SNAKE BOY | ep 15 | SEASON TWO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ค. 2024
  • Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    people/CLAM-...
    #clamvevo
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1.9K

  • @Chrizabizzy1
    @Chrizabizzy1 15 วันที่ผ่านมา +8

    Mkenya wakwanza hapa nipeni like mbili tu.

  • @user-qn3ul4ju4x
    @user-qn3ul4ju4x 15 วันที่ผ่านมา +134

    Wario furahi Zinga kupewa na kitu kizito like apa pls

    • @toz-b
      @toz-b 14 วันที่ผ่านมา +1

      Nimefurahi ila nahis atarudi😊

    • @user-qq4zr3sk2g
      @user-qq4zr3sk2g 13 วันที่ผ่านมา

      Zinga anakula nyama ya vijakazi we endelea kufurahi maana me nilinuna atamuachaje mshangazi peke yake 😂😂😂

    • @ZaynabHamad-ub8jy
      @ZaynabHamad-ub8jy 12 วันที่ผ่านมา

      Amekufa vibay

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 11 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @yussufdior3300
      @yussufdior3300 9 วันที่ผ่านมา

      Zinga Jau Sana Ule Atarudi Tu

  • @user-lo6sy9zz2f
    @user-lo6sy9zz2f 15 วันที่ผ่านมา +50

    Yani hii movie mwakatobe ametafuna kuku Sana sihii movie ikiisha kuku nao watakua wameisha ak nawapongeza kwa Kaz nzuri from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 15 วันที่ผ่านมา +3

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @JaphethTumbu-ff3kn
      @JaphethTumbu-ff3kn 14 วันที่ผ่านมา +3

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @ruppyphinna4809
      @ruppyphinna4809 14 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 15 วันที่ผ่านมา +20

    La communauté congolaise 🇨🇩 vous dit merci 🙏 pour le travail fourni. L’équipe clam recevez mes sincères félicitations 🎊🍾🎉🎈.

  • @amadimbappe5376
    @amadimbappe5376 15 วันที่ผ่านมา +115

    Habar zenu mupo salama vevo tunashkru kwa kutupa kazi kwa muda naombeni lake

  • @user-nz3du9mh3j
    @user-nz3du9mh3j 15 วันที่ผ่านมา +90

    Nimekuwa Wa kwanza from Dr congo nipe like zangu kama unamkubali vevo ❤❤

  • @bramwelsimiyu4211
    @bramwelsimiyu4211 15 วันที่ผ่านมา +7

    Tunangoja BIG BOSS season 2...wanaokubaliana na mm gonga like

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 15 วันที่ผ่านมา +13

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @sergesntunzwenimana
    @sergesntunzwenimana 15 วันที่ผ่านมา +66

    Nipeee like zangu Kama unapenda snake boy Mimi wakwanza❤❤❤❤❤

  • @user-eb7oi2bx6s
    @user-eb7oi2bx6s 15 วันที่ผ่านมา +46

    Mwakatobe ww ni the best sana ukicheza movier za clam lakini zako mwenyewe zipo chini ya kiwango sana 🎉😊

    • @user-qw1ej7ny5i
      @user-qw1ej7ny5i 15 วันที่ผ่านมา

      Sana

    • @HalimaKibarua
      @HalimaKibarua 15 วันที่ผ่านมา

      Inategemea na story ilivotungwa story zingine zinakuwa za kawaida

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 14 วันที่ผ่านมา

      Umesema kweli ata na wenzake ni ivo ivo

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 13 วันที่ผ่านมา

      Kwasbb story ya boss wake😊

    • @JosiaKimaro
      @JosiaKimaro 13 วันที่ผ่านมา

      Umesema ukweli

  • @josephpower7709
    @josephpower7709 15 วันที่ผ่านมา +13

    clame unatisha , apa nafata filamu sasa musimu wa kwanza ilikuwaka comédie zako , apa unatisha , endeleya ivi Congo APA tunaona kitu kutoka kwako sasa, courage mingi, ulitosha wapi uyu jama tena, alikuwa akicheza zamani sana,

  • @user-pg6db8jl2y
    @user-pg6db8jl2y 15 วันที่ผ่านมา +80

    Yaan mnaboa mijitu mizima kila mtu anapambna kusema nimekua wakwanza et naomba like,Sa izo like ziwasqidia nn labda kama sio upumbavu na utoto unasumbua vichwan mwenu,badala ya kujadiliana kuhusu hii movie na tumpee like clam Maan ndo muhusika Lakin nyinyi mnapambn kuomba like sjui kwakipi mlichofanya mpk mpewe like.zamwamwa nyie

    • @ChuichuiJozey
      @ChuichuiJozey 15 วันที่ผ่านมา +2

      Labda kuna soko la kuuza likes😂😂😂😂

    • @maroamarwa5536
      @maroamarwa5536 15 วันที่ผ่านมา +2

      Leo nmepatana mtu anafikiria kama binadamu hongera sana kaka

    • @zaifatymohamedy4126
      @zaifatymohamedy4126 15 วันที่ผ่านมา +1

      mm pia wananikera mambwa sana awa😏😏😏

    • @user-ub6ef3lm5u
      @user-ub6ef3lm5u 15 วันที่ผ่านมา +1

      Me pia nakerekwa sana, mala me kutoka congo wengine kenya.
      Aisee in short wanaboa mno

    • @user-gl2bn6ot8e
      @user-gl2bn6ot8e 15 วันที่ผ่านมา +2

      Ni wajinga sana hawa watu

  • @user-zb6td8pw5h
    @user-zb6td8pw5h 15 วันที่ผ่านมา +75

    Yan uyo kipala me simpendi 😂na umbea wake kuharibu mipango ya wenzitu mwaume mzm mbea

    • @messaabbas739
      @messaabbas739 15 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

    • @JohnLena-zn7kp
      @JohnLena-zn7kp 15 วันที่ผ่านมา +1

      N job to

    • @MariamKhalil-gy1fx
      @MariamKhalil-gy1fx 15 วันที่ผ่านมา

      Anaboa sana

    • @nguvumoja_1
      @nguvumoja_1 15 วันที่ผ่านมา +2

      Sio michongo yangu niliacha 😂😂😂

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d 15 วันที่ผ่านมา

      Dawa yake kumezwa na Mtanzi huyo ni msaliti kama yule bibi yake Kim ni Nzila

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 15 วันที่ผ่านมา +154

    Hata Mimi nimewahi dakika ya Kwanza weka like yako Kama upo pamoja na Mimi kwenye snake boy season two episode ya 15🎉❤😂 clam vevo for life 😂😂

  • @user-hn3dn8sr6u
    @user-hn3dn8sr6u 15 วันที่ผ่านมา +14

    Mimi wa mwisho naomba Link zangu bem vindo Moçambique 🇲🇿

  • @BarakaNakapo
    @BarakaNakapo 15 วันที่ผ่านมา +11

    Na peperusha bendara ya Congo froom Bukavu 🇨🇩🇨🇩

  • @JayBon01
    @JayBon01 15 วันที่ผ่านมา +78

    Wa kwanza kutoka Pennsylvania USA naomba likes zangu ma fans wa clam vevo

  • @user-dg6es3pq2p
    @user-dg6es3pq2p 15 วันที่ผ่านมา +75

    KILA MTU HUMU ANASEMA MM N WA MWANZO KWAN KUNA UMUHIMU NA IZO LIKE BADALA YA KUIJADILI SNAKE BOY YETU

  • @Mr-bones2110
    @Mr-bones2110 15 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu mwakatobe mpaka hii season iishe atakua amekula kuku wengi mno hasara kabisa😂😂😂😂😂😂

  • @levaniawilliam7969
    @levaniawilliam7969 14 วันที่ผ่านมา +3

    Badala mtoe maon kwenye Kaz ya mwenzenu mnakazi ya kuomba like ka kaz yenu mkue

  • @khadijaabubakar2330
    @khadijaabubakar2330 15 วันที่ผ่านมา +51

    Kazi nzuri ndg dah natamn kufanya kazi na ww ila nipo Kenya kwetu tx
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

  • @user-cu9mo3rf4t
    @user-cu9mo3rf4t 15 วันที่ผ่านมา +164

    Mimi wakwanza Léo from Congo nataka Like yangu ❤

  • @user-qd7ey5cp5s
    @user-qd7ey5cp5s 15 วันที่ผ่านมา +20

    Mimi hata sitaki likes😢ni kupongeza tu clam na kikundi chake kwa kazi nzuri hongereni sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @josephpower7709
    @josephpower7709 15 วันที่ผ่านมา +4

    alicheza mu mwizi wa kuku na majuto ambaye ameisha tutoka, kwaiyi umejipanga kiyana, utakuwa kanumba wa kesho🙏👏👏

  • @OfficialJarden
    @OfficialJarden 15 วันที่ผ่านมา +356

    Wa kwanza kutoka canada kam kawaida yang nipewe like zng🎉

    • @hellenConstantine-gx7vy
      @hellenConstantine-gx7vy 15 วันที่ผ่านมา +12

      Mambo naomba mawasiliano yako

    • @Stevjohn24
      @Stevjohn24 15 วันที่ผ่านมา +2

      Kanada ndo nin xax

    • @OfficialJarden
      @OfficialJarden 15 วันที่ผ่านมา

      @@Stevjohn24 hasira za nin bwan mdog endelea kukaa mageton ulishwe na mama ako kenge ww😂😂

    • @OfficialJarden
      @OfficialJarden 15 วันที่ผ่านมา

      @@gmichano113 nmbiee

    • @ShardhinLove
      @ShardhinLove 15 วันที่ผ่านมา +2

      Hi

  • @user-tg3st6li2q
    @user-tg3st6li2q 15 วันที่ผ่านมา +52

    Wakwanza mm naomba like zangu

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 14 วันที่ผ่านมา +3

    I like the creativity and the way everyone is playing his/her role

  • @Simbasc-mw4zk
    @Simbasc-mw4zk 15 วันที่ผ่านมา +7

    Ooohoooo kitu na box sijachelewa sanaaaaaaa like kadhaaa watu wa nguvuuu

  • @hassankalu540
    @hassankalu540 15 วันที่ผ่านมา +44

    Within 2 mins 287 comment guys sisi ndo team clav vevo leo si mnipe likes jmn,am watching from mombasa kenya

  • @annamauwa9799
    @annamauwa9799 15 วันที่ผ่านมา +21

    Haya mimi wa mwisho basi nipeni mabaki tu. kazi nzuri sana director kakozo pamoja na clam na wenzio kwa kutuletea mwendelezo

  • @user-dc8ct1jl8p
    @user-dc8ct1jl8p 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kipara matako yako tabia yako yaumbea sina tabia yaumbeaumbea siyomichongo yangu nishaaachaga

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 15 วันที่ผ่านมา +3

    Eti chief asije akaachilia vifurushi...🤣🤣😂, Zinga pia kapigwa uppercut 😂, Chilly Sosy wa moto😂🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌💥❣️❣️

  • @lydiaezekiel3044
    @lydiaezekiel3044 15 วันที่ผ่านมา +36

    Kazi nzuri sana CLAM VEVO na kundi lako pambaneni zaidi na zaidi❤❤🙏🤝

  • @Fidele2
    @Fidele2 15 วันที่ผ่านมา +32

    Waburundi naombeni like zenuhapa🇧🇮

  • @user-mb7oe3pg3y
    @user-mb7oe3pg3y 15 วันที่ผ่านมา +2

    Nimefunga chapter😊 like ata moja

  • @SalumMkumba-wj2wl
    @SalumMkumba-wj2wl 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mwakatobe aka zinga sikwakula kuku hao mweeee kwahii umejitahidi kula nyama

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 15 วันที่ผ่านมา +14

    Snake boy 🐍 inazidi kua moto sana 🔥🔥🔥💪

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie 15 วันที่ผ่านมา +26

    Wapi likes za kenya mimi wa kwanza leo❤😂😂😂 na love ya clam

  • @damasmayanja2930
    @damasmayanja2930 15 วันที่ผ่านมา +3

    "hivi unaweza kuamini Mwanafunzi anaweza kuwa bora zaidi kuliko Mwalimu wake"😂😂😂😂😂 labda jamaaa alienda chimbo lingine au alienda Kwa Mwalimu wa Mwalimu wake ngoja tuone😂😂😂😂😂😂😂 Mko good sanaaaa

  • @MateusPius
    @MateusPius 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kipala muito franco, grande fofoqueiro 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 15 วันที่ผ่านมา +17

    ❤❤❤

  • @plantamedia
    @plantamedia 15 วันที่ผ่านมา +32

    wakwanza mamaaaaae

  • @stevekasawala2315
    @stevekasawala2315 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kiko wapi na uchawi wake wote 😂😂

  • @humphreymgeni3887
    @humphreymgeni3887 15 วันที่ผ่านมา +1

    Waomba like mnakeraaa🎉🎉

  • @conradmboya9923
    @conradmboya9923 15 วันที่ผ่านมา +20

    Wa Kwanzaa babaaaa

  • @user-qn3ul4ju4x
    @user-qn3ul4ju4x 15 วันที่ผ่านมา +33

    Vevo kutoka Burundi pls nimekua wakwaza naombeni like zangu jamanin pls ❤❤ ongeleni

  • @user-wi4kr2zr7x
    @user-wi4kr2zr7x 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mwakarobe nomaaaa asanaaaa

  • @Ta-bby_001
    @Ta-bby_001 14 วันที่ผ่านมา +2

    Wale wa kuomba likes instead of appreciating clam vevo and his crew for putting more effort in entertaining us love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 15 วันที่ผ่านมา +11

    Ila kipala 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤ ananimaliza sana Yan anawapenda sana wenzie tatizo umbea tu ndo hawezi acha😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @oscargraphic2366
    @oscargraphic2366 15 วันที่ผ่านมา +27

    Kipara ni umbwa namuchukia sanaaaaa

    • @godblesshudson1564
      @godblesshudson1564 15 วันที่ผ่านมา +2

      Mi mwenyewe

    • @emmanuelshashi9805
      @emmanuelshashi9805 15 วันที่ผ่านมา +2

      Ukimchukia ndio movie inakua nzuri actually ana boa

    • @VictorNgowi-rw9no
      @VictorNgowi-rw9no 15 วันที่ผ่านมา +1

      Heri wew unaesema yaliyomo kweny movie na sio kuomba omba likes

    • @AbuuAhmad-pd3ow
      @AbuuAhmad-pd3ow 15 วันที่ผ่านมา +1

      Mwenzio Kila akipeleka umbea anapata kuku

    • @oscargraphic2366
      @oscargraphic2366 14 วันที่ผ่านมา

      Yani sitaki umbea unaniuma sanaaa 😬 nahisi ninge kuwa kwenye muvie kama uyo kipara naku onesha chamtemakuni👊👊👊

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 15 วันที่ผ่านมา +2

    This is love From mozambique 🇲🇿❤️🤗🎉

  • @kibokotv727
    @kibokotv727 15 วันที่ผ่านมา +3

    Nani mwingine anapenda kumsikia chili akisema “Kulukutanta man tetele” 😂😂

  • @Sommeboy
    @Sommeboy 15 วันที่ผ่านมา +31

    Sijuwi kam nime chelewa nipe ata moja 🎉

  • @Thenoiseboy045
    @Thenoiseboy045 15 วันที่ผ่านมา +12

    Thenoiseboy from Kisii KENYA 🇰🇪 Niko Ndani

  • @ngoyaboy1590
    @ngoyaboy1590 15 วันที่ผ่านมา +4

    Huyuu jamaa naamin 100% ni mganga kwelii

  • @fredytv8177
    @fredytv8177 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hili pigo alilopigwa Mwakatobe n mwana ukome😂😂😂

  • @BAGAMOYOMEDIATZ
    @BAGAMOYOMEDIATZ 15 วันที่ผ่านมา +17

    Nawangalia mnawai kusema wa kwanza nasisi wa mwisho tunaomba izo like

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 15 วันที่ผ่านมา +13

    Wakwanza mimi hapa from mozambique 🇲🇿🔥🔥🔥

  • @Hulkamani1960
    @Hulkamani1960 15 วันที่ผ่านมา +4

    Snack boy film number one.

  • @aishaslm
    @aishaslm 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi safi ..uyu kipara angechinjwa n mbea mnoo kaah 😄

  • @borntalentedfamily
    @borntalentedfamily 15 วันที่ผ่านมา +11

    Wow 😲 watching from Kenya wapi likes zangu

  • @saidigongolo4532
    @saidigongolo4532 15 วันที่ผ่านมา +9

    Kazi nzuri sana Ila muda mdogo sana

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro4280 14 วันที่ผ่านมา

    Mwenyew muvi haombi like ila Sasa wauza madafu tunaangaikia na like sipendi Tabia nzuri😂😂

  • @user-md7ks7um4o
    @user-md7ks7um4o 15 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri mme wangu mtarajiwa😂😂😂😂❤🎉

  • @user-rr4sq6mu8g
    @user-rr4sq6mu8g 15 วันที่ผ่านมา +28

    Wakwanza jmn naombeni like zangu ❤😂😂😂

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 15 วันที่ผ่านมา +19

    Kazi nzuli sana clam na team yako yote much love from dubai ♥️ ❤️ 🎉🎉❤❤🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪❤❤❤ team strong pamoja like ❤

    • @perajiampipi4473
      @perajiampipi4473 15 วันที่ผ่านมา +1

      Hizi ndo comment tunataka kuona

    • @diamondplatnumz5598
      @diamondplatnumz5598 15 วันที่ผ่านมา

      ​​@@perajiampipi4473pelajia wa kwaga naomba no ako bas

  • @saadekhamisnassor4331
    @saadekhamisnassor4331 15 วันที่ผ่านมา +2

    Yani chili umeonesha ukubwa wako umeipigaje hapo😁😁

  • @Selemamiabdallah
    @Selemamiabdallah 15 วันที่ผ่านมา +1

    Clm vevo uyu mwakatobe usimuache kabs yn ❤❤❤❤❤

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 15 วันที่ผ่านมา +13

    😂😂😂😂 nilivomuona tu KIPARA kwa mara ya kwanza kwenye hii episode nikacheka sana 😅😅😅😅maana nilishajua kile kikao lazima atakiharibu😂😂😂😂😂😂

    • @VictorNgowi-rw9no
      @VictorNgowi-rw9no 15 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂 kipara ni fala

    • @saumumhina2225
      @saumumhina2225 15 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂 apo umbea ulikuwa unamuwasha alafu anakwambia sio pigo zangu nshaachaga lol mwanaume kileja ndo huyu sas 😅

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 15 วันที่ผ่านมา

      @@VictorNgowi-rw9no siyo michongo yang NISHAACHAGA🤣🤣🤣😁😁😁😁

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 15 วันที่ผ่านมา

      @@saumumhina2225 hiyo siyo michongo yang NISHAACHAGA 😆😆😆😆😆😁😁😁😄😄😄😂😅🤣

  • @user-sp3wv4op2t
    @user-sp3wv4op2t 15 วันที่ผ่านมา +7

    nimekuwa wa kwanza leo asubuhii mapema ndani ya snake 🐍 boy naombeni like zenu leo msininyime basi😢😢

  • @AlfredBnz961
    @AlfredBnz961 15 วันที่ผ่านมา +1

    J'aime beaucoup te vidéos🎥 est jsuis en RD Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @sweetbabymwangi8373
    @sweetbabymwangi8373 14 วันที่ผ่านมา

    Very interesting ila mda mfupi sana. Huyu Zinga si afe jamani wana himaya wakae na amani. Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪

  • @user-tr3vt7nf2p
    @user-tr3vt7nf2p 15 วันที่ผ่านมา +10

    Mambo vip leo wakwanza naomba lire zenu

  • @user-ql3rd9qp7p
    @user-ql3rd9qp7p 15 วันที่ผ่านมา +23

    Nilijuwa kafa kumbe ngoma bado mbichi😂😂😂😂😂 like kwa Zinga tafathali🎉🎉

    • @saumumhina2225
      @saumumhina2225 15 วันที่ผ่านมา

      Alipigwa tu na kitu kizito

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 15 วันที่ผ่านมา

      Haiwezi kufa bado mapema akifa itakua inaelekeya kuisha

    • @user-ql3rd9qp7p
      @user-ql3rd9qp7p 14 วันที่ผ่านมา

      Alipigwa na msumali wa moto

  • @benboyburundi2429
    @benboyburundi2429 15 วันที่ผ่านมา +2

    Mwaka Tobe ndiyo anafanya iyi movie iwe Bora Na mvuto mkali love from 🇧🇮

    • @jolamjuma-dh6hx
      @jolamjuma-dh6hx 15 วันที่ผ่านมา

      Mm nampenda sana Mwakatobe/Zinga amemwambia Chaupele amekuwa zamwamwa

  • @manixawadh7198
    @manixawadh7198 15 วันที่ผ่านมา +1

    Daah story ndio yaanza hii... moto umefikia wazee wa kaya... love from Qatar

  • @AROMA_KING001
    @AROMA_KING001 15 วันที่ผ่านมา +8

    Zingaa kichwa maji kweli👍

  • @ambrose-exclusive-hunterst353
    @ambrose-exclusive-hunterst353 15 วันที่ผ่านมา +5

    Nakuelewa hadi pa mwishoo unawezaa sanaa kaka love you broo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤love to see it I love you so

  • @vyper-ke1sq
    @vyper-ke1sq 2 วันที่ผ่านมา +1

    tunaomba hiiii movie iwe inatoka mapema jamani maana ni tamu sanaaa

  • @hasanatimohamed9117
    @hasanatimohamed9117 10 วันที่ผ่านมา

    Mimi Niko Kenya ila nampongeza sana clam kwa kazi nzuri.big up bro

  • @VIZBOYDOGOFIRE560
    @VIZBOYDOGOFIRE560 15 วันที่ผ่านมา +12

    Vizuri sana clam vevo mimi apa froom congo drc 🇨🇩

  • @hmrhcityhoppa7011
    @hmrhcityhoppa7011 15 วันที่ผ่านมา +3

    Kila kukicha ikitoka epsod n tamu tu dah hii series mmejua kuiandka wallah na mungu awazdishie utunzi mzur zaidi

  • @SelainnahSidiz
    @SelainnahSidiz 12 วันที่ผ่านมา +1

    😂wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪 kama kawaida yangu 😂mnipee like zangu 😂😂

  • @kha_su_ya
    @kha_su_ya 15 วันที่ผ่านมา +1

    UHUUUU VITA MUBASHARA MOVIE LA NGUVU SANA BIG UP CLAM WITH DIRECTOR KAKOSO(mwasi)

  • @user-dk3po7wo4o
    @user-dk3po7wo4o 15 วันที่ผ่านมา +5

    Hakika cha dhuruma hakidumu nguvu za ntanzi naamini haziwezi kwenda bure💪💗💗

  • @FurahaOfficialsfuraha
    @FurahaOfficialsfuraha 15 วันที่ผ่านมา +12

    mashabiki hamna maoni wala ushauri kazi ni kuwa wa kwanza na kuomba like mnaboa sana

    • @YajuFilms
      @YajuFilms 15 วันที่ผ่านมา

      Yaani wanagombania tu wakwanza wakwanza sijui kuwa wa kwanza Kuna maana Gani.

  • @Stefan-bf1dc
    @Stefan-bf1dc 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri, crew nzima inajitahidi.
    Kwa upande mwingine ungeangalia namna ya kuingiza mapato direct kupitia viewers wako kwa kufikiria kutengeneza app yako ambayo mtu atakuwa anatozwa kiasi flani hata kama sio kikubwa ili waweze kuona kazi zako.
    Hii itasaidia kuwa mbunifu na kutengeneza kazi nzuri zaidi. Asante

  • @Director___Mwadadu
    @Director___Mwadadu 12 วันที่ผ่านมา

    Fire 🔥 🔥 🔥 nice drama😃
    Mwaka tobe pasua sana usije kuachia vifurushi

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 15 วันที่ผ่านมา +5

    Sijui kama atatoka salama aliemkobea mke wa mzee nyoka 😂😂😂😂😂😂

  • @user-fh1fi1wl2x
    @user-fh1fi1wl2x 15 วันที่ผ่านมา +15

    Nzuri sana hongera bro Kwa kazi yako

  • @nashclien7688
    @nashclien7688 14 วันที่ผ่านมา +1

    MShangazi wangu mwakatobe jamani😂😂

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa 13 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri timu clam mungu amiongeze inshaallah

  • @MzeeRaca
    @MzeeRaca 15 วันที่ผ่านมา +5

    Safi sana vevo kazi nzuri vevo kwa kweli nainjoi vevo upewe mauwa yako broo

  • @JayiPhili
    @JayiPhili 15 วันที่ผ่านมา +25

    Mapema sana

  • @shemsa_salum
    @shemsa_salum 15 วันที่ผ่านมา +1

    Hhhhhh😂 chief taratibu ucje kuachia vifurushi ukaaibik mbele ya watu wako😂😅mmechek sana

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 15 วันที่ผ่านมา +1

    Clam VEVO umepoaaaaaa umepoaaaaaa umepoaaaaaa 😂😂😂😂😂😂 nitakupangusa

  • @styvesumaili7244
    @styvesumaili7244 15 วันที่ผ่านมา +5

    Nimekuwa usingizini nikifikiria 😅 snack boy Big UP sana ❤ like zenu ma best

  • @INTERNATIONAL_BWOY
    @INTERNATIONAL_BWOY 15 วันที่ผ่านมา +9

    International Bwoy Seen it ✊

  • @SaidiAyubu-of8zt
    @SaidiAyubu-of8zt 15 วันที่ผ่านมา +3

    Naomba unijibu clam ..nani kaku shauri umlete mwamba chili ..daaah ..Bonge Moja movie Kali kutokea ...ahsante Kwahili ..THE EMPRESS OF KANUMBA THE GREAT......

  • @MwalimuMussa-wl3il
    @MwalimuMussa-wl3il 10 วันที่ผ่านมา

    Clam unajua sana br Kwa ushauri pia br jitaidi sana kuibua vipaji Kwa watoto kwasababu nikitazama wahusika nafasi ya watoto haupo ila nakukubali sana br