Leo nimewai 4minutes ago🎉🎉🎉🎉🎉🎉Sihiitaji like zenu ila naujumbe mdogo tu .Binaadamu tumeumbwa kwa ajili ya kumuabudu Mungu alie tuumba yatupasa tusijisahau hapa duniani tunapita tu tujitafakari wapi tulipo kosea tujilekebishe milango ya Toba bado ipo wazi ,Mungu atusamehe na atupe mwisho mwema wa maisha yetu 🤲
Kama kweli wewe ni chabiki wa my best Clam vevo naombeni munipe like😂😂😂 kwa sababu nika sema mimi ndiyo wa kwanza muta sema na kosea 😅 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 DRC my nationality
Aisee mwanangu kweli jamaa wanachelewa kutoa kitu mpaka wadau wao tunaanza kuwaza lakina wanasanaa wetu wako vizur mpaka sasa nimekua mlevi wa filam zao hawa I solute them
jamani Mimi ni team CLAM CRIS @ VEVO ,yaani Mb zangu azihishiagi kwa mtu mwengine kama sio VEVO tu, asantee kwakutuongezea madakika ,apo ni fresh ,VEVO 💪💪💪💪💪💪🚀🚀🚀🚀🚀🚀. Like zenu jamani Team CLAM juuu
Filamu nzuri ila mnakawia hongereni sana team clam vevo kuna mazuzu wapo hapa ndani badala ya kuitikia muitikio na kutoa sapoti ni like wanaomba upuzi Tu clam kazi zafi sana
mbn clam simwon kuigiza muvi na wenzake saii yaan kweny muv za wenzake ayupo kabsaa ninapendekeza kweny hizi muv za wenzak kama kim mbwela ,sengo nk itapendeza zaid 🎉🎉😅😅ila mnajua sana 🎉🎉🎉kazi zenu nazifatilia sana ❤❤
Hizi likes tunazo peana hapa kwenye comment section, tuzipe pia kwenye Chanel hii kwani kufanya hivyo, kutasaidia hii Chanel kuwa kubwa zaidi ya hapa. Na sisi tutanufaika kwa kuona vitu vingi vizuri!!! Kiukweli crew nzima wako vizuri BIG UP
Yaaan tunasubiri adi inachosha, kazi nzur ila muda wanauvuta sana kuachia kitu ,waweke muda maaluu ieleweke kama ni baada ya siku 3 iwe 3 kweli kama ni 4 bc hivyo hivyo,,,, Anayeunga mkono gonga like apaaa
Mnatoa move nzuri sana lakini mnachelewa kutoa move yenu then kuweni na siku maalumu kama vile jua Kali jumatano hadi jumapili siku nyingne Wana shoot itasaidia kulinda watazamaji wenu vzr kabsaa.
Ama kweli ni nguvu za giza😂😂,clam anazitafuta gizani😅 🙌...kisha ame upgrade chapati na malage kaongeza vitumbua na sambusa🤣🤣#mnaweza clam gang kazi inaendelea vizuri Mashallah cha msingi tusisahau ibada 🙏
Hizo nguvu haziwez kufanya kaz Kwa huyo mshamba mpk zirudishwe Kwa clam anayekubaliana na mm gonga like hapa😅😅
😂😂😅😅kitambo umeshapea like
Like umeipata
😂😂😂😂😂😂😂mpaka.atote mavi kwa kujikamua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ety mshamba😂😂😂😂😂😂
Hahaaaaaaa,mbwela rudisha nguvu kwa vevo😂😂😂
Leo nimewai 4minutes ago🎉🎉🎉🎉🎉🎉Sihiitaji like zenu ila naujumbe mdogo tu .Binaadamu tumeumbwa kwa ajili ya kumuabudu Mungu alie tuumba yatupasa tusijisahau hapa duniani tunapita tu tujitafakari wapi tulipo kosea tujilekebishe milango ya Toba bado ipo wazi ,Mungu atusamehe na atupe mwisho mwema wa maisha yetu 🤲
Amen
Allahuma ameen
Amina
Amen 🙏 ❤❤
Ameen
Kazi nzur, na pia mmeongeza dakika toka 15,16 had 25, Kama unaikubali hii movie gonga like hapa Twende sawa
SNAKE BOY | ep 19 | SEASON TWO th-cam.com/video/O5pdG-m2UTI/w-d-xo.html
Kutoka KENYA 254 wapi likes zangu jamani ❤
Huwa mnakawiyaga sana kuachiya kitu hadi tunachoka kusubiri 😢 gonga like apa kama unakubaliana na mimi 🙌🏾
Mpaka tunasahau tuliishia wapi
Sawaaa
Leo na Mimi nimewayi 💯🏃
hata like moja veh
I hope calm anasoma hii message yko
mmi ningependa kuwashaur msiwe mnachelewesha mzgo mwingine mpka tunaboleka anayebkubalian na mmi weka like yko hpo
SNAKE BOY | ep 19 | SEASON TWO th-cam.com/video/O5pdG-m2UTI/w-d-xo.html
Nkubaliana na wewe
Kama kweli wewe ni chabiki wa my best Clam vevo naombeni munipe like😂😂😂 kwa sababu nika sema mimi ndiyo wa kwanza muta sema na kosea 😅 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 DRC my nationality
Aisee mwanangu kweli jamaa wanachelewa kutoa kitu mpaka wadau wao tunaanza kuwaza lakina wanasanaa wetu wako vizur mpaka sasa nimekua mlevi wa filam zao hawa
I solute them
Pak mimi
Leteni like zenu na Mimi since nianze kuangalia movie za huyu mwamba sijapata like ata moja
Unazifanyia nini hizo like?
@@dionisisarwat9478 tunazitumia luminatt
SNAKE BOY | ep 19 | SEASON TWO th-cam.com/video/O5pdG-m2UTI/w-d-xo.html
Enyi watu!
Rudini kwa mola wenu kwa ibada na tauba kabla kifo hakijawakuta na mjuto..
Hta mungu mwenyewe anajua ni act tu
Izo ni act abduu😂😂😂
Kuna jambo umemaanisha 😅 nakup ata
Clam unajua sana
Maswala ya nyoka kitandan ndo ninapoogopaga kulala mm jmn😢
jamani Mimi ni team CLAM CRIS @ VEVO ,yaani Mb zangu azihishiagi kwa mtu mwengine kama sio VEVO tu, asantee kwakutuongezea madakika ,apo ni fresh ,VEVO 💪💪💪💪💪💪🚀🚀🚀🚀🚀🚀. Like zenu jamani Team CLAM juuu
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Filamu nzuri ila mnakawia hongereni sana team clam vevo kuna mazuzu wapo hapa ndani badala ya kuitikia muitikio na kutoa sapoti ni like wanaomba upuzi Tu clam kazi zafi sana
Yaaan
Kwani izo like wanazokuwa wanaomba Huwa wanafaidika nazo nn?
Kweli wapuzi sana badara ya kumusapot kwa kazi nzuri anayoifanya
Kabisa yan mm nashangaa cjui like zinawasaidia nn
Kwan ukipewa like unapewa na zawad ama?
Ivi mmeona dakika zieongezwa kwa wingi sana, kama umefurah like apa
Awe anafany nusu saa
Afadhali mmejiongeza kuongeza dakika hongera sana
Na huku Rwanda 🇷🇼turikua tuna isubili hii Movie, Hongeleni Sana.
Wa kwanza mimi Leo guys team clam vevo Leo tujuane kwa like pamoja na comments ❤❤❤😮😅😅😅
From mombasa kenya....fast one...mnipee likes leo aki...clam naomba
Jaman mpo vzur sanayaah ❤sem muwe mnawai kuachia vi2 bc
Much love from kenya❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ team gulf team kunyonga kila siku 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 gonga like tukisonga
Dada naomb namba yako
Niliona nikaipotezea daa Ila watu wangu eeee Hebu nipeni na mm japo 2 from Oman 🇴🇲 ❤
Hey
From usa 🇺🇸🇺🇸Wakwanza apa nipeni like zangu ❤
Mambo vipi
USA mitaa gan
mbn clam simwon kuigiza muvi na wenzake saii yaan kweny muv za wenzake ayupo kabsaa ninapendekeza kweny hizi muv za wenzak kama kim mbwela ,sengo nk itapendeza zaid 🎉🎉😅😅ila mnajua sana 🎉🎉🎉kazi zenu nazifatilia sana ❤❤
Mutua salimika sana, mkamba mwezangu
Mzigo unapepea... Mtandao unasumbua lakin goma ndio linasonga ivo🎉🎉. Like na ww kam mtandao ni xhd kwako
SNAKE BOY | ep 19 | SEASON TWO th-cam.com/video/O5pdG-m2UTI/w-d-xo.html
Huyu mshangazi analiwa na kila mwanaume anaetaka madaraka 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂anadabangurwa tu
@@RosemaryWilbard ahahaaaa😀😀😀😀
Umenichekesha hapa jamani 🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅
😂😂😂
Hizi likes tunazo peana hapa kwenye comment section, tuzipe pia kwenye Chanel hii kwani kufanya hivyo, kutasaidia hii Chanel kuwa kubwa zaidi ya hapa. Na sisi tutanufaika kwa kuona vitu vingi vizuri!!! Kiukweli crew nzima wako vizuri BIG UP
Huyu mshamba asaau kupata nguvu hata atoe ulimi anae kubaliana na mimi gonga like tuwe pamoja🎉
Dah nimewah Leo jmn like ziwe nyingi 🎉
Leo soja chelewa,nipe like zangu banaa🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Jifunze kuandika kwanza
@@user-sb8mg9pz6n asante
Uko bitter why😂😂😂😂😂😂@@user-sb8mg9pz6n
Misichelewe kutoa epsode ingne
@@user-sb8mg9pz6n😅😅😅😅sijui nacheka nn ....aaah😅😅
kupewa K siku moja,, chifu kamchukua dem mbaka kwenye mazoezi😂😂 kishimo mlenda noma
😆😆😆
😂😂😂😂
Hammmmmmhh hammmmmmhh aiyaaaa huuuuuuu! Aiyaaaaa iyelele mama jaman wanao ikubali hiii beat tujuwane clam vevo nakuomba kila unapotoa episode usiiache jaman🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Oyoooo kaz kaz km unamkubali snake boy weke like ❤❤
Wa kwanza leo, na omba ata like tano, nawa fata kutoka congo
Wachaaaa Tanzi mtamjua ninani Nguvu zake zikipatikana.😂😂😂
Yaaan tunasubiri adi inachosha, kazi nzur ila muda wanauvuta sana kuachia kitu ,waweke muda maaluu ieleweke kama ni baada ya siku 3 iwe 3 kweli kama ni 4 bc hivyo hivyo,,,,
Anayeunga mkono gonga like apaaa
Kazi nzuri sn ongereni kbs alafu nimefurayi sana kwa kuongeza dakika
Naombeni like Jaman from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mwakatobe 😂😂😂😂 muvi inakuwaa tamuu kwa vionjo vya mwakatobe humo tu humoo tu 😂😂😂
Jamani hii movie tamu hatari lazima ipate tunzo kama hamkutupa tunzo tunaongozana tunawapenda from uk 🇬🇧
Kabixa
Kweli kabisa
Ata kama wa tatu ila nimewahii naomba like zangu tafadhal
SNAKE BOY | ep 19 | SEASON TWO th-cam.com/video/O5pdG-m2UTI/w-d-xo.html
Chef sija vaaa yule ambaye amesikiya hiyo neno tupa like zangu hapa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 jmn ila ww lkn s umeelewa?
Nipo Kampala uganda nawafatilia sana bigg up clam Vevo and your group
Kutoka rwanda nafatilia nawapenda sana ❤🎉kwa clam
Wakwanza jaman leo naomba like ata kumi
Ila una tukosea sana jamaa yetu muv ainaa siku nyingi then dk cahche
Wewe utakuwa chizj sio bule mana unae muambia huyo hausiki kbs
Za nini
Ufanyie nini 😅😅😅
Please now mnipe like zangu mwamba from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿
Warundi akili zenu ni kuomba like kama Ma Zezeta. Ikijuju Gusa. 🤔😎
@@itNezawamuhimbiriwe zezeta niwewe kuma ramamayako
@@itNeza hivi wewe msenge Nini kwani wew inakuhusu Nini chukizanin fitima tu kama mbuluzi wambwawe
@@johkm2408sasa nawe nawe iyo kuma ya mama yake waijua emu punguzeni ukali wa maneno angalieni movie kwa bashasha acheni tabia mbaya
Mwambie saido akupe😂
Je suis congolais de Lubumbashi sasa kwa Nini clam ajapona utahila paka sasa naomba like zangu !
Bienvenu monsieur, Clam hajapona ili kunogesha zaidi stori. Sinon nous les tanzaniens sommes heureux de vous congolais à cause de votre soutenance
Waigizaji wote mpo vizuri sanaaaa sana ni move nzuri tamu isiyo kinai asanteni sana tunawapenda sanaaaaa mpo vizuri kila idara🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Humu tu humu tu atulalii😎❣️❣️🍹🤣 sijapenda
Hongera sana Leo mmeongeza dk
Ni kweli mnachelewaa ilaa mnatuletea kitu kilicho Bora zaidi, asanteni sana kwa kuongeza muda.
I like this kibwagizo wacha😂😂😂 kazi nzuri
Kumbe wa kwanza Mimi Leo nipeni like zangu sasaa wananzengo
Umakini tu
From Nairobi Kenya 🇰🇪 likes ❤❤
Sikuzote thulma aina mafanikio mfaume acha kujipa madaraka ambayo aikuusu ntanzi uwo niuridhi😢
Hhhh jmn wang wamepend clam alivyo sema sijapeta jmn agone like
Mapema tu
LEO WAKWANZA NAOMBENI LIKE JAMAN😂
kazi swafi saana pongezi❤❤🎉 tuna wapenda mfahamu hilo tuna kusikiliza ombi letu la kufuisha muda wa kusubiri
Leo kidogo mmenifurahisha mmerusha ndefu.....ila clam shemeji yangu una kazi nzuri ntakupa hamisa wote wako umchukue bila mahali😂😂😂😂😂
😂😂
Wakwanza kutoka Kenya wapi like zangu
❤❤from Usa Apa
Tukupe ngapi
Umeulizwa unapotokea haca ushamba
@@N.S.GGROUP1 au Shobo 🖕🫵
From the beginning Mpaka mwisho Mkenya 🇰🇪 anaeishi España 🇪🇦❤
💋💖😍💃 hongera sana kutu ongeza madakika
Yan Leo umeweza dakika25 big up sana clam
Asbuhi subuhi kit chamotooooo wap team clam wewe tupo p1 sana ulipo tupo maua yenu hayo wote tunaowakubali🎉🎉🎉
Sinema yenu nzuri tatizo mwanga🎉🎉❤❤
❤❤❤❤kazi nzuri clam sasa tunakupa support 🎉na wewe pia tupe mapema episode zilizobakia kama wakubaliana na mm nipe like ❤❤❤❤❤❤
Mbona mnaboo sana nakuomba likes😏😏😏pewa basi mkapike mkule😢😢😢badala mpongeze clam kwa kazi nzuri mko hapa mnang'ang'ania likes kama watoto🤨🤨
Ni nzuri sana
😂😂😂n huzn
Wa pili leo jmn kutoka Congo 🇨🇩..mnipe mauwa yangu
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mnatoa move nzuri sana lakini mnachelewa kutoa move yenu then kuweni na siku maalumu kama vile jua Kali jumatano hadi jumapili siku nyingne Wana shoot itasaidia kulinda watazamaji wenu vzr kabsaa.
Unajua sana kuigiza sema shida inakuja kwenye kuchelewa kutoa
😂😂😂😂Chief atakuja kunya akifanya zoez la sauti 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Waaacha aai😂
Nahisi kajamba
😂😂😂
Hahaa
wa kumi mimi apa naombeni like zangu najuwa amto like ila big up clam. nawasalimu ma fans wa snack boy ❤❤❤❤🤷♂🤷♂
Mnazinngua bana tuna choka Masha bicki kisubili movie aloycy apa
Hongeza zako nyingi sana mbwela ni mwajuma hapa bado nakufatilia
I love the snake Queen…..Sarah wangu.
Hatimaye leo nimewahi japo sio sana naomben like zangu jamani
Namimi nipo ila mnacherewa sana
like hapa walio subulia kama mimi from zimbabwe😀😊
Ama kweli ni nguvu za giza😂😂,clam anazitafuta gizani😅 🙌...kisha ame upgrade chapati na malage kaongeza vitumbua na sambusa🤣🤣#mnaweza clam gang kazi inaendelea vizuri Mashallah cha msingi tusisahau ibada 🙏
Nipeni likes zangu mm ndo wakwanza Leo
Wakwanza jmn naombeni like zangu ❤❤❤
Anaekubari kua hili picha ni Kari kuliko yote gonga like tusepe na Kijiji💪
Hivi bado kuna wanaume kama kipara huku mtani, nimewaza kwa nguvu tu, sio michongo yangu😂😂😂😂
😂😂😂😂
Daah snake boy 🐍 inazidi kua noma sana clam vevo umetisha kaka 🔥🔥🔥💪
Mimi ndo wa kwanza nchi nzima naombeni like kwa ajili ya clam ❤❤❤❤
Kuva 🇧🇮🇧🇮💥 turikumwe kndi turagufana Clam VEVO ndagukunda sana 🎉💥🇧🇮 salamu Kwa wadawu wote na wapenzi wa channel pendwa nya Clam VEVO 🙏🏾🙏🏾
Kazi nzuri clam endelea hivo hivo yatakuwa poa Siku ijayo😊🎉🎉
Iko POA Sana, sema uliichelewesha broh🙌
Mimi wakwanza south africa ❤
Kazi kazi siwapingi wote wanaoishiriki kuigiza mpk kutengeneza.......high level
Mie wa mwisho ila msinisahau ❤❤❤🎉🎉asante kikundi kizima
Nan wakwanza kama mieeeee leooo😊
Kiukweli nawapenda sana kama unawakubali wahusika wa hii movie gonga like hapa chini❤❤
Snake boy imekuwa kma jua kali mzikii mwingiiii ila bora ili isimalize mapema
Mnakawia sana kutuletea ep nyingine.....
Kama unakubaliana nami gonga like
Yaap
Jaman. Naomben lik maan. Clam cy poa twende nalo .mpaka EP ya buk
Anayewadanganya mkichelewa sana mtafanikiwa anawapoteza
Wenae Mwaandaliwa vitu vzuri lakini subra hamna
hii kazi inahitaji muda kuiandaa tumpe muda tusiwe na haraka
Tabia ya kuomba like simuache..au mmekua kama kipara..mi sipendi badala mchangie mawazo filam iendelee kuwa bora mmekazana like ...nyau nyie
Clam apewe taji 🎉🎉🎉🎉kma unaungna n mmi dondosha like yko n comment znu