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 ปีที่แล้ว +1

      @@SimuliziNaSauti duuh aisee umefanya kitu chakipekeee aiseee big up sana mwamba

  • @elizabethsakina9987
    @elizabethsakina9987 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwahiyo jinsi ninavyo watch round up over and over again tena ninaishi America 🇺🇸 ninaongeza pesa kwa sns🥰 🔥🔥🔥 and I won’t skip matangazo tena

  • @gavasa24
    @gavasa24 3 ปีที่แล้ว +5

    Habari yako kiongozi,
    Ninahamu kubwa ya kufanya kazi na SNS kwani natamani siku moja kuwa youtuber mkubwa TANZANIA,
    Natanguliza Shukran.

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว +23

    Hongera Sky 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @happybraysoni7690
    @happybraysoni7690 4 ปีที่แล้ว +62

    Dah tuangalie na matangazo jamani tukuze dau

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว +9

      ha ha, tutashukuru

    • @marcelmarco5182
      @marcelmarco5182 3 ปีที่แล้ว +1

      @@SimuliziNaSauti KAKA NAOMBA MSAADA JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT , WATSSAP 0788562260

    • @ayoubmakele4739
      @ayoubmakele4739 3 ปีที่แล้ว +1

      @@SimuliziNaSauti Nakubali

    • @officialprotas
      @officialprotas 3 ปีที่แล้ว +1

      wanafunguaje hiyo akaunt youtubeeee

    • @user-ot2io4cy6w
      @user-ot2io4cy6w 3 ปีที่แล้ว

      Kweli aiseee...

  • @kakagranto135
    @kakagranto135 4 ปีที่แล้ว +5

    The best explanation, 🔥🔥 🇰🇪🇰🇪

  • @user-nq5bl7kc1p
    @user-nq5bl7kc1p 4 ปีที่แล้ว +24

    Daah yaan umenielezea lakin tangazo limekuja nika skip tena....😀😀kwel mm ni m'bongo

  • @welcome-qk6ps
    @welcome-qk6ps 4 ปีที่แล้ว +9

    Safi asante kutuelimisha mola akuzidishie nimekupa like zangu

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 ปีที่แล้ว +9

    Asante kwa kutujuza 👏👏😍

  • @minhokid
    @minhokid 4 ปีที่แล้ว +69

    Daaaaaaah kumbe sio NYINGI AISEEEE, kumbe tutakuwa tunaview mara nyingi yani kila siku SnS

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว +19

      Umeona ehh! Shukrani sana

    • @profgnjhandsome5590
      @profgnjhandsome5590 4 ปีที่แล้ว +1

      @@SimuliziNaSauti naomba uwatch ngoma yangu uniambie vile nitapata vewerz wengi plz pia nitakua nikitizama hizo CLP ndani ya video zenu kama hii video Ina CLP mbili za face book.

    • @kisokatvonline3704
      @kisokatvonline3704 4 ปีที่แล้ว +1

      @@SimuliziNaSauti bro nimependa mafundisho yako namba zako au nitafute kwenye hii 0745640327

  • @vampirecovid2541
    @vampirecovid2541 4 ปีที่แล้ว +36

    We ni genius

  • @irjackjackson846
    @irjackjackson846 4 ปีที่แล้ว +4

    I was waiting for this information since long time

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว +7

    Asante kaka sky umenifumbua leo 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @nicodemasthomas9511
    @nicodemasthomas9511 4 ปีที่แล้ว +4

    Thank you for your education👏👏👏

  • @alfredidanda738
    @alfredidanda738 4 ปีที่แล้ว +5

    Thanks for this..

  • @benjamincharles3013
    @benjamincharles3013 4 ปีที่แล้ว +1

    I once said, bt let me say it again.. #SnS, you are the next CNN. Sky ww ni mkali sana bro. Una passion na hii kitu. Much congrats bro! Leo ndo nimeelewa vzr hii ishu. Umeelezea vzr sanaa👏👏👏

  • @mirozefifty2256
    @mirozefifty2256 4 ปีที่แล้ว +36

    CPM ya Tanzania ni 1.57

    • @successr1617
      @successr1617 4 ปีที่แล้ว +3

      Mmmh ina depends mda mwingine inakuwa hadi 0.89

    • @slayingtee6044
      @slayingtee6044 4 ปีที่แล้ว +3

      Duu

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 ปีที่แล้ว +3

      @@successr1617 Sasa kwanini wanaishusha au ndo tunaangalia sana video za TH-cam so, wanapandisha kwa sehemu ambazo TH-cam haitambi ili kuwapa hamasa wa maeneo hayo...

    • @stevenmaketa8051
      @stevenmaketa8051 3 ปีที่แล้ว

      Mmh je tufanyje ili vedeo ipate pesa nyingi?nisaidieni wadau

  • @musaamuj
    @musaamuj 4 ปีที่แล้ว +2

    Tafadhalini msiruke Tangazo ili waingize ugali wao kwa kazi nzuri ya habari Team Sky wanatuletea

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +7

    Best of luck Guys @SNS

  • @ramadhanyusuph7633
    @ramadhanyusuph7633 3 ปีที่แล้ว +11

    BROTHER UNGEKUWEPO MWALIMU WANAFUNZI WOTE WANGEFAULU VIZULI SANA NA ALAMA ZA JUU SANA TUMEELEWA NA TUMEINJOI VYA KUTOSHA SANA

  • @chrisfiston1213
    @chrisfiston1213 4 ปีที่แล้ว +5

    Thank you for the information kabisa...alafu nikiuliza,inakuwa mtu lazima amalize video

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 4 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante kwa kutufahamisha...nimejifunza sana nisiyoyajua awali...SNS for life.

  • @rk_kore
    @rk_kore 4 ปีที่แล้ว +6

    I like the Way @sns replies some comments of their fans, it's shows really how you appreciate our support as fans to you guys
    And we appreciate your work too @sns

  • @skyboe767
    @skyboe767 4 ปีที่แล้ว +5

    Umetisha sana bro

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 3 ปีที่แล้ว +2

    Sky worker wewe ni fundi Sana upo vizuri Sana leo nimepata kitu

  • @anatorydesdery4654
    @anatorydesdery4654 4 ปีที่แล้ว +4

    Sky is the number ONE radio and TV presenter in Africa

  • @ezzo47s16
    @ezzo47s16 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa swali ni kwamba uki withdraw hiyo hela alafu watu wakawa wanazidi kuview inakuaje ?
    And swali how do you covert hiyo into cash yani uipate mkononi?

  • @stellamayaya7524
    @stellamayaya7524 4 ปีที่แล้ว +2

    Great content kwa sasa you guys are the best

  • @jpkkakudji9402
    @jpkkakudji9402 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi niko Canada apo nafatilia sana TH-cam kk mungu akulide sana Mze baba 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother we ni LOYAL SANAAAAA... Watu wa ulimwengu wa TH-cam wanafichaficha Sanaaaaa... Asante Brother...

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana

    • @hamoudcreator6343
      @hamoudcreator6343 4 ปีที่แล้ว

      @@SimuliziNaSauti Daaahh!! Dollor 1 ndogo Sanaaa.. Tungekuwa hapo Poland TUUU.. Tungekuwa Matajir na SNS yetu... Hizi articles naweza kuzipata wapi Bo Sky??... Najua kuna watu hawaipenda hii video. Wabinafsi wa Maendeleo...

  • @brownmwaibole8414
    @brownmwaibole8414 4 ปีที่แล้ว +5

    Thanks Boss sky

  • @johnsilima6789
    @johnsilima6789 4 ปีที่แล้ว +21

    Kama umeelewa alicho elezea Sky gonga like yako hapa aone kama ameeleweka kwa kila MTU.

  • @Footworknow
    @Footworknow 4 ปีที่แล้ว +4

    best youtube channel #sns

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 4 ปีที่แล้ว +13

    Dha kumbe hakuna kitu bongo dha lakini USA TH-cam Superstar mbona wanahela sana dha

    • @rehemashemliwa9962
      @rehemashemliwa9962 4 ปีที่แล้ว +3

      Kwa sababu wanatazamwa na inch nyingi zenye cpm kubwa

  • @ben.breaker
    @ben.breaker 3 ปีที่แล้ว +4

    Bless up bro 🙏🏽

  • @mashabizzy9284
    @mashabizzy9284 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana best presenter kwa kushea hii

  • @jacksonlusagalika
    @jacksonlusagalika 4 ปีที่แล้ว +2

    Sky asante sana kwa kushare hii kitu maana TH-camrs wengi hawapendi kushare hii habari

  • @salimaziz8573
    @salimaziz8573 4 ปีที่แล้ว +9

    Safi sn brother yaani ilikua kila siku nataka nijuwe pamoja sn

  • @ltlmedia8480
    @ltlmedia8480 4 ปีที่แล้ว +5

    Duh aisee kwakweli poleni sana na pia acha kuanzia leo tuanze kuangalia na matangazo yanayokuwa katika video zenu ili walau kukuza kiasi cha pesa mnachokitegemea aisee mie ni mdau wa SNS na pia naomba saaana BROTHER SKY NAOMBA UJIBU WALAU EMAIL YANGU🙏🙏

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว +1

      Shukrani sana Andrew, nitaiangalia tena

  • @gaudencemaumba7594
    @gaudencemaumba7594 4 ปีที่แล้ว +1

    Utulivu 100%
    Busara 100%
    Umakini 100%
    Strategy za Utangazaji 100%
    Nikiwa nakuckiza unasound kama Millard iv kwa mbaliii.. KeepTheGudWorkAliveBro🔥🔥🔥
    #TUTAVIEW🎞🎞

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 ปีที่แล้ว +3

    Thxs for information

  • @dyzzermedia4531
    @dyzzermedia4531 4 ปีที่แล้ว +3

    Good bro ur so really

  • @shahamtindo
    @shahamtindo 4 ปีที่แล้ว +9

    Umetisha man

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 4 ปีที่แล้ว +2

    Swali langu ni subscribers wangapi ukiwa nao kwenye account yako ndo TH-cam wanaanza kukulipa.Asante kwa uchambuza kaka sky.

  • @irjackjackson846
    @irjackjackson846 4 ปีที่แล้ว +3

    God bless you my bro

  • @edwalks4922
    @edwalks4922 4 ปีที่แล้ว +2

    Brother ila hapa hujafafanua nin maana ya estimated Ad revenue ? Je ni makadirio ya mapato yatokanayo na matangazo?

  • @husnafund3596
    @husnafund3596 2 ปีที่แล้ว

    Thanks for this

  • @nellywanjiku876
    @nellywanjiku876 4 ปีที่แล้ว +4

    Congratulations

  • @brownalex7280
    @brownalex7280 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana mwana familiya sns umenielewesha nilikuwa naham nacho kukijuwa

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 4 ปีที่แล้ว +27

    Unajua kma kwasasa akuna chanel ninayoipenda nakuikubal zaidi ya SNS

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว +3

      Tunashukuru sana

    • @musers9699
      @musers9699 3 ปีที่แล้ว

      uyu jamaa ni moto na sio kwa ubaya nina muda sijamcheki jembe wangu Ayo sista mmoja alinishauri sijawahi jutia mazee

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 ปีที่แล้ว +2

    Safari bado ni ndefu ila tutafika tu Sky hongera kwa hilo
    Nikusifu tu wewe sio mchoyo na unapenda na wengine wajue asante sana
    Mungu akubariki sana
    SnS DAIMA.

  • @iHeizar
    @iHeizar 2 ปีที่แล้ว +1

    All the way from Denmark tunaendelea kunstream !!! Hakuna kulala

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
    @kwayaviwawaparokiayabashne9281 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Sana wewe mwenyewe na familia yako

  • @wazirihashim5284
    @wazirihashim5284 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndani ya muda mfupi Video hii pia itakupa views milion 1 au zaidi bro, kwasababu umetoa madini mengi sanaa🙌🙌🙌 @SnS

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว +3

      Ni kweli kabisa, wengi wanapenda kujifunza

  • @mtuwamungusethoskar8212
    @mtuwamungusethoskar8212 3 ปีที่แล้ว +1

    Nime angaika Sana kulijua hili.mana nataka niachie nyimbo zangu.asante kaka

  • @Norr7878
    @Norr7878 4 ปีที่แล้ว +3

    Wow thank you 🙏

  • @immasanga5713
    @immasanga5713 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anaeleza vizuri sana mtu usipo mwelewa hy jamaa ww kichwa ngumu 💯✅✅

  • @austindaud8926
    @austindaud8926 4 ปีที่แล้ว +1

    Waandishi wote wangekuwa km sky bongo maboya wangepungua...big up bro!!

  • @allenonesmo390
    @allenonesmo390 4 ปีที่แล้ว +13

    Nimepata elimu aseee

  • @pizzaz4333
    @pizzaz4333 4 ปีที่แล้ว +11

    Hongera SnS! 👏🏿👏🏿 I’m surprised the pa is so low though

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว +3

      Yes of course, we really need to work hard to see the money

    • @pizzaz4333
      @pizzaz4333 4 ปีที่แล้ว +2

      SnS you need other income streams why not charge monthly subscriptions for some of your content? Mimi ningelipa

    • @ireneisack6671
      @ireneisack6671 2 ปีที่แล้ว +1

      Me na wapenda sn sns mko vizuri sn

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 4 ปีที่แล้ว +1

    Broo big up sana 💯✊🏽umetusanua vzur sana sijawah kujua hii kitu watu wananufaika vip kumbe ndo mchakato uko ivo bless up tuko pa1 mpk cpm ipande😁 asante kwa kutupa infor na kutuelimisha pia uko tofaut sana na media nying hawatuelimish wanatupiga sound za kusubscribe tuu🤔

  • @jumasuleiman5443
    @jumasuleiman5443 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah nmefikiria yope remix yenye 85milions views mpk sahv alaf nikapiga mahesabu kwa views 1m kwa sky alivyo pata 500k ndo ukiizidishia iyo 500k kwa 85M Views hela yake inayopatikana 🔥🔥🔥🔥ni balaaaa aise billions of money

  • @Kokomediagroup
    @Kokomediagroup 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana ndugu kwa kututoa ukungu nachoni uchambuzi umejieleza cizuri 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @r_media8022
    @r_media8022 4 ปีที่แล้ว +1

    Dhuuuu hadi mm kichwa kigumu ninekuelewa ww Noma sanaaa Ebu weka #Like yake hapaaaa

  • @maembamwita5874
    @maembamwita5874 4 ปีที่แล้ว +2

    Bro sky nakupongeza kwa kaz nzurii unayofanya tunaomba utuletee list nzuriii ya msanii wetu diamond platnumz ili tujuwe ili wasiendelee kumlinganisha na wengne

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuwa loyal sana kuto ku skip matangazo since niliposikia kwenye smart talk ukiongea na mxcarter jinsi matangazo yanavyoipatia pesa channel....... I love sns 💪🏽 #dont_skipe_advertisment

  • @mariamlewa8822
    @mariamlewa8822 4 ปีที่แล้ว +2

    thanks bro

  • @martinemati7969
    @martinemati7969 4 ปีที่แล้ว +1

    Very interesting. I will never skip the ads ...for u!!!!!
    I m a big fan.
    Watching from Belgium.

  • @davidkasinde9423
    @davidkasinde9423 4 ปีที่แล้ว +3

    Daah tunashukulu Sana sky mb zetu uwa zinaishia kweny interview za akina kitenge,Beyonce Wa buza ,Amber lutty na miss Bella baada ya kuja kualewesha vizur uku

  • @maishanisasa7809
    @maishanisasa7809 4 ปีที่แล้ว +5

    Nikajuaga ukipata 1m views ushatoboa big up sns

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว +4

      Ha ha ha, sio kweli, asante sana

    • @mpondamedia2416
      @mpondamedia2416 4 ปีที่แล้ว

      @@SimuliziNaSauti ah ah ah hata mimi doh ! tunakushukuru kaka mwenyezi mungu akuzidishie umri mrefu wenye manufaa

  • @Burudaniburudani127
    @Burudaniburudani127 2 ปีที่แล้ว

    Thank you

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 4 ปีที่แล้ว +4

    Duuh kwa hiyo YOPE imepiga zaidi ya 130Millions $ ??? Duuuh Simba noma kweli ni matata

  • @hemedsadick7567
    @hemedsadick7567 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupongeza sana kwa Video hii Sky, hapa bongo watu hupenda kila kitu

  • @mngoniTv-bw7rq
    @mngoniTv-bw7rq 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kk

  • @mediatalks7198
    @mediatalks7198 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana ❤️

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 ปีที่แล้ว +2

    Respect 🙏🙏🙏

  • @kusinidigital2000
    @kusinidigital2000 3 ปีที่แล้ว +1

    On point....

  • @hafsaali4423
    @hafsaali4423 4 ปีที่แล้ว

    Du pole sana mimi najuwa kabisa mtu akipata hawo milioni moja basi kashatobowa maisha kumbe ndiyo safari inaanza basi tu ila shukrani kwa kutuelimisha mungu akulipe kakayetu

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  4 ปีที่แล้ว

      Asante sana

    • @justineonline6556
      @justineonline6556 4 ปีที่แล้ว

      Lakini hi Ni kwa video moja Sasa tuchukulie umeeka video 70 unadhani utakuwa umeingiza pesa kiasi gan ? Kwahiyo TH-cam inalipa , lakini niwashukuru Sana sns kwa kutujulisha Hilo ,maana wengi tulikiwa hatujui , ila Sasa tunajua ... tunamshkuru Sana wakuu ,

  • @freddieelice6377
    @freddieelice6377 4 ปีที่แล้ว +4

    Ooo, asante kwa elimu

  • @krisongalax6278
    @krisongalax6278 4 ปีที่แล้ว +3

    Duuuu kazi ya hasara kweli😭😭😭

  • @alfredidanda738
    @alfredidanda738 4 ปีที่แล้ว +9

    Nmejifunza leo

  • @hassan0256
    @hassan0256 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kitu huwa mpaka leo sielewi, hivi Sky munalipwa kwa views wanao display tu au nawale ambao wamezidi ile maximum ya views 3 kwa siku kwa kila kifaa ? Maana watu wametumia bando sasa hata kama tumezidisha si inabidi ulipwe na zile views ambazo hawajazidisplay kwenye video yako ?

  • @jamesstephen3450
    @jamesstephen3450 4 ปีที่แล้ว

    Safi sanaa nimeelewa sanaaa hongera snaaa unajua kuelekeza sanaa i like it

  • @florianscarion5085
    @florianscarion5085 4 ปีที่แล้ว +11

    Super Sky_tanzania 👍

  • @ujenezasandrine6854
    @ujenezasandrine6854 4 ปีที่แล้ว +11

    Wakwanza Leo jameni

  • @doctorickyz6515
    @doctorickyz6515 4 ปีที่แล้ว +1

    Background music inaitwaje?

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว

    Woow thanks brother sky umetujulisha kuusu TH-cam tulikuwa atujui

  • @amanistarz1234
    @amanistarz1234 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana