LIVE: WAKULIMA WA MIWA WAUNGANA NA MPINA KUMSHITAKI BASHE, WAMWAGA MACHOZI KWA UCHUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • #uhondotv #uhondo

ความคิดเห็น • 338

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u หลายเดือนก่อน +18

    MH. SPIKA TULIA....UMEWASIKIA WAKULIMA WA MIWA.....WEWE BINAFSI UMETUMIWA NA WALA RUSHWA NA MAFISADI WAAGIZAJI WA SUKARI WALIOONGOZWA NA MH. WAZIRI BASHE NA BODI YA SUKARI...NA UMETUMIKA! AIBU NA FEDHEHA KWAKO SPIKA NA GENGE LOTE LA WABUNGE WA CCM WALIOSHIRIKI KUMPINGA NA KUMUONDOA BUNGENI.

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 หลายเดือนก่อน

      Wanaangalia maslahi Yao na siyo wananchi.Mungu mfufue JPM

  • @user-su6xu7ks7m
    @user-su6xu7ks7m หลายเดือนก่อน +9

    MPINA Luhaga hongera sana kwa Kutetea Wakulima wa Miwa.Tuko pamoja Aluta continua.

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan หลายเดือนก่อน +2

    MwenyeEnziMunguMlezi AtuSimamie.
    Pumzika Kwa Amani Kiongozi Mzalendo na Mwadilifu❤🇹🇿🕊️JPM RIP

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 หลายเดือนก่อน +5

    Paza sauti Mpina ni kiongozi bora mungu amlinde

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 หลายเดือนก่อน +16

    magufuli atakumbukwa kwa mengi sana yani watu wa kilombelo wana mbunge wao lakini wanamuunga mkono mpina yani mpina ana watetea wananchi wa kilombelo na mbunge wa kilombelo hana watetea wenza wa maraisi nao walipwe mishahara yani anachotaka mwenyenacho aongezewe

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน +2

      Hapo ndipo ung'amue mwenyewe kwamba zoezi la kuwapata wawakilishi wa wananchi lilivurugwa na haya ndiyo madhara ya kuamini katika kila kitu anachosema mtu!!
      Tujifunze, wasiotufaa kwa shughuli zetu na kutupa kisogo tuwapige chini bila huruma!

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale หลายเดือนก่อน

      @@festokemibala5832 sahihi!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu awabariki sana kwa kumtetea Ruhaga Mpina mtetezi wa Wanyonge

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 หลายเดือนก่อน +14

    ❤❤wako sawa
    Hongera MPINA MBUNGE

  • @NgunoSangano
    @NgunoSangano หลายเดือนก่อน +11

    Mpina oooyeee!!!
    Salute mh mubunge ,mko sahii kabisa wanainchi tunaumia sana m
    Me mkaz wa geita

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd หลายเดือนก่อน +2

    Mwenye shibe hamwoni mwenye njaa pamoja na maneno hayo ya uchungu hakiwaingii chochte wanacheka ni kama wanafikiri tunatokea ukoo wa nyani wao ndio walio umbwa na Mungu

  • @fredgonga
    @fredgonga หลายเดือนก่อน +11

    Hii ni Inchi ya vichekesho, usishangae siku moja tutaagiza mlenda kutoka nje..

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂kwel

    • @samwelshepa8443
      @samwelshepa8443 หลายเดือนก่อน

      Hii ni kweli! Inawezekana inafanyika kama wameweza kupindisha ukweli ndani ya Bunge mchana kweupe. Misingi ya haki ilikwisha haribika wenye haki siku zote ndio waovu.

    • @NorbethJosphath-hm1zb
      @NorbethJosphath-hm1zb หลายเดือนก่อน

      Mbunge biraupinzani tutaumia tu ccm haina huruma kwa mwana ccm tanzania wote ccm shida viongozi wanaangalia matumbo yao

  • @user-eq9lw9ju1l
    @user-eq9lw9ju1l หลายเดือนก่อน +11

    Pole Mzee wangu hili Bunge ni serikali sio mihimili unajitegemea kuisimamia sirikali. 2025 tujitahid tuwaondie wote.

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 หลายเดือนก่อน +1

      hatuna wabunge kwa Hivi sasa bali tuna machawa wanaotafuna kodi zetu

    • @jacobmakono4399
      @jacobmakono4399 หลายเดือนก่อน

      Aksante Sana!ni kweli

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 หลายเดือนก่อน +9

    Msigwa baada ya kunyimwa uenyekiti wa kanda ya Nyasa amekwenda kwa wapigaji

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 หลายเดือนก่อน +5

    Mpina anawakilisha wananchi ndo mana wamemtoa nje

  • @abdulmagido5444
    @abdulmagido5444 หลายเดือนก่อน +8

    Hapa ndio utajuwa kwamba Watanzania tume haribiwa na elimu mbovu "yarabi nafsi yangu" sijuwi mshenzi Musukuma na blood Tulia mnatuambia nini?

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 หลายเดือนก่อน +4

    Poleni sana

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 หลายเดือนก่อน +3

    Mpina hoyeee mzalendo wa kweli Mtanganyika Mungu yuko nawe wakulima mko vizuri sana

    • @mukeshramji1537
      @mukeshramji1537 หลายเดือนก่อน

      Bei Kubwa Sana
      Kutoka nje Bei Rahisi
      Kwanini Bei zenu ni Kubwa

    • @user-vq6dc4nr5p
      @user-vq6dc4nr5p หลายเดือนก่อน

      Sababu hiyo sukari ya nje ni comical tupu, wauwaji nyie, alafu watanzani tungejua wahindi Wana roho mbaya aisee,​@@mukeshramji1537

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 หลายเดือนก่อน +10

    Usiku uliendelea sana mchana umekaribia au umeanza kuonekana

  • @binsherbal6089
    @binsherbal6089 หลายเดือนก่อน +3

    Kiza kimezidi sana, ni dalili za kupambazuka. Ahsante Mungu, tumenyonywa sana, tumeonewa sana, tumedhalilishwa sana na sasa tumaini linaonekana lipo mlangoni. Wakulima Elfu 11 ni wengi, hawa wote wakiinyima Kura CCM pamoja na jamaa zao litakua pigo kwa Chama cha Majambazi. Watanganyika tuamke sasa tuwakatae hawa watu na wala si nyie tu hawa watu wameharibu kila sehemu, si kwa Wakulima, Wamachinga, Wafanyabiashara, Wafanyakazi kote wameharibu. Tuungane tuwakatae kwenye sanduku la Kura.

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera mpina na simiyu msifanye mchezo

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 หลายเดือนก่อน +8

    Sijui wabunge wanajisikiaje wanavo ona watu wanao wawakilisha wameamua kutoka live

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

      @@elikanaernesti8440 aibu ingawa hawa jamaa zetu huwa hawana haya! Jioni asema hivi usiku vile kwao usiku ni mchana na mchana ni asubuhi! Hujamuona mjinga mmoja anasema kwamba unadhamiria kutenda dhambi kisha ukimaliza unamuomba Mungu akusamehe? Sijui dini yake ni ipi lkn mimi nadhani ni mazingira alimozaliwa ya nje ya ndoa!

    • @stewartdyamvunye-wz6rn
      @stewartdyamvunye-wz6rn หลายเดือนก่อน

      Ndgu yangu kumbuka msemo: aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa! Kwa hiyo wabunge hawajisikii chochote!

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 หลายเดือนก่อน +8

    Mpina tupo nawewe adi kieleweke

  • @Ich-ny7uo
    @Ich-ny7uo หลายเดือนก่อน +5

    Putini alisema wafrika wana halibu uchumi wao wenyewe

  • @sundayyohana-qx3ys
    @sundayyohana-qx3ys หลายเดือนก่อน +2

    Viva wakulima viva..

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 19 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh. Nchi nzima kimeumana.Shehe uko vizuri ubarikiwe sana.

  • @emmanueliman7408
    @emmanueliman7408 หลายเดือนก่อน +7

    Hii nilimsikia jafo analalamikia uagizwaji wa mbolea nje ya nchi,leo tena wakulima wa muwa mpo live mkilia kuaribiwa kwa uchumi wenu,nimuombe mh rais awasikilize hawa wananchi wake mh waziri yy Alisha sema ni wachache.bashe jiuzuru tu kk ungwana si utumwa

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg หลายเดือนก่อน +2

      Rais huyu mliyenaye yeye ni kibalaka wa hao majizi na mabeberu

    • @gellangi9694
      @gellangi9694 หลายเดือนก่อน +1

      Rais ndiye mteuzi wa Bashe na kumlilia hakuwezi kuwasaidia.

    • @Lubango-gj3ud
      @Lubango-gj3ud หลายเดือนก่อน

      Chura kiziwi

  • @user-xw1dv3gr8s
    @user-xw1dv3gr8s 13 วันที่ผ่านมา

    Bashe mungu anakuona mbaazi yetu tulikuwa tunauza 3300 Leo uliposema tukauze galani Leo tunauza 1500 Bashe hafai kabisa

  • @user-ev2xf1tv3w
    @user-ev2xf1tv3w หลายเดือนก่อน +2

    Hivi job ndugai hatukumuelewa su

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u หลายเดือนก่อน +7

    VIVA WAKULIMA WA MIWA TANZANIA....NGUVU YA UMMA ITAWANG'OA CCM MADARAKANI.

  • @AMOSSILYVESTER
    @AMOSSILYVESTER หลายเดือนก่อน +5

    Tulia haufai

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu aendelee kutusaidia watanzania tuendelee kuamka..poleni wote

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน +4

    ila Mama Samia anapoona malalamiko ya w/nchi inabidi awe makini na kuongea na waziri mhusika kwamba kulikoni? na amuagize aende kutoa suluhu mara1..sio vizuri kuongoza nchi na watu wana moyo umejaa maumivu hivi jmni

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

      Huyu mama nimzanzibar Hana uchungu na TZ
      Hana uchungu kabisa

    • @saivellybrutally2994
      @saivellybrutally2994 หลายเดือนก่อน

      Ni Chula kiziwi

  • @Marjeby
    @Marjeby หลายเดือนก่อน

    Mwaka 2006 mpaka Mwaka 2008 nilikuwa Hakimu Mahakama ya Mwanzo KIDODI Kilombero ndio kwanza nimetoka chuo tu nilisikiliza shauri moja bwana Mohamed Said Kapyale alikuwa ni sehemu ya shauri hilo namkumbuka vizuri sana mpaka leo bwana Mohamed Said Kapyale ni fundi sana wakujenga hoja na kuhoji na ana uzoefu mzuri sana amenikumbusha mbali sana😂😂

  • @eliaslaurent-it1id
    @eliaslaurent-it1id หลายเดือนก่อน

    safii sana ndo inavyotakiwa kuwaunga mkono wabunge wanapo tutetea

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan หลายเดือนก่อน

    Mhe. Mpina❤🇹🇿🕊️

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 หลายเดือนก่อน +5

    Hapo Msigwa unasemaje

    • @gellangi9694
      @gellangi9694 หลายเดือนก่อน +1

      Hana lingine zaidi ya CCM Hoyeee

    • @SeverinepauloPeter
      @SeverinepauloPeter หลายเดือนก่อน

      Msigwa. Anasema mkurunziza

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 หลายเดือนก่อน

    Wakulima wa mahindi walilalamika sana! Rais Jana amewaliwaza kwa kuwaambia eti mahindi wauze kwa Tsh 750 gani bei hii ili wao wanunue kwa wingi wakauze kwa Tsh 1000.
    CCM ni janga.

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kulia Lia mama mama mama. Hao wote mnaowalalamikia ni wateule wake unadhania kama yeye atawalazimu kubadili na hao ndio wamepitisha hiyo sheria bungeni nayeye kuisaini.
    Andamaneni.
    GEN Z walibadili mwelekeo Kenya

  • @barnabasmsamwel4292
    @barnabasmsamwel4292 หลายเดือนก่อน

  • @jellyyatta7597
    @jellyyatta7597 หลายเดือนก่อน +4

    Moto umewaka huyu mpina ana jambo lake

    • @kanoa645
      @kanoa645 หลายเดือนก่อน

      Unaonaeee!!!

  • @user-xw1dv3gr8s
    @user-xw1dv3gr8s หลายเดือนก่อน

    Bashe hafai kabisa anatumiza wakulima

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 หลายเดือนก่อน

    Bashe hafai

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk หลายเดือนก่อน +1

    Bashe anakauli za dharau sana,eti wakulima wa mua ni wachache wabadilishe walime mpunga,harafu eti ni Waziri wa kilimo.Viwanda vinazidi kuboreshwa ili kupunguza uhaba wa sukari nchini bahati mbaya mmeanza kuingiza sukari tena kupita kiasi kutoka nje,not fair.
    Hawa wananchi wanaolalamika wasikilizwe hoja zao.
    Na kwa upande wa mbolea imekuwa hivo hivo,mbolea nyingi inaagizwa nje.
    Ukisharuhusu wafanyabiashara waingize sukari tayari ujue umeua kilimo cha miwa,umeua viwanda vya sukari,umeua ajira za watu,umeua na baadhi ya viwanda vinavyozalisha spare/vifaa/mbolea zinazotumika viwandani.
    Wazo la kuwekeza kwenye viwanda vya ndani ni zuri sana ila tunakoelekea MUNGU atulinde.

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff หลายเดือนก่อน

    Mmh! Umaskini wa kutengenezewa . .nchii unaweza kuogelea kwenye fursa lukuki zilizopo lkn kukubadilishia maisha kutoka umaskini uwe tajiri ni jambo tofauti mno...

  • @HarunaGardenGoa
    @HarunaGardenGoa 18 วันที่ผ่านมา

    Mpina anatosha kuiongoza Tanzania sio hao mawaziri mafisadi, wafunguliwe mashataka wanyongwe Hadi wafe

  • @supa7077
    @supa7077 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie Mnatumika tuu.. Kwahiyo wananchi milioni 60 waumie kununua sukari 10000 kwa kilo ili iwalinde wakulima 12000. Acheni kelele. Kila mwaka wananchi wanaumia na bei ya sukari kwa kuwalinda nyie wachache. Tulieni sasa.
    Huyo.mzee anasema ameuza tani 200 kwa KILOMBERO, utasema ni mkulima mdogo???

    • @christianmwashala9760
      @christianmwashala9760 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan nibora utulie kwanza afu uchunguz bei ya sukar imepanda kutomana na uingizaj wasukar kiholela nchin mbn kipind tunawategemea viwand vya hapa hap sukar haikua juu iv bashe mwizi yule

    • @saidinyoni2463
      @saidinyoni2463 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe kipele ushawailima mtu anapewa kibali wauza Sim Waka agiza sukari

    • @janethpallangyo3855
      @janethpallangyo3855 หลายเดือนก่อน

      Kaaa kimya

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 หลายเดือนก่อน +1

    Wadau, eleweni kuwa kama bashe unaujasiri wa kusema eti wakulima wa miwa ni wachache tafuteni kilimo kingine hapa wameshapanga kukiuwa kilimo cha miwa, kama walivyouwa cha kahawa. CCM wamechoka sana,

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน +4

    Mpina chuma cha pua unapendwa kiroho mbaya wakulima wa sukari oyeeeee mtetezi wa wakulima wa sukari

  • @nestor384
    @nestor384 หลายเดือนก่อน +5

    Luhaga Jelson Mpina alikuwa sahihi Speaker alichagua kulidanganya wizi na kuamua kuua atamizi za wazawa kujiajili na kutengeneza uchumi unaomilkiwa na wananchi

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina ni mbunge wa dunia wakulima wanafanya kazi sanaa Tanzania inakuwajee

  • @NyangiMarwa
    @NyangiMarwa หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu awajalie wakurima

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbukeni lile sio bunge kwani hawakuchaguliwa

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 หลายเดือนก่อน

      Wabunge wa magufuli

  • @gabrieltheodory4090
    @gabrieltheodory4090 หลายเดือนก่อน +1

    Viva Mpina

  • @user-qe5cb7vy6o
    @user-qe5cb7vy6o หลายเดือนก่อน

    KWELI KABISA LUHAGA MPINA NI MZALENDO NA MTETEZI WA WAKULIMA WOTE NCHINI .BUNGE LA TANZANIA CHINI TULIA JACKSON KUMTOA MPINA KT.BUNGE AMBAYE NI MTETEZI WA WAKULIMA.

  • @nashonkibayayu3776
    @nashonkibayayu3776 หลายเดือนก่อน

    Mifumo ndiyo inashida kubwa. Latina mpya ndiyo mwalobaini katika nchi hii.ndiyo maana watu watapiha kelele, hakuna anaye jali.

  • @amisanjenda8885
    @amisanjenda8885 6 วันที่ผ่านมา

    Ukipata viongozi wa kweli na wafungua akili za raia wasio na cheo basi ni bora kuliko walafi na binafsi kwa kila kitu

  • @songeramashauri7312
    @songeramashauri7312 หลายเดือนก่อน +1

    Na inaonekana kabisa ubora wa sukari hii ya nje ni wa chini ukilinganisha na sukari inayotengenezwa nchini.

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee หลายเดือนก่อน

    Nchi kama Haina Rais ni hatari sana

  • @geofreykasinda1895
    @geofreykasinda1895 หลายเดือนก่อน +3

    Watanzania tuamke sasa

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose หลายเดือนก่อน +1

    Muheshimiwa spika mama Tulia ni yupo bungeni kwa ajili ya serekali sio wananchi waliomchagua! Howo ndio ukweli.

  • @leonardoscarkitime145
    @leonardoscarkitime145 หลายเดือนก่อน +1

    WAMETUMWA HAWA.. HAWAJUI HATA WANACHOKIONGEA, JARIBU KUWASIKILIZA UTAGUNDUA HAWAJUI HATA SHERIA MPYA INASEMAJE.. HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU MFUMO WA UNUNUZI WA SUKARI YA ZIADA AMA UNUNUA SUKARI YA AKIBA. YAN NI BOGAZ KABISA, ZERO ZERO ZERO KICHWANI

    • @Dominaevance
      @Dominaevance หลายเดือนก่อน

      Kuna Msemo Moja WA kiswahili unasema Kichaa anachekesha akiwa hatokei kwako au kwenu, unatoa kauli za kejeli Kwa kuwa ww Kilimo Cha Muwa sio Maisha ukishindwa kuwaunga mkono ni Bora ukae kimya ni Busara zaidi

    • @leonardoscarkitime145
      @leonardoscarkitime145 หลายเดือนก่อน +1

      @@Dominaevance Mzee na wewe ni wale wale.. kwahiyo niwaunge mkono kwa kusema serikali imeamua kununua sukari nje kwahiyo biashara ya miwa yao itakuwa imekufa..?? Inamaana na wewe hujui kinachoendelea? Inamaana hujui ni kwanini sukari imenunuliwa nje na ukizingatia hii si mara ya kwanza kununua nje, ni kila mwanga sukari lazima inunuliwe nje kuziga gap la uzalishaji dhidi ya matumiz ya ndan, ina maana hujui kwamba sheria mpya ilichobadili ni kusema kwamba mnunuzi wa hii sukari ya gap ni serikali na si viwanda tena, ina maana na wewe hujui kwamba serikali imeanzisha sheria ya utaratibu wa kuhufadhi sukari ktk magharala yake kama ilivyo kwa mahindi na bidhaa nyingine za muhimu.?? Kama haya hujui na wewe ndo wale wale kaka

    • @leonardoscarkitime145
      @leonardoscarkitime145 หลายเดือนก่อน +1

      Na utaratibu huu hauna madhara yoyote kwa mkulima kwasababu ni utaratibu wa kawaida ulikuwa ukifanyika huko nyuma kwa bidhaa zinginezo ikiwemo mahindi, viwanda vitaendelea na uzalishaji kama kawaida na wakulima wataendelea kuwauzia viwanda kama kawaida.. kwasababu serikali haitafanya biashara isipokuwa sukari ikikosekana tu.! Na hii ni kwa kumsaidia mwananchi wa chini kabisa asije kusumbuliwa na upandaji wa bei kiholela

    • @leonardoscarkitime145
      @leonardoscarkitime145 หลายเดือนก่อน +1

      @@Dominaevance YANI WATU BADALA YA KUIPONGEZA SERIKALI KWA KUCHUKUA HATUA ZA KISHUJAA KUNUSURU BEI YA SUKARI ILI WATU WA CHINI WASITESEKE NA WAMEWEKA UTARATIBU MZURI KWA BAADAE.. NYIE MMEKAA KUSIKILIZA MPINA ALIYETUMWA NA WAMILIKI WA VIWANDA ILI KUCHAFUA HILI, HAO WOTE WANATUMIKA.

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Msomali Bashe ana roho mbaya ya kisomali

    • @DaudiLengai-ym5fx
      @DaudiLengai-ym5fx หลายเดือนก่อน

      Siyo Msomali ni ndugu moja na mzee mmoja wa ccm anaitwa Kinana

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 หลายเดือนก่อน

    Leo na kesho atakuja waziri Mkuu hapo au makamu wake badala ya waziri mhusika na kuwadanganya kuwa kilio chenu kimesikika kumbe ni ujanja tuu

  • @user-tf5ec2hi3k
    @user-tf5ec2hi3k หลายเดือนก่อน

    Hamna hoja ya msingi kwahiyo mnataka watanzani milioni 60 waumie kwaajili yenu watu elfu 12000

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa hiyo mnataka sukari isiagizwe nje iwe nyingi na ipungue bei, mnataka uzalishaji uwe mdogo ili bei ipande mufaidike sana na mlaji wa mwisho apandishiwe bei?

    • @Fesary
      @Fesary หลายเดือนก่อน +1

      Point ni wao kutoshilikishwa tu,

    • @MedsonUlendo
      @MedsonUlendo หลายเดือนก่อน

      Yap Hawa lengo sukari aidimike ili wanufaike wajifunze kuzalisha kwa bei ya chin

  • @abdulrahmankhamis4099
    @abdulrahmankhamis4099 หลายเดือนก่อน +2

    Biashara ni ushindani jamani, lazima tushindane, inakuaje sukari inayotoka brazili iwe bei ya chini mara mbili ya sukari inayozalishwa kilombero. mwsiho wa siku tusilazimishe mwananchi anunue sukari kilo 15,000 kwasababu tu wakulima wapate fedha hilo haliwezekani. unsema haiwezekani sukari iuzwe kilo 2000 mnataka mwananchi anunue kilo bei gani. mama lishe wanunue kilo bei gani. sukari ni ya wanyonge, musijiangalie nyie tu.

    • @supa7077
      @supa7077 หลายเดือนก่อน

      Umeongea point sana.,haiwezekena hawa wachache wawaaumize watanzania mil 60. Washidane na sukari ya nje

    • @user-ec8zv7lq8y
      @user-ec8zv7lq8y หลายเดือนก่อน +1

      Inapanda shauri ya makodi mengi

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn หลายเดือนก่อน +1

    Is just a matter of time

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo หลายเดือนก่อน

    Nyinyi viongozi was ccm punguzeni ubabe kilakitu mnahalibu umeme too salio too Kodi za kukomoa angalieni

  • @elishadodi8787
    @elishadodi8787 หลายเดือนก่อน +5

    Bunge letu siyo wawakilishi wa wananchi ni vibaraka wa serikali tu. Wanayoongea siyo Yale waliyotumwa na wananchi. Ukiona kauli za wabunge zipo tofauti na uhalisia wa wananchi ujue wabunge Wana ajenda zao tu. Shida wabunge wetu wanapigia makofi sana serikali badala ya kubeba hoja za wananchi. Bunge hata Sheria linazotunga Kwa sehemu kubwa ni kutetea ulaji wao wenyewe na heshima zao na ndiyo maana Sheria yoyote inayowahusu kuwatetea wananchi ikivunjwa husikii sana wakipiga kelele Ila ivunjwe ya upande wao utaswekwa mahakamani. Vunja Sheria zinazowatetea serikali na bunge uone, utafanyiwa kama Mpina. Bunge letu siku Ile ya kumfukuza Mpina lilipozi kujadili ajenda muhimu ili kushughulikia mtu anayetetea wananchi ili kulinda heshima ya bunge, unajiuliza kumbe ninyi mpo radhi tuumie wananchi ninyi mlinde heshima yenu? Serikali na bunge ni genge moja lile lile la walaji wa nchi na lazima wateteane maana pia ni chama kimoja. Kinachofanya wabunge wawe vibaraka wa serikali ni Kwa sababu Mwenyekiti wa chama Chao ndiye Mwenye maamuzi kwenye chama nani agombee na nani asigombee ndiyo utawaona wabunge wanapigia makofi Mwenyekiti wao huku wakisema ana upiga mwingi. Wabunge ni vibaraka wa serikali na chama Chao tu na siyo wawakilishi wa wananchi, wabunge wanajua wananchi wanaowawakilisha hawana uwezo hata wa kuwaengua kwenye uchaguzi Bali chama ndiyo chenye nguvu . Nape juzi juzi alishasema uchaguzi kushinda ni rahisi sana na yeye ni mtaalamu wa kufanya washinde, Sasa Wana shida gani hata msipowapigia kura wanajua watashinda? Wabunge si waajiriwa wa wananchi Bali wa chama na serikali ndiyo maana hawawatetei wananchi.

  • @user-cz7bd9tc5k
    @user-cz7bd9tc5k หลายเดือนก่อน

    Munge muuliza Mbunge wenu Au Mnge mfuata nyumbani Mumchape Viboko kwanini? Aliunga Mkono Hoja ya Bashe Woga wenu ndio Jehanamu yenu Munge Mushikisha Adabu Mbunge wenu nasio selikali

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa kwa hali hii wanaonyesha kuwa wanataka kuuwa kilimo xha miwa kama walicyouwa kilimo xha kahawa, wapumbavu sana . Ukisema ukweli wanakutimua bungeni, inauma sana

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan หลายเดือนก่อน

    Katiba ya Warioba

  • @MwalimuNaMifumo
    @MwalimuNaMifumo หลายเดือนก่อน

    Wakulima wa ndani wanatuuzia sukari 8,000+
    Sasa tuwaunge mkono tuendelee kununua sukari kwa 6,000
    Mnataka msaidiwaje. Mtanzania aumie kwa kuuziwa sukari 8,000+ wewe mkukuma ule bata

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd หลายเดือนก่อน

    Tuungane Kwa pamoja tuitoe ccm madalakani ccm ni chama Cha mafisadi

  • @gabrieltheodory4090
    @gabrieltheodory4090 หลายเดือนก่อน

    Mko sawa kabisa

  • @mukeshramji1537
    @mukeshramji1537 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu kinachozaliswa bongo kinatakiwa Bei Mara mbili Kama unazalisha sukari kilo Moja garama yake ni 2000/kuuza lazima tuuze4500/ HIVI KWELI tutafika

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 หลายเดือนก่อน

    Mpina Mungu yupo nawe

  • @KamardinTebe
    @KamardinTebe หลายเดือนก่อน

    Bado kazi iendelee mtamkumbuka sana jpm

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 หลายเดือนก่อน

    Tunatofautiana kidogo, Bei nzuri sio maana yake iwe bei kubwa kiasi cha watumiaji kuhisi mzigo, Pale serikali inapoamua kutetea walaji pia ni lazima iangaliwe na fikra yangu ni kwamba tumeaminishwa na wachumi uchwara kwamba faida inapatikana pale unapouza kwa bei kubwa
    Natoa wito elimu ya uchumi na uzalishaji itolewe ili mzalishaji pia ajue ni vipi anaweza tengeneza faida na sio eti watu wauze tu kwa bei juu, si wapingi wakulima lakini naona kuwa na mawazo mseto ili kujenga umoja wetu ni jambo zuri

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z หลายเดือนก่อน

    Sukari iko wapi?

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h หลายเดือนก่อน

    Shida ya nchi hiii wasomi wetu wamegeuka kuwa machawa tu wasomi nchi yoyote wakisimama kwapamoja nchi huwa inaeleweka lakini wasomi wengi nchi hi wengi sijui wana mtindio waubongo mambo yahovyo lakini unakuta wao wapo tu hawasimami kutetea uozo wanajali masilahi yao na family zao tu wasomi sijui mnalaana gani nchi hii

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 หลายเดือนก่อน

    Hivi vision vya kila mahali yote ni CCM Hawa mchwa. Andamaneni kila kona ya nchi kuwaambia Hawa waondoke .

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 หลายเดือนก่อน

    Kazi ya kufanya ni kuiondoa CCM madalakani nyie endeleen kulalama

  • @user-kr9xx8br4o
    @user-kr9xx8br4o หลายเดือนก่อน +1

    HAPANA. BEI YA SUKARI TANZANIA NI KUBWA MNO.
    MSIANGALIE MASLAHI YENU TU NINYI WAKULIMA

    • @PeterNMzee
      @PeterNMzee หลายเดือนก่อน

      Mbona kodi mnapandisha mno.Viongozi gani bure kabisa msio wajali wananchi wao wenyewe

  • @HenryMhabuka
    @HenryMhabuka หลายเดือนก่อน

    Hii serikali ya ajabu sana wakulima wote ni kilio. Hii yote ni kwa sababu ya kuwa na wabunge maboya.

  • @agnessangawe3844
    @agnessangawe3844 หลายเดือนก่อน

    AIBU TANZANIA😢😢

  • @seifkassim5872
    @seifkassim5872 หลายเดือนก่อน

    Brazilian sugar.sasa ndo imejaa madukani sukali yetu ata ahionekan

  • @amisanjenda8885
    @amisanjenda8885 6 วันที่ผ่านมา

    Ushamba ni vile tunazo malighafi na uwezo wa kuzalisha ndani ya nchi sukari tunao ila tunataka vya watu
    Hakika tumekuwa wajinga 😢

  • @BernardMwakipesile-nq5ze
    @BernardMwakipesile-nq5ze หลายเดือนก่อน

    Msgwa oyee

  • @user-sk6ly4oj9c
    @user-sk6ly4oj9c หลายเดือนก่อน

    Tujifunze kuchangua viongozi,tusichague waunga mikono

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy หลายเดือนก่อน +1

    Najua mtanikumbuka kwa mema ,#jpm. Mpina oyee

  • @georgemahenge
    @georgemahenge หลายเดือนก่อน +2

    Mpina.ndiyo mzarendo ktkt wabunge wote.na hii ya sukari ikuri inahusika nakama haiusiki nikwann mkuu wa nchi hajatoa kauri kuhusu waziri!

  • @katalesam.celleimarco996
    @katalesam.celleimarco996 หลายเดือนก่อน

    Anzeni na Mbunge wenu kwenye uchaguzi ujao awajibu kwa nini hakusimama na nyie kwa jambo hili

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 หลายเดือนก่อน

    CCM TUWENI MACHO, WAKULIMA, MACHINGA, WAFUGAJI, WAFANYA BIASHARA NA WAFANYAKAZI WOTE KILIO KINAFANANA SASA MUDA UKIFIKA MTAVUNA KURA TOKA WAPI? AU TOKA KAMATI YA WAVIVU NA WAZURULAJI? YANGU NI MACHO TUTASHINDA KWA KISHINDO KUPITIA NGUVU YA MZINDAKAYA.

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 หลายเดือนก่อน

    Wakulima hapo pia ni lazima mjiongeze kama hamjalipwa hilo ni jambo lengine kwani kama kweli mlishawauzia kwa hio mali ghafi walikuwa nayo sasa nini kilikwamisha wao kuzalisha na kuifanya iwepo sokoni hata mpaka iagizwe na serikali? hili jambo lenu linahitaji upembuzi yakinifu sana kwani ni ukweli uliowazi gharama za uzalishaji lazima ziangaliwe lakini pia bei kwa mlaji lazima iwe rafiki. Hivyo wakati tunatoa haya malalamiko tujitahidi kuchambua hivi vitu Bei ni lazima iwe rafiki kwa wote na sio kumfavour mkulima pekee. Hebu kuweni wakweli ni nani anaweza nunua sukari 5000 au bei juu? Hapa uchunguzi ni vyema ufanyike na kama inaonekana kuna wanaoinjinia hili jambo hatua zichukuliwe mapema

  • @exaudkkamwela9960
    @exaudkkamwela9960 หลายเดือนก่อน

    Sauti ya mpina ni sauti ya watanzania wahitaji haki ktk hili.

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wakulima kwa mkusanyiko huu wamekusanywa wameitiwa waandishi wa habari hawana walijualo wamepewa hela na wamelishwa maneno

    • @selegioelias9076
      @selegioelias9076 หลายเดือนก่อน

      Hivi kweli unadhani hawa wakulima hawajui maisha kama wanadai pesa wewe unajua maisha yakulima

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 หลายเดือนก่อน

      Hili ndio tatizo. Wananchi hao mnawaona wenyewe hawana akili. Wamekusanywa, wamepewa hela. Wenye akili no ninyi tu.

  • @Adye255
    @Adye255 หลายเดือนก่อน

    Watu wanapiga hela nyie mnalialia endeleleeni kulia, Usha ambiwa amutaki watapita kwa gori la mkono mnataka watapita kwa kura zenu, Samia anajua kinachoendelea, usalama wa taifa umetapakaa kila Kona tarifa anayo, Wezetu Kenya wamekataa kuwa watumwa Kwenye nchi Yao wenyewe wamechukua hatua, Tanganyika sisi zetu kulialia, haki hatafutwi kwa mfumo huo.

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tuna haribu uchumi wetu sisi wenyewe

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k หลายเดือนก่อน

    Mnao endelea kumsifu magufuli mna lenu jambo.Hao wabunge wa bunge hili ni zao la hujuma mbaya za kutuletea bunge ambalo halikuchaguliwa na wananchi.ni bunge la magufuli.Sasa mmeanza kupokea maumivu.

  • @user-kr9xx8br4o
    @user-kr9xx8br4o หลายเดือนก่อน

    KWAHIYO WANANCHI TUUMIE KWA BEI GHALI YA SUKARI KWA AJILI YENU WENYE MIWA NA WENYE VIWANDA???
    HAPANA, HATA SISI PIA TUNAWEZA FUNGUA KESI KUPINGA WENYE VIWANDA KUAGIZA SUKARI, MAANA WAO VIWANDA WAMEPEWA LESENI YA KUZALISHA, HIVYO BASI, WAZALISHE SUKARI.
    NCHI JIRANI SUKARI NI BEI YA CHINI KABISA.