Yaan nyie ndo mnao tuponza mpka watumaji wana susa na kuamua kuuza ktk magroup ya telegram na wasp ...ambacho hamuelew ni nn mkiambiwa muache kuomba likes mara kusema mm wa kwanza cjui wa 60 km mitoto bn heb mjitambue walau kwa sekunde 3. Aaahhhhh 🤬🤬🤬
unamfikiria majizzo nn sasa kwan unadhan hakuambiwa mpaka akamruhus kumuona hap lulu ni mmew amekubali aingie ku act 😂😂 na juz alikuwa zake insta anasapot kaz ya mkew endelea kuwaz ujing
Thx Kwa Sapoti
Sawa dj
Limeisha ilo Tajir
@@shakirambugi8142 Mtu Wa Maana Sana
Nkushauri kitu dj, watu watakupenda tuu wala uctumie nguvu, boresha kazi yako kwa kukata vpande vya matangazo, hapo utatukosha zaid
@@Vee_money Mtu Wa Maana Sana
Alaaaa kimaria kinaboa aa umalaya gani uwo sasa mxuii
Jamn Dj apewe maua yake nimeitafuta sana Leo mpaka mchozi😂😂
Nimejaribu kuwa like wooote mlionitangulia ila huyu mtoto wa mama maria atakipata anachokitafuta😂😂😂😂
Ila majizo apewe maua yake 😂😂maana sio poa weeeeh
😂😂😂😂😂😂
Asante sana nimefurahi kuona jua kali mapema 🎉🎉
Wauoooooh namimi leo wa tatu munipe like jameni 🎉🎉🎉
Jamani nawakubali sana King na baba hake I love you.🎉🎉🎉🎉
Kama na wewe umeitafuta kama mimi gonga like
Yaan nyie ndo mnao tuponza mpka watumaji wana susa na kuamua kuuza ktk magroup ya telegram na wasp ...ambacho hamuelew ni nn mkiambiwa muache kuomba likes mara kusema mm wa kwanza cjui wa 60 km mitoto bn heb mjitambue walau kwa sekunde 3. Aaahhhhh 🤬🤬🤬
Maria anaweza Tena anaweza Kila siku anakuabora💫
Anafundisha vile wadada wanaweza kuwa manyangau😂
Frank nakuonea huruma sana umechachisha mapenzi wakati mwenzio yuko kwa game 😢
😂😂😂atatudi kwenye ili tabia yake
Frenk atakumbuka maneno ya femi kuwa makini na maria
😂😂😂😂😂😂
Wadada wa mjin😂
Nampenda Femi anamsimamo
Viviani nakupenda bure unafurahisha ofisini
Hii ni ya Jana usiku lakin
Afu nampenda sanaaaa Maria I'm from Rwanda 🇷🇼
femi🎉🎉🎉🎉achanana ton Malaya wa kiume nimemisi idi na wake zake nawapenda sana maria na Anita mmeweza
Femi anampenda luke ila mama yake hamtaki nahilo balaa alilolifanya ndokabisaaa
🎉🎉🎉 upate mwanaume kama tomas rahaaaa
Me nshaanza kuichukia jua kali maana kila kitu maria tu kupendwa ni maria tu yeye hajawai kupenda ata mmoja
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Unataka upedwa wewe
Nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣
Haha..madam simba eti anataka akaokoke 😅😅😅madam simba we nikiboko hasa
Mbona nahisi km atampata Maria😂😂😂
@@m.mmarckus6298 kumpata vipi yani
Me mkenya napambana huku nipate hela niende zangu nkamtafute Frank,nampenda uyo mkaka jamani,niliskia anadrive left hand nikaogopa😅😅😅Muarabu huyo🙌🥰🥰
Wacha umbwakini mburukenge unatuaibisha😂
Jua kali bila ya diba sio mzuri
Na mjomba lusajo ila diba atakuwa busy kwenye tamthilia ya Jiya
Kwelii tenaa
😂😂Maria ana pepo la umalaya
Hapo kwa maria na frank walivyo kumbatiana asee daah usingo utaniua 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂weeeeee
😂😂😂😂😂 kwahyo umekula kwa macho 😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
@@olicej7837 acha yani duuh nimeumia kweli 😀😀
Maria ni kahaba
Jamaniiiii miss u semeni na sofia🎉
Nilivohangaika kuipata mmmh
Astaghafilulah ,mweee uyu Maria uyu uyuuuuu achiiiii 🙆
Frank ni mzuri jaman I love you
Kwn hiyo mimba vipi haitokei 😢afu umalaya wa maria duh umetisha usituulie frank wetu 😅😅😅 namis mwajay wetu bna mtuonyeshe
Kwani Hiyo Mimba Ya Maria Hajifungui Tuu😁😁😄😄
Kijumbe vivian
Hv wanaume wanaochanganikiwa kama madevu bado wapo au ni kwenye juakali tuu 😅😅😅
Maria na Toni wanafaa kuoa ju game zao mojaa😂😂😂😂
Nimeitafuta sana
Yaani wee thomas mzee unanikosha
❤❤❤ thx
It has been long this jua kali
Nice
Dj mtu wa maana kabisa ❤
Endelea na msimamo Femi safi saana
Lkn Femi anaoneka bado anampenda Tony😂😂😂 sema litoni halieleweki
@@m.mmarckus6298na tony anasema anatimiza ahadi tu ila anampenda mariaa
The last part of prayers got me😂😂😂
Nimemmiss mahi Juma😂😂
Tumpe Femi mauwa yake kaweza🎉💐💐💐💐🌹💐
Nan kagundua dogo ana hongea kama frank kwa gara B
Waoooo fem
Jmn madevu🤗
Ahaaaa mm sitaki urafiki na Viviani jamani 😅😅 nimegundua uta mwambia shemeji yako kuwa nina mimba wakati mm bado natafuta maokoto😅😅
Hivi unapomkumbatia frenk hubinyi mmmh mmh ya frenk in majizo voice
Tony na maria waoane sio kwa uhuni huu
Kwan hawa wanaume hawamuon anita jaman😢
Mwenyewe nashangaaa
Yani ata vivi tuu hawamuonii
🔥
Sikuhizi mpka hapitite ya kuangalia juakar ilishakata naangalia tyu kwasababu ni wajibu😂
🔥🔥🔥
Character ya Maria imenoga🎉🎉🎉🎉
Vivi na madevu ni wambea😂😂😂😂
Ety hakun matata nan kaipenda hiyo😂😂
Thomas na Vivian mnanipa Raha sana😂
Acheni ufala mnalilia like za nn kila mtu naomba like ukishapewa unafaidika nn sasa mnakera kunguru nyie
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
semag ww
😅😅😅😅😅
Nqmiss drama,Anna na wake wenza,huku kwengine nikuboeka tu
Hahahahah😂😂ila Mariah😂😂
Maria nae umaya tu kuoga aaah
Hapa nimecheka amekuwa Nassoro umalaya lkn kuoga aaah😂😂😂😂😂
Pale kwenye ujauzito ndo wap jmn thomas khaa 😅😅😅anakamba huyu mzee
😂😂😂😂😂
Hujaona yajana kwan
Jamani yote Tisa, nmemiss familia ya kina diba @uncle lusajo, anganile. Weken kipande chao tufurahi jaman
Kumbe watu washenzi jmn badala mtoe like kwa alieposti mnaomba ninyi muwe mnaiposti ninyi ili mpewe like fyuuu😂
Tunaomba utuwekee telegram
Kwani yale mgari alopewa mari yako wapi atujawahi kuyaona
Asanteh Uko akilini kwangu
Kabisa
magari hayaonekani na mimba haikui kila siku ana flat tummy 😂😂
Si apo ata mimi siwaelewagi afu na vibunda vya Vivian anaviperekaga wapi na bado anakaa kwa watu😂😂😂😂🎉😂
@@olicej7837ww unawaza kama mm kabisa
Mmmh lenimehi🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Frank bwabwa kweli 😂😂😂😂
Muache akatolewe kinyanyamshenzi😂😂
@@kinananyuni9732 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Kwan mbon zinakuj nakuondoka jamn
Namfikiria majizo 😢
unamfikiria majizzo nn sasa kwan unadhan hakuambiwa mpaka akamruhus kumuona hap lulu ni mmew amekubali aingie ku act 😂😂 na juz alikuwa zake insta anasapot kaz ya mkew endelea kuwaz ujing
Alafu yy hana habari ww endelea kumfikiria😂😂😂😂
Ila watu asa majizo kafikaje huku, fikra za kimaskin hizo😂
@@hosea7919😂😂😂
Maria bhanaa tumechoka huwakiwi tu na hilo jua khaa🙌🙌🙌🙌🙌
Jua bila diba Anna akuna utamu
Gg😅 x vtxdf
Maria🙌🏻
🔥😊
Lamata Thomas mwengezee buannaaaaa
🥰
Ukiwa na rafiki mmbea kama Vivian ni shida😂😂😂
Anakuuza wewe bila kujua 😂😂😂😂😂😂
Ila vivi na madevuuu 😂😂😂😂
Hawa ni kiboko 🤣
😂😂😂😂😂Thomas na viviani duuu alafu maria kitakuramba
Kwanzia leo hamna siku sitaona jua kali tena ,,ikifika maria kuwakiwa na jua mniite ,, haiwezi lamata kutuzingua kila wakati maria mshindi tu nkts
Mke wa majizo😢
Maria kubabako kabisaaaa 😢 kama huwezi kutulia na frank wetu achana nae usimfanye mjinga
😂😂😂😂😂vivy kiboko,,,,
Thomas friji haligandishi lol😂😂😂
Ila rafiki kma vivi mm hapna akha😂😂😂
Jamani ya Ijumaa sijaionaa
Maria khaaa😅😅
Kama like ni chakula nipen na mm nishibe leo😅😅
Shiba mpaka uvembewe😂
Mtoto wa maiko anaona mambo ya vivian na babake 😂😂
Aaisee Mr DJ 🎉 yan kitu natural pasi na ile sauti yavkishenzi inayo wekagwa back ground
🎉🎉🎉dj
Chwamtaka anna na mpenzi wake
Mpenzi wa mchongo.
Upewe maua yako baba
Siku hizi. Siangaliagi jua kali imenichosha uyo marym feki simpend
Courage
Asante dj
❤❤❤❤❤❤
NAWAPENDA TOMAS NA VIVIANI MAMBO YAO
Mariya wee huogopi😂😂
Kwa mpango huo Maria ndoa haiwez
Daah jmn tuma miendelezo msitutenge hivy
Maria we ni nyoo asee
Mwanamke akiwa nawanahumewote siyo mwanamuke
❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Imeanza kupoteza mwelekeo